Ustadh mazinge mung aendelee kukupa umri zaidi jamn waislam wote tumuombee dua mazinge na maustadh wengne inshallah
@osamashakeeb71942 жыл бұрын
Mashallah ❤❤❤ sheikh wangu Mazinge Allah akupe umri mrefu wenye mafanikio
@taufikihamisi63853 жыл бұрын
Wallahi ingekuwa inawezekama kupunguza umri na ukampatia mtu mwingine maisha yangu me ningemuachia mazinge
@nurukiwia932 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR.
@mohammedrajabumwamba13222 жыл бұрын
TAKBIIIR ALLAH AKBAR ☑️
@mkaapwekekariakoo64172 жыл бұрын
R.I.P
@omarkapayer14122 жыл бұрын
Allah Akbar
@shamimibrahim10892 жыл бұрын
Ukweli bro lkn tunamwombwa Muumba akatoe mmoja katika kizazi chake kidume kama yeye
@isack60992 жыл бұрын
Masha Allah, Allahu Akbar, nilizaliwa Mkristo but for now imani yangu mimi ni muislamu nawapenda nyote kwa ajili ya ALLAH
@kawtharalbarwani13373 жыл бұрын
Ndacha acha kupotoza umma ukweli unaonekana MashaAllah barakallahu feekum masheikhe wetu Allah awabariki kila la kheir na baraka
@jacksonmutunga48943 жыл бұрын
Qur'an yenu yenyewe hamuijui ata nimeshangaa.
@moshantoj3 жыл бұрын
Ukweli
@charlestaari84413 жыл бұрын
Waislamu wapinga Kristo hawa
@kutailadifi28543 жыл бұрын
@@jacksonmutunga4894 mtaelewa tyuu
@mereyamhomesmariamhomes34643 жыл бұрын
@@charlestaari8441 😂😂😂
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah! Salamu zangu kwanza kwa Shekhe mazinge! INSHA ALLAH ALLAH awape umri mweze kulingania DINI YA HAKI AMIN AMIN! SHEKHE RAMADHANI ALLAH ATAKULIPA DARAJA YA JUU AMIN AMIN AMIN!!
@warfaassociates6463 жыл бұрын
J.......funn
@dktabbaimran20023 жыл бұрын
Masha Allah natamani tu nikutane na sheik Mazinge siku moja nimsalimie tu nipige picha na yeye iwe kumbukumbu .Kazi mashekhe wetu wanazozifanya ni nzito mno ni Mungu ndio atawalipa
@mohammedrajabumwamba13222 жыл бұрын
Namuona Sheikh wangu Mazinge Anafurahia saaaana kuona vijana wake Wana wakalisha Mapasta waongo
@hafidhabdi2004 Жыл бұрын
Ahhh mashaallah Shekh mazinge
@adidjauwimana74753 жыл бұрын
Manshallah tabaraka Rahman. Waislam Takbir.wakristo sioni comment zao.Allah awape umri mrefu ma cheikh zetu
@nilfatshabani74292 жыл бұрын
Mashallah,Allah(s.w) azidi kuwajaalia neema katika Kazi kubwa ya kuitetea kalima ya Laa ilaha ilallah na dini ya haki. Bismillah
@alimatambwe34023 жыл бұрын
MashaAllah Jazakhallahu kheiri Masheikh wetu Allah awalipe kwakupigania dini yetu ya hakhi bila shaka InshaAllah.
@asmamuhusin34422 жыл бұрын
Mashallahu mashehe wetu wrote allahu bariku
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
@habibaoman243 жыл бұрын
Maashaallah mwenyezimungu mungu awaongoze mashehe wetu
@geniusjinix66912 жыл бұрын
Sasa hapo dini ya mungu ni ipi??kila mtu anasema kwake ni bora je mimi nikikaa bila dini nitalaumiwa? Imani ni bora kuliko dini 🙏
@maxabsjiii8122 Жыл бұрын
Bila dini utapotea. Dini ni uislamu. Uchristo si diini. Bibilia haikutaja ukristo ni dini. Uislamu kwa qurani na bibilia ime taja uislamu ni diini. Sasa wewe fata maandiko, na ufanye utafiti kweli utapata.
@saadaabdallah74733 жыл бұрын
Allah awahifadhi wahadhir wetu awape nguvu na afya
@duniawadunia48243 жыл бұрын
Babu #Mazinge maswali yake niatari ujibu n'ngooo......mpaka kiama. Safi sana sheikh Ramadhani kuria Ben kaguo.
@louiskhan73723 жыл бұрын
Aty yesu arudishe punda 😂😂😂😂😂😂swali la kijinga ilo
@mohdbakar71613 жыл бұрын
@@louiskhan7372 asirejeshe kwanini wakati kaazima
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Mazinge huwa hajibu maswali Bali anakimbia maswali kwa kuingiza utani na mambo yalio nje ya mada mtu anakuliza kwanini mtume alioa mtt mdogo wa miaka6 yeye anakujibu kwani huyo binti ni mwanao Sasa hapo kajibu Nini Yani nikituko mnamsifu bure
@michaelthobias99673 жыл бұрын
Huwa anajibu upuzi Bora hata wale wenzake wanakuja na hoja huyu ndio hamna kitu
@mammam47013 жыл бұрын
Kwer uwez kujibu🤣🤣🤣
@labilowabiikongo93383 жыл бұрын
Mashaallah nakutakiyen kher mashekhe wangu mungu awajaliy mwisho mwema nafanya kz ya mitume
@zulfahamissi47253 жыл бұрын
Mazinge Allah aku linde sana uendelee kutangaza uislam inshaallah
@maherzain6153 жыл бұрын
Said kinyongoli Simba wa ndacha
@alkindyalkindy87673 жыл бұрын
Nampenda sana al Habib mazinge na said kajogolo mola awape moyo huo huo wa kutowa watu ujingani maana wazungu wanapoteza umma
@tourorganizer62963 жыл бұрын
Mazinge unanimalizia MB 🤣🤣 mashaallh 🙏
@zulfahamissi47253 жыл бұрын
😊😊🥰🥰
@rahimdikungule37373 жыл бұрын
Maashaallah mashekhe wetu Allah awaongoze
@jasminabubakary5601 Жыл бұрын
Masha’Allah uislam ni raha jamani❤ Allah awape umri mref na wenye baraka tele ndani yake, Na Hamidu anajua sana kusoma na kuleta raha kwa kweli❤
@fatmaali35543 жыл бұрын
Mashallah jazakallah lkheir mungu awajalie kila la kheri na mashekh wetu mungu awape umri mrefu muzidi kulingania dini yake na awajalie awape mwisho mema dah Yussuf wambungu shekh wetu sijui kwa nn na yy sijamuona
@rbagha52802 жыл бұрын
This Sheikh MAZINGE s Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, ALLAH in Arabic, wants you to do. So you too can be SAVED! Thanks. RAY FROM CANADA
@aishaibrahim16133 жыл бұрын
Masha ALLAH ALLAH awapa afya na awafanyie wepesi Kwa kila Jambo
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
MAASHALLAH SHEHE MAZINGE UZUR WAKE HANA HARAKA HAKUNA MCHUNGAJI ANAECHOMOA DAWA TU
@fatumakingi9753 Жыл бұрын
Masha allah am proud to be muslim🙏🙏🙏
@samirasamira27293 жыл бұрын
Mazingé mze mwalimu bingwa
@musamshihiri14443 жыл бұрын
Mashalh shegh mazing mwenyez mungu akuzidishie her
@bimkubwaali16052 жыл бұрын
wallahi hata hamtazami mazinge anamuona kama anapoteza mda mazinge wallahi raha. allah akupe umri mrefu miaka mbele
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
@cabylake23202 жыл бұрын
Mashaallah 💓❤️❤️❤️ nawapa saaaan masheikh wetu Allah awape maisha marefu kulingania dini ya kiislam
@Nora-v1m3p Жыл бұрын
Masheikh wetu Allah amlipe pepo in Sha Allah
@shar34 Жыл бұрын
God shall be one forever,praise be his Mighty name❤
@amriyalibent59003 жыл бұрын
Mashallah najivunia kuwa muislam wallah raha sana
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@ElsieMunezero8 ай бұрын
Sheikh mazinge mungu akupe umri mrefu n'a afya njema
@ElsieMunezero8 ай бұрын
Y allah wape umri mrefu ma sheikh zetu yarabi
@saumurashidi17852 жыл бұрын
Sheikh mazinge vizuri sana
@jaz99743 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah shekhe mazinge mungu akupe umri mrefu uzidi kulingania dini ya kiislam
@eiddrissahshabani36752 жыл бұрын
Mashallah Allah azdi kuwap nguvu
@fardoshnassor78473 жыл бұрын
Mashallah Alla masheikh wetu mungu awaongoze kweli mwaiteteya Dini 💓
@ramadhaniyassinimvimbamvim91742 жыл бұрын
Àà
@tatusalumu10782 жыл бұрын
Allah awaongoze masheikh wetu wazidi kutuerimisha dini naimani ijae ndani yetu
Makafiri ni wenye kuabudu jiwe ndani kibanda cheusi.
@mussammanga77913 жыл бұрын
@@TruthMustBeTold_911. Wapi wanaabu kibanda na jiwe jeusi.
@TruthMustBeTold_911.3 жыл бұрын
@@mussammanga7791 wewe pekeyake ndie hujui,mtaa wenu wote wajua.
@mussammanga77913 жыл бұрын
@@TruthMustBeTold_911. Nimekuuliza swali jibu swali. Mengine yataendelea baadae.
@MbarakaMkali Жыл бұрын
Mashallah wenzetu mliojaliwa kwa hili endeleeni kutoa Dawa ila wazo langu naomba mngetoa na lugha-za nje ili tunapopata fursa tutaendelea kuzinunua na kuwapa waelewe zaidi.
@ameenajumah73353 жыл бұрын
Ndacha ni mnafik yy upotosha wakristo manake hawajui maandiko ...Huyo kenya twamjua ni muongo Astaghfirlah.
@zulfahamissi47253 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sharifamadadi50652 жыл бұрын
Atapata Zambi bure kuwapotosha wenzie bola ukweli uwe wazi dini inayo julikana kwa mungu ni hii Moja tu aache kupotosha watu je ataweza kuwatetea watu ote siku ya kiyama 😭😭 innalillah wainna Lillah lajuhn 😭😭
i'm proud to be a Muslim mwenyze mngu hawaongoze kwa wale ambao sio waislamu katika njia iliyo nyooka amiiin
@mkojanielectricalsolution11952 жыл бұрын
Kuna watu wanatupenda na kuutetea uislamu bila sababu mungu awatunze sanaa👏🏽👏🏽
@PendoKalama-rn8pf9 күн бұрын
Wanautetea bila sababu
@maryamabdizuhura17633 жыл бұрын
MashaAllah takhbir Allah Akbar.Mimi najua ISSA A.s ni miongoni mwa mitume aliumbwa kama alivyoumbwa Adam bila mama Wala baba ila Nabii Issa alikuwa na mama pekee
@dullahsempa13753 жыл бұрын
Asalam alkum Asante sana kwakufundi kafili ndacha anaewapotosha walimwengu kwajili ya maslai yatumbo kushiba nakucha
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Walaikm Salam warahmatullah wabarakat ni hatar
@laduboy3 жыл бұрын
lailahailallahh muhammad rasull.lahh
@nalingarowl70482 жыл бұрын
Mnafikiri mnaukwaza Ukristu kumbe mnauhubiri Ukristu.Hamuwezi kuudhofisha Ukristu Kwa mfumo wowote ule.Mt.16:18. Kule kuuchalenji Ukristu ni maumivu tu ambayo kupona kwake ni kumuamini Yesu na kumfuata.
@famozogofe88152 жыл бұрын
Mashaallah mazinge mungu akupe Maisha malefu
@nurdnkadabla54132 жыл бұрын
Asalam alekum yasheikhe mazinge
@Yusuf-q9y1q4 ай бұрын
You are ma roll model mazinge.
@salmasalma-pv2ue2 жыл бұрын
Wallah wabillah ndacha unapango lako la moto siku ya kiyama. Allah akulani hapa dunian nabkesho siku ya mwisho. Waliomin ndio waislam . Pol san ndacha ww nikafir wa waziwazi
@onetap80093 жыл бұрын
Masha Allah Allah awahifadhi mashekhe wetu awape afya malipo yenu kwa mwenyezi Mungu.Nawapenda sana mashekhe wetu kwa jili ya Allah.
@johnmutua53932 жыл бұрын
May God protect all of Has Christian and Muslim
@mamawamoya33443 жыл бұрын
Maneno ya kipuuzi hayajibu swali,ooh nitawatengeneza ooh wanasaidiana ,ushabik tu ndacha ,jibu swali hauna lolote kwa mwenye Akili
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Yey ni uong tuuu anatumia
@shomariamuri99173 жыл бұрын
Ndacha anatisha kwa kweli. Tuache ushabiki.
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Hujakosea kwa uong wak anatishq kbs il anatisha nyinyi makafir wenzen
@alfaaldo72762 жыл бұрын
Roho mtakatifu,Nuru Yako ionekane katika wanadamu
@SephaniaRangili-tp5fz Жыл бұрын
Heri kila mtu atete maisha yake sisi wote hatuja toshea mbele yake mungu
@PendoKalama-rn8pf9 күн бұрын
Mazinge ameelewa n mnafiki jadi kicheko😂😂😂
@untamedsniper3634 Жыл бұрын
Mashaalah utadh mazinge♥️
@ibrahimjuma103 жыл бұрын
Ndacha kelele tu hana point
@mwalimameir43053 жыл бұрын
Ndacha ana maneno mengi lakini hawezi kabisa kujibu maswali hasa ya Shekhe Mazinge.
@sofiasofia75572 жыл бұрын
Anarukaruka badae anauliza tena maswali
@mohamedwabwireomar11565 ай бұрын
Allah awabariki
@kigenimohammed7847 Жыл бұрын
Masha'Allah TabarakaAllah mazinge❤
@husseinguyo43793 жыл бұрын
Yarabi naomba Allah awape nguvu na hekma ili mupate kupambana na hawa makafiri
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲
@mmangammanga-dw2qn3 ай бұрын
Mashaallah ❤Uislamu raha
@omarmwinyi1253 жыл бұрын
Nyinyi wakristo kama mnamfuata Yesu msiowe kwa sababu Yesu hakuoa alieoa banana wetu Muhammad (S.A.W)
@noahwamalwa43853 жыл бұрын
Muhammed pia alirogwa....Kwa hivyo waislamu waro.....
@AsiaDadi-i2j Жыл бұрын
Allah akupe maixha marefu ili uwape mwongozo sahihi
@saidasalum8826 Жыл бұрын
Yaani wao wenyewe wanamkubali mazinge ilaubishi tuu ALLAH awaongoze
@mwashambatalib79502 жыл бұрын
Mazinge Allah akuenzi na akuzidishie nuru ya elimu yenye manufaa
Hahaha wakriso jamn hamuach SI mukubali 2 hahahaha 🤣🤣🤣 jamn
@IssaMussa-ub2id4 ай бұрын
Yaallah mjaalie shekhe wet mazinge pamoja na wenzake Manisha marefu
@amiduahmada60683 жыл бұрын
Mashekhe zetu allah atawalipa wema wenu.maana ukwel mnawapa hivyo hawatawalaum siku ya mwisho.waache wajitaftaie moto
@alfaaldo72762 жыл бұрын
Eeeee Mungu rehemu kizazi hiki ......Bila neema Yako kitapotea katika dini kwa jina la Allah
@abedymtore27073 жыл бұрын
Ama hakika mazinge ulkua mbonge la mbegu yan atary ALLAH akujalibu
@shabaniabdu13123 жыл бұрын
Sijapata kuona nchi kama Tanzania Watu wa dini tofauti kukaa pamoja kuilimishana au kufundisha tu; HII NCHI TAKATIFU!!!! VIONGOZI WA NCHI MTAMBIE!!!!! MUECHE KUPIGA!!!!
@BettyNdori Жыл бұрын
Mazinge umepotea Mungu akurehemu
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
😂😂😂
@PendoKalama-rn8pf9 күн бұрын
Yesu atamtoshq maana huombea ulimwengu mzima
@mwazanialiishehe17842 жыл бұрын
Mwenye kupinga atapinga ila atakaye Kiri kuwa YESU ndio njia atarithi uzima wa milele.
@muddypancho91043 жыл бұрын
MASHALLAH FAZAKIRU MAJADANI
@MohamedMohamed-u3t1n11 ай бұрын
Ndacha anakata sana aya 😂😂😂 hamalizi
@kinglast95073 жыл бұрын
Allah awalipe jannat firdaus inshallah
@IshamOmmy-p1x Жыл бұрын
Nashkur San Kwa kuzaliwa katika uislam allah azid kuzikuza Iman zetu uislam ndio dini ya haki
@josemu8709 ай бұрын
Barikiweni
@marianachriss24443 жыл бұрын
Wanaomdharau YESU KRISTO Kuna siku inakuja watalia kilio Cha kusaga meno, tubuni kabla hamjachelewa
Ndo wa kiristo mnatakiwa mtubu hamuoni wapi yesu kaingiwa na vipi kaswali hamna akili hata macho ya kusoma hamna poleni
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@Kdkdkdkkfffjjcj we tulia siku inakuja utajua YESU KRISTO ndiye Mungu wa kweli na ni BWANA na mwokozi wa ulimwengu wote Yeyote asiyemkiri YESU KRISTO ameshahukumiwa
@marianachriss24443 жыл бұрын
@@rayasalim6512 unatia huruma kwa kuwa huijui iliyo kweli, kweli ipo kwa YESU KRISTO pekee, tubu kabla haujachelewa
@alhamdulillah57963 жыл бұрын
@@marianachriss2444, Mtajiju mnaemkiri Mtume wa Allah kwa kumkatia mauno kanisani.
@abuminnatilkhair8309 Жыл бұрын
What language are they speaking??
@idalahow3 жыл бұрын
Hapa Kenya wakristo tumewaweka kwenye debe. Nyinyi TZ mnawabembeleza.
@MAUREENMTV2543 жыл бұрын
Wewe waja upuzi
@idalahow3 жыл бұрын
@@MAUREENMTV254 upuzi ni kubembelezana
@denisvitalis83932 жыл бұрын
Ndacha ana weza kwakwely
@rhiophiri68572 жыл бұрын
Francis Ndacha is too loud,but don't assume that loud is strong and quiet is weak,to the contrary Mazinge and Kinyogoli won the debate, islam won christianism lost