Mazungumzo Kuhusu Hali ya Kisiasa na Amani Afrika | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S18

  Рет қаралды 5,185

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc Жыл бұрын
Mh Jenerali unacheza namba zote,ni resource person, unafundisha mengi sana, lakini pia kama mchokozi wa mada kama mwandishi (Host) , congratulations.
@danielmwihava9779
@danielmwihava9779 Жыл бұрын
Ni mazunguzo yaliyojaa hekima na pia kutuonyesha tulikotoka, tulipo,na tunakokwenda katika kuwafundisha watawala wa afrika kuwa ili waepukane na machafuko ya nchi zetu wanatakiwa kurudisha madaraka kwa wananchi wao.MUNGU akubariki Jenelali Ulimwengu na mgeni wako kwa mjadala mzuri,mmependeza sana.
@michaelmlugu5654
@michaelmlugu5654 Жыл бұрын
Jeneral uko vizuri natamani kukuona anakwaana sijui nifanyaje Kibamba ni tofauti kidogo hanyooki ktk ukweli Naomba ajirekebishe bila woga,Ila huyu mzee ni mkweli na sio muoga
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@valentine467
@valentine467 Жыл бұрын
Upo vizuri
@IsmailClassictz
@IsmailClassictz Жыл бұрын
KAONGEA MENGI MAZURI LAKIN KUNA MOJA IVI SUALA LA USHINDANI MFANO CHADEMA AND ACT IKIWEKA NGUVU YAO PAMOJA TAYARI UMOJA NI NGUVU 🇹🇿
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Жыл бұрын
Wananchi wamekosa kali juu ya mambo muhimu yanayohusu maisha yao ya kila siku.Vikundi au kikundi cha watu ambao pia ni raia wamezoea kumilki mamlaka na mali za wananchi.Hao vikundi ambao kwa sasa ni wanasiasa watawala.Wamepofuka na mamlaka na mali za wananchi.Wananchi wakitambulika katika jamii ya Taifa;kwa haki zao,mamlaka zao,mali zao,tutaanza kuamini kuwa uhuru tunautamani unawezekana.Kwa sasa,nafasi ya Rais,ni tatizo kubwa sana katika jamii yetu.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Жыл бұрын
Tusidanganywe na WANASIASA AFRIKA MPAKA MUWE MASHOGA NDIO MTAAMBIWA MKO HURU 🤒🤒🤒🤒HAWA WANASIASA WAKO NA MASLAHI YAO SIO KWA AJILI YA WANANCHI
@paulhintay6916
@paulhintay6916 Жыл бұрын
Nzuri
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 Жыл бұрын
Ndg Jenerali na mgeni wako shukuranini kwa mjadala uliosheheni ufahamu mwingi wa mambo! Huyu Deus ni mjenzi mzuri wa hoja, na inapendeza kwa nchi yetu kuwa na watu wanaodadavua mambo kama Deus, shukuran.
@bulayamoffatmwmbilu5750
@bulayamoffatmwmbilu5750 Жыл бұрын
Deus umenena kweli.Nakumbuka Rais Moi wa Kenya na Rais Mkapa wa Tanzania wakati mmoja waliikataa Ruanda na Burundi kujiiungs na mtangamano wa Afrika Mashariki.Leo tunaona Ruanda ,Burundi ,Sudani ya Kusini na sasa having kuna hatihati ya Somalia nchi zenye matatizo lukuki utulivu hakuna
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 Жыл бұрын
wengine walikuwa na msemo wa chama kinilinde pale walipokuwa wakitaka kutoka michango yao
@bestman8182
@bestman8182 Жыл бұрын
Deus kwa mkwara! Eti It seems you are overstaffed here. U easily lose temper for no reason. 😂😂
@suremabusi4469
@suremabusi4469 Жыл бұрын
Jenerali, limaanza yai au kuku? Je, kunatofauti gani banana ya ukoloni na kujitawala? Cheo ni dhamana je, chama kimoja kutawala ni dhamana pia ? Kujitawala na kutawala ni kitu kimoja? Kwa maoni yangu kujitawala ni umoja na kutawala ni ubinafsi hata ndani yA watawala wenyewe.
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 Жыл бұрын
HIVI MNATEGEMEA WATAWALA WAWE VILE MNAVOWATAKA WAWE WAKATI AFRIKA NZIMA NI TEGEMEZI
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Жыл бұрын
Hueleweki
Когда Трамп договорится с Путиным?
29:35
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 63 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН