Acha uongo, Wewe umemjuaje kama huyo mama ni mtu mzima na ni mnene? Body language yako inaonyesha kuwa ni kweli umeazima.
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Huyo mamaa nimemuona muongo tena sanaa labda katumwa ni muongo hata kusema hajui aseme vipi
@WilsonKitalla8 ай бұрын
Ila aibu mwanamke mzur anakuwa mwiz😂😂😂
@fauzenkassim84242 жыл бұрын
Mdogo wangu fatma ushakuwa haya mambo yamepitwa na wakati sio vizuri mm nakujua na Allah akusaidie badilika midomo ya watu sio mizuri Mungu anakuona
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Kumbe ndio tabia zake wala hapendezwi
@fauzenkassim84242 жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا kuna vitu vishapitwa na wakati voo
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
@@fauzenkassim8424 wa zanzibar wanapenda sana hiyo tabia ya kuanzimana nguo
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
@@fauzenkassim8424 kumbe ndio tabia yake wala hapendezwi
@asmarajabu57862 жыл бұрын
wasanii noma
@azizamuharam39412 жыл бұрын
Wanarudi mjini kwa kila dizaini yaani imepangwa boss katia mimba yy kaazima nguo mh tonge ina kazi
@naimasuleiman64892 жыл бұрын
Hamjui ikish anasem ajitizame vizr jmnii 🤣🤣🤣🤣
@farahanafarer75882 жыл бұрын
Angalia body language ya Fatma anavojitingisha mwili hayuko stable. 😂
@FatmaMwinyi-jt2rr10 ай бұрын
Wengine wavivu
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Loh astaghafiru jamani mbona ivi vitu vimepitwa na wakati kuazimana nguo .Sasa ivi vitambaa mpk 1500jamani ila ukiangalia na kusikia na kumuona muhusika utapata jibu
@JudyJohns-t2k Жыл бұрын
Impossible. Fatuma nyoro (Mcharuko) anajiweza kwa Mali na mwili.
@nuubaby Жыл бұрын
Sasa @mai Tv unahoji watu mmesimama jamani mpk mtu anaonekana amechoka kuegemea jamani loh
@kalundemdeme25482 жыл бұрын
Kweli we fatuma mcharuko😂😂😂
@JamallyHMlela2 жыл бұрын
Kwa kumuangalia tu huyu fatma ni kweli kafanya hicho kitu
@rabiajuma82922 жыл бұрын
Huna lolote mrudie mungu wako fanya ibada mauti huja hafla
Ndo nn Sasa kumpigia sim uyo mtu mbele ya camera, kuaibishana tuu
@mamasahim55732 жыл бұрын
kweli kazoea
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Tatizo akuna uyo mama anazijua nguo zake kama aripiga picha aitume mtandaoni tuione pengine kunawatu watakua wamemuona fatwa ariwai kuvaa dizaini ya nguo kama anayoizungumzia
@ramlaomar79232 жыл бұрын
Amkuja kwa mbwembwe maskn kimemshuka WA tz nynyi hataree😁
@iyamussa5352 жыл бұрын
Nia ya mtu sio rahisi kukubali anachofanya kirahisi ....wapo baadhi ya wasanii wanahulka hiyo ya kuazim nguo au hata kukopa pesa piaa na wasikupee ....Tuma kawaida hiyo hufanya hayooo zaidi wanapofanya hayoo mambo wakati mwenginee wapuunguz hao wasaniii
@lilywiliam62712 жыл бұрын
Huyo anae dai mbona hasemi kua nataka Nguo? Mbona anazunguka tu
@KhadijaKhadija-lp1ue2 жыл бұрын
fatuma kachukuwa kweli maana unaona uo uitikiaje wake wa kutahayari
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Hiii
@aishaathuman64456 ай бұрын
Ila uyu dada kuna salon zaman aliwai kwenda kusuka akasema.narudi sasa ivi ndio akurudi. Ilikuwa.zaman san
@mamasahim55732 жыл бұрын
miepia kaazima
@mwanamutwa2 жыл бұрын
Hapana,some people by nature are nervous hivyo it does not mean she is guilty.They could be talking and just shaking.Let us give her time to solve this.Good program.Mia uko juu.
@amamiss222 жыл бұрын
Uyu ni muwongo sanaa kaazima na alijuwaaje kama ni mtu mzima
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Umeona eeee?
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Pengine anamfahamu lakini hajaazima
@halimaabubakari15062 жыл бұрын
Umjui unamjua .?...chamsing maimatha umwambie uyo mm km anapich y hyo nguo afu tufatilie video z uyo dada
@leiratykisura67182 жыл бұрын
Sura ya fatuma imemshuku kabsaa anaonekana kachukua nguo na hanajitingisha kwa kujishebedua..wengi wasani hawana pesa na wanahazima nguo wache zuruma
@latifakamanza7 ай бұрын
Uyu dada muongo sana Yani uko anakokaa kuazima nguo ndo kaz yake mtaani kwao anajulikan kwa hii tabia mbaya loh
@laymashabani8322 жыл бұрын
Anavyo jikanyaga sasa🤣🤣🤣mara simjui mara mwili wake mnene.
@rajabkhamis23032 жыл бұрын
Naona Mcharuko anamuonea haya Mai km wanashea bwana
@modysultan61702 жыл бұрын
ila mai chizi kinyanyua ilo bango ndio nn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mai huendi mbinguni
@pilimwanza81172 жыл бұрын
Haendi😂😂😂
@khamismkwama49372 жыл бұрын
😜😜😜😜😜😜😜😜 mbingu ataisikia tu kwakweli mai
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Mh mpaka umeanikwa mitandaoni mtiani
@sulleyally50402 жыл бұрын
Wasanii mjaa madeni matupu sifa tu ndio zenu
@munakhamis9822 жыл бұрын
Aibu hii 🤣🤣
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Kubwa aibu Tena sana looh
@azizamuharam39412 жыл бұрын
Uwongo zahir hawajapatia
@ahmedyhassan40592 жыл бұрын
S kajiingiza mkenge....umejuaje k mnene
@jamesmacharia881211 ай бұрын
Sasa hii nayo ni show gani, hapa kuna upungufu kwa wenye vyombo haswa yule anaye mhoji aonekane mwenye kinyongo na Fatma, total nonsense.
@farahanafarer75882 жыл бұрын
Kuwa mtu mzima siyo hoja anaweza kuwa mwembamba. Na huyu mama kasema anauza nguo umeenda kumuomba kufanyia shoo ungesikiliza alichosema. Unajikanyaga mwenyewe😂
@christinaonditi93412 жыл бұрын
Ila kipindi kinashLikisha wallah
@mmn74802 жыл бұрын
wanatafuta kurudi mjini mmebuma
@fauzenkassim84242 жыл бұрын
Mbona ya anakujua
@Zahrazahra-ue7bp2 жыл бұрын
Mngekutanishwa pamoja pengine kunamtu katumia jina rake
@tumainimatembo86882 жыл бұрын
Uyo fatma wax ni tapeli mala kasema hamjui mala mwili wako na wangu haufananiiii kma we humfaham iweje umjue mwili wakeee una ham ya kulushwa uchiz weweee
@asmarajabu57862 жыл бұрын
umbea koki
@nadrasalim2 жыл бұрын
Kwanza akipimwa presha hapo iko juu karibu apate stroke🤣🤣. Anajikanyaga tu, kiufupi kaazima na huyo mmama anamjua vizur ndo mana ana panick ndan kwa ndani. Aibu bin fedheha wallah
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Hahahaha kbsaaa
@hawarashid69412 жыл бұрын
Maimatha na wasiwasi na wewe itakuwa unatengeneza story au unataka kuwapeleka watu mjini.
@hazrathassan11342 жыл бұрын
Punguza sifa hamna lolote
@jamilajuma37832 жыл бұрын
Uyo mama ni muongo aiwezekani nguo aje kudai apo
@mamasahim55732 жыл бұрын
miepia kachukuwa
@daynesswillium96182 жыл бұрын
We fatma unakosea,kwanza ulijuaje mwili wake na wako ni tofauti,pia kuazima vitu sio dhambi hata kama wewe ni msaninii,wasaniii wengi tu wanaazima nguo kingine utu uzima wake havihusiani na mwili tena inawezekana wewe ukaonekana mtu uzima kuliko yeye my dear,we na usanii wako wote huwezi kukamikika kila sekta,kwa inavyoonekana umeazima nguo za uyo mtu mzima unaesema wewe lakini ndio kakustiri,alichokosea labda kufikisha kwenye media tu.pia naweza kusema alitaka msaada maana katumia njia nyingi kupata haki yake ikashindikana.tatizo ukiazimwa na wewe unaazima kwa mtu mwingine kujifanya yako hayo ndio matokeo yake unaingilia huku unatokea kule,kitu cha mtu kakuamini kakupa kwa mapenzi yote basi kithamini ili siku nyingine ustiriwe kwa kizuri zaidi.
@alitunu30862 жыл бұрын
Nguo za mchongo
@salha65962 жыл бұрын
Mara mzee yusuph kampa mtu mimba mhhhh ichi kipindi cha mchongo 🤣🤣
@kilizajumainn8262 жыл бұрын
Nja ya kurud mjin iyo hakuna wakuazima kitu apo
@فاطمةجوهر-ر8ش2 жыл бұрын
Yaonekana nikweli haya limemshika
@tumaramadhani33812 жыл бұрын
Mnapenda kuaibisha watu nyie sio uzuri bwana
@nanaritho68502 жыл бұрын
Sasa humjui halafu unasema mko tofauti mwili ulimjuaje!?
@quentinsylvia38772 жыл бұрын
Hapo Sasa km ulikua humjui miili yenu tofauti umeijuaje?
@salumunsabimana65022 жыл бұрын
Hamna usijitetee ukaleta stori za watu wengine rudisha. Mtu mzima lakini umeazima
Si wazanzibar tu kiufupi sema baadhi ya wanawake wanatabia izo,na pengine wewe ni mmoja wa tabia hiyo
@lailaoman3856 Жыл бұрын
@@maryamhamad3485 😄😄😄😄umenichekesha naivyo nilikuwa na mawazo,mi sikufichi mimi mwenyewe mzazibar,ila akuna jambo ninanalo lichukia kama kumuazima jambo mtu nguo,sio mtu,tu ata ndugu yangu,kwasabavu naogopa zaririshwa
@modysultan61702 жыл бұрын
aibu🤣🤣🤣
@kingkhalifasimile8032 жыл бұрын
😅🤣🤣
@salumunsabimana65022 жыл бұрын
Unajirusha akili lakini umeazima nguwo kwake.kwanza umesema hujaazima wala humjuwi sasa unasema mwili wake siyo saizi yako tukuelewe vipi. Looh aibu aibu acheni kiki kwanguwo za kuazima .
@faakizakiza6182 жыл бұрын
Kuchukuwa huyu nguo anaonesha fatuma mcharuko hana maisha sisi ndio tuna mjuwa bwana tapeli wa miembeni uyo muna tupa sifa mbya tu wajangombe na wamiembeni hana mpya
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Kumbe
@kingkhalifasimile8032 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@najmasaleh55362 жыл бұрын
May balaaaaa
@mamasahim55732 жыл бұрын
miepia kaniazimaa
@mamasahim55732 жыл бұрын
ndokaziloea
@pilimwanza81172 жыл бұрын
Alikuwa anaimba vizuri mwanzo ghafla kaanza kutikisika km jini maimuna. Halafu km humjui mbona unasema miili yenu hamfanani😂😂😂 Maimartha umchokozi