KHADIJA YUSUF|ALIEMPENDA KAKA NI WIFI YANGU|NILIANZA KUIMBA KABLA YA MZEE YUSUF|SIHITAJI NDOA

  Рет қаралды 17,762

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 28
@aminajuma7158
@aminajuma7158 2 жыл бұрын
MashaAllah sauti ya kumtowa 🐍 pangoni napenda San nyimbo zako Hauna wimbo mbaya zote pambe👌
@ashamwanyota2289
@ashamwanyota2289 2 жыл бұрын
Penda sana nyimbo zako dadaangu mungu akuzidishie kheri tuzidi kupata burudan murua aki
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Nakupenda sana somo yangu nakuwatch nikiwa Saudiarabia from (Kenya)
@abdulazeezuae4881
@abdulazeezuae4881 2 жыл бұрын
Asalam Aleykum khadija Ali naomba namba yako
@mmn7480
@mmn7480 2 жыл бұрын
Napenda unavo ongea saivi ngariba💞
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 2 жыл бұрын
Tuleteeni mwanahawa chipolo polo❤❤❤❤❤
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 2 жыл бұрын
Mtangazaji please tuletee jikelachui khanifa maulid aloimba ishupaambe
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mashaalah sauti unayo wajina
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Mashaallah 🤗♥️
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 жыл бұрын
Anaongea vizur saiv side boy ❤
@aishashaibu4772
@aishashaibu4772 2 жыл бұрын
Tuletee na joha kasimu jmn
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 2 жыл бұрын
Mbona me cmjui mama ake khadija aliimba njimbo gan nimsach jmn
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Mmh hadija kumbe anamtoto?
@nadrajuma6958
@nadrajuma6958 2 жыл бұрын
Astaghafiru allah Allah awaongoze inn Sha Allah ety kwenye dini hkuna pesa
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
mtihani mkubwa . Ndio tukaambiwa pesa mtihani.
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 жыл бұрын
Mungu atuogoze inshallah
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@mapishiyetumazuri2312 Allahumma Amin .
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 11 ай бұрын
Wingi wa bendi ndio chanzo cha kupunguza radha ya mziki
@nyotaasende9225
@nyotaasende9225 2 жыл бұрын
Dada huyo
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 11 ай бұрын
Tunamtaka na jokha kasimu wa alieimba unavyo jidhani haufanani bibi doticom
@husnahabibu9410
@husnahabibu9410 2 жыл бұрын
chiriku Wang mie
@seanmurray6516
@seanmurray6516 2 жыл бұрын
Huyu muulizaji masuali mbona Ana sauti yake mboga nini
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
6 kwa 6 . una miaka 27 kwa kumbu kumbu zangu .
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
😄😄😄 kaaaah we kiboko
@khadijamohammed2855
@khadijamohammed2855 2 жыл бұрын
penda sana dada
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 2 жыл бұрын
Kwani mama yake Bi Khadija ni nani jamani?
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 жыл бұрын
Mama ake khadija ni marehemu kwa sasa alikuwa muimbaji wa taarab enzi za zamani waanzilishi wa culture musical club
@mwanahawamohammed8540
@mwanahawamohammed8540 2 жыл бұрын
@@sadakhamis1261 najaribu kufikiria itakuwa namjuwa lakini sijui ni yupi
FULL INTERVIEW MKE WA MZEE YUSUPH,KIFO CHA MKE MDOGO,KUACHA MZIKI
47:22
ReyTox Pro Network
Рет қаралды 47 М.
KHADIJA YUSUFU  AFUNGUKA UKWELI WA YEYE KILICHOMUONDOA JAHAZI...
3:09
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 26 МЛН
What type of pedestrian are you?😄 #tiktok #elsarca
00:28
Elsa Arca
Рет қаралды 42 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 138 МЛН
Turn Off the Vacum And Sit Back and Laugh 🤣
00:34
SKITSFUL
Рет қаралды 10 МЛН
NAVUTA DAWA ZA KULEVYA NA BABA YANGU MZAZI TUOKOENI NA MATESO HAYA
25:23
JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIGAMBONI 0762505211
4:49
DALALI WA TAIFA KIGAMBONI
Рет қаралды 9 М.
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 26 МЛН