Ee Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania ibariki Young Africans Daima mbele Nyuma mwiko ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AminoKhalif11 сағат бұрын
Kila la heri wananchi ushindi mzuri mungu awalinde wachezaji wetu daima mbele inshallah 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💚
@MagrethMichael-l2u11 сағат бұрын
Mungu ijalie team yangu kesho ishinde
@scopy042811 сағат бұрын
Itapendeza sana kama CBE akichezea kichapo cha magol 9 ili iwe tumechukua Million 50 zingine kutoka kwa Mamaah
@dullamuwise48028 сағат бұрын
Allah awafanyie wepesi na awap afya njema n hapo kesho tuibuke n ushind wa kishindoo🔰🔰🇹🇿
@kassimchuo529010 сағат бұрын
Yangaaaa 4rever en ever......💚💚💚💚💚 nikiwa Qatar DOHA.....chama langu inshaaAllah MUNGU awajaalie mchezo mwema na ushindi mnono INSHAAALLAH 🤲🤲🤲🤲
@kassimchuo529011 сағат бұрын
All the best INSHALLAH to our lovely team Young Africans nikiwa Qatar DOHA 🤲🤲🤲🤲
@joycejoseph79968 сағат бұрын
Naiombea timu yangu ya yanga kesho ushindi wa goli 5 hatriki 1 Amen
@Bhuyenze9 сағат бұрын
Naipenda yanga kama wewe nimwanannchi laik hap
@MonicaSimon-py3nx10 сағат бұрын
Inshaallah mwenyezi mungu awajalie Afya njema kesho wapate ushindi zaidi
@5googleuuu7279 сағат бұрын
Kikubwa dua tu kila hatua. Mungu awape nguvu wachezaji wetu wawe na Afya njema daima inshaalah. Kesho tukijaliwa ni ushindi tu naona ubao. Utasoma 9
@fatmaomar833511 сағат бұрын
Kila la heri inshaallah kwa uwezo wake Allah siku ya kesho 2tashinda💚💚💛💛💛💯
@ZachariaJeremia11 сағат бұрын
Champions ever WANANCHI Hatuna Shaka na kikosi Chetu
@johnmwalongo11 сағат бұрын
Wanao amini tutashinda like hapa
@MwambaIddi-k6i11 сағат бұрын
Mungu awasaidie mtowe kipingo Cha mwana ukome
@RealworldtechnologyTV11 сағат бұрын
Camera imekuwa moto sana
@Chaimtv-m5z11 сағат бұрын
Kama wewe mwananchi like apo tujuwane
@mwajumampokileomckapela754110 сағат бұрын
Kila la kheri wananchiiiiiii 💚💛💛🔰
@JustineMtambo11 сағат бұрын
Jamani like yangu ya tisa iyoo
@patridabernard91489 сағат бұрын
Hakika tutashinda Kwa uwezo wa Mungu
@neemaisrael68810 сағат бұрын
Kila la heri my best team. Love my team.
@Zpauljr99411 сағат бұрын
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii💚💚💚💛💛💚💚💚
@nicksonmlay54211 сағат бұрын
champions 💚💚💚
@sultanhamis929210 сағат бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@kassimchuo529010 сағат бұрын
ALLAH BAARIK TO YOUNG AFRICANS KWA USHINDI MNONO NA POINTS 3 MUHIMU INSHALLAH YAA RABBAL AAALAMIN 🤲🤲🤲
@asseidabdallah10 сағат бұрын
Kwakweli nimekuwa nikiwafuatilia wakati wa mazoezi nimeona mkimuweka mbele M,Mungu kwa maombi hilo Jambo zuri, ni vyema liendelee.
@sanoureyaliwadoakaroyo169611 сағат бұрын
YANI MAX UMUONI KUCHEKA WALA KUONGEA KMA WEZAKE YEYE NI ANAFANYA MAZOEZI AKIA KIMYA SIJUI NI UPOLE WAKE WALA UJEULI 😂😂😂 WEZIE WANAPIGA MAYOWE YEYE KIMYA
@Dopa511510 сағат бұрын
Kesho ushindi mnono Mungu tubariki
@PaulTango-he8qo10 сағат бұрын
Max anapiga kazi sana ni msaada kwa timu yetu anafanya kila kitu vzr shida anaanza uchoyo kwenye baadhi ya nafasi anataka kuscore yy tu
@EmanuelMiyonjo7 сағат бұрын
Ushind mwingi 💚💚💚💛💛
@shakirakuchunga57708 сағат бұрын
Mungu yunasi , kesho ushindi upo
@ThomsMollel5 сағат бұрын
All the Best our yellow 💛💛 and green 💚💚 army 🫡🫡🫡
@ALLYBULULA11 сағат бұрын
Jaman mmemuona mussa ndao alichokifanya?
@GadsonEnos10 сағат бұрын
Ushindi Muhimu Hata God Yanga Rafiki Yangu Ana jua.
@pacomezouzoua917526 минут бұрын
R.i.p CBE najua wakija watafunguka kwasababu hawana cha kupoteza na wataacha magepu nyuma sisi tutapita na uwo uwo uchochoro😅😅😅
@EdsonMartin-e3k7 сағат бұрын
Mama samia nkwambie tu ukweli kesho kama unapenda pesa zako,..wapange Watoto wa chuo wakazee .....
@petergervas992810 сағат бұрын
Lkn tusionyeshe sir zetu
@ZablonMsalaba11 сағат бұрын
Timu kubwa sana
@ShabanPaschal7 сағат бұрын
Tunaoangalia muda huu tujuane
@MariaMnthax11 сағат бұрын
Pamoja sana💛💚💛💚
@MalinoKadwame-u1c7 сағат бұрын
Focaus
@Alexismadimo10 сағат бұрын
Mungu pamoja nasi
@rahmasaid958810 сағат бұрын
Inshaallah kher
@MahembaMwita-o2k11 сағат бұрын
Nashaurii taa ziongezwe hivyo vivuli vitoke
@salimhannah80859 сағат бұрын
Na emergency automatic generator kama hawana watafute mapema. Tusijekuiabisha nchi na umeme wetu huu.
@asseidabdallah10 сағат бұрын
Gemu Saa mbili na nusu usiku kwa Saa za Zanzibar😮😮😮
@patridabernard91489 сағат бұрын
Yaani jaman kikosi Kiko na full mzukaa Hadi rahaaaaaaaa
@beisawanabure11 сағат бұрын
Safi
@radhiamussa162910 сағат бұрын
Kila la kheri wapambanaji wetu umakini unahitajika na utulivu pia tumieni nafasi mnazozipata kwa usahihi na msimdharau mpinzani wenu kwani hana chakupoteza natumai kesho tutauona burudani nzuri mno kutoka kwenu