MAZISHI YA MCH.PETER MITIMINGI/ MTOTO wa MAREHEMU Ninafuraha/ TUSHEREKEE/KINA MAMA ni VILIO WOSIA

  Рет қаралды 61,679

Carrymastory

Carrymastory

Күн бұрын

Siku ya leo amezikwa Mchungaji Peter Mitimingi nyumbani kwake Kawe Jijini Dar Es Salaam. Marehemu ameacha mke na watoto wa nne.

Пікірлер: 63
@memoryngambi7003
@memoryngambi7003 4 жыл бұрын
Mama mtumishi , Asante kwaujasili,nimejifunza mengi kupitia speech yako,ndivyo inavyotakiwa, kusali kuna raha.
@memoryngambi7003
@memoryngambi7003 4 жыл бұрын
Amepanda mema kwa watu wengi,alioyoyaacha yatafanya kazi duniani kote, Asante pastor mitimingi ulifanya kazi nzuri mungu asimame kwenye familia yako mema yako yasitoke.
@ikupamwaisoba4118
@ikupamwaisoba4118 4 жыл бұрын
Kwani hajui kiswahili? Ni jambo jema sana kwenda na mazingira na nyakati iliyopo,hongera mwanangu kwa kusoma kingereza.
@rastimoniquelion611
@rastimoniquelion611 4 жыл бұрын
Mungu amupokeye
@memoryngambi7003
@memoryngambi7003 4 жыл бұрын
Kwa mtu ambaye hajaokoka na hamjui mungu,hawezi kuelewa kitu,lakini mimi nimefurahi sana kwakua mmesimama kiimani,inatakiwa tue hivo,mungu awabariki sana,baba amelala hajafa.hongera sana,kwakizazi hizi so wengi wenye imani kama hii familia,we are together in spirit ,bodly am far,I'm in tunduma,mungu azidi kuwainua nnamengi yakuzungumza kiasi kwamba nimelewa kwa neno la mtoto wewe ni shujaa wa yesu, hongera sana sana sana.
@sekelajackob2905
@sekelajackob2905 4 жыл бұрын
Mungu aendeleee kuwatetea familia
@mariamchiguma7465
@mariamchiguma7465 4 жыл бұрын
Amina. Jamani. Imeniuma. Sana
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 4 жыл бұрын
Poleni sana family ndgjamaa marafiki na waamini wote. Na pumzika kwa Amani KIONGOZI bishop Peter Mitimingi.
@hepineskazinili9935
@hepineskazinili9935 4 жыл бұрын
Polen xana apumuzike kwaaman
@gaudensiamganga1695
@gaudensiamganga1695 4 жыл бұрын
Amina, Mungu awatunze
@zainabumagaiwa4097
@zainabumagaiwa4097 3 жыл бұрын
.pole
@florencehinz7178
@florencehinz7178 4 жыл бұрын
Poleni sana...mungu awape nguvu
@selinamoshi2569
@selinamoshi2569 4 жыл бұрын
Mungu apumzike roho yake mahali pema peponi
@sadibatangalwa5890
@sadibatangalwa5890 4 жыл бұрын
Pole sana
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 4 жыл бұрын
Pole sana familia ya miti mingi.....R.I.P papa
@drcelinekavira5654
@drcelinekavira5654 4 жыл бұрын
Mungu awatie nguvu, Kanisa LA bwana. Tutazidi kuwaombea
@christerrodgers6519
@christerrodgers6519 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@rosejoseph2228
@rosejoseph2228 4 жыл бұрын
Polen sana wanafamilia
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 жыл бұрын
Mambo ya mungu haina makosa poleni sana sana
@marwalzzy5983
@marwalzzy5983 4 жыл бұрын
Inauma sana
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 жыл бұрын
Sasa kwanini mnapenda kuongea kiingereza wakati watu wengi wanaokuwa eneo la tukio ni waswahili na hawajui kiingereza??
@saidhamad3897
@saidhamad3897 4 жыл бұрын
Hili jambo limenitia hasira sana anapenda mauzo kupitia English
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 4 жыл бұрын
Hata mm inanikera sana mtu yupo msibani tena kwa bb yake anajifanya anajua kingereza jinga kweli
@lightnesstumsifu6593
@lightnesstumsifu6593 4 жыл бұрын
Uende salama mtumishi
@freshamwangishow2117
@freshamwangishow2117 4 жыл бұрын
We thank God kawapa nguvu
@mamkefondofondo9386
@mamkefondofondo9386 4 жыл бұрын
Poleni
@salmaalimusa547
@salmaalimusa547 4 жыл бұрын
Innalillahi wainnaillaihi rajiun
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Amiina
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 4 жыл бұрын
R.I.P
@princeobeid663
@princeobeid663 4 жыл бұрын
Carry umeleta mapinduz kwenye hii tasnia ya habari kama unakubaliana na mm bas 2pia like
@Carrymastory
@Carrymastory 4 жыл бұрын
🙏🙏🔥
@juliakiluge5328
@juliakiluge5328 4 жыл бұрын
Rest In Peace Man of God
@childofgod4412
@childofgod4412 4 жыл бұрын
Poleni sana ila hizo mask mlivyozivaa
@johndieme6402
@johndieme6402 4 жыл бұрын
Docta mwaka nikonaonabptuyahuzuni unanireteyamambo yamichepuko unatakaninimiyesitakimutunamumoyakamahujuwe
@japhetisraelsmafie997
@japhetisraelsmafie997 4 жыл бұрын
Anakera sana huyu kijana kwani hajui kiswahili,?au anaona ifahari badala ahuzunike msiba wa baba yake,jinga kweli
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 4 жыл бұрын
Ndo kusema hujui kiswahili vizuri au vipi
@lindambilinyi6253
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Bongo sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@benedictihhando5060
@benedictihhando5060 4 жыл бұрын
kweli kizuri hakidumu
@tatuselemani88
@tatuselemani88 4 жыл бұрын
R I P Peter Miti Mingi
@rebekayotam2368
@rebekayotam2368 4 жыл бұрын
Rip
@rizikimsingili330
@rizikimsingili330 4 жыл бұрын
Hawa ndio wanajisomeshia sadaka vingireza vingi
@childofgod4412
@childofgod4412 4 жыл бұрын
Yaani akaachwa gwajima😭😭
@dinatinaeliah4297
@dinatinaeliah4297 4 жыл бұрын
Du
@priscadaniel4964
@priscadaniel4964 4 жыл бұрын
We acha ujinga
@HiHello-nl8lq
@HiHello-nl8lq 4 жыл бұрын
Jmn
@victoriadaizy5277
@victoriadaizy5277 4 жыл бұрын
Rest in peace papa 💔💔🙏
@androydthegully6390
@androydthegully6390 4 жыл бұрын
Eti furaha, hatari sana Usiwe unafurahia mahela alio acha kimoyomoyo
@freshamwangishow2117
@freshamwangishow2117 4 жыл бұрын
Mungu kawapa nguvu wataka walie ndio nini,,,,elewa kizungu
@danielombela1237
@danielombela1237 4 жыл бұрын
Mingereza sana jewasiojua luga itakuaje
@saidhamad3897
@saidhamad3897 4 жыл бұрын
Hahaha
@ahdahmed8383
@ahdahmed8383 4 жыл бұрын
Smina
@azizizuberi7177
@azizizuberi7177 4 жыл бұрын
R.I.P papa peter mitimingi we remember you...
@mawaidhatvonline4601
@mawaidhatvonline4601 4 жыл бұрын
Huenda wamefurahi kufariki huenda walikuwa hawampendi mbona na mama yake anafuraha
@christerrodgers6519
@christerrodgers6519 4 жыл бұрын
Mpuuz weee
@johndieme6402
@johndieme6402 4 жыл бұрын
Poresanamutimishi arinirumiza
@hafidhali3020
@hafidhali3020 4 жыл бұрын
Amefariki kwa korona
@mariyaal5366
@mariyaal5366 4 жыл бұрын
R.I.P
@filbertbernard3227
@filbertbernard3227 4 жыл бұрын
Polen jamani
Synyptas 4 | Арамызда бір сатқын бар ! | 4 Bolim
17:24
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 13 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
MITIMINGI # 1070 TUTAKUKUMBUKA DAIMA MCH & MWL DR PETER MITIMINGI
4:36
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 65 М.
USO KWA USO MWIJAKU NA ALIY KAMWE WAKUTANA
4:31
Lema TV
Рет қаралды 2,1 М.
MITIMINGI # 675 JIFUNZE KUKATA KIUNO KUBORESHA TENDO LA NDOA
15:41
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 571 М.
Historia ya Mchungaji Peter Mitimingi
7:15
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.