Jmn R1 yetu nini tena ivo vifo vya gafla 😢😢😢😢poleni kwa family yote mungu awefariji wenu. Thanks nimeona village yetu kweli ❤❤❤R1❤
@roycoolboy928 Жыл бұрын
Ya Mërê R1 isha kuwa too much
@user-xc7ut5yl5g2 ай бұрын
Polesana
@niahussein5387 Жыл бұрын
Mungu akutangulie kwenye safar yk kwl
@MAUWA122 Жыл бұрын
Duuuh ndo nime amina kweli peke amehenda mung akulaze mahali pema uko peponi
@ecalisungu8146 Жыл бұрын
Poleni saana
@agnesscharles2474 Жыл бұрын
Kifo chako kiliniumiza sana Kweli sio kwamba kifo kinaogopeka ila tunaumia sn pale ndugu zetu wanavyo tutangulia mana tunako henda atupajui jamani dunia ni hure Kweli 😭😭😭😭
@nabitamukucha1006 Жыл бұрын
Pumzika kwa Amani ndugu yangu mungu Ahilaze roho yako maali pema peponi
@user-hu4fw7kp8o Жыл бұрын
Yohana dj INVISIBLE AMENISHAWISHI NIONE II VIDEO KUMBE NI NZURI KWELI NAKUMBUKA R1 marafiki we Zango wa mu r1 name waona
@issabaraka2404 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani ndugu yangu Mungu akulinde huko uendako.
@user-po7qc2pd7b Жыл бұрын
Pole
@dieudonneasende Жыл бұрын
Pol san
@lusambyasela1752 Жыл бұрын
Dunia nibure kweli poleni sana
@LusunguAnobeyamungu Жыл бұрын
Kweli vifo vya ahina iyo vinaumiza sana kweli duh
@jacksonsimtanda Жыл бұрын
Tafadhali wapendwa naomba msaada wanamba hiyo tafadhali
@bukiwatzarakey5084 Жыл бұрын
😢😢
@rizikinundu2251 Жыл бұрын
Pole sana
@brotherbenety Жыл бұрын
Inauma sana kweli
@ivonymachozi7020 Жыл бұрын
Punzika kwaamani kaka sote niwapitaji😢
@ungwaabdallah7068 Жыл бұрын
Poleni sana 😭😭😭
@BawiliEmedi-xc4xd Жыл бұрын
Kwakweli Sina lakusema nenda salama atuna uhakika uwendako kama ni Peponi Mungu kupiganie vita vikali uko uwendako.