MAYUNGA: AKON HAKUNA KITU KIMEFANYIKA '' MILIONI 900 SIJAPEWA''

  Рет қаралды 45,486

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@blackisgold1200
@blackisgold1200 5 жыл бұрын
My star 🌟🥰🥰🥰
@officialmisungwi8870
@officialmisungwi8870 5 жыл бұрын
Mayunga Fanya kazi kama ile ya zamani ! Utabaki kuwa juuu kileleni
@husseinbakary1969
@husseinbakary1969 5 жыл бұрын
I wish ipo siku utatoboa, diamond chukua kijana huyo yuko vizur
@bikorakaliro859
@bikorakaliro859 5 жыл бұрын
Your the best!!
@kisha_and_shaffi
@kisha_and_shaffi 5 жыл бұрын
mayunga, kikubwa tambua kua husingeweza kufanya kazi na hao Illuminates.. kaa tulia Fanya mini ila tena acha kuimba Deep RnB maana wabongo NI kama hawaelewi hivi... komaa na afrobeat...you can
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 5 жыл бұрын
Good point km tulivyokuwa hatumuelew ibrahnation ila jamaa anajua balaaa
@djb2kzer0
@djb2kzer0 5 жыл бұрын
Kisha Kahamba Comedy u tell him true about illuminate ✊🏾✊🏾 awezi kusikika Ata one day
@yuzotv458
@yuzotv458 5 жыл бұрын
NAWEWE MAYUNGA UNAZINGUA YANI UNALALAMIKA ETI KAMA WATAKUA WAMENICHAKACHUA,WEWE ULICHOFANYIWA KUTOKA TZ MPAKA USA MARA SA UNADHANI WAMETUMIA MILIONI 3 AU 5???. TUWE NA SHUKRANI WAKATI MWINGINE ITAKUWA VIZURI SIO KUPORONGA TUU... 👌
@smarty1064
@smarty1064 5 жыл бұрын
YUZO MAPESA TV mil 900 ni $390,000 - mbona ni hela nyingi sana hiyo? wakifanya Auditing utakuta kuna hela haikufika kama kipindi kile cha kina Langa ambapo cocacola walikua wanatoa pesa ndefu halafu kumbe kuna brokers katikati wanakula msanii anaishia kupata kiduchuuu inhali wao walilenga kuwainua wasanii wa africa kidunia - jiulize tu mshahara wa mtu wa kipato cha kawaida kwa marekani ni $3000 tu kwa mwezi sasa zidisha mara miez 12 sasa kwa promotion ipi? au hiyo nauli ya $2000 kwenda na $2000 kurudi? Hesabu ni Sayansi ndugu! ashukuru tu amejulikana na amepata hiyo 50 na exposure pia ila kwenye mkwanja Nah! mil 50 kwa mil 900 ni uwiano wa 1:18
@hon-mlenga
@hon-mlenga 5 жыл бұрын
Kuna muda mambo yako yataenda sawa nakukubali sana
@issackjacobo4535
@issackjacobo4535 5 жыл бұрын
Nice
@idawakisambivi7747
@idawakisambivi7747 4 жыл бұрын
Jamaa anafaa kuimbia nyimbo za injili huyu
@hajiismaily3401
@hajiismaily3401 5 жыл бұрын
Piga kazi mayunga achananao haooo
@cldmichashukim5864
@cldmichashukim5864 5 жыл бұрын
I knew that Akon will do nothing he did the same to Rock City and they diss him in their songs.komaa hapo hapo bongo you will be big brother.
@009biafra8
@009biafra8 2 жыл бұрын
Huyu jamaa angejiunga NLM angetoboa moja kwa moja aseeh.
@Braverboytz0
@Braverboytz0 Жыл бұрын
Wachawi wa kibongo washatia uchawi mkali tukaze tutatobia tu
@mtwanaissa4045
@mtwanaissa4045 3 жыл бұрын
Byron king
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 5 жыл бұрын
Kaza Buti Utafika 2.
@yuzotv458
@yuzotv458 5 жыл бұрын
wasafi mnakwama wapi kuandika madudu kwenye headline????. yani mlichoandika hakiendani kwa asilimia zinazoendana na maneno ya msanii.
@ruthbby4011
@ruthbby4011 5 жыл бұрын
YUZO MAPESA TV h
@teoonline8464
@teoonline8464 5 жыл бұрын
We hukusoma et au husikii vunga nyambafu
@nackplankton1669
@nackplankton1669 5 жыл бұрын
Wamekosea wapi Sasa???
@blacknesaya744
@blacknesaya744 5 жыл бұрын
Akon ajafanya poa kabisa ilitakiwa saivi mayungunga tayari angesha kuwa msanii mkubwa saivi hata bila ya hayo makampuni akoni ange msimamia yeye kama yeye kama kusaidia kipaji kisife nakusapot watoto wa Africa pia SAIVI KIPAJI NDO KINAPOTEA IVO RABDA AJIONGEZE AFANYE NJIA ZAKE
@blacknesaya744
@blacknesaya744 5 жыл бұрын
Nuru Shujaa NO brother ndo iko ivyo kipaji kina potea icho AKON ange mwangalia kwa jicho la tatu mayunga akamsaidia yeye kama yeye aka hakikisha amefahamika kwenye urimwengu wa mziki ndo aka muacha akajiendereza . wachache sana wanao toka kimaisha bila kutoka kwenye mikono ya walio fanikiwa brother nilazima ushikwe mkono ukienda wewe kama wewe usiko kujua na njia unayopita nigizani ngum sana kufika utaishia kufel
@trezykid1453
@trezykid1453 5 жыл бұрын
Nakubali ww ndyo icon kwangu@mayunga
@fettrishaseramadhan4098
@fettrishaseramadhan4098 5 жыл бұрын
trezykid 1 pole ndio maisha wa mbele hawana msada
@ismailmbarak9368
@ismailmbarak9368 5 жыл бұрын
Kiboko yao diamond tu hao.
@bushiridems
@bushiridems 5 жыл бұрын
Wambie kuwa wazungu awapani pesa kwa mkono
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 5 жыл бұрын
Sa mbn wamekuacha hvyo mafala hao wamekupiga
@chusecurrents4324
@chusecurrents4324 4 жыл бұрын
Yan katika mafala we ndo fala namba moja hahahaa ulichezea bahati
@goodluckcharles3748
@goodluckcharles3748 5 жыл бұрын
dah Africa n usenge usenge...Sasa kama gharama za usafiri na kurekodi znatoka kwny hela ya ushindi ya nn waseme wakusaini kwny rebel(Yaan hyo rebel inakua na kaz gan ss)...hapo mwanangu walikupiga hela dah inauma..ila endelea kufight mwana
@yuzotv458
@yuzotv458 5 жыл бұрын
kua muelewa mil 900 kwaajiri yakuhandle gharama za msanii. mil 50 ndo pesa za mmsanii naa amepewa sasa shida ipo wapi ???.
@goodluckcharles3748
@goodluckcharles3748 5 жыл бұрын
we ndo uwe muelewa....kwanini waseme msanii atapata hela na atasainiwa chini ya rebel....Sasa kama unaingia kwny rebel alaf gharama za usafri video na promotion inatoka kwny hela ya ushindi rebel ina kazi gani...au kumshikia hzo Pesa??
@andrewkayombo3966
@andrewkayombo3966 5 жыл бұрын
duu!!!!! watakuwa wamekuchakachua
@Tpolloco
@Tpolloco 5 жыл бұрын
We fala ad uku upo
@mrishomzelela4627
@mrishomzelela4627 5 жыл бұрын
Kashindwa masharti ya Freemasons the illuminate ,Siku akitii masharti atajulikana dunia nzimaa ila akiwakazia hapo ndo mwisho coz akon ni agent wa illuminate kwa Africa
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 5 жыл бұрын
Maskini yote wameyataka airtel jaman
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
CHYBU WA GWANTAZ kivipi
@mohammedrashid7735
@mohammedrashid7735 5 жыл бұрын
kaka umekabidhiwa mil 50 na ukashindwa kujipanga unalia lia nini
@onetake2292
@onetake2292 5 жыл бұрын
MUHAMMED RASHID acha izo ww
@hanssuley5024
@hanssuley5024 5 жыл бұрын
MUHAMMED RASHID amekulilia wewe unajua mitihan gani kipind alivyopata hyo hela kuwa mwanaume wewe
@kelvinseif2870
@kelvinseif2870 5 жыл бұрын
MUHAMMED RASHID jitambue na uwe mwelewa
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Unauhakika kashindwa kujipanga dah vijana bhn Vip wewe umejipanga?
@papaampondele1750
@papaampondele1750 5 жыл бұрын
Hatari wewe kijana
@abdallahsaid5497
@abdallahsaid5497 5 жыл бұрын
Jambo lakwanza jiamini kua unaweza acha usenge
@jayma1537
@jayma1537 5 жыл бұрын
Yo nigga ur really smart
@mkali4real112
@mkali4real112 5 жыл бұрын
Fundi huyu
@jumarajab5316
@jumarajab5316 5 жыл бұрын
anachoongea hakieleweki fala huyu
@kachawakikazi1217
@kachawakikazi1217 5 жыл бұрын
pambana na hali yako ww wacha lawama
@hanssuley5024
@hanssuley5024 5 жыл бұрын
Kacha Wakikazi kalaum nini hapo au unalopoka tu
@nickalreadyknows
@nickalreadyknows 5 жыл бұрын
Si kakulalamikia wewe sio
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 16 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 52 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 28 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 16 МЛН
Young Killer na Dogo Janja Wachanana Live Kuonyesha nani mkali zaidi?
10:52
Kwanini Diamond Platnumz hataki kushika simu ya mpenzi wake?
12:32
Millard Ayo
Рет қаралды 437 М.
.
0:59
ВСЕГО ВАМ ДОБРОГО!
Рет қаралды 1,9 МЛН
Was it fate? 😱❤️🙈 Power Stone - Time Stone
0:44
Marulho
Рет қаралды 14 МЛН
Моя удача
0:15
ELMEEV
Рет қаралды 7 МЛН