Maziwa yaungana Singida, mawasiliano ya barabara yakatika

  Рет қаралды 6,254

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

a
Mawasiliano ya Barabara kati ya Ilongero hadi Merya katika halmashauri ya Singida yamekatika kufutia maziwa mawili ya Kisisi na Masog’weda kuungana kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Singida.
#MafurikoSingida #AthariZaMvua #Mvua #Mafuriko
Tazama Vodacom Premier League, taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 6
@nasrakapama3670
@nasrakapama3670 4 жыл бұрын
Duuuh mtihani kwakweli Mungu Atunusuru nihatar
@machompondo7883
@machompondo7883 4 жыл бұрын
Watu wailongero tumuombe mungu
@josephbida5838
@josephbida5838 4 жыл бұрын
Ramani ya Tanzania haionyeshi ziwa singida.wewe mwandishi wa habari hilo ni ziwa au bwawa?
@yohanamasombe1267
@yohanamasombe1267 4 жыл бұрын
Maziwa madogo yapo mengi tu singida...na .... manyara
@samoramdemu2834
@samoramdemu2834 4 жыл бұрын
KUNA ZIWA MANYARA, HII TUMEISOMA HATA HUKO MASHULENI, YAANI LAKE MANYARA.
@evelynjohn4764
@evelynjohn4764 4 жыл бұрын
Acha ushamba wewe
MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 06/09/2025
48:53
Azam TV
Рет қаралды 8 М.
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 24 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
ULGSP: SINGIDA INAZIDI KUBADILIKA, STEND MPYA, BARABARA ZA KISASA
29:59
Ofisi ya Rais TAMISEMI
Рет қаралды 16 М.
SINGIDA: HII NDIO NYUMBA ALIYOLALA MWL. NYERERE AKIPIGANIA UHURU...
9:47