Nampenda sana shekh Ramadhan Mwenyez Mungu akupe miaka mingi dunian apa vizaz na vizazi vikukute Ili wajifunze inshallah
@KhamisiJuma-xd7il2 ай бұрын
Amin
@mwanatumuswaleh15292 ай бұрын
Amiin
@MariamNkelame2 ай бұрын
Amiin@@mwanatumuswaleh1529
@jankoko34802 ай бұрын
Mashallah,Allah azidi kukurinda mutoto wetu
@aishahazary40972 ай бұрын
Maasha Allah...ALLAH ajaalie na kunipa mtoto mwenye hofu juu yake.Na iwe ni asbabu ya yeye kuwatoa watu katika giza na kuwaleta kwenye nuru ya Uislam
@omargargaar56112 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte mlio jumuika Allah akuhifadhi sheikh wg Shafi Allah amuhifadhi sheikh Rama Allah amuhifadhi sheikh wg Rama na wazazi wke ❤❤❤
@SaphiaMtindo2 ай бұрын
Allha huma amin sotepia
@KhadijaJuma-f8d16 күн бұрын
Maashallah Tabaarakallah hasbunallah Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu
@FatmaThaleyo-xk8jnАй бұрын
Masha Allah mungu azidi kukuongoza katika mambo Yako kakangu❤❤❤
TABARAKAALLAH MA SHA ALLAH ALHAMDELILAH BLESSED 🤲🤲🤲
@ImaniKijungu2 ай бұрын
Mashallah namuomba mungu mwanangu ikram aje kua nakipaj kama cha uyu sheikh lamazani
@KaoussouSeydi-k9zАй бұрын
Amin
@abdulrahmankafuku34492 ай бұрын
❤ mashaallah
@CheerfulDrumKit-du7qk23 сағат бұрын
Allahu Akbaru
@barakoibrahim2 ай бұрын
Mashallah, tabarakallah.
@bigmanfish63462 ай бұрын
TENA MUNANYOA MPAKA NGOZI KABISA HALİ MTUME (saw) ALIUSIA TUWEKE NDEVU
@HabibuSaid-up5sn2 ай бұрын
Masha allah
@mohammedabdullah58952 ай бұрын
Mashallah 🎉
@Aminedanisman767992 ай бұрын
MashaAllah.
@aishadakio72372 ай бұрын
❤❤❤❤
@MkuuHussein2 ай бұрын
Allahu akbar
@ShakurAKBAR2 ай бұрын
ALLAH AKBAR
@joseph-masija2 ай бұрын
Isaya 3: 12. Katika habari za watu wangu, watoto ndio wanaowaonea, na wanawake ndio wanaowatawala. Enyi watu wangu, wakuongozao wakukosesha, waiharibu njia ya mapito yako.
@MariamNkelame2 ай бұрын
Sijakuelewa
@hamidmussa8382 ай бұрын
Kwani hasom?
@SabatoMusa2 ай бұрын
Miemkristo lakini nampenda rama
@mohammedrajabumwamba13222 ай бұрын
ᴠɪᴢᴜʀɪ sᴀɴᴀ ᴋᴀᴋᴀ
@nshimyumuremyieric84342 ай бұрын
yani uslam unajazana uwong kitabu chenyewe niwongo tupu masheh wenyewe ni uwongo kwahyio ndani ya BIBILIA ndio kunapatikana neno la Ukweli ndio mana sisi wa christo tunamuwamini Yesu Katuerekeza katika njia yakurudi turipo tokea
@IbrahJuma-r5sАй бұрын
Munarudia mlikotoka wap
@samjosh122 ай бұрын
Hawa watoto mwisho wao unakuwa wapi? Maana tumewasikia wengi wakivuma halafu mwisho hawasikiki tena. Je, wanapotelea wapi?
@bigmanfish63462 ай бұрын
NIKO NA SWALI ZITO SANA. KWANINI MASHEKH MUNAMTANGAZA MNO MTUME (saw) NA HAMUFATI SUNNA YAKE YA NDEVU? Mbona mnachaguachagua ya kufata
@kachembarama42892 ай бұрын
Umeshasema Sunna sasa ww unaelewa maana ya Sunna
@bigmanfish63462 ай бұрын
@ usiulize maana. Ni mtume (saw) asema fugeni ndevu munyoe masharubu. Sasa huhishimu amri ya mtume (saw)? Mbona waleta za kuleta? Yani wachagua ya kufuata. Usilete ubishi tafadhali
Sunnah ni mwenendo wa Mtume (swallallahu alaihi wasallam) na Allah amemfanya yy ni kiigizo chetu so ni wjibu wetu kimuiga. sunnah zinatofautiana Kuna baadhi ya sunnah zimeelezwa na Mtume swallallahu alaihi wasallam kwa hali ya uwajibu ya kuzifanya nilazima kama sunnah ya ndevu na atakae acha anakuwa ktk makosa. Cha msingi tafuta Hadithi sahihi zinazohusu sunnah ya ndevu utaelewa haya ninayokwambia.. na ukipuuzia utanikumbuka siku moja
@bigmanfish6346Ай бұрын
@ kweli maryam. Please nipe WhatsApp yako nina maswali mengine
@nassorshebee222 ай бұрын
Twamtaka shariff firdaus atoe AYAH KAMA SHEIKH RAMADHAN
@WazirBoy-fe5ew2 ай бұрын
Mmh thubutu ataweza wapi?
@AishaMfaume-v8t2 ай бұрын
Mmmh we rama nenda shule ukasomee Bado wewe
@shabihiayubu68572 ай бұрын
Ila huyu mtoto kuna kitu mnakichanganya kwake na ni suala la umri wake Miaka mitatu nyuma alikuja masjidi ussisa ghala taq'wa akiwa na mzazi wake na alimtambulisha kuwa ana miaka 9 sasa mapaka leo bado ana miaka 9 t Hapa ukweli unahitajika sana ikiwa si lengo la kujifurahisha
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
Sheikh Shafii naomba kukuuliza swali muhimu hivi hauna asili ya ndevu au hupendi kuzifuga na huwa wazikwangua??
@ustadhshafiionlinetv2 ай бұрын
Sina kaka we njoo offcine unione
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
@ustadhshafiionlinetv Alhamdulillah,Kila sifa njema anastahiki Allah
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
@@ustadhshafiionlinetv sahihi
@ustadhshafiionlinetv2 ай бұрын
@@Hamis-ks1syAllahuma Amiin
@shabihiayubu68572 ай бұрын
Hivi ndevu ni sharti kwenye nini katika upande wa dini Maana watu badala waulize mambo yenye manufaa kwa uma unatizama videvu vya wanaume wenzako t na kuuliza