🚨Simba 4-0 Fountain Gate fc,Kiufundi Simba imeimarika wapi,walipofeli Fountain.

  Рет қаралды 10,829

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@JacksonFaustine-r9c
@JacksonFaustine-r9c 18 күн бұрын
wanafiki kumbe niweng sana
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 18 күн бұрын
Msijisahaulishe; Fadlu alichukua ubingwa Morroco bila kufungwa mechi yoyote. Hiyo ni record inayoweza kujirudia. Hapa Simba ana timu nzuri na ameanza vizuri. Di ajabu hayo yakijirudia. Tumpe kongole zake kwa anachokifanya.
@johnremmy4036
@johnremmy4036 18 күн бұрын
Akuna wachambuzi hapo zaid ya wanafki 2
@mlembamo
@mlembamo 17 күн бұрын
Simba wameshinda nne, lakini bado hawaoni. Yaani yanga hawaoni tatizo ni simba tu. Kwendeni huko tumesha wajua
@mlembamo
@mlembamo 17 күн бұрын
Simba haijaanza kujipata. Simba haijawahi kuwa mbovu. Huu ni unafiki wa waandishi wa bongo. Yanga kuwafunga wale warundi wabovu wao wanaonekana bora. Yaani hawa waandishi wa bongo unafiki mwingi, sijui ni kweli kwamba wanahongwa?
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 18 күн бұрын
Mlikua mnabeza sana nyie wanafiki
@jacobjames8706
@jacobjames8706 17 күн бұрын
Huwezi kusema simba wameimalika kwa timu kama singida,tazama kuna wakati wanafanya counter attack na unaiona back line ya simba inatapatapa,hii inamaanisha kwa timu inasukuma mashambulizi simba itafungwa tu
@BisekoDaudi
@BisekoDaudi 17 күн бұрын
Wewe mbona hukusukuma mashambukiz ukafunga izo goal
@EliasiKumpuni
@EliasiKumpuni 18 күн бұрын
Chambua mpira mech uliyo iyona kimpira gori 7 na pointi 6 sio ndogo na aina maana kua simba atafungwa apana ira anatimu nzuri
@WedelAlmas-ns3vd
@WedelAlmas-ns3vd 18 күн бұрын
Ndio
@abdulrahmanmdimu6750
@abdulrahmanmdimu6750 18 күн бұрын
Wachambuzi kweli hamna cha kupongeza
@user-wn9bp5cl1j
@user-wn9bp5cl1j 18 күн бұрын
Yani mukwala anamilik ball anasumbua mabek mnamzungumzia vby?? Nandomech ya pili?? Apo clouds akuna wachambuz
@hassanomar8157
@hassanomar8157 18 күн бұрын
Mnaongea ujinga tu apo, mechi 2 za ligi mna payuka ovyo, chawa wa utopolo nyie
@nkoydavid9658
@nkoydavid9658 18 күн бұрын
Nadhani tuwe na wachambuzi ambao angalau wamewahi kucheza mpira.. Hawa kina Kampista ni ujinga mtupu..wachambuzi gani wanafikiria kila nafasi anayopata Striker ni lazima liwe goli? Ingekuwa hivyo kina messi wangekuwa wanamaliza msimu na magoli 200
@user-yr6bq3ct2w
@user-yr6bq3ct2w 18 күн бұрын
na bado ,,,, hakunaga mafanikio kwa mnafki
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 16 МЛН
SC VILLA VS CBE -  [1-2 HIGHLIGHTS] #cafcl #caf
9:32
TALKING SPORT WITH GRACE JOYCE
Рет қаралды 16 М.