masha'Allah sheikh wetu Mazinge Mungu akulinde akuajalie kila lakheri na umri mrefu
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@edwardntamaboko34142 жыл бұрын
Mazinge hajaelewa kuwa hao mbwa wanaozungumzwa kwenye Biblia ni wasiomkiri Yesu kwa Imani wakiwemo waislamu ambao ni wayahudi wa leo.
@azaritodachilemie2 жыл бұрын
Mashallah from Mozambique
@mwanahalimamwachili96792 жыл бұрын
Allah Akupe Umri Uzidi Kuelimisha In Shaa Allah Sheikh Mazinge.
@BintAlly-k5r Жыл бұрын
Amin
@salimkitego710311 ай бұрын
Mashallah ♥️
@jumambole-dp1pe Жыл бұрын
Mashalah sheghe wetu Alah akulinde
@SalamaNauthar Жыл бұрын
Mazinge kama Mazinge🔥🔥🔥🔥🔥
@menereshirima47582 жыл бұрын
Vizuri sana
@AssumaniBavumiragiye Жыл бұрын
Manshallah
@baysadam2352 жыл бұрын
Allah Akbar🇲🇿🇹🇿
@wildlife-speakertv40772 жыл бұрын
Masha,Allah
@bgpin74972 жыл бұрын
Nahuyo mchungaji ni WA mchongo njaa inakusumbua mimi tu huniwezi huyo mchungaji wako uliye mchonga mwenyewe
@yusufuheri65242 жыл бұрын
Mashaalah mawaidha mazuri
@heavens945110 ай бұрын
Mazinge una deal na watoto... Mbona humufati Bwanaako Ndacha....🤣🤣🤣🤣
@hekimaandindilile40002 жыл бұрын
Mazinge akuna kitu Apo mzee wangu alimshindaaa
@omaryteddy5352 жыл бұрын
Mashaallah
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@trophywilson72112 жыл бұрын
Majini Yalimuogopa Yesu siyo ndugu zake Yesu,Acheni kupotosha Watu kama mmepotea poteeni wenyewe
@shabamuhidin634 Жыл бұрын
mashonde😂😂😂😂wazungu walisha ndugu zetu mavi rahisi ivii
@maduuikangira98642 жыл бұрын
Mnapaswa kujua kuwa Kuna Wana wa kimwili hao hufikili Mambo ya kimwili, wana wa kiroho hawawezi kurithi pamoja na Wana wa kimwili, wale mnaomwamini yesu mmezaliwa kiroho ninyi ni Wana wa mungu hao ambao hawamwamini yesu kuwa ni mkombozi wa ulimwengu hao ni viumbe tu wa mungu Wala sio Wana wa mungu.
Watu wanaomwamini yesu wanapaswa kuepuka ubishi, upuzi, Ila waishi kwa kuisimamia Imani yao na kuepuka unafiki kusimama imara katika neno la mungu na kukaa tayari kwa ajili ya Vita ya kiimani kwa mpinga kristo, sisi tumekombolewa hatuna dhambi mungu ametuokoa kwa kupitia yesu mwanae hakika yesu ni mkombozi wa ulimwengu,( yohana 1:29)
@claudiabakisa80522 жыл бұрын
Kwahiyo wewe huna dhambi. Hata ukizini unakuwa huna dhambi
@trophywilson72112 жыл бұрын
Kabisaa sipendi hayo maana hao Walimkataa Yesu ni Wabishi mno mno
@claudiabakisa80522 жыл бұрын
@@trophywilson7211 Kuna mwislam unamjuwa aliyemkataa yesu?
@munawwarbashir26802 жыл бұрын
🤣🤣🤣kwaiyo ww huna dhambi
@braynzavike43662 жыл бұрын
Mhhhh mbona kama midahalo tena
@phiniadkamara1215 Жыл бұрын
Kweli hapo akunaaa mchungaji
@justusgration25802 жыл бұрын
Acha kunukuu vipande vya mistari bila kujua mwanzo wake na kuwaposha watu . Tafakari maisha unayoishi sio ubingwa wa kusoma maneno
@SittahMakambalala9 ай бұрын
ila Mazinge upo vzr kwakukati soma had mwisho
@linusrugebless-bs7bh Жыл бұрын
Mazinge hata mm hunishindiii maaana naona hoja zako ni dhaifu
@linusrugebless-bs7bh Жыл бұрын
Mazinge ni taperii hujui ndio maana unapenda kubishana saana
@bgpin74972 жыл бұрын
Acha kudanganya watu mazinge soma 3,16
@bgpin74972 жыл бұрын
Soma yohana 3,16 mwongo mazinge hata wewe mchungaji wa familia yako hata wewe umbwa
@barakahoma2956 Жыл бұрын
Ww kopo tu huwez shindana na mazinge yy ni profesa wa biblia
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Kwani yesu alikataa ila aliwakataza wasimdhihilishe
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mapepo yalimdhibitisha kuwa yesu ni mwana wa Mungu ila islamiki wanakataa
@glorymasonga10 ай бұрын
Tutakughulikia kiroho
@salehesalehe29672 жыл бұрын
Ninyi mnaopinga mazinge so upo mwiteni acheni kutukana PR upo
@abitegekajuma26272 жыл бұрын
Allah Akulipe Lila laheri.
@raphaelmalema83702 жыл бұрын
Mazinge nitumie namba yako
@bakarimwayaga10032 жыл бұрын
Ameen
@suzanaagustinookelo49532 жыл бұрын
Nyiee na uyo mshungaji wowote ni sawa tuu hamna utofautii
@ukweliwauislamu95902 жыл бұрын
Marko 3:11
@omarmohd1812 жыл бұрын
Chris 50 Muhamadi ametahiria Rudia quran (68:4) Allah anasema " kwa hakika una tabia njema" Hii inainesh muhamadi ametahiriw kwa kuepushw na kila aina ya ovu ,kama alivyi sifika katika bara la arab zima kwa uzur wa tabia , uaminifu nj
@SurprisedApron-uq7kg7 ай бұрын
Mashallah piga moto kafiri mbwahuo
@emanuelkway93532 жыл бұрын
Wewe mazinge akili una badala ya kufundisha abari za watu kuacha kufanya dhambi wa rithi ufalme wa mbinguni unashindana kuusu maandiko na kufundisha ukweli kuwa uwongo MUNGU anakuona
@esthermwingwa566 Жыл бұрын
Unaongea siasa
@raphaelmalema83702 жыл бұрын
Nikufundishe
@mugemainyas52412 жыл бұрын
Mnafurahisha mnapojijekesha nyinyi wenyewe. Na mnaokoteza watu mkiwaita wachungaji na kuhisi mnashinda. Wakristu siku zote hawapo kwenye mashindano ya kijinga. Nahisi elimu ni muhimu sana.
@honmaka62002 жыл бұрын
hesabu mtaitoa mbele zake (Yesu) maana Yesu ni hai kwakuwa alifufuka lkn huyo Mtume mnayemwamini ni fuvu tu chini ya udongo chungeni ndimi zenu,mashindano ya kidini ni chanzo cha dhambi
@tariqmasudi4400 Жыл бұрын
Alifufuka wap mi mbona sijamuona twende ukanionyeshe yesu uyu apa kafufuka ili niamini yesu mwenyewe fuvu tu tuondolee uongo wko apa
@trophywilson72112 жыл бұрын
Shetani yupo Kazini kweli kweli,Maana anatafuta misitari ile ambayo Ni ya maonyo tu
@selemanmatari94492 жыл бұрын
Wanataka kuwapa watu kipindupindu tu Hawa wachungaji
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Sannah
@trophywilson72112 жыл бұрын
Hahaha Majini ndo yalianza kusema Yesu ni Mwana Wa Mungu kumbe Waislamu mmeshajua Yesu ni Mwana Wa Mungu,Mnakataaga nini??
@obadiahchawe89562 жыл бұрын
Achen kuokota walevi unaongea pumba na kelele 2 tafuta wachungaji wanaotambulika kama kina gwajima au mwalim mwakasege af saut yko ya shar sio ya kitukufu watu wa mungu wanyenyekevu sio watu wakelele
@barakahoma2956 Жыл бұрын
Gwajima Hana ishu mazinge anamtaka papa wenu wa dunia
@thabitisaidsaidchamlungu79812 жыл бұрын
Mom
@dani721302 жыл бұрын
wachungaji mnaowaleta ni wa michongo, hamna lolote, mnawapanga watu ambao hawaijui hata Biblia.
@bongue60032 жыл бұрын
Sheik você é proprietário de todos
@mohdseif25932 жыл бұрын
Vp Mzee unapigania maslahi nin haingii akilini mungu mwenyewe yupo ila sio huyo unaesema wewe unamjua lkn humtak kumkubal IPO cku utamkubal2
@OmanOma-xi3hm Жыл бұрын
She mazinge Allah anayo sabab mpaka Leo upo
@juliuswaitathu89952 жыл бұрын
Huyu mazinge,huwa hajielewi
@omarysaidy55242 жыл бұрын
Mungu kama hajakupa macho ya roho huwez mpenz kuona namuomba Allah akuongoze katika njia yake ilioonyooka inshaallaah
@ramadhankijana94422 жыл бұрын
Duh towa maandiko
@salumuhamza39202 жыл бұрын
PDD allah akulinde na akujaliye pepo insha-allah 🤲🤲🤲🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@zvpOnlineTv2 жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@houssenabdullah86162 жыл бұрын
@@zvpOnlineTv p⁰p
@houssenabdullah86162 жыл бұрын
0
@suzanaagustinookelo49532 жыл бұрын
Ata majini wanawazidii kwa Hufaam wanaujuwa huwa a wa Yesu kwa Mungu nyiee mtajuajee ni nyinyi ni wajinga
@Rastermirish2 жыл бұрын
Muisilamu wa mahana ni aliekufaa ni wajinga awajuhi chochote kabisa mnakusanya watu wasiojuwa kitu
@emmanuelmlyuka53212 жыл бұрын
Huu ni ujingaaaa tu
@Chris-in1vc2 жыл бұрын
VP kuhusu mtume wenu ( Muhammad) kupikea Aya za Quran za shetani na kusujudia sanamu za kipagani (mabinti watatu wa Allah).. pamoja na majni na wapagani wa kikureshi moaka wapaganj wakashangaa. . Soma Quran 22:52 na tafsir zake kama Al ialalayn, Al tabari, ibn abbas au ibn kathir, uone upagani na ushetani wa uislamu. Waislamu SI wasomi, SI watafiti, hawapendi kujua ukweli, someni hiyo. Halafu Muhammad katembea na mke mwanae wa kurithi zayd, aitwaye ( Zainab), wakati Zayd hayupo nyumbani, na baadae kutumga Aya kua ATI Allah kampa Zainab Muhammad awe mke ( someni Q33:36-37 na tafsir zake kama Al tabari, Al Kurtubi, Al jalalayn, ashab an nuzul n. k) . Tunaongea kwa ushahidi kua Muhammad ni mwenye tamaa kama mbwa na SI mtu wa mfano wa kuigwa, maana he is a pervert. Muhammad pamoja na kuwa na wake tele ( 13) akiwemo na mtoto aliyembaka yaani Aisha, hajawahi kuwa na watoto, Ina maana Allah kashindwa kumpa mtoto maana ni mungu feki au sanamu ya Maka ( black stone) . Pia msimhusihe Muhammad na biblia maana haviendani, kwakua hata tohara Muhammad hakufanyiwa. Kumbuka Muhammad anawaaea mtahiriwe waislamu, akiiga Kwa abrahamu, Musa, yohana, yesu na manabii katka biblia ( waisraeli kiujumla), lakini yeye ni najisi, hajatahiriwa, inakuaje akawa mtume au nabii wa Mungu au uzao wa ishmaeli ? Leteni ushahidi Muhammad katahiriwa wapi, miishindwa kuleta ushahidi, wakina mazinge wote ni najisi na mtume wao ni Fraud .
@mkalimani75122 жыл бұрын
Asa ikiwa yesu mwana wa mungu je MAMA YAKE YESU ATAKUA NANI ? MUNGU NI MMOJA HAKUZAA WALA HAKUZALIWA WALA HANA MTOTO MUSIKUFURU SASA WEE UNAYESEMA MUNGU ANAMTOTO SUBIRI UFIKE HUKO AKHERA UKUTANE NAE HALAFU UMUONESHE UYO MTOTO WAKE NDIO UTAJUA HIJUI
@mkalimani75122 жыл бұрын
SOMA UZURI MUHAMMAHD SW AMETAHIRIWA NA AMESAFIKA ,LAKINI NASHANGAA NYIE MUNAESEMA YESU NI MUNGU HALAFU AMETAHIRIWA NA MWANAADAMU HAMUONI MUNAPOTOSHA WATU. YESU NI MTUME WA MUNGU NA SISI WAISLAM TUNAMFAHAMU KULIKO WAKIRISTO NA TUNAMTII MANA NI MTUME WA MUNGU
@Chris-in1vc2 жыл бұрын
@@mkalimani7512 Hilo SI swali uliloulizwa Ndugu yangu. Unajua mtu asiye wa Imani Yako anapokuuliza au anapowauliza swali, Ina maana anataka kujua uhakika wa njia unaypiendea na uhakika wa dereva anayekuendesha, ili ashawishike na usafiri wako unaotumia. Kwanza ISSA siyo mesaya ( masihi) wetu tunayemjua, maana maana ya Isa kiarabu ni shahawa ya Ngamia ( kasome vizuri maana). Halina uhusiano hata chembe, na ISSA wenu Muhammad aliye copy na ku paste kadai ni dada WA kuzaliwa na Musa na Haruni, na baba yake ni Amrani ( kasome vizuri Quran yako). Isa hajulikani viziri hata na Allah wenu, maana muhammd alikua ni mwizi wa stori za watu na kuweka kwenye dini yake. Swali ni hili, kama Muhammad ni uzao kweli wa Ibrahim, na mtoto wa Ishmael, wapi katahiriwa ? Mbona swali lepesi sana si mpaka uende chuo kikuu ! Ina maana Mungu wa kwenye biblia amekumbuka kuweka ushahidi wa jambo muhimu kama hili ktk Torati na injili, akasahau kwa Muhammad !?. Jibu swali halafu utajibiwa kwa mujibu wa maandiko.
@edwardntamaboko34142 жыл бұрын
@@mkalimani7512 Mungu alizaa kwa neno,si kwa mwili.Mungu aliyekuumba kuzaa akiamua kuzaa kwa makusudi yake hashindwi.Kama Mungu wako hawezi kuzaa basi huyo ni Mungu nusu
@edwardntamaboko34142 жыл бұрын
@@mkalimani7512 Kwani Mungu akiamua kutahiriwa na nwanadamu kwa makusudi yake anashindwa Nini,mwanadamu anathamani kwa Mungu kwa sababu aliumbwa na Mungu,Sasa wewe unatuambia kuwa Mungu wenu anadharau watu aliowaumba Yeye mwenyewe Sasa huyo ni Mungu nusu.
@patricknyiti53032 жыл бұрын
Vitu vyote viliumbwa kupitia Yeye Kwa ajili yake ...Hata Hao walioasi yaani shetwan na majini na mapepo yanamtambua kwamba ndiye muumbaji 🔥🔥
@dani721302 жыл бұрын
hakuna mwanadamu mwenye mbingu, wote mmekuta Biblia na Qurani . finali ni baada ya kifo.anaejua ni Mwenyezi Mungu pekee.Qurani haijakamilika bila Biblia. nenda popote pale waislamu wanapotoa mhadhara lazima waongelee Biblia ndo wakamilishe mihadhara yao.
@prophetislael52652 жыл бұрын
Mchungaj kafungua vifungo vya shat mbele zawatu duuu mazingeee anaandaa watu wake halafu anajifanya kawashinda duuu din kwa vyama vinashindana badala yakuacha dhambi wanashindindania din ambazo haimpelek mtu mbinguni bal matendo
@ayoubabdullrahaman61202 жыл бұрын
Prophet Israel funga wewe vifungo vya shati lako alaf ukatoe hoja kwa Mazinge kama utaweza
@prophetislael52652 жыл бұрын
@@ayoubabdullrahaman6120 mm sijui kushindana nawalopokaji kwavitu visivyo nijenga nawala havina maana yoyote kwenye safali ya mbinguni hapo nikuonesha kuwa muislamu mzalau mkristo namkristo azarau muisilamu kinacho fuata nichuki wakat hizo din zote Mungu anasisitiza tupendane nyinyi mafanya dini kama tm zampila unaleta ushabiki huku matendo mabaya mnafanya MNATEMBEA NAWAKE ZAWAT NAWAUME ZAWATU KWAGANGA MNAENDA POMBE SIGALA MATUSI HUKU MNASEMA DINI IPI NI NZUR DINI NZUR SIO UKRISTO WALA UISILAMU NIIKUACHA ZAMBI TU