No video

🚨Mazito yaibuka Aina ya Sajili za Simba na Yanga,Zipi kulipa,Umri mdogo au udhoefu.

  Рет қаралды 7,324

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #ahmedally #alikamwe #simba #simbaislive #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube

Пікірлер: 48
@issufomabbetto321
@issufomabbetto321 Ай бұрын
siyo kweli kwani chama alipo kuja simba alikuwa na mwaka mingapi
@TheMrisho
@TheMrisho Ай бұрын
Ukiona wanaongea sana roho zinawauma wengine. Kwani hapa mpira ni wa square
@ramadhanseif4178
@ramadhanseif4178 Ай бұрын
Sw nimecheka sana
@MAISHAYAKIIMANI
@MAISHAYAKIIMANI Ай бұрын
WACHAMBUZI WA KIBONGO WANAFIKI SANA WAKISAJILI UMRI MKUBWA UTASIKIA WAZEE HAWAWEZI MPIRA WA USHINDANI NA VIJANA WAKISAJILIWA VIJANA HOO UMRI MDOGO HAUFAI WANAFIKI WACHAMBUZI UCHWARA
@velxempire8995
@velxempire8995 Ай бұрын
nikeshindwa kuvukilia huy jamaa ni msenge kabsa mapenz yanamzidia 😊
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Ай бұрын
Hawa ndo wanatuombea wachezaji wetuh mbayaa
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Huyo chama akiwa simba mlisemaa mzee ila leo hii tena amekuwa mzuri hawa machambuzi makuma sana
@manguruwe7744
@manguruwe7744 Ай бұрын
Uyo mzee mbona kama ni mnafki sana kwa simba leo ni wana watoto
@EMMANUELMBWAMBO-is4tn
@EMMANUELMBWAMBO-is4tn Ай бұрын
Watakuta wenye umri mdogo Yanga wenye ubora. Baka,job, kibabage,mzize,muda,Aziz,Yao
@hassanntankwa4156
@hassanntankwa4156 Ай бұрын
Mh mh sawaa bana Sisi sihawana experience but Hilo nilitarajia
@hajiseleman-un8so
@hajiseleman-un8so Ай бұрын
Kweli nyinyi wa chambuzi ni wanafki poleka unafiki weni huko
@user-gr6hz5oq2g
@user-gr6hz5oq2g Ай бұрын
Miaka 20 24 ndio umri wa mpira
@user-ps6wm2qm4f
@user-ps6wm2qm4f Ай бұрын
Ungekuwa mtaalamu ungekuwa simba utusaidie ila wew unaonekana ni Yanga kabisa sio mchambuzi
@velxempire8995
@velxempire8995 Ай бұрын
wachambuz wote wabov tafuten chakufanya waend wakafuatilie raja kasablanca wachezaj wanaumri gan
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 Ай бұрын
Wachambuzi wa hovyo kipindi Simba anawazowefu mliwatusi Leo eti Leo wasifulaie
@franccoz94
@franccoz94 Ай бұрын
Wanafiki nyie,si nyie ndoo mlisema simba wanawazee leo tenaa mmegeuka
@rufadiladebela7089
@rufadiladebela7089 Ай бұрын
Nyie sio wachambuzi niwalopokaji
@jumakalaye2792
@jumakalaye2792 Ай бұрын
Sio kweli unadaganya@
@yasminmohamed604
@yasminmohamed604 Ай бұрын
Sawa watu wamesajiri vzr sasa itakuwaje marefa wanaosajiriwa na hersiiiii? Huo ni mtihani sn😅😅😅😅😅
@user-mm9wd2km4i
@user-mm9wd2km4i Ай бұрын
Mnatuchanganya sana nyinyi juweni ivo... kwani nani aliekua anasema wachezaji wa simba ni wazee? Tumewachoka sana aise ebu mtuache
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Ай бұрын
Wachambuzi wa bongo kweli vilaza hawa c ndio walikuaga wakisema ina wachezaji Wazee
@JumanneRajabu-bg4ch
@JumanneRajabu-bg4ch Ай бұрын
Ajui mpira uyo
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Wacha isenge wewe
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Wewe ni pumbavu
@JumanneRajabu-bg4ch
@JumanneRajabu-bg4ch Ай бұрын
Yanga ww
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 Ай бұрын
Yatunze maneno yenu efm sasa hivi hakuna wachambuzi kuna mashabiki bosi wa kipindi jemedari tunakuheshimu wewe ni mchambuzi mzuri sana Tanzania ondoa mashabiki kwenye kipindi chako
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 Ай бұрын
Kwani n kitu gani mnataka kwa simba maana mlisema simba wana wazee leo hii tena mmebadilika kuma nyinyi😮😮
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Eti age si mhim pumbavu wewe
@kabazitv4293
@kabazitv4293 Ай бұрын
Wachambuzi wa bongo hawaeleweki sio wa kufuata, waliokuwa wanasema simba imekumbatia wazee leo eti vijana jahana uzoefu, huo ubora wa ligi sio ubora wa mtu, samatta alitoka simba tukiwa ligi ya chini kabisa akaenda mazembe akatwaa ugunguji bora wa afrika
@chillogeorge1383
@chillogeorge1383 Ай бұрын
Huelewi nini? Ni timu ngapi zinachukua ubingwa na watoto? Ukiwa na wezee wengi ni tatizo na ukiwa na watoto wengi pia ni tatizo. Watoto watakupa mbio lkn watakosa uzoefu na wazee watakupa uzoefu ila watokosa mbio. Ndio sababu unahitaji mchanganyiko wenye uwiano mzuri.
@IreneBukombe
@IreneBukombe Ай бұрын
Kwani hapo kina chama, pacome au wote tu wachezaj wa yanga wao wametokea ulaya? Acheni kuchanganya watu nyie
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m Ай бұрын
Tulisha wajuwa MTA nyamaza tu acha muda useme
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Baleke no w kuchukua ubingwa w africa
@siasporttv7823
@siasporttv7823 Ай бұрын
Ila ndo nimeamin wachambuz wanahongwa hebu nambie chama miqson rally bwalia na wengine walikuwa na uzoefu wa kimataifa upi ili hawa waonekane hawana uzoefu? Wote kimataifa siwamekuja kuchezea simba?
@JosephEmmanuel-eb7gj
@JosephEmmanuel-eb7gj Ай бұрын
Kwan nyie si mlisema simba wamezeeka na hilo lizee linalopoka 😂😂😂😂😂
@issufomabbetto321
@issufomabbetto321 Ай бұрын
sasa simba wamifukuza wachezaji wote si kuna wachezaji wamebaki,kama ngoma capombe,chemaloni,zimbwe,ayubo,.
@abinaeljuliusmwaikenda8529
@abinaeljuliusmwaikenda8529 Ай бұрын
Upendeleo Hanna kitu maelezo yenu hizo time zingine zinawatoa wapi?
@methuselambonimana4499
@methuselambonimana4499 Ай бұрын
Tatizo redio yenu ni kama wapiga ramli? Upuuzi wenu ni kwamba mki proof long hakuna wa kuwauliza. Mnabwabwaja tu.
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 Ай бұрын
Mkaraboko umeanza kuonyesha mapenzi live wewe ni yanga tunakujua tulia utakumbuka maneno yako
@issufomabbetto321
@issufomabbetto321 Ай бұрын
kumbe nhinhi siyo wachambuzi ila mipo kwenhe ushabiki.
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Huyu ni mjinga tu
@evanjelistandrewc.malela453
@evanjelistandrewc.malela453 Ай бұрын
Huyo mchambuzi ni digidigi hamna kitu.
@maryjkiosa3380
@maryjkiosa3380 Ай бұрын
Ebu tupishe uko
@LadslausiAugustino
@LadslausiAugustino Ай бұрын
Umetumwa wewe
@mamkinga1
@mamkinga1 Ай бұрын
Chronological age na mental age kachambueni mchele na matembele tu nyie.
@suitbertmaro5792
@suitbertmaro5792 Ай бұрын
Majinga hayaaaa machambuzi😅😅😅
@khalifazahor1522
@khalifazahor1522 Ай бұрын
Pumbavu
@righitkileo
@righitkileo Ай бұрын
Mchambuz hutakiwi kuwa na utimu.kama hujielewi labda
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 6 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 28 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 6 МЛН