No video

MAZINGE AMSILIMISHA BINT WA MIAKA 19 BAADA KUPIGA MADA ILIYOSISIMUA DUNIA NZIMA PTA JIJINI DAR.

  Рет қаралды 259,014

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 870
@ust.shamsaalkindiya4832
@ust.shamsaalkindiya4832 3 жыл бұрын
Shekhe Mazinge nakupenda kwa ajili ya Allah jinsi unavoilingania dini Mashaallah tabaraka Rahmani
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Mwenyezimngu atuongoze nasisi sote insha'Allah Khair 🤲
@mohamedomaronline7459
@mohamedomaronline7459 3 жыл бұрын
Sheikh nakuomba nitafuti Mariamu kwa Ajili ya Allah
@saidasaidjuma3505
@saidasaidjuma3505 3 жыл бұрын
Imenifanya machoz yatoke kwa furah na wallah.......mashallah mashallah mashallah kika la khery kwa marym
@shaibumanda5764
@shaibumanda5764 3 жыл бұрын
Mazinge na mashekh wenzako mnafanya kazi ngum Sana Sana Allah atawalipa mashekh
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 3 жыл бұрын
Mimi nawaombea kila la kheiri katika kazi yenu ya kuitangaza na kuineza dini ya haki na ya kweli ya Allah,mashehe wetu. Allah Awalipe Jannah Firdaus,Amiin!
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 3 жыл бұрын
Allahumma Aaaamin
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Ameeen yarrabil alamin 🤲 insha'Allah
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Amiin Thumma amiin
@fbfungameza3597
@fbfungameza3597 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa umri kwa kazi ya mwenyezi mungu unayofanya hakika wewe ni mwalimu .
@sidkas2318
@sidkas2318 3 жыл бұрын
Katika watu nawaheshimu ni wahadhiri Kazi hii ni kubwa na ngumu mpaka Allah akuchague sio wote wanaiweza....Wanahitaji support aina zote Allah atawafanyia uwepesi
@julioshomy1101
@julioshomy1101 3 жыл бұрын
hongera dada mariam kwa kuingia ndan ya dini ya haki mbele ya Allah
@abdullahhashimu2380
@abdullahhashimu2380 3 жыл бұрын
Sio kuingia bali ni kurudi ktk dini yake ya awal
@issakaroli1517
@issakaroli1517 3 жыл бұрын
@@abdullahhashimu2380 masikini Allah amwekeye wepesi Allah amlinde na ukafili Allah amlinde na ufakili popote Ulipo Usihau Dini ya Allah uiheshimu sana na uifuate iyi dunia tunapita
@mubarakgajjali9003
@mubarakgajjali9003 3 жыл бұрын
mashallaah mashallaah
@abuutwalhatlabu5914
@abuutwalhatlabu5914 3 жыл бұрын
masheikh huyu bnt ajaolewa ebu fanyeni utaratibu tumnusuru huyu bnt
@fatmaobo1613
@fatmaobo1613 3 жыл бұрын
@@issakaroli1517lllpl
@rashidkalimbo2451
@rashidkalimbo2451 3 жыл бұрын
IDHAA JAA ANNASRULLAH WALFATUH, WA' ARRAITAN NNASA YADIHULUNA FII DINNILLAH AFFUWAJAN, FASSABBIHI BIHAMMDIH RABBIKA WASTAGHFIRUH INNAHU KAANA TAUWWABAN (Q110:1-3)
@jamilaoman7207
@jamilaoman7207 3 жыл бұрын
👌
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@jamilaoman7207 Alhamdulillah
@abumasoud1996
@abumasoud1996 3 жыл бұрын
mariam hongera tumekupata kukuona kutoke uholanzi.mungu akusaidie furaha na amani.
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 3 жыл бұрын
Nimefurahi mpaka nimelia wallay kwa ukarimu wa waislam walivyo mpokea huyu bint masha Allah
@aishaaisha9636
@aishaaisha9636 3 жыл бұрын
Sheikh Mazinge,,,Mungu akujaalie,, akulinde na akupe nguvu uzidi katika kuitangaza dini.inshallwah Mungu atakuongoza
@neemahassan5726
@neemahassan5726 5 ай бұрын
Mashaallah shekhe mazinge Allah awajalie afya njema wote munao fanya kuitangaza dini Allah awajalie subra Katka kazi zenu na Allah amjarie mariamu kuingia Katka uisilam apate Mume mwema
@abdulsaid4579
@abdulsaid4579 3 жыл бұрын
takbir.......ndg yng mazinge wewe kweli kiboko. manake una majibu y kila suali utakaloulizwa.... Mwenyezi Mungu amekujaalia sana....jazakallahu khair 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🤝🏿👊🏿🤲🏿👍🏿
@abuualban5639
@abuualban5639 3 жыл бұрын
Nimefurah sana kuona huyo msichana aliye slim jins ambavyo amejaa na tabasam na namna ambavyo wamemlaki hao wanawake wengine, Allah atulipe kwa nia zetu.
@ibrahimhaji3575
@ibrahimhaji3575 3 жыл бұрын
Masha Allah, shekh mazinge Mungu azidi kukuweka bado tunakuhitaji na bado tunahitaji kujifunza mengi kutoka kwako. Mungu atujaalie mapenzi baina yetu waislamu wa bara na visiwani, nchini na mabarani. Mungu akupe afya njema na nguvu uzidi kulingania Dini ya Allah. Tunakupenda sana waislam
@abdallahahmedmmary225
@abdallahahmedmmary225 3 жыл бұрын
Allahu akbaru bora limeanza hili jambo an niliomba wanaosilimu wapate jins ya kupata elimu likianzinshwa hilo nami ntachangia inshaallah
@mushikwaclaude3690
@mushikwaclaude3690 3 жыл бұрын
Sheikh mazinge Allah akupe mwisho mwema nafwatiliyaga sana mihadhara unayo ifanya Allah azidi kukulinda na mitihani ya duniani na Muomba Allah atujaliye na sisi woote ambao hatujajaliwa na neema Allah aliyo kupatiya atuwezeshe na sisi piya kutokana nakuipenda dunia piya Allah asikuondowi duniani kabla huja wacha ujuzi wako kwa wa nafunzi wako ili duniani mihadhara ya kusilimisha wasiyo iendeleye. Allah na mabalaa ya duniani
@yussufyussuf9997
@yussufyussuf9997 3 жыл бұрын
Hongr dada angu mariam kuingia ktk uislam na ni umeokoka na moto wa jahannam........real more
@sumahtanzania4991
@sumahtanzania4991 2 жыл бұрын
Usitadhi mazinge mungu akupe afya njema na hitaji la moyo wako shehe wetu nakupenda kwa ajili ya Allah
@richardsineno6720
@richardsineno6720 3 жыл бұрын
MAASHAALLAAH Dada kaonyesha wazi kwamba ALLAH ni mmoja,maoni yangu ni kwamba mkalimani wa lugha ya ishara mumemficha haonekani moja kwa moja na wako watu wengi ambao ni mabubu na viziwi wanaotaka kujua Bwana Mazinge anasema nini.
@bundatelcom2734
@bundatelcom2734 3 жыл бұрын
Wasalam haleekm mashekh. Nawapata. Nendeni basi na sehem nyingine. Mkaitangaze din. Bunda kule ndani ndani hawajuhi chochote: mkipiga kambi miezi mi3. Mtawakomboa😢😢😢
@ayshakayeko2043
@ayshakayeko2043 3 жыл бұрын
Sana tu ilawafadhili pia wajitokeze kuwaunga mkono wanajitoa sn
@bundatelcom2734
@bundatelcom2734 3 жыл бұрын
@@ayshakayeko2043 nikweli usemayo mimi uko nimekaa sana; walaaah unakuta mtu ajui chochote kuusu uislam. Toka ninejifunza na kuuelewa mahisi wenzangu wamepotea 😢😢😢 nani wa kuwakomboa kama syo hao mashek 😢😢😢😢. .. kijiji akina hata mtu mmoja muislam, daah uuu,msibaaa
@asmaali8733
@asmaali8733 3 жыл бұрын
Q
@saidomarwanje8505
@saidomarwanje8505 3 жыл бұрын
Asalam alaikum warahamathullah wabarakathullah professore mazinge mwenyezi Mungu akulinde
@aishahussen7698
@aishahussen7698 3 жыл бұрын
mashaAllah mashaAllah takbir Allah akbar Allah azidi kukupa moyo dada maryam,ustadhi mazinge Allah azidi kukupa hikma Amiin
@matorahusseni936
@matorahusseni936 3 жыл бұрын
Allah akujaalie pepo ya juu ya firdaus shekh mazinge
@mulhathaji923
@mulhathaji923 3 жыл бұрын
Na mie namuombea ivo ivo
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 жыл бұрын
HAKUNA WATU NAWAHESHIMU KATIKA HII DUNIA KAMA HAWA WAHADHIRI WANAOITANGAZA DINI YA ALLAH ☝️
@saiditanzania6184
@saiditanzania6184 3 жыл бұрын
pfesa mazinge mungu akupe umli mrefu wakuwakumbusha wasilaamu
@iddisongolo7394
@iddisongolo7394 3 жыл бұрын
Nimekuelewa vzuri sana shekhe,ulivo mwambia dada hapo asifate waislamu,bali afate uislam!!
@balozibalozi4483
@balozibalozi4483 3 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah mashaAllah hakika hii dini ina raha saana na ya khaki machozi yamenitoka jinsi wanawake wa kiislaam walivyompokea mwanamke mwenzao hakika ni raha na upendo wa hali ya juu!
@issakaroli1517
@issakaroli1517 3 жыл бұрын
ALLah atuwekeye wepesi Dunia tunapita 😅
@AbdulAbdul-vp2np
@AbdulAbdul-vp2np 3 жыл бұрын
Mashallah sheikh Mazinge, Mariam na waislamu wote Allah awalipe kila la kheri hapa duniani na kesho akhera
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Ameeen yarrabil alamin 🤲 insha'Allah
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Ameen ameen ameen
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Allahumma amiiin
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
Aamiin pamoja nasie
@ibrahimgeorge6164
@ibrahimgeorge6164 3 жыл бұрын
To
@swalehkiuga167
@swalehkiuga167 3 жыл бұрын
Maashallah huyo Dada nimemwelew sana natamani ningemjua zaid
@hassanmsipi4094
@hassanmsipi4094 3 жыл бұрын
Wacha uroho mufti utamnusuru!???
@dullyyesu9036
@dullyyesu9036 3 жыл бұрын
@@hassanmsipi4094 😂😂😂😂
@salehsaleh548
@salehsaleh548 3 жыл бұрын
😀😀😀
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
@@hassanmsipi4094 😃😃😃
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 3 жыл бұрын
Nmetoa machozi wallah mashaallah Kwa marium
@rufaihassan2273
@rufaihassan2273 3 жыл бұрын
Nakupenda kwa ajili Allah (s.w)
@asiakinia9344
@asiakinia9344 3 жыл бұрын
Allahumma amiin jazaka llahukhaira shehe wetu mazinge Allah atuongoze kwa sote
@sakinat2527
@sakinat2527 3 жыл бұрын
Ameen
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 3 жыл бұрын
Nimefurahi had najikuta nalia jimekumbuka cku nilioslim, mariyam karibu sana Uislam mzuri sana ukiifata
@aminatatu5692
@aminatatu5692 3 жыл бұрын
Mansha allah
@mussahassan1099
@mussahassan1099 3 жыл бұрын
Mashallah mungu na cc atujalie mwisho mwema waislamu sote kwa ujumla🤲🏻🤲🏻
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 3 жыл бұрын
Allahummah Ameen
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Allahuma Amin
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Allahumma amiiin Yarabb
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 3 жыл бұрын
Amiin yaa Rabb
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
Aamiin
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 3 жыл бұрын
Alhamdulillah mashaa allah karibu dada kwenye uislaam dini ya kweli mungu azidi kukupa maisha marefu mazinge 🤲🙏
@JumanneShabani-lp7gf
@JumanneShabani-lp7gf 3 жыл бұрын
Mashaallah
@nyerere1259
@nyerere1259 3 жыл бұрын
Mimi mkristo ila nimekuelewa Sana shekhe
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Mungu yakusamehe kila jambon mbaa yakupe Imani yadini yakisilamu
@jumakhamis226
@jumakhamis226 3 жыл бұрын
Ma sha ALLAH shekh mazinge ALLAH AKUPE MAISHA MAREFUUU
@moridohome4790
@moridohome4790 3 жыл бұрын
Subhannallah Allah atuongoze tuwetunatoa lnshaallah
@mckoba2428
@mckoba2428 3 жыл бұрын
Mashaallah marry yupo mbali tungefanya nusra
@werehadija153
@werehadija153 3 жыл бұрын
Hongera sana dada Mariam Allah akuzidishie heri.Hata mimi nimejawa na furaha
@ust.shamsaalkindiya4832
@ust.shamsaalkindiya4832 3 жыл бұрын
Mashaallah barakallahu fiki mamy kwa kuingia katika dini ya Allah na Allah akupe taufiki na thabat duniani na akhera yaa Rabil’alamina 🤲🤲🤲
@jamilaoman7207
@jamilaoman7207 3 жыл бұрын
Amina
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@jamilaoman7207 Amiina yaa rabbal a'lamiina 😭
@supumoto6819
@supumoto6819 3 жыл бұрын
USTADH mazinge ma sha ALLAH Kwa ufaswaha wako na akuzidishie hekima ILI da'wa izidi Kua mzuri
@jamalathman6219
@jamalathman6219 3 жыл бұрын
Shukran sheikh mazinge Allah akulipe pepo,pamoja na Huyo Dada alesilimu mungu amuongoze amfanyie wepesi kuifahamu dini ya uisilamu.
@kibibimwamoto3584
@kibibimwamoto3584 3 жыл бұрын
Mashallah Allah amzidishie kila la kheir Allah ampe mume wa kiislamu Allah amjalie kizazi vhema kinacho ambatana na uislam
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura 3 жыл бұрын
Ma Shaa Allah Tabaraqallah Hongera mdg wetu karibu katika dini ya haki
@AhmedSaid-xz3kj
@AhmedSaid-xz3kj 3 жыл бұрын
Jazakallah kheir sheikh mazinge
@hamzaulanda3792
@hamzaulanda3792 3 жыл бұрын
Hongera dada Allah akusimamishe vizr kwenye dini ya kiislam
@khalidsalmin7682
@khalidsalmin7682 3 жыл бұрын
ASSALAAM ALYKUM ALHAMDULILLAH.... MASHAALLAH kwa kila la kheri ALLAH S.W ametujaaliya neema na fadhila kuwepo katika uislamu YAARABBIIY Mjaalie sheikh Mazinge pepo iliyo bora na ya juu pamoja na waislam sote na kila umpendae kwa upendo wako ALLAH S.W na rehma zako ALHAMDULILLAH AMIN AMIN....
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Ameeen yarrabil alamin 🤲 insha'Allah
@shaibumanda5764
@shaibumanda5764 3 жыл бұрын
Mazinge umeangauka sana kuipambania din ya Allah
@halimamwakucha2637
@halimamwakucha2637 3 жыл бұрын
Allah awape nguvu, Afya pmoja uzima muish kwa miaka mingi hil muweze kuwatoa wtu gizan
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 3 жыл бұрын
Mungu amsamehe madambi yake, Sheikh wetu pia Mungu ampe umri mrefu azidi kutufaidhisha, amiin
@hajitindi1678
@hajitindi1678 3 жыл бұрын
Mazinge unafanya yanayo mpendeza mungu wetu mlez
@mrskaboma9292
@mrskaboma9292 3 жыл бұрын
Mash Allah allah akupe umri mrefu Shekh mazinge nakupenda sana Baba angu wote mnao elimisha watu wajue ipi dini ya kweli allahum Aamina 🤲🤲🤲
@maxmilian2511
@maxmilian2511 3 жыл бұрын
ASSALAM ALEYKUM SISI TULOKUA MBALI NA NINYI TUNAOMBA MUTUWEKEE NAMBA MAALUM YA KUWASILISHA MICHANGO YETU NA ILI KUTUEPUSHA NA MATAPELI IWE INATAJWA NA MASHEIKH MLIOPO IN SHAA ALLAH..!
@zouzou2849
@zouzou2849 3 жыл бұрын
Waleikum salam warahmatullah wabarakatu naam hata mimi nikiwa ufaransa tunahitzji swawabu kama hizi huku hatuna jamani nimehawi kupeleka sadaka ya zakatul fitri walenirudisha nayo na wakanipa wawo wakanambia nyinyi hamna chochote sisi njo wakuwapa wallah nema tunayo ila hatuna uwaminifu wa afrika wengi matapeli wanatumia uwongo ya rabbi
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 3 жыл бұрын
@@zouzou2849 kabisa yani waswahili tunaendekeza mnoo njaa utapeli mwingi sana
@abuualban5639
@abuualban5639 3 жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 namba zao wameweka hapo hadi ya mazinge
@hidayaisimairy1553
@hidayaisimairy1553 3 жыл бұрын
YA RABII walipe kila LA kher wahadhiri wote wa kiislam, waepushe na husda na qadar za watu,wape mwisho mwema YA RABII, NA SISI PIYA YA RABII tuongoze njia iliyo nyooka
@user-os9ul5iu5y
@user-os9ul5iu5y 3 жыл бұрын
Amiin
@rayamohammed130
@rayamohammed130 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah azid kukupeni afya masheikh wetu mupate kulingania uislam
@somoeismail9665
@somoeismail9665 3 жыл бұрын
Mashaallah nimekuelewa vyema shekh mazinge
@khadijaangore4408
@khadijaangore4408 3 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@sabrahtwalib5194
@sabrahtwalib5194 3 жыл бұрын
MaashaAllah mashekhe Allah awalipe kila kher
@babyhamisi5331
@babyhamisi5331 3 жыл бұрын
Ana sauti nzuri Sana mariam mashaAllah tabarakaAllah Allah amuongoze katika kheir
@maalimrajabu1634
@maalimrajabu1634 3 жыл бұрын
Hakika dini ya haki mbee za mwenyezi mungu ni uislamu
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
Si kweli
@malaikawatatutv.ufunuo14.84
@malaikawatatutv.ufunuo14.84 3 жыл бұрын
Nani kasema hayo maneno kama sio Mohammed?
@rajabmshengeli1624
@rajabmshengeli1624 3 жыл бұрын
Kweli hujakosea maana waislam tuna mwenyezmungu wengine wana Mungu..... Natukumbuke miungu ipo miiingi Kama mungu jua mungu ng'ombe etc ila ila Mwenyezmungu ni mmoja tu hakuzaa wala hakuzaliwa nahakuna anayefanana nayeye............. Pia mwenyezmungu hatumii nguvu kuujua uwepo wake
@charlesjoseph2092
@charlesjoseph2092 3 жыл бұрын
@@rajabmshengeli1624 Nikweli Hujakose lakini Mwenyezi Mungu Anajina lake labda ungetuambia Mungu unaemuabudu Jina lake nani?
@malaikawatatutv.ufunuo14.84
@malaikawatatutv.ufunuo14.84 3 жыл бұрын
@@rajabmshengeli1624 Hujasoma Qur'an wewe kumbe ..miungu iko na waislamu ..kwani kwenye Qur'an husema "Sisi" na sio "Mimi* Qur'an 18:50
@walaadmarjaan7555
@walaadmarjaan7555 3 жыл бұрын
: Sheikh Mazinge Mashallah..wewe kiboko.
@yusufmsaa5693
@yusufmsaa5693 3 жыл бұрын
Mashallah allah amlipe bint huyo nakama atahtaji mume mm ni suisilam na nahitaj mke ishallah kama atakubali
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
🤣
@rahmaoman5122
@rahmaoman5122 3 жыл бұрын
Masha Allah binti maliam
@lehemaabdallah7864
@lehemaabdallah7864 3 жыл бұрын
Subuhanallah ewemola wetu tuple mwisho mwema piya Moe afya she he wetu zaidi kutukumbusha ya ahera
@abdirashidsuraw3380
@abdirashidsuraw3380 3 жыл бұрын
Mungu awalinde na awalipe siku ya qiyama
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Ameen
@husnakh5136
@husnakh5136 3 жыл бұрын
JazzakAllah kheir babaaaa
@husnaodhiambo6848
@husnaodhiambo6848 3 жыл бұрын
Mashallah Allahu Akhbar
@sharmilarashid5401
@sharmilarashid5401 3 жыл бұрын
Laa ila haillallah muhammadi rasulu llwahi .maneno mazito sheikh Allah atujalie minal faizina atupe stara ya dunia na akher ummaty muhammadi amiin insha Allah
@saliynahnassoro8406
@saliynahnassoro8406 3 жыл бұрын
Mashallah mashallah Allah awajaalie kheli viongoze wetu wa dini na awalipe pepo wao pmj ns sis
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
Nimejikuta tu nalia tena kwa hisia kali nilipoona hio video allaah akujaalie dada nangu au mdg angu
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Tatizo tulilo nalo mara baada ya kusilimu namna ya kusoma mfano hai nenda mpiji magohe mtaa wa kibesa eneo la msikiti wa makuti
@zwinsalhabsu264
@zwinsalhabsu264 3 жыл бұрын
Mashaallah allah amuongoze katika njia ya kheir
@raziaidd2392
@raziaidd2392 3 жыл бұрын
Ma shaa Allah tabarakallah.nakupenda sheikh mazinge kwa ajili ya Allah
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 3 жыл бұрын
Allah Akbar hongera dada Mariam
@faizanassor6336
@faizanassor6336 3 жыл бұрын
Mashallah takbiriii
@user-eg1dr6so4c
@user-eg1dr6so4c 3 жыл бұрын
Allahukbar
@allynassor9127
@allynassor9127 3 жыл бұрын
Namtaka Maryam nimuowe
@harbisulub
@harbisulub 3 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Allah. May Allah bless her and all that welcomed her in this beautiful way
@chidydahoma3097
@chidydahoma3097 3 жыл бұрын
Allah Akbar awalipe ujira ulio kua bora zaid wahadhir wa kislam Yarabbi tujualie mwisho mema na utuingize ndani ya nyoyo zetu amiin
@linzatv2725
@linzatv2725 3 жыл бұрын
Ishalah mungu akulefushie maisha
@mswakisaid2320
@mswakisaid2320 3 жыл бұрын
ALLAAH amifanyie wepesi mufike mkoa wa Mara. Huku kuna uhitaji mkubwa sana tena sana. Karibuni sana tutakuwa pamoja Inshaa ALLAAH.
@omargargaar5611
@omargargaar5611 3 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika pmoja masheikh wtu MashaAllah MashaAllah Allah awabariki kwa ukmbusho kwa ajili ya Allah
@fatumjumaa5563
@fatumjumaa5563 3 жыл бұрын
Munguawazidishie umri muzidi kutufahamsha
@mamyomar1241
@mamyomar1241 3 жыл бұрын
Aslm alkm, shekh mazonge. Mimi naomba No yako binafsi.
@nyangeathumani5508
@nyangeathumani5508 3 жыл бұрын
Allah Akbar, Allah Akbar, Allah Akbar Wallillah lihamdu
@masmslajus55
@masmslajus55 3 жыл бұрын
Mwenyezimungu akupe afya nzuli uendelee kulingania dini ya haki uislam
@musstoamiry1191
@musstoamiry1191 3 жыл бұрын
Mashallah
@sifahamisi5872
@sifahamisi5872 3 жыл бұрын
Shekh Allah Akulipe
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
Mashaallah Mariam Allah amuongoze katika uislamu, Namba ipi inaweza kuwafikia michango? Wekeni namba!
@sheikhsharifmakarama3060
@sheikhsharifmakarama3060 3 жыл бұрын
Namba zetu ni+255758251725 M-pesa na +255658333372 Tigo pesa jazakumullah khayra
@mozasaid3869
@mozasaid3869 3 жыл бұрын
@@sheikhsharifmakarama3060 Amiin
@gwakisajosephgwakisajoseph5658
@gwakisajosephgwakisajoseph5658 3 жыл бұрын
😓😓balikiwa mazinde mwenyez mungu akupe maisha marefu uzidi kutufundisha
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 3 жыл бұрын
Yabarikiwe mh rais PJM kwa Imani yake mbele yausilamu
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 3 жыл бұрын
From mascat oman ninawapata vizuri masha Allah
@fikiripazi9630
@fikiripazi9630 3 жыл бұрын
nashauri chini yawe yanatoka maandishi ya kiingereza yakitafsiri maneno ya muadhiri
@OoOo-rl8mk
@OoOo-rl8mk 3 жыл бұрын
ALLAH KAREEM MASHAA ALLAH
@sultanshamte4110
@sultanshamte4110 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah hakulipe unacho fanya shekh mazinge
@firdausali5919
@firdausali5919 3 жыл бұрын
Mashaallah mazinge mawaidha mazuri Allah atawaifadhi ww na wenzako munaotoa mawaidha ya Allah
@abdulitendesheki3231
@abdulitendesheki3231 3 жыл бұрын
Walaah! Inasikitisha sana hadi wa cristo wanatoa msaada wa kutengeneza mskiti? Allah tufanyie wepesi na utusamehe mazambi yetu.
@radhiaoman2454
@radhiaoman2454 3 жыл бұрын
Allah awaongezee umri kwakweli muzidi kumtangaza Allah
@hamadatahir9307
@hamadatahir9307 3 жыл бұрын
Huyo binti mimi nimempenda ili nimuowe na mimi Muislamu nipo Zanzibar
@komboissa2016
@komboissa2016 3 жыл бұрын
Kama upo serious nicheki kwa namba 0716443949 nitakuunganisha na shekhe atakaefanikisha azma yako insha'Allah
@badalichauchau6983
@badalichauchau6983 3 жыл бұрын
Lakini uwe mkweli mbele ya Allah nia thabiti
@angelineahmed6880
@angelineahmed6880 3 жыл бұрын
Allah akbar baraka allahfikum
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 3 жыл бұрын
Mashalla Allah mungu atuongoze na sote yarabbil Allah
@lovvy854
@lovvy854 3 жыл бұрын
Ameeen yarrabil alamin 🤲 insha'Allah
@egetinginyemachoka2726
@egetinginyemachoka2726 3 жыл бұрын
asante sana Mazinge
Wakristo wapata dozi yao kwenye mdahalo wa Mbezi
1:05:38
Straight Path Dawah
Рет қаралды 353 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
UNAZITOLEA MACHO MALI ZA WATU UNAJUA WAMEZIPATA VIPI?// SHEIKH NYUNDO
32:53
WACHUNGUZE MAHASIDI WAKO TABIA HIZI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
55:59
arkas online tv
Рет қаралды 48 М.
UST MAZINGE AMPONGEZA SH OTHMAN MICHAEL NAAMUOMBEA HERI
28:37
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 61 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,6 МЛН