Daaah nimempenda huyu kaka, ameelezea vizuri sana na nimejifunza mengi sana na hii Story inasikitisha sana aiseee,Pole sana kak etu,tunapitia haya ili kujifunza
@agneswangui42952 жыл бұрын
Waah,gerezani Kuna changamoto na huku nje watu wanaishi vile wanataka hata bila kumuogopa MUNGU Wala Kumshkru
@aminakasim1198 Жыл бұрын
Mungu amrehemu huyu kaka
@jovanafidelis28023 жыл бұрын
Hongera Sana! Unajua Sana kiswahili,unapangilia maelezo kiufupi unajua kujieleza
@rukiakhamsin92203 жыл бұрын
Subhannah Allah 😭😭😭😭kwa kweli Huyu kaka amepitiya mateso makubwa,Allah amfunguliye njia masikini
@mtanzaniahalisimungunimwem6733 жыл бұрын
Mama Samia Rais wetu,Asante Kwa kuwasamehe haya,Mungu akubariki mama
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Aliachiwa na magu huyu
@margaretiminza62703 жыл бұрын
Pole sana bro God is with you. Pongezi kwako unajua kujieleza vizuri
@agneswangui42952 жыл бұрын
MUNGU BABA asaidie Rais wetu Uhuru Kenyatta kabla atoke kitini awasemehe wafungwa wetu watoke.Mimi ni Mkenya 🇰🇪na wapenda sana jirani wetu Tanzania.
@LucknessPeter4 ай бұрын
nakupenda pia
@shamzone3883 жыл бұрын
Subhana allah naona machozi yananitoka bila kujua...pole sana ndugu yangu kweli jail sio mahali pazur kabisa Allah awastir ndugu zetu na watoto wetu Allahuma Amin
@ashasiri27203 жыл бұрын
Allahhumma ameen inshallah
@oman77102 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@maimunaabdalla71463 жыл бұрын
Watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 zahiri tuna kufatilia sana MUNGU akuzidishie iman
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Alichanganyikiwa.kwa kufikiria alitenda wema kwa kutokataa mimba na halafu akapewa kifungo na kufika kule akakuta mateso makali ambayo yalimfanya aamue kujihami ili wamuogope wasimguse pole sana baba angu uliumia kiakili.
@ashaomari79722 жыл бұрын
😢😢😢
@ALIMOHD-bk9lr3 жыл бұрын
Pole Sana kaka. Mungu kuhifadhi KWA Hilo gumu na mengine na atuhifadhi na sisi sote. Mitihani yote hii ni kipimo Cha subra NJEMA.
@didahnidhar80093 жыл бұрын
Mashalah hana kinyongo Allah atamfanyia wepes
@mename60203 жыл бұрын
Innalillah waina illah rajihuon.. HasbiyaAllah waneemal wakeel... Pole Sana...
@hellenwakiomwero31663 жыл бұрын
Innallillahi wainnailley rajiun. Kitu nitakushauri zahir akipata mkristo amake sure amamfunza dini ya kiislamu
@TheSalma19993 жыл бұрын
Mi nimempenda huyu Kaka yuko straight forward
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
Hongera habipty
@sandechiposi5133 жыл бұрын
Omba namba uwe nae
@mamachris68113 жыл бұрын
Pole sana Miaka19,ulikuwa bado mdogo
@reymaabintabdillah37273 жыл бұрын
Kaka zahir hiyo sura ya usingiz kabisaaa umetoka kulala, pole sana Broo ogopa wanafunz
@andrew294683 жыл бұрын
Pole sana .Mungu yu mwema Huyu ana hitaji nyenzo atakuwa ili aendeshe maisha ni mtu mwema huyu
@nooor11203 жыл бұрын
Ooo nimewahi leo Maximum tv super
@hawababuu43503 жыл бұрын
Jela isikie kwa mwenzako yani ukitoka huko ni mawili uwe mbaya zaidi ama ubadilike uwe mtu mzuri zaidi... Waah pole bro.
@pendopendo74273 жыл бұрын
Huyu kaka atakuja kua mtu mkubwa sna pia huyo mama ana dhambi kubwa sna khaaa mtot asomi afu unamfanyia hiv kweli dah😪😪😪😪😪 pole sna kaka Mungu yupo
@chunaabdullah13333 жыл бұрын
Allah yupamoja nawe kkngu, never give up brother
@saumukonde43383 жыл бұрын
Nmeumia sana ila pole yote Mitihani, Allah akuzidishie subraa
@sadabahla71203 жыл бұрын
Pole Sana kaka MUNGU akufanyie wepes Ishaallah
@mimahmimah15953 жыл бұрын
Kijana yuko smart kiakili wallahy Allah akuongoze akuepushe na mabalaa maisha yko yawe mapya mungu atakusaidia kaka mambo yatanyooka bi idhnillah
@liliankemuma94753 жыл бұрын
Husband material, pole Sana kakangu, Mungu atakuonekania
@rukiasalum56713 жыл бұрын
Kwanza kabisa pole sana kakangu M/ Mungu aliye kuweka hai na ukawa huru tena ana jambo njema na wewe unabii huo uliyo utoa kwa ajili ya jamii unatosha kabisa kumpa Mungu utukifu , Lakini kaka Zahir ndugu kanivunja moyo Mimi nitaka kuomba mawasiliano lakini masharti yamenishinda duuuh anataka vidogodogo bado na Mimi 40 🤣🤣🤣
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qJnPqmikir9liNk
@salhakhamis46293 жыл бұрын
Hongera kaka kwa ujari na ukwel kwan ukwel humueka mtu huru nimekubal sn kwakwel 👍👍😍
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
Mm nimekupenda kw vile umeongea ukwl karibu zanziba
@mohamedihasani6223 жыл бұрын
Fanya ivyo tena
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
@@mohamedihasani622 vp nifanye
@abdallahrenatus66773 жыл бұрын
Nimekuelewa. Mpe pumziko
@edwardmkwelele3 жыл бұрын
mpe mawasiliano yako aje wasiliana na Zahir
@credo78373 жыл бұрын
@@assiakhadijz4167 🤣🤣
@rashidyussuf34292 жыл бұрын
Pole sana suleiman ni mitihani ya duniani, ushaur wangu inaonekana una afya njema kaka cha msingi fanya kazi ili kujipatia rizik ndio jambo kubwa ili kuweza kujipatia cha kuendeleza maisha cha msingi ni kujichanganya na watu ili urud katika hali yako
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Mbona kesha fariki huna tarifa
@arafamussa8403 жыл бұрын
Pole sana kaka angu muombe allah akusameh pia msameh mwenzako ulimpenda mpak unaenda kwao kujielewa ni wachache san makak wenye roho hizo allah akufungulie milango ya rizki
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Subhannahllah pole sana my brother.
@bebebebe56773 жыл бұрын
Duuh hii story imeniumiza san ila tumshuklu mungu kwa kutoka sallama kaka zahir nakuchek whatsap
@twahrhamid39413 жыл бұрын
Mugu Akufanyie wepesi kaka
@nooor11203 жыл бұрын
Pole kaka kweli gereza sio zuri.. Maximum good job tuleteeni story km hizi za kuzingatia za udaku hazina ladha . Mama Samiya mtafute kijana huyu akupe vitus tusivo vijua vya gerezani.
@felisterandrew87413 жыл бұрын
Pole shemeji angu.
@catherinekatuu4233 жыл бұрын
Mungu ni mkuu kwa kila jambo.Atukuzwe kila wakati🌞🙏.
@mussamivache49863 жыл бұрын
Pole kaka daaaah akuna mtu anaijua kesho yake kwakweli unahitaji misahada😭
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Kijana handsome and smart pole Sana kijana mungu atakusimamia
@abrahmanifarouckissa566211 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi inshaallah
@Kakwasi3 жыл бұрын
Hizi Sheria niza kishenzi sana. Zinaumiza sana boychild. Ukiangalia msichana wa 16 yrs na mvulana wa 19 yrs hao ni agemates. Niwatu wenye pia akili zinakaribiana. Hakuna sababu ya kutosha ya kupunish mtoto mvulana miaka 30yrs eti kwa sababu ya mimba. Haya nimambo yanayoweza kusuluhuhishwa kwa njia Bora zaidi nasio kupoteza Maisha ya boychild. Ni uchungu sana. Serikali ziangalie mambo haya
@Kakwasi2 жыл бұрын
Hizi sheria zingine ila nizakijinga sana. Mtu hajaua, ajaumiza mtu, hajaiba halafu adhabu take 30 yrs????
@maishayetu61829 ай бұрын
Sheria zimeweka zifatwe acha afungwe
@emmanuelmasemba76123 жыл бұрын
pole sana kaka. hta mm yamenikuta gereza co pow.mtu anaekupeleka gerezan muogope
@fatu.stronggirl56203 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu atakufanyia wepesi
@abrahmanifarouckissa566211 ай бұрын
Pole sana bradher❤❤❤❤❤❤
@sabraalkhusebi42203 жыл бұрын
Umenisikitisha Sana mdogo wangu m mungu ni mwema umetoka salama
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qJnPqmikir9liNk
@noofnoof49093 жыл бұрын
Kaka pole Mungu Ni mwema siku zote kwakuwa umetoka salama Ape we sifa nimependa ulivyo jieleza nakusema ukweli Nakutakia Maisha marefu na Mung Akuwekeye Wepesi usikate tama
@roseatieno66913 жыл бұрын
Zahir kweli akipata hizo zote kweli utakuwa umetengenezea mwanaume mwenzako mazingira mazuri ile hatokuja kukusahau katika maisha yake yote.
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
M/mungu azidi kukupa afya na endeleee na kukupigania inshallah Mr seleman
@arafamussa8403 жыл бұрын
Pole shikama na allah muombe allah msamah pale ulipokosea allah akusameh msamehe pia mwenzako
@aby211113 жыл бұрын
He's a nice guy turned to monster in self defense. Stupid rules. A 19 year old is a kid. 💔
@trophywilson72113 жыл бұрын
@@aby21111 is A Kid in which Country ??Even USA 18 is not a Kid
@aby211113 жыл бұрын
@@trophywilson7211 30 years for a consensual sex is too much.Not even 1 time I heard someone serving 30 years for imprinting a girl with intention to marry her. 😎
@faridanassoro98483 жыл бұрын
Pole sana kaka
@Sandra398233 жыл бұрын
Duul pole sana kaka, ingawa nimewai bakiwa binti yangu inauma mzazi na cwezi mlaumu mamake binti cos najua uchungu wa mama ni mzazi, lakini pole sana, kamuone mwanao atakukubali Inshallah.
@trophywilson72113 жыл бұрын
Mwee pole saana
@razikimustapha47313 жыл бұрын
SUBHANA ALLAH MIYAKA 30 WEEK TO MITIKHAANI POLE SANA
@imanmohamed76323 жыл бұрын
Miaka 20 tu miaka 10 alisamehewa
@fatumasukwaju2262 жыл бұрын
Sote wa mungu kwake tutarejea .umeshakuwa marehemu.Allah akusamehe
@assiakhadijz41673 жыл бұрын
Assalaam alaykum kama umebadilika bc mm apa njoo uniowe
@lovvy8543 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👈
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
😂😂😂🤣
@lovvy8543 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 huyu dadaetu yaonekana ana uchu🙄 duhh kamkubali chapchap kabla ata ya mawasiliano🤣
@aminaally8633 жыл бұрын
Maxhaallah jambo la kheri
@ashuraomary88593 жыл бұрын
Pia.nisuna.ya.mtume
@simbarajabu41572 жыл бұрын
Pole sana ndg yangu ,na huyo mwanamke yy keshaolewa na mwanamume mwengine na anawajukuu ndio ujuwe Sheria mavi hii
@Randm-3 жыл бұрын
Kaka Mzuri Mashallah. Kama ana tama mke nipo hapa tusaidiane maisha. I serious Zahir
@Randm-3 жыл бұрын
Iddy niko serious kabisa
@latypherngombo10223 жыл бұрын
Chukua namba ya zahir iyo mtafute private kama kweli uko serious
@credo78373 жыл бұрын
@@Randm- wengi maneno tu
@janethkomba44852 жыл бұрын
inauma😭Nainasikitisha😭hilo neno lakusema jera hipo kwaajiri yabinadam kwahiyo siogopi lolotee lakini kupitia story hi kuaziya leo Mungu naomba Nifunge kinywa🤐jela sio mchenzo km Tunanavyotamka😭pole sanaa sele,Mungu bado Anampango Nawewe
@Kakwasi3 жыл бұрын
Iyo kesi shida Ilikuwa umaskini. Angekuwa na wakili mzuri angetoka. Ama angepata adhabu kidogo. Maana walisikizana na msichana. Sheria mbaya, umaskini tatizo. Huyu ni mtu mwerevu sana. Akili iko timamu. Musaidieni aanze KZbin channel apeane stori za jela.
@Kakwasi2 жыл бұрын
Huyu kaka anaendelea aje jamani. Naulizia toka kenya
@Tosana202 Жыл бұрын
Daah uyu kaka mashallah ❤Mungu atampa mke mwema
@sophiarajab93423 жыл бұрын
Pole saana kaka angu
@mashakashobo25292 жыл бұрын
MUNGU akufanyie wepesi brother pole sana
@salamanauthar52612 жыл бұрын
Pia apumzike kwa Amani
@mariamm27243 жыл бұрын
Pole sana kaka ,mungu akupe hutaji lako la moyo umpate mke msikivu mpole mwenye kuthamini ,pia awe na heshima na upendo kwako ili akusahaurishe kwa mengi ulioyapitia,kaka zahir barikiwa san , na MUNGU.
@tinnahagustinolyelu42476 ай бұрын
Halafu ety vibaka wanakamatwa wanaachiwa peleka huko gereza la kilmo aipate freesh
@remyntiranyibagira14322 жыл бұрын
Musaidie sana umukutanishe Na muzazi mwenzake kbs atizame ata mtotoake kbs bro big up sana 💪 💪 💪
@fatmasuleiman36213 жыл бұрын
pole sana bro maisha magumu sana dah inauma
@hebronsdaughter16613 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi utatoka kimaisha
@agnesollie7533 жыл бұрын
Huyu jamaa anasema ukweli ilmbidi kujiprotect ndiyo Hali ya gereza badala ya kurekebika walimharibu lakini haya simaumbile yake anahitaji msaada wa kazi na pia msaada wa datari Wa siekolojia🇰🇪🇰🇪
@aminaseha50432 жыл бұрын
Pole sana Kwanza esta mukristo
@shumbanahafidh43043 жыл бұрын
Anaonekana mstaarabu Kwa mke hakosi Allah amfungulie rizk tu
@mokohratino90523 жыл бұрын
Jmni nagpa mungu akupe ngvu kka nkukmbka skumoja nilienda geleza rakeko kumuona mfungwa bba Ang mlezi Ila bale nilkua kwenyefleni yakuingia ndani lkaja gali lamageleza bas tkaludishwa nyuma wtoto wdogo wlishushwa akiamungu niliumia nkueaza mbali ilesemu sonzuli jmni mungu atuepushe kwakweli naakutie nguvu kka angu daaa😭😭
@ilhammohamed41073 жыл бұрын
Masha Allah Allah akuongoze kwa ulioyapotia kakangu kwa kweli umejieleza vizuri sana tuu nitajitahidi nikusaidie kakangu we ni muwazi sana Huna uongo wala short cut hujifichii mabaya. ulofanya ya ukweli unasema na ambayo hujafanya uko wazi sana.
@saloomidd10843 жыл бұрын
Ni mwaminifu sana mwanamke atayeolewa naye atakuwa ameokota dodo
@hamizaramadhan12753 жыл бұрын
Masikini pole sanaaa kaka yangu ALLAH akujalie uwe mwema kwenye maisha YA Uhuru Na uwe Mwema sanaaa
@arafakassela53983 жыл бұрын
Nimecheka eti sijakumbuka kumuaga rafiki wala nani mbele tuu hahahha nimechaka mbaka kichwa kuuma
@jumakalukule53123 жыл бұрын
Pole sana dogo m/mungu atakusaidia mamboyako yataenda sawa
@julychaula65912 жыл бұрын
Pole sana kakangu mungu akupiganie
@julithamuhale72713 жыл бұрын
Pole Sana! Ila Sasa ukiona wanafunzi kimbia usiwaguse
@zakayojoseph13393 жыл бұрын
Kwl kabisa
@hanifamasudi97323 жыл бұрын
Wow mtu wakwetu kizazi cha congo wamanyema 😘😘🥰😍😍😍😗😗😗
@ghulamyassintv48253 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/qJnPqmikir9liNk
@tiaraoscarjuma45223 жыл бұрын
Kwa kweli Tanzania inabidi ibadirishe sheria za magereza kwani sio haki za binaadamu, mtu unamfunga miaka kibao halafu unamtesa balaa, unamfanyisha kazi humlipi mshahara hata kidogo hiyo sio sawa kabisa ni unyanyasaji mkubwa mnooo, MAMA SAMIA LIANGALIE HILI, JELA SIO SEHEMU YA KUMPA MFUNGWA MATESO YA KUPITILIZA, POLE SANA BRO DUUH
@Redher-o7q6 ай бұрын
Real definition of " Tell the truth even if it hurts"
@jamilasalimvilog67523 жыл бұрын
Pole sana
@selemanikisalo50603 жыл бұрын
Pole sana Mmanyema mwenzangu
@andersonmoses40293 жыл бұрын
Aiseeeee!! Huyo jamaa namfahamu tuliwahi kukutana nae maeneo ya njia ya maji huko kapalamsenga na tuliwahi kupanda nae meri moja mv liemba na tukapiga nae picha kibao mpaka leo ninazo. Mwaka 2002 nilipita shinyanga natokea mwanza kuna mabrother zetu wa kigoma hapo shinyanya wakanipa hizo habari zake nikaumia Sana maana alikuwa mdogo na nilizoea kumwita dogo janja Mgasa. Allaah ni mwema Kama katoka aiseeeee
@sharifaseleman31423 жыл бұрын
Mtafute
@husseinkatunka75482 жыл бұрын
Umesha fika kaparamsenga kaka
@wardaally76443 жыл бұрын
Masha Allah handsome
@zwinaalhabsi6643 жыл бұрын
Mungu atakufanyia wepesi kaka
@bakariomari24omar213 жыл бұрын
Dah huyu kweli anahitaji msaada jamaa hakukataa mimba wakamueka ndani.doh pole sana kaka.
@aminaally20143 жыл бұрын
Pole sana ila dini ni muhimu sana mukitofautiana dini watoto watayumba
@Mpakauseme3 жыл бұрын
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufikirifikiri mambo ya dini Mungu katuumba binadamu sote ni sawa na Mungu hana dini
@asmamzee70673 жыл бұрын
@@Mpakauseme mtu mwenye akili timamu huwa anafikiria dini maana dini ndio kila kitu katika maisha
@Mpakauseme3 жыл бұрын
@@asmamzee7067 Dini ni Neno tu kama kusema kitabu au Jina lako Asma ni matendo yako ndiyo yatofautiana na Asma wengine jampo mpo wengi mno , lakini mtatofautiana kitabia so unaweza ukawa na dini lakin ushishibe ya Mungu , ukawa tu unajisifu kwa jina la dini na huku una mambo ya kinafiki tu na ukijivika ucha Mungu, Akili na maharifa ndani yake utatuzi kamili, utafiti sambamba na uwelevu katika hayo utaona njia na isiyo na shaka kabisa na hauta fikirifirikiri juu ya huyu na yule kati ya yeyote yule akujiae usoni mwako, kwani Mungu anamakusudi na kila mwanadamu asemaye na wewe ata kwa kushtukiza hii maanayake hakuna mtu hajuae siku ya kesho , usijisifu leo kwa maana hujui kitakacho zaliwa kesho Mithali 27 : 1-2. . Usi ishi kwakufunzwa tu bila na wewe kujifunza akili kuu za kutawala keshakupewa mwanadamu katika uhai wake . Unaweza kumuoa mpagani na akavutika na dini yako kwasababu tu yamatendo yako nasi dini yako ndio maana mwanzo nikakuambia neno Dini nikama kusema kitabu mpaka ukifungue usome ndipo ujue kitabu cha aina gani. BILA UPENDO JUU YA WANADAMU WENZAKO BASI ATA UFUNZWE MAMBO YA DINI NA MALAIKA UTAKWENDA KUTUMBUKIA MOTONI TU .. UBAGUZI NI TABIA YA KISHETANI NA MUNGU SIMBAGUZI MKRISTU MWISLAM WOTE WAKE YEYE . Jifunze kufikiri na kulichambua kila neno huku na ukimuomba Mungu hakupe hekima na maharifa zaidi. Jah bless i ana i. AKILI NAULI.
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
@@Mpakauseme Yes my dear hallelujah hallelujah!! waslamu wana jikutaga kama ii dunia ni Yao vile wame sahau kabisa kama Atima Ya mtu ipo mikono mwa!!!! MUNGU.. Na laiti wao ndo wange pewa pepo.. Ya kutuingiza sisi!! Wakristo 🤦♀️sijui ingekuwaje ila MUNGU MUACHE aitwe MUNGU.!! Hivi ata hawajifikiri mbona MUNGU ana Ubaguzi wa wakristo wara Muslim ote ana tupa ridhiki ote tuna kufa. N. K. Badiliken 🤣😂😂😂😂🤣Waslamu bwana
@kibongobongo46083 жыл бұрын
@@faudhiasalum7279 Alafu jina (faudhia Salum)... Sikilizeni binaadamu tumetofautiana katika imani. Imani yako imetofautiana na Uisilamu sio suala wanajiona kama nani.. Ndivo Uisilamu ulivo kusimama imara katika kumuabudu Mwenyezi Mungu.. Its free halazimishwi mtu baki na imani yako uliyonayo lakini usimkwaze mwenye Dini tofauti na wewe.... Yes kaka yetu yupo katika Uisilamu ndio imani yake na akipata mke wakawa na imani moja inarahisisha kuwaongoza watoto japokuwa halazimishwi anaweza kuoa mkristo kwasababu Uisilamu unaruhusu mwanaume kumuoa mkristo lakini watoto wanatakiwa kufuata Dini ya Uisilamu kutoka kwa baba na inatakiwa mume amuelimishe kuhusu Uisilamu ili ashawishike kuifuata Dini.... Huu ndio Uisilamu unavotufunza hata Mtume wetu alifunga ndoa na mkristo anaitwa Maria na baadae alibadili Dini akaingia katika Uisilamu
@khadijamzee6822 жыл бұрын
Mmm ulitegwa pole sana
@nemaodhiambo72743 жыл бұрын
Husband material 🤗
@stevemwakisimba59863 жыл бұрын
Wee!!neema hilo jina kwa sasa ni tatizo!! Kkkkk
@nemaodhiambo72743 жыл бұрын
@@stevemwakisimba5986🤜 🤛 umeonae una akili sana Steve 👏
@saeedalyahmadi17383 жыл бұрын
@@stevemwakisimba5986 hahahaha🔥
@tanzaniabest99593 жыл бұрын
Hahaha napita
@mamumiyaskitchenvlogs58583 жыл бұрын
Hahahaaaa jina hapana
@SaidiLwambo Жыл бұрын
Pole sana . Je mtoto yupo wapi? Au yule mdada umekutana nae?
@costantinestephen25943 жыл бұрын
Hapana chezea Jamhuri, ndanda cosovo alishaimba Jela Jela ni mbaya, Jela Jela ni mateso.
@tifadent11122 жыл бұрын
Wao my kaka pole xana kwa matatizo
@darajalakidatukilomgi23623 жыл бұрын
Nimefurahi kusikia Serikali yetu ya Tanzania inatekeleza sheria, umefanya kosa sheria inachukua mkondo wake, kijana umekua muwazi sana umeongea ukweli wako, kifupi muogope sheria somo hili kutoka kwa kijana,
@Kakwasi3 жыл бұрын
Sio sawa. Sheria inamuumiza mtoto mvulana. Ngono walishiriki wote. Hawa ni agemates. 16yrs na 19yrs. Sio sawa.
@ezekielkandonga92382 жыл бұрын
Hapo Sheria Lazima irekebishwe Kuna Vitu havijakaa Sawa
@sikukuuchuo30932 жыл бұрын
Serikali bado ina mapungufu kumfunga MTU kwenye kiza .
@rizikireter71873 жыл бұрын
Pole xna kka na ekma ulio nyo pole Sana mungu akufanyie wepesi InshA AllAh
@aminahadi19663 жыл бұрын
Mambo matatu katika dini lazima yaharakishwe mtu akitaka kuoa na amepata mke muozesheni Mtu akitaka kusilimu mslimisheni Mtu akifa wahini kumzika shukhran
@rosenaheka71003 жыл бұрын
Na mtu akitaka kazi asaidiwe haraka sana
@upendolema98093 жыл бұрын
@@rosenaheka7100 umeonaeeh!?
@naomikim5244 Жыл бұрын
GOD is with you
@ameenaameena12243 жыл бұрын
Pole kaka pole sana
@fatmaahmed86377 ай бұрын
Huyo Askari kuwa na PANGA kufanya hayoo.anastahili KIFUNGO ni muuwaji !
@مريمحمد-و5م3 жыл бұрын
Pole kaka
@safiasafia41512 жыл бұрын
Masikini pole my brother kira mda sema Alhamdulillah wara kuli Khaly
@mariamgodfrey533 жыл бұрын
Pole sana kaka Maskini wadau tumchangie afungue saloon maana ndio fani yake maisha yaendelee .
@Mwanamgeni-w3n Жыл бұрын
Pole Kwa mitihan
@kiri58073 жыл бұрын
wamekudhulumu na kukupotezea ujana wako . kipindi chako cha ujana kimekupita gerezani .
@trophywilson72113 жыл бұрын
Walimdhurumu nini huku alifanya mwenyewe dhambi??
@ladislausmorisi30573 жыл бұрын
Pole sana ndg mungu atakujalia maisha mema
@Aida-qh3jq7 ай бұрын
Mwenyez mungu akupe umri mrefu na afya njema nimependa Imani yako