“NILIKUA JAMBAZI, NILIVISHWA TAIRI NICHOMWE MOTO, NIKAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA”- MCHUNGAJI ASIMULIA

  Рет қаралды 147,859

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 303
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
​SUBSCRIBE NOW UWE WA KWANZA KUONA:👉🏾 bit.ly/3MraYdQ
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 6 ай бұрын
Asante mrembo Kipindi kizuri sana
@ntangiregemfuruki5478
@ntangiregemfuruki5478 6 ай бұрын
Kaka deo ple.mungu mtumikie upo kwa ajili yake.usije ukaleta ubbaifu kwa muumba.pls una sisimuwa
@PrayerAnthem
@PrayerAnthem 2 жыл бұрын
HUYU NI MCHUNGAJ WANGU AISEE PASTOR DEO MASSAWE HUKU MBEZI (TEGETA A, GOBA) gonga like Kwa mchungaj
@awalimunishi
@awalimunishi 2 жыл бұрын
Massaweeeeee basi
@passportchannel7389
@passportchannel7389 7 ай бұрын
Nafahamu ni urafiki yangu sana nilikuwa nae Gereza la ukonga kama itawezekana Nije kuabudu kwenu naomba nifahamu Jina la kanisa na lipo wapi.Asante
@saida4258
@saida4258 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu Mimi ni raiya wa oman nimekifatilixiya kipindi chako hard tork nigiba raisi mama suluh Hassan awape msamaha wafungwa wengine watakuwa wameisha tubu na wamemrudiya mungu magereza siyo mahala pakuwomba hata kama ni aduwi yako usimuwombe mtu au kufunga huko na special majela ya huko tanzaniya nnavyo ya sikiya
@Ashura-je7gj
@Ashura-je7gj 6 ай бұрын
Asalm alykum
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Dada yetu kwa kazi njema unayofanya. Nampongeza na Ndugu yetu Deogratius kwa fungu jema alilochagua kuokoka na kumtumikia Mungu. Kumtumikia Mungu kuna faida. Tutafurahi sana kama utatuletea wengine wenye mikasa tofauti na ambao walimwona Mungu wakiwa Gerezani au hata uraiani.
@betricejelela9072
@betricejelela9072 2 жыл бұрын
Hongera sana kaka Deo kwa kumpokea Yesu barikiwa sana
@aloycekimario7884
@aloycekimario7884 2 жыл бұрын
,aqq Zs sz
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 2 жыл бұрын
Itoshe tu kusema Utukufu wote apewe Bwana Yesu.
@clydeblaise
@clydeblaise 2 жыл бұрын
Hongera sana Lilian kwa kutuletea kaka Deo, hongera kwake pia kwa kutoka gerezani na ametoa ushuhuda mzuri sana juu ya jinsi gani Mungu ametenda maishani mwake. Hakika nimejifunsa mengi.
@mariakilasile8792
@mariakilasile8792 2 жыл бұрын
Nimekuona my brother endelea kuipeperusha hii bendera ya Yesu. Nimefurahi kukuona ukisonga mbele.
@efraimrichard6440
@efraimrichard6440 2 жыл бұрын
Amen umenipa nguvu Sana huu ushuhuda kwa nnayopitia ..
@lucykebacho3446
@lucykebacho3446 2 жыл бұрын
Nimejifunza mengi kwa kupitia shuhuda ya Mr Deogratus. Ubarikiwe sana na tena Sana deo
@safina5013
@safina5013 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Lilian pia ubarikiwe Mchungaji kwa ushuhuda wako kweli hakuna gumu kwa Bwana Yesu.
@Kidotii
@Kidotii 2 жыл бұрын
Naliaa Mungu anaweza kufanya mambo katika njia ya Ajabu😭
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 2 жыл бұрын
Asante sana Dada yetu LILIAN MWASHA MTANDAO WA HARD TALK. UMEJIKITA KUINJILISHA IPASAVYO. MUNGU AKUBARIKI MNOMNO..
@vailethkinabo7961
@vailethkinabo7961 2 жыл бұрын
Haleluyaaa Mungu wetu ni mwaminifu sana hawaachi amuombae ndugu zangu maombi yananguvu
@nyakaimafwele3812
@nyakaimafwele3812 2 жыл бұрын
lilian toka nimezaliwa nafikiri sijawahi kuguswa kwa namna ya interview hii....moyo wangu una mengi sana kusema na Mungu juu yako ila kwamachache nitasema kwamba Namuomba ssna Mungu baba kupitia mwanae YESU CRISTO akubariki kwa kila kitu na akugunze kama mboni ya macho daima na kukujibu kila ombi na haja njema ya moyo wako .hakika kipindi hiki cha hard tolk mikono ya YESU inakuongoza kuendesha kipindi hiki....
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema....jmn kuna umuhimu wa kwenda kuwatembelea ndugu zetu gerezani....its real hard talk.
@emanuelyrichard2181
@emanuelyrichard2181 2 жыл бұрын
Kwakweli nimebarikiwa Sana inshaaaalah mwenyez mungu atutangulie maisha yetu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Ameen Yarabb, naamini hata haya ninayopitia Allah atanipitisha sehemu sahihi 🙏
@shuwanaliloka3816
@shuwanaliloka3816 2 жыл бұрын
INSHA ALLAH. Amin.
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Kwakweli mrudishe strory nzuri na inafundisha aje atupe pia aidia ya biashara iliyomfanya kwa kipindi kifupi kupata nyumba na gari na kuwa na maisha mazuri tafadhali 😉❤
@japhetnnko7398
@japhetnnko7398 2 жыл бұрын
Kutoka kwake gerzan Mungu alishamwamdalia mtu watu wa kumtoa at bila y biashara angetoka kimaisha Kamaukikutan na watu sahih Hy ankubia nakupa gar nimependa ushuhuda wako wengne at myumba wanakuchangia unashangaa antushinda at baadh y sis tuliokuw huru mtaan.
@mwanaindimkwizu7238
@mwanaindimkwizu7238 2 жыл бұрын
Tafadhali mrudishe Deo,mtu wa Mungu
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 2 жыл бұрын
Mungu wetu ana Njia nyingi za kukufikisha kwenye baraka!
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Kwenye hii Dunia tusikate Tamaa mungu yumwema
@ramadhanirashidkigoto8445
@ramadhanirashidkigoto8445 2 жыл бұрын
Maombi hayaozi,Mungu muweza ndie kila kitu katika maisha ya mwanadamu,hongera kaka Deo na mwendesha kipindi
@pilimasala4492
@pilimasala4492 2 жыл бұрын
Mungu akubariki dada lilian,hii interview nilikikua naisubiri,cjui kwann huwa nasukumwa kutembelea wafungwa na cjawah,I need to do this
@navokisembo
@navokisembo 2 жыл бұрын
Mungu anatisha Bwana Yesu asifiwe saana
@ElphaceRwezaula
@ElphaceRwezaula 11 ай бұрын
Hongera sana.Nimefurahi kusikia umepita kwenye tanuri la moto ili uje kuokoa wengi kupitia neno la Mungu na shuhuda zako za kusisimua. Ubarikiwe sana
@bediabahati7700
@bediabahati7700 2 жыл бұрын
Kwakweli .Mungu ni jibu kwa kila jambo asante kwa kazi nzuri .Dada Liliane Mwasha I love ❤️ you so much👏🏽na Kaka hapo ame tu jenga sana kwa story yake ambayo ame pitiya kwenye jail mubarikiwe sana .God be the Glory 🙏🏽🙏🏽
@treasurerussel3422
@treasurerussel3422 Жыл бұрын
Mungu amekupaaaaa sauti Mungu aibarikiiiisautiii yako mpendwa wa Mungu
@janethpaul1553
@janethpaul1553 2 жыл бұрын
DEO amenibariki sana🙏 mrudishe tena naamini Kuna mengi zaidi ya kutufunza
@oldavidasemu2420
@oldavidasemu2420 2 жыл бұрын
Ameeeen ahsante nimejifunza👏👏
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Kaka Deo kwa kumpokea Yesu Kristo nakumtumikia Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo kuwa Mchungaji kutii sauti yake
@elinazakalia7253
@elinazakalia7253 2 жыл бұрын
mungu akubariki dada nimejifunza mengi sana kupitia huyo baba mungu awatowe na wengine amina barikiwa dada lilian
@stellaoguma9018
@stellaoguma9018 2 жыл бұрын
Mungu afananishwi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@redmioman4371
@redmioman4371 2 жыл бұрын
Ameen naamin ninayopitia ktk maisha Yang yatapita🙏🙏amenities moyo dada Lilian God bless you ❤️
@hildadaniel4786
@hildadaniel4786 2 жыл бұрын
Ameen and Ameen 🙏🙏🙏
@teddylameck3355
@teddylameck3355 2 жыл бұрын
Ameen
@jannethjohn5879
@jannethjohn5879 2 жыл бұрын
Ameeen maombi sio takataka ubarikiwe sana.
@salmaomar8612
@salmaomar8612 2 жыл бұрын
Ahsante sana Dada Lilian Mwasha. Kupitia Wewe nimeipata fursa ya kumjua Bw. Deograsia na hadithi ya maisha yake. Hongera kwa kazi yako nzuri. Mwenyezi Mungu akubariki. Bw. Deo pole na Hongera sana. Mwenyezi Mungu ni mwema. Ningependa nipate mawasiliano na Wewe.
@agnesndemanyisho5291
@agnesndemanyisho5291 2 жыл бұрын
Lilian nimelia kwa kweli. Mwache Mungu aitwe Mungu
@feisalissa3009
@feisalissa3009 2 жыл бұрын
Nimependa hiki kipindi hongera niko Mozambique 🇲🇿🇲🇿👍💯
@stevenmjuni7231
@stevenmjuni7231 2 жыл бұрын
Oooh karibu tz
@catherinehanje1628
@catherinehanje1628 2 жыл бұрын
Arudi Tena na mke waje tuwaone Asante Sana kwa ushuhuda huu
@janenyangu6356
@janenyangu6356 2 жыл бұрын
Mungu azidi kumbariki naomba arudi afanye tena mahojiano
@PABLOESCOBAR-b2p
@PABLOESCOBAR-b2p Жыл бұрын
Bro deo pole sana ,,.mpaka sasa utatambuwa ndugu mwema ni yupi kwako ,,
@janeawino7798
@janeawino7798 2 жыл бұрын
Jamani nimebarikiwa sana na story ya Deogracious very inspiring Asante Mungu nami na amini atanibadilishia maisha yangu🙏🏿
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 2 жыл бұрын
Nawe umekua mwizi...
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana my Lilian nakupenda mnoo
@Kidotii
@Kidotii 2 жыл бұрын
Nakupenda Lilian Mwasha , you're an inspiration to many!
@priscamagambo5320
@priscamagambo5320 2 жыл бұрын
Hakika Mungu wetu ni mwema sana,
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema pole sana kaka
@stevenrutamu2263
@stevenrutamu2263 2 жыл бұрын
Nimefulahia kipindi hiki (hard talk) na nafuatilia nikiwa Rwanda. Big up sister
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
Mungu hupatikana kwa njia nyingi sana
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwayote big up Lilian❤👌👌👌
@sunset8001
@sunset8001 2 жыл бұрын
Lilian please guide this guy to write a book in Swahili to be translated into English French and Spanish it will be a true masterpiece best seller. Hollywood will do a movie from that book. Watching from Kenya with 💗❤️💖🌹
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Tunajifunza kutokana namakosa thanks Lilian
@FridaChami-yi6cv
@FridaChami-yi6cv Жыл бұрын
Njia za Mungu hazichunguziki...Glory to God
@treasurerussel3422
@treasurerussel3422 Жыл бұрын
Haleluyaaaaa Mungu yupo na anaishiii
@williamkiravu1048
@williamkiravu1048 2 жыл бұрын
Mungu anawajua walio wake....
@maryschroeder521
@maryschroeder521 2 жыл бұрын
Good lesson please bring him back🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@robertkwene1716
@robertkwene1716 2 жыл бұрын
Hii ni shule kabisa mliotupa leo..Mungu awabariki sana
@noelwandera8617
@noelwandera8617 2 жыл бұрын
Hakika nimeoendezwa
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Mungu asifiwe sanaaaa
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 2 жыл бұрын
Huyu Kaka anasir nzito kwenye maisha yake nahis hata kuua aliua sema ndo kaamua kuokoka 😭🙏
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
na alivo na sura ngumu 😪😪
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 2 жыл бұрын
Hamna!!!!
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 2 жыл бұрын
Wewe hujawahi kutoa mimba? Au unafikiri kutoa mimba ni kuzaa
@SinnersavedbyGracewithoutdebt
@SinnersavedbyGracewithoutdebt 2 жыл бұрын
Mungu anatumia watu wenye udhaifu.Haijalishi umetenda nini.
@blueeyes5952
@blueeyes5952 2 жыл бұрын
@@shamimushittindi1418 🤣🤣🤣😍 mbavu zangu
@expert5898
@expert5898 2 жыл бұрын
Dada anajua kuhoji!!! Hongera sana dada
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 2 жыл бұрын
Mungu Mkali
@adelinatate9704
@adelinatate9704 2 жыл бұрын
Hard Talk indeed! Lilian 👏
@bahatinakey3392
@bahatinakey3392 2 жыл бұрын
Ukiwa na imani ni kweli mungu yuko kubwa ni kumrudia yeye mungu wetu,kwani hakuna mungu aliyeshindwa yuko mungu aliyetushindia.
@mashakamagembe1188
@mashakamagembe1188 2 жыл бұрын
Mungu ni mshindi Mungu mwema popote Mungu yupo
@berthamwakalebela7604
@berthamwakalebela7604 2 жыл бұрын
Amina sana, nimebarikiwa
@nadiakabamba7373
@nadiakabamba7373 2 жыл бұрын
Asante dada Lili uyu baba arudi kweli
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 жыл бұрын
Amen pole sana kaka
@stanlaurent5121
@stanlaurent5121 2 ай бұрын
Aisee, hizi ndo stori za kusikiliza sasa, nimejifunza kitu sana hapa.
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Umenitia moyo sana kumbe namm nitafikia ndoto zangu,namaisha yachangamoto yataisha kwangu nitamuona Mungu
@farajazambiawakazambiawaka4894
@farajazambiawakazambiawaka4894 2 жыл бұрын
Mwandishi mwache atililike paspo kumkatisha Kwa maswal pia acha kushituka shitka
@leaherasto929
@leaherasto929 2 жыл бұрын
Apo kwenye chakula saa nane mchana mpaka kesho Tena duh! Mungu tunusuru namabalaa sisi navizazi vyetu
@avitusmichael5
@avitusmichael5 2 жыл бұрын
Ubarikiwe dada
@annagipson6528
@annagipson6528 2 жыл бұрын
amen Mungu nimwema siku zote
@zuhuramustafa3204
@zuhuramustafa3204 2 жыл бұрын
Naomba arudi tena kwa kweli kumtegemea MUNGU kuna faida kubwa barikiwa kaka
@mahmoudmussa8
@mahmoudmussa8 2 жыл бұрын
Sister Nimesubirii Sanaa Umuulizee Swali la Rafiki Yake Waliefungwanae Alitoka Jela na Yeyee au Alibaki Jela na Kama Alitoka Walitokaa Muda Tofauti au Nani Alianza Kutokaaaa Plz Naomba umuulize na uje kutupa jibu hata wewee🙏
@saidnoumani7244
@saidnoumani7244 2 жыл бұрын
Dada msifu aliyemuumba Yesu
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 2 жыл бұрын
Tafadhari mrudishe tena 🙏🏽
@nasmamsomari5613
@nasmamsomari5613 2 жыл бұрын
Jamanii arudii tenaa ... Hukumuuliza kuhusuu nyumba na garii anazomilikii alizipata pata vipii ndanii ya kipindii hichii kifupii ama alikuwaa na nyumba before kuwa gerezaniiii
@maryschroeder521
@maryschroeder521 2 жыл бұрын
Please bring him back 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@suzanakesmil
@suzanakesmil 2 жыл бұрын
Dada Lilian nakukubali sana mungu ukubariki
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Jamani Masawe mwezangu mungu yumwemaaaaa
@SaidiTwaha-r4z
@SaidiTwaha-r4z Жыл бұрын
Ni kweli nilimkuta tanga muweza mzee nguza mungu akubriki
@cristinasofla5090
@cristinasofla5090 2 жыл бұрын
Kweli akuna kukata tamaa kwenye hii dunia
@makaatalia121
@makaatalia121 2 жыл бұрын
Hii had top ingekuwa kwa kiswahili ingependeza sana.
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 7 ай бұрын
Quite mazungumzo magumu. Eti?
@TheSalma1999
@TheSalma1999 2 жыл бұрын
Hamna linaloshindikana kwa Mungu Yani mpaka mwili unanisisimka hii stori
@dikodikson559
@dikodikson559 2 жыл бұрын
Lilian hilo seals la kurudi siyo la kuuliza ni la lazima, aje atuambie hiyo nyumba biashara na gari amevimirikije tangu mwaka 2019 Hadi 2022!
@joycefelix9047
@joycefelix9047 2 жыл бұрын
Dada Lilian. Naomba arudi. Swali la Rafiki ake aliishia wapi, amtembelee na kumshauri amrudie Mungu
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Walikuwa wanaiba bila kuua kweelii????Mungu amekubadilisha sanaaa hoongeraa na usiwevuguvugu tenaa.Mtumikie Mungu vyema asikupungukie hata tone.Mungu akubariki sana.
@mkangyailutashaggy7207
@mkangyailutashaggy7207 2 жыл бұрын
Amen Mungu wetu siku zote sio mwanadamu sema sisi wanadamu ndo tunahishi kwakujisau, nakupenda san Mungu wetu najua ipo siku yangu na mm nina imani na wew japo shida na ubinadamu sijakamilika nisameh kwa yale makosa yangu
@khamisshee5131
@khamisshee5131 2 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR MUNGU MKUBWA Kuhusu yule rafiki yake pia alitoka nae ama ? 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 aka bachuchu mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Chapesamedia
@Chapesamedia 2 жыл бұрын
Mkasa umepitia ila sasa hapo kwaiyo sauti baba pole baki napo sema allhamdulillah upo hai
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 2 жыл бұрын
In God we trust😘
@benjaminmwombeki492
@benjaminmwombeki492 3 ай бұрын
Pole
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Muhimu sana kuchagua rafiki
@nickjuma3937
@nickjuma3937 2 жыл бұрын
Mwandishi usioneshe kushangaa sana siyo weredi!!
@benmbughi4955
@benmbughi4955 2 жыл бұрын
Una YAKO tu
@stephen3614
@stephen3614 2 жыл бұрын
Mwandishi ni mwanadamu,kuna wakati ubinadamu(i.e hisia na mapokeo mengine) vinashinda taaluma..
@mwanajuma4743
@mwanajuma4743 2 жыл бұрын
Anashangaa sana na yeye hadi anaboa
@Future-ul4vi
@Future-ul4vi 2 жыл бұрын
Nyie ambao mnaona hayashangazi mtakuwa mna roho ngumu sana
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 2 жыл бұрын
@@Future-ul4vi kwakweli stori kama hii ukashindwa kushangaa mmmh
@kederickpeter9895
@kederickpeter9895 2 жыл бұрын
God is good all time
@gatie_lightness02
@gatie_lightness02 2 жыл бұрын
God exist in difficult situations
@jamil1547
@jamil1547 2 жыл бұрын
Lilian naomba uniombee na mie nakupenda sana
@maryschroeder521
@maryschroeder521 2 жыл бұрын
I have watched this more than 10 times
@samwelhhaway1145
@samwelhhaway1145 2 жыл бұрын
Fanyeni iwe kila wiki, kipindi hiki kina mambo mazuri sana
@SophiaAlly-yh5ks
@SophiaAlly-yh5ks 6 ай бұрын
Rafik yake alitoka au imekuaje,history ya kaka imenitoa machoz lakin yote tuseme mungu ni mwema 🙏
@kinaratamasha5498
@kinaratamasha5498 2 жыл бұрын
Muendelezo alipataje mke,alipataje nyumba au gari na etc....
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 2 жыл бұрын
Hope Deogratias anatembelea mageleza pia!
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 2 жыл бұрын
Dah hawa wameua ndugu zetu sana, sema ana ficha ataumiza watu
@chihungotisho1642
@chihungotisho1642 2 жыл бұрын
Mungu kweli yupo,naamin utasimama na mm pia lookism
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
KANUNI ZA MUNGU NI JUU YA JINA LA MUNGU
30:10
Word Eternal Ministries
Рет қаралды 43
ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..!
24:37
Global TV Online
Рет қаралды 547 М.