Huyu jamaa ukimskiliza vzuri anatufundisha Sana kumshirikisha Mungu Kwenye mambo yako
@fadhilimatandala76292 жыл бұрын
agreed
@asmahhassan22662 жыл бұрын
Kabisa cm jamni
@bernardmkuffya51712 жыл бұрын
Ubarikiwe sana,umeongea kitu kizuri sana.
@frolawihenge20782 жыл бұрын
Mungu akutetee sana kijana Mabula .Kuna nyumba Mlandizi haijaisha sawasaw lakini inaweza.kukaliwa na watu uko tayari kukaa huko?Tena bure sababu mateso uliyoyapata yatosha.Mungu akusaidie.
@OnlyRuky2 жыл бұрын
Watafute kina Millard wamuulize yeye hata cm ya kuona ujumbe hana
@sikatendeshabani24902 жыл бұрын
@@OnlyRuky duh nipe number yak ni mcheki ata fungo la kumi
@2116-n2 жыл бұрын
Angalia dk ya 34 namba zake zimeoneshwa, chukua umpigie mshikaji
@2116-n2 жыл бұрын
@@sikatendeshabani2490 dakika ya 34 angalia namba zake zimeoneshwa
@trillianbennahbennah53122 жыл бұрын
Watu wa tanzania ebu niambieni buku ni shilingi ngapi
@nouvamusik34822 жыл бұрын
Millard ayo jitolee umsaidie uyu kijana kwa sababu naamini huez shindwa tafadhali kaka 🙏,,,🇰🇪
@hisanmwakijungu102 жыл бұрын
Ata wew pia unaweza kumsaidia
@wasalimie112 жыл бұрын
@@hisanmwakijungu10
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Je wewe hauwezi ?
@ashurajengela39262 жыл бұрын
Haya waazimisha mageto amkeni uko mtapewa kesi ziwaharibie maisha,,, pole sana bro ni mitihani ya maisha Mungu atakusaidia 🙏🏻
@syliviakente94602 жыл бұрын
Na hao wanaenda kuomba geto alete girl friend wake wajifunze fuateni mila na desturi na utamaduni turudi kwa mola
@zenadaudzena28492 жыл бұрын
😂😂
@jacksonjohn56862 жыл бұрын
Kwakweli
@bongorecaps35582 жыл бұрын
Nyie acheni tu hii kitu Kuna siku nilimpelekea moto mtt wa watu akageuza macho akazima nashkuru kummwagia maji akazinduka ila sasa hv hata nikiingia lodge naomba sana lisitokee jambo
@mdta81612 жыл бұрын
@@bongorecaps3558 🤣🤣🤣
@TheSalma19992 жыл бұрын
Ntakutumia pesa Kaka yangu Mungu akipenda pole sana Na matatizo kumbe polisi wana treat watu vizuri sana sikujua pole sana na matatizo
@johnjosephat12522 жыл бұрын
Mtumie sasa
@mwansitisuleman Жыл бұрын
Umemtumia pesa
@AlbertBikogoto5 ай бұрын
Mhh
@poployalty94032 жыл бұрын
Daah nimejifunza kitu sana jamaa alikuja ofisini kwangu akiwa na simu ina password akaniambia naomba unifrashie hii sim nimepewa ili niende na mawasiliano kwa millard ayo...akaniadisia kidogo moyo wa imani ukaniingia nikamfrashia bure japo wenzangu waliniambia uyo analolote katoka kuiba iyo...daaah sasa leo namuona hapa moyo umeshtuka sana kumbe ni kweli....nimeelewa maana ya usi ukumu kitabu nje kabla ujakisoma.....#Tumsaidien
@gervasmalimi51262 жыл бұрын
Dah
@2116-n2 жыл бұрын
Kweli tusihukumu pia kwa kufuata mikumbo ya wengine
@rashowshine78492 жыл бұрын
God well pay
@miaerny66092 жыл бұрын
Afadhali huku sikiliza ya watu ukamsaidia Mungu akulipe wema wako🙏
@annamuro59372 жыл бұрын
Mungu atakubariki
@rashidikawanga29412 жыл бұрын
Umeongea yote mazur na tumejifunza kaka lkn kubwa pia hilo la kusaidia wenye kuhitaji 👏👏👏 na Mungu atakubless siku zote na ufanikiwe pakubwa 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@estameryngogo5948 ай бұрын
Pole Sana, Leo ndio nimekuona kwenye mahojiano na Upendo TV.
@fatimamv27232 жыл бұрын
👏👏👏Asant sn kk nmejifunza mengi Kuna rafiki yng Huku warabuni Huwa wanapigana mm Huwa naingilia Kati bt Kwa maelezo yk nmekoma juu mm Bado kijana mdogo hawa umri umeenda n Huku si kwetu
@marykarebeti94102 жыл бұрын
Tena ukome kabisa.
@martinymaryogo87532 жыл бұрын
Aseee pole sana mdogo wangu, pole sana, ila MUNGU ndo kila kitu utainuka na utakaa pwa tu tena sana, ucje ukajutia kwa lolote, ni sehemu ya maisha ulipitishwa maan kuna wengine wako uraian lkn ni wagonjw na hawawez hata kucmama,ko ww shukuru uko na afya yote MUNGU anafungua kwa wakat wake kwa kila alie wake.
@focusernest56102 жыл бұрын
Na uzuri umri mdogo kabsa
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@focusernest5610 kwl mda bd anao wakupambana
@Milla_20242 жыл бұрын
Thanks millard ayo hii content naamini kila mtu amejifunza na tumuombee jamaa atimize ndoto zake Muda bado upo..!!🙏🙏
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Mkuu tusidanganyane watu wamejifunza kwa kusikiliza tu hapa ila walipoweka cm pembeni mambo yaliendelea pale pale ukitaka kuamini sisi wa afrika au watu wote ni vichwa vigumu unakuta mtu yupo hospitality amekaa mapokezi anaangalia TV wanaweka yale mambo unakuta uume au uke umealibiwa na magonjwa ya zinaa au anaona jinsi watu walivyoathirika tunashauliwa tutumie condom ila akitoka hapo hospital unazani anakumbuka hilo tena ndugu yangu hapo ndo utajua kumbe shetani yupo kazini
@nsumburoote24862 жыл бұрын
Nitakusaidia mtaji in shaallah na naomba watz tumchangie apate pesa Ya passport nitamtafuta kazi
@njoroboihustla1252 жыл бұрын
Onesha nia yako yakumusaidia uandike contact yako
@neemapatrice17042 жыл бұрын
🙏🙏
@michaelthobias99672 жыл бұрын
Wasiliana na milad ayo
@khadejarajab80072 жыл бұрын
Itakuwa umefanya jambo zuri sana ila tz sasa kwenye paspot wanazinguaga sana na maswali pia eiport ni shida tu
@0ttii2 жыл бұрын
Duuuh.ubalikiwe.san
@doricecyprian72462 жыл бұрын
Hilo ni funzo usimwamini hadi rafiki ako na watu wapenzi waende kurent mungu akulinde😍😍
@yusuphmtumweni58292 жыл бұрын
Duh kupitia ushahidi wa macho tunajifunza utukufu wa Mwenyezimungu hana mfano na kiumbe chochote
@jamesfanuel45952 жыл бұрын
Amina
@shukranjazzakhaallahukheir18972 жыл бұрын
shukran Sana BB.,msaada ndungu zangu mwenye nacho mwenye nachumba apangishiwe nafunguliwe mradi.inshaaAllah
@rabylicious71782 жыл бұрын
Allah akujaalie pole hiyo n mitihani ya mwnyezi mungu uckate tamaaa🤲🙏
@nunizedon88762 жыл бұрын
Respect sana Millard wew ndio sababu kuu ya kumsaidia huyu kijana bila ya wew tusingemjua mungu atakulipa kaka .
@majidisalumu32602 жыл бұрын
Looh, Nimeumia Sana Kiongozi😭 Tupatie Namba Yake Tumsaidie Japo Kidogo
@stelasianga94682 жыл бұрын
Number kqeka jaman..ila mungu katenda haki
@besteralbert52472 жыл бұрын
Ipo chini kwenye description ya video...
@fadhilindunguru79462 жыл бұрын
Mmmmmmh
@fatmasalima38472 жыл бұрын
I'm really sorry kaka all will be well in sha Allah ameen 🙏
@راهيهراهيه2 жыл бұрын
Duh nimeamini kweli wanaufungwa jela wote sio wenye hatia Allah akupe subra
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
Hakika dunia ina mengi
@yohanamartin51772 жыл бұрын
Pole msukuma mwenzangu 🙏🏿
@sureiamboo2 жыл бұрын
Almost a decade 🥲, very sad. The Government should be responsible to pay him compensation for his lost life he spent in jail for the crime he did not commit!
@khanifa64532 жыл бұрын
Very sad story,Allah will continue to be with him Always
@jhecfoundationtanzania28912 жыл бұрын
Siyo Tanzania hiii
@romansixbert45292 жыл бұрын
He represents the many wrongly convicted. Something has to change!
@julianaboniphace73512 жыл бұрын
@@khanifa6453l
@lonelady33682 жыл бұрын
For sure wanafaa wamlipe .coz awakufanya ufatilizi mzuri wa haya mauaji
@brightlastborn44402 жыл бұрын
Dah pole sana bro, sema umezungumzia sim na ili jambo jana tu tulikuwa tunalijadili na washkaj zangu duh kumbe limekualibia maisha kiasi iko,pole sana
@thabealaizer33132 жыл бұрын
😭😭😭 anarudi Tena, Yesu anarudi Tena, utukufu haleluya tumbariki tumepona msifu Bwana anarudi Tena 🙏 Pole sana kaka
Pole sana Aliloliandika Mungu huwezi kuliepuka kila tukio mungu ana sababu yakepia hua ni mtihani kwako..Mungu kakuvua bado mzima na kijana ...Jitahidi kaza tu kweri yako Mungu kaificha.. pambana mungu atakufungulia
@sein.2082 жыл бұрын
Subhana Allah Mtihani kweli kweli 😭😭 pole sana kaka.. Allah akuhifadhi na akufanyie wepesi popote penye uzito🤲🏼
@saudahassan66672 жыл бұрын
Pole sana ndg yangu mungu kakusimamia umetoka na ridhiki mungu atakufungulia tuu inshaallah
@GfgGgh-v5z8 ай бұрын
Subhana Allah pole sana kakangu japo story ilishapita Allah akuzidishie subra huko ulipo
@GfgGgh-v5z8 ай бұрын
Alhamdulillah kumbe alipatikana
@malugukushaha67642 жыл бұрын
Dah! Pole sana bro, mwenyezi mungu ndiye ajuaye.
@allyhafidhi4826 Жыл бұрын
pole sana bro mungu ni mwema muda wote amekupa mtihani na amekulinda Allah akujaze kila lenye kheri
@victormessy71302 жыл бұрын
Pole Sana kaka @milard naomba kumuona huyu jamaa,naweza saidia chochote. Dah 9years inamtosha mtu kua Billionaire
@fatumaabdi42903 ай бұрын
Utakua umefanya laa maana Sana kumsaidia maana mungu amesema tuoneyane huruma na pia atatuonea huruma
@anathaliamwangamila32962 жыл бұрын
MUNGU akubariki sana utafanikiwa tu, kila jambo hutokea kwsbb. pole sana kijana mwenzangu
@athumanimtajih2 жыл бұрын
Funzo kwenu mnaoazimana ghetto kwa ajili ya kumpa support shetani
@amossmabangotz20322 жыл бұрын
Inategemea. Kaka sasa amekuja msela wako meshibana kinoma huwezi kumkazia mzee sema ndy hivyo kwenye maisha tusiwe wema sana
@mariamswedi11402 жыл бұрын
kabisaa mshahara wa dhambi
@esthersiresire2 жыл бұрын
Nina Imani wewe pia ushawai saidiwa ghetoo so usiongee vibaya mwambie mwenzako pole Kwa yaliyomkuta tuu
@athumanimtajih2 жыл бұрын
@@esthersiresire sijawahi hata hiyo tabia
@faithzamani19652 жыл бұрын
@@athumanimtajih acha uongo ulikuwa unipeleki kule kwa rafikiako juu kule
@aboumaburaramadhan41882 жыл бұрын
Pole sana bro hizi ndio story tunazo zitaka maana zinatufunza musilete story za ajabu
@idrisaallysalum94479 ай бұрын
Pole sana kijana, nakuombea mafanikio makubwa maishani mwako. Ila Muandishi "Hana uwezo wa kuuliza" hata hajamuuliza kama kijana ana ndugu au Wazazi na kwanini haendi angalau nyumbani kwao akapate baraka za wazee wake.
@edowardeddy5 ай бұрын
Ametupa fundisho sana sisi ambao tupo na Hawa wachumba zetu Alla amtie nguvu na amjaalie mafanikio mema inshaalla
@habibaraphael65832 жыл бұрын
Pole sana my brother
@beatrixmalakasuka12142 жыл бұрын
Pole sana kk Mungu akutie Nguvu
@mumuog78762 жыл бұрын
Dah mwanangu nimekukubali aise unajua kujielezea kiukweli Mungu akusaidie aise
@maryamm77652 жыл бұрын
Dah pole sana bro Mungu akufanyie wepes Inshaa Allah
@ayubumbembati86582 жыл бұрын
Kwenye Uhuru hapo umenigusa sana. Siku zote huwezi kujua thamani ya Uhuru kama hujawahi kuukosa. Uhuru tulionao una thamani saaaana!! Umepita kwny wakati mgumu sana lkn Mungu alijua unaweza na ndo sababu aliruhusu upite kwny huo wakati mgumu na akakuvusha salama. Usimwache Mungu wako siku zote za maisha yako. Pole sana bro, hii ndo dunia!
@Stellaetesha2 жыл бұрын
That can happen to anyone kwenye system ambazo uchunguzi wa ukweli haupewi kipao mbele. Tanzania justice system has to improve! Pole sana Tumaini.
@michaelbryson69162 жыл бұрын
Pole Sana na hongera kwa wapelelezi kwa kunusuru maisha yako kwasababu kazi waliyoifanya nikubwa
@janethkomba44852 жыл бұрын
Daaaa kunawatu wanapitia mhhhh😭😭😭😭😭pole sanaaa "Mungu Atakufanyia njia mpya
@evancechangae2 жыл бұрын
Very Sad 😢... MUNGU atakupa Mwanzo mpya 🙏. Na kwa kuwa umeweka namba hapo, tutakujali kwa chochote.
@Warner1922 жыл бұрын
Pole sana bro I streamed some tears , ila wabongo tujitahidi kufarijiana kwenye matatizo dizaini hii
@annamuro59372 жыл бұрын
Mungu si Asthumani.... Mungu anaishi, ni kuwa na subira tuh na kumtegemea Mungu... Kama ameweza kutoka jela basi na maisha yatamnyookea Kwa uwezo was bawna Alie juu mbinguni, Mungu akufungulie milango ya baraka kaka angu
@rahimmarions57122 жыл бұрын
Daaah pole sana mwamba.. naamini bado ujachelewa, pambana muda bado unao.. maisha yetu hatujui mbele tunakutana na kipi.. hili ni funzo kubwa sana....alaf namba imefungiwa kupokea simu hii.. Sina uwezo wa aina ile Ila naamin mwamba ni mpambanaji tunaweza fanya Jambo..
ila wanaume wana hii tabia ya kuazimana vyumba sababu ya wanawake, wanasahau hatari kama hizi hata waskie vitu kama hivi wanasahau mapema sana
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Sasa tunafanyeje ndo kusaidiana uko likikukuta unajumuika nalo tu we ukumbuki ata wewe nilikupeleka kwa msela wangu ushasahau hilo uoni kama tulisaidiwa tukamaliza kiu zetu tulizokua nazo
@khadijakinyala94072 жыл бұрын
Pole kaka ,wenye mageto mjifunze hili na maisha ya sasa visasi ni vingi mnoo
@zainabukivale95712 жыл бұрын
Pole kaka njoo ukae kwangu Mimi naish mwezi ya kimala
@zainabukivale95712 жыл бұрын
Mbezi
@sabinajoseph67332 жыл бұрын
Poleee sanaaa.... Urafk wa hivi nimbaya sanaaa poleee utapata na Mungu Baba atkusaidia
@Jenib_2 жыл бұрын
yaani Tanzaniani nchi yangu ila kuna watu evil sana dah pole sana Kaka .. contact zake laad Millard tunapataje? Mimi Kuna siku kidogo nichomwe kisu chooni yaani sitaki hata kukumbuka.
@andrewcharleskillaga68052 жыл бұрын
Tumaini Mabula-:Pole sana kijana.. Imani yako itakusaidia..
@zayumar29552 жыл бұрын
Daaa maisha haya😭😢😢 pole saña ndugu yàngu Mwenye enz Mungu atakusaidia ktk maisha yako
@omosh20232 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa yaliyokukuta
@andreakulwa16292 жыл бұрын
Pole sana kaka kwa matatizo yaliyokupata
@salim02tv242 жыл бұрын
29 :09 MACHO ni zaidi ya camera ukiona ugomvii usisogeee yanarecord 💯
@dorislinus82962 жыл бұрын
Pole Sana kakaangu mungu hajawahi mwacha aliye wake
@LimulimuHustle2 жыл бұрын
Mungu atakusaidia kaka
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Daa, nimejifunza mengi. Kumbe ndiyo maana wanasemaga upelelezi unaendelea. Wee, sitosogelea penye matukio ya mauwaji ng' o. Pole Sana mdogo wangu . Apumzike salama Binti wa watu.
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Mmh mimi ctoacha kushuudia nataka hiyo cctv ya macho na mimi ininase tu napenda kushuhudia matukio mimi
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
@@ricksonlyimo2662 🤣🤣🤣 utakipata, unachokitafuta. Mi hata 😔
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
@@shakilamasoud2983 kwakwer acha tu nikipate sipendi kusimuliwa mimi napenda kushuhudia live
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
@@ricksonlyimo2662 🤣🤣🤣🤣
@leaherasto9292 жыл бұрын
Mungu atakulipia kaka umepitia magumu Sana pole Sana kaka Mungu akakupe haja yamoyo wako kupitia jaribu ilo
@abdallahmzee4335 Жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu haya kweli ni mafunzo kweli ya maisha
@pendocharles22762 жыл бұрын
Pole, sana tunaomba namba tumsaidie kijana
@ashirafuabdallamhed-ez1hj3 ай бұрын
Pole, Sana brooo !!
@clementiddi57082 жыл бұрын
Ila legal system ya Tz hovyo sana. Pole sana na Mungu akupe rehema zake.
@Stavanger-cr3ee2 жыл бұрын
Clement, Legal system iko sahihi ila WASIMAMIZI wa mfumo huo ndio Changamoto
@Stavanger-cr3ee2 жыл бұрын
Clement, Legal system iko sahihi ila WASIMAMIZI wa mfumo huo ndio Changamoto
@aminakawawa58002 жыл бұрын
Pole mdogo wangu imeniuma sana 😭😭😭🤲
@Rafkazu2 жыл бұрын
Naomba namba yake nitamsaidia kwa malipo ya nyumba miezi mitatu
@vailethysanga49692 жыл бұрын
Mimi nikushukulu TU kwakusema utamsaidia miez mitat mungu akubariki sn
@iamjanemapozi20792 жыл бұрын
Angalia video vizurii kaiandika mbn
@bibambalamula14532 жыл бұрын
Barikiwa sana
@hono12322 жыл бұрын
Safi sana bro msaidie
@rachelngimbuji10 ай бұрын
Hivi hamnaga utaratibu wa kulipwa fidia kutokana na kukutwa hana hatia!, Pole sana broo
@denisiampangile6308 Жыл бұрын
😢😢😢 polee kaka
@JuliethNtabindi9 ай бұрын
Ukisikia time will tell ndo hii.. mungu yupo ❤
@ianchristopher19502 жыл бұрын
safi sana, kumbe bongo kuna fingerprint and Dna detection
@julianaboniphace73512 жыл бұрын
O Morning
@elishaelishaedward9454 Жыл бұрын
Imeisikitisha sana haya maisha haya Pole sana kaka ni sehemu ya kujifunza pia mwenyezi mungu Akupe uvumilivu na afya njema bado utatimiza ndoto zako tu.
@zakiamseka96982 жыл бұрын
Mungu ni mwema mbaya wako alipatikana nawe uko huru ,Mungu atakupa mahitaji yako na amani tele.Watz tupambane tumpe support
@estonhaule92535 ай бұрын
Anyway hii inaeza mkuta MTU yeyote na wakati usiotarajia. Kikubwa ni kupunguza Imani kwa watu. Naomba mwisho mwema
@jameskagulu42282 жыл бұрын
Da! Mungu amsaidie sana
@gradnessshitindi36942 жыл бұрын
Duuuh harafu n bonge la HB😘
@thenewking_tv2 жыл бұрын
Pole sana ndugu ni mapito tu hayo, bado ni kijana na una nguvu anza upya maisha mungu atakujaalia utakaa sawa
@abdulnaseermrisho43422 жыл бұрын
Duuuuuh,eheee Mungu akufanyie wepesi ndugu yetu 🙏
@salim02tv242 жыл бұрын
24:03 wanawakeee wanafelishaa Sanna 😭😭
@mussahancy65912 жыл бұрын
Daaah,pole sana mwamba,
@aminamollel57252 жыл бұрын
Ni mara ya tatu Leo naangalia na kusikiliza hii na sijawahi comment, sababu hata sijui nacomment nini? Wacha nijitahidi tu😭😭😭😭 nimejifunza kuwafukuza vijana wote wanaolala kwenye ghetto la watoto wangu
@mariamsaidi16812 жыл бұрын
Dah aise imeniuma sana amepitia mtihani kwa ajili ya wema dah pole sana kaka Mungu atakupa nguvu inshallah 🙏 umetufunza kitu kikubwa katika maisha ila pia mngetutajia namba zake za simu ili mtu kama utakuwa na chochote tuweze kumchangia angepata ata chumba na mtaji ili aanze kujipanga
@janethkomba44852 жыл бұрын
kabisaaa
@bintiAbdalla2 жыл бұрын
Duuuh pole sana kijana,yote ni maisha anza upya madhali we ni mzima mikono uko nayo pambana tu kaka
@abdulkarimngitao86102 жыл бұрын
Pole sana ndugu hujafa hujaumbika zte ni changamoto za kimaisha tu mungu atakupigania
@nayrasayd3442 жыл бұрын
Pole sana kaka allah ni mwema kila siku tumejifunza kitu
@auntdorah91412 жыл бұрын
Kwa maelezo haya , mpelelezi wa hii kesi, hakumuelewa hata kidogo? Tunajua kesi ya mauaji hutumia muda mrefu lkn.....na mashahidi mbona kama walikua wapo? Miaka .. 9 .!!. Hilo jaribu ni gumu lkn naamini Mungu atakusaidia kijana..wema umekuponzaaa😭
@1stladyafrica4022 жыл бұрын
Asingeweza kutoka mpaka huyo muuaji kupatikana kwani mauaji yalitokea nyumbani kwake.
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
Hii story ya broo imenikumbusha wimbo wa ferooz wema wangu umenipoza
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
@@1stladyafrica402 kwaiyo asingepatikana angekaa ata miaka 50 na zaidi kuna mda serikali itizame upande wa pili kisaikolojia tu mtu kashaeleza kila kitu pale nikufanya upelelez wao wa kina kisha kumpa ata dhamana ya kuwa nje akishilikiana na mahakama na jeshi la polisi maana yeye asingeweza kukimbia wakat jambo akulifanya yeye kwaiyo angewapa ushilikiano polisi na mahakama vzur sasa mtu akuhusika miaka 9 je tufanye alieusika sasa asingepatikana au angelikuwa nae alishafariki je jamaa angeukumiwa au ndo ile kesi ingegeuzwa kuwa ameuwa bila kukusudia wakat sio yeye kuna jambo kama vile alijakaa sawa hapo kisheria japo cjui sana mambo ya sheria ila hilo litizamwe kwa jicho la nne
@dijasaid29942 жыл бұрын
@@1stladyafrica402 yaani damu ya Binaadam kuitoa roho haiendi bure.... na HAKI ya mtu asie na hatia ipo japo inachelewaga... pole kwake maskini ALLAH amfanyie wepesi
@venancegaspatv196110 ай бұрын
shida ilikuwa pale kwenye DNA baada ya yeye kumshika bega na pia kururhusu getto kutumika inachukua muda kuonesha no connection
@husnamkulila7552 жыл бұрын
Polee saana kaka
@mwanatz59802 жыл бұрын
Dah! pole sana
@sarahzuberi99832 жыл бұрын
Tunaomba nambaaa hii story inanikumbusha mbali sana .... Mpangaji wetu alijiuwa ndani alimuweka mama angu kwenye wakati mgumu sanaaa siwezi sahau jamani pole Kaka angu
@kenansyprian69542 жыл бұрын
Angalia kwenye dakika ya 34 hiv zipo hapo namba zake
@neemamwita97332 жыл бұрын
Dada yangu huyu kaka ni muongo mimi namjua anamke wake alimtesa sana mke wake eti amekaa mahabusu miaka 9 wakati mtoto wake na mkewe ana miaka 2 sasa nimuog🤣🤣🤣leo nimecheka sana
@neemamwita97332 жыл бұрын
Asiwadangany mvuta begin huyu🤣🤣🤣🤣
@ricksonlyimo26622 жыл бұрын
@@neemamwita9733 kimeumana 😄 🤣 😂 😆 😄
@Preciousamaya2 жыл бұрын
@neema mwita acha kutafuta sifa za kujifanya unamjua mtu mtu Muongo anajulikana
@salumleja78002 жыл бұрын
pole kaka maixha yanachanga moto uxijali muombe2 mungu utaludi kama zaman na maixha yako ila uxiludie tn ata ndugu xio lafki
@MKAGYASANGIMuta21 күн бұрын
Pole san kijana Mungu atasimama na ww
@lucyabsalum67612 жыл бұрын
Daa inasikitisha sana pole Kaka!
@suzanamwangingo29952 жыл бұрын
Pole sana kakaangu sio kila wanaoingia jela wanahatia