MB DOGG: DIAMOND ameniletea dharau, wameshikilia nyimbo zangu, nataka haki yangu tu sio kingine

  Рет қаралды 27,168

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 154
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious Жыл бұрын
Dah! Umemuuliza Swali Zuri Sana Kuhusu Mziki Wa Sasa! Na Kwa Mimi Nimgemshauri Afanye Mziki Wa Business Lakini Kama Hataki Pesa Basi Afanye Harakati 👈 Na Sidhani Kwa Ngoma Aliyotoa Kama Italeta Ushindani Maybe Italeta Harakati Kutetea Mziki Wa Nyumbani Lakini Sidhani Kama Atapata Airtime Kivilee.
@kebbymwalimu
@kebbymwalimu 7 ай бұрын
Wewe ni Legendary wa Bongo fleva na wimbo wako ulikwenda viral🎉❤
@contempo_builders
@contempo_builders Жыл бұрын
Good interview. All the best Master MB Dogg.
@davidomar-un4op
@davidomar-un4op Жыл бұрын
Jamani kuweni na huruma kila anae kuja lazima abebwe na Simba alafu ngongo wenyewe hauna tena nafasi ila bado nnafosi na yeye kwani wengine si wapo ,mtoto wa wato namuonea huruma alafu wanajifanya hawankubali,binadamo jamani
@joycepaul7887
@joycepaul7887 Жыл бұрын
Hujui kitu
@karaniomoit5259
@karaniomoit5259 Жыл бұрын
Simba mwizi anakula kwa migongo za watu wengine
@saummohamedm435
@saummohamedm435 Жыл бұрын
Simba gani
@hassanedwardchivatsi8970
@hassanedwardchivatsi8970 Жыл бұрын
Alafu wewe hujui kitu, kama hauezi pigania haki yako ungali hai unataka nani akupiganie haki yako, acha kutetea binamu mwenzio hujui nini anakifanya ndo afanikiwe wenginebwanapata mafanikio kupitia majasho za watu alafu yeye ndo anakifanya kwema mbele ya sura za wasio jua nini kinaendelea.
@hassanedwardchivatsi8970
@hassanedwardchivatsi8970 Жыл бұрын
Acha dogg apiganie haki ya na ivi kama ni kweli wewe utasema nini mbele ya watu
@kalistotv8795
@kalistotv8795 Жыл бұрын
Diamond platnumz mungu akuweke maisha marefu
@tsumaramasaid5002
@tsumaramasaid5002 Жыл бұрын
Azid kuiba nyimbo na kuomba nyimbo za wengine apige remix nyimbo za watu zilizo hit Ili ahit nayeye,tushakomaa akil🤣🤣
@Matayohamis0784
@Matayohamis0784 Жыл бұрын
@@tsumaramasaid5002 Kwani ngoma zake hazi hiti???
@tsumaramasaid5002
@tsumaramasaid5002 Жыл бұрын
@@Matayohamis0784 zipo kawaida kama za wengne tu 🤣
@JumbeMfuko
@JumbeMfuko 3 ай бұрын
Mb ni msanii hatari Kama mangwea asa iv hamna mziki ni vurugu endelea kuachia ngoma mfano was ngoma Ile girfrend❤
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 Жыл бұрын
Creez Nakubali Sanaaa, One of the best Presenter hapa Tanzania.. Unauliza Maswali ya Maana, kwasababu unajua kinachoendelea, kilichopita.. Na pia unamjua unaemhoji. Ndo mana hakuna Maswali ya Kishubwada.. Nakubali Sanaaaaaa....
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
ZIIKI ina washiriikii wengii Why ana mtaja Diamond Platinumz tuu😢😢😢 Kwaiyo Simba ndio kala hela zake From iringa
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Жыл бұрын
Anamtaja diamond sababu ngoma zake zilikua Kwa jina la diamond na sio zikii,hio ina ubaya gani?kwani hukuona ngoma ziko Kwa jina la Nani??Acha ushabiki maandazi ww😂
@alexxsheezo8394
@alexxsheezo8394 Жыл бұрын
Anasema hajapata hata shilingi zaidi ya Miaka 13,kwani diamond hio wakati mb dog anaimba diamond alikuwa Bado anajitafuta
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Жыл бұрын
@@alexxsheezo8394 the problem is that hamusikizi vizuri,yeye ameshtumu zikii na diamond,Kwanza zilikua Kwa zikii kisha diamond ndio akazieka Kwa jina lake,msikizeni mtu mumuelewe muache ushabiki ambao hauna tija, diamond ni msani na mb doggy pia ni msani hio ndio mwataka muelewe jamaa na sio kushabikia ujinga
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Swali zuri
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
​@@criminalminds7723hawa wasanii walio feli vibaya ki muziki wanaona wivu kwa Diamond hatari saa hizi msiki inauza music platforms wanajiona wakali toa wimbo weka music platforms tuone nguvu yako na uzuri wa ngoma zako
@bovickpascal6554
@bovickpascal6554 Жыл бұрын
Kalime
@sharontabitha4897
@sharontabitha4897 Жыл бұрын
Diamond diamond diamond though 😂 diamond hamia kenya juu uweeeh wtz hawajui umuhimu wako kenya tunakupenda infact your songs are trending number 1,2,3
@chiragahmbura9523
@chiragahmbura9523 Жыл бұрын
Mbona utuongelelee wakenya wote
@patricialuande9540
@patricialuande9540 Жыл бұрын
MB Dogg...one of the best at all times❤❤❤❤
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Nakupata nkiwa jordan🇪🇭😍😍
@giddyyunky7025
@giddyyunky7025 Жыл бұрын
All the way zanzibar mb hit banger forever
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 Жыл бұрын
He huyu diamond duh mumpumzishe watanzania kl kitu yy basi
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 Жыл бұрын
Kila msanii wa zamani lazima ionekane anachuki na diamond
@davidomar-un4op
@davidomar-un4op Жыл бұрын
Alafu mkizeeka muwe munakubali,mshaa zeeka ubongo umelala ,capacity iliyobaki kwa ubongo wa huyo jamaa ni yakulea ujukuuu tu😂😂😂🇲🇿
@MtuSafi
@MtuSafi Жыл бұрын
Ukizeeka mali zako unatakiwa kuziacha zipotee?..
@nkamangi4707
@nkamangi4707 Жыл бұрын
​@@MtuSafina yeye atabaki kijana milele watu bana
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 Ni hatariiii
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 Жыл бұрын
MB mbwaaaaaa
@halimamndeme6908
@halimamndeme6908 Жыл бұрын
Namkubali sana huyu mwamba mbdog apewe haki zake..hata anavyoongeea mwana saikojojia yeyeyo yule anatajua amedhulumiwa kweli haki yake..hadanganyi
@user-cj2ik6lx3o
@user-cj2ik6lx3o Жыл бұрын
Duh jamn achen mambo yenu Simba acheni alee bata
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Жыл бұрын
#Diamond kazi anayoo yaani kila aliyechoka na Maisha lazima aanzishe vita na mchizi hili atrend mfano..#Alikiba,#Chino,#Harmo #Wakazi,#Roma, ona na huyu sasa #Dogg
@iscoohguminho7622
@iscoohguminho7622 Жыл бұрын
MBAKA DIAMOND KAKONDA..MAANA KILA MTU ANATAKA KIKI KWAKE
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Anakutomba au mbn unatetea ufala
@maleek11flacko
@maleek11flacko Жыл бұрын
Kiki gani wakati ni ukweli
@ramadhanihazard5459
@ramadhanihazard5459 Жыл бұрын
diamond hii platform kubwa sana kwenye mziki wa nyumbani kila ajae na anaefufuka lazima alipitie hilo jukwaa na mpango ule ule kum diss
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 Жыл бұрын
Ni lazima uji update bro, muzik mzuri hauna kabila. Niviru ukateka maskio ya kizazi kipya, mashabiki wako wa zamani hawana time na muziki sana. Majukumu ya familiya yamezidi.
@martinmbesi5551
@martinmbesi5551 6 ай бұрын
Nimkubali sana wakati wakati wangu
@AliAli-zg1kp
@AliAli-zg1kp Жыл бұрын
Mimi na isikiza kutoka Washington state
@Zenny89
@Zenny89 Жыл бұрын
Huyu ni Njaa tuu inamsumbua..inanikumbusha Kama H BaBa zamani alivyokuwa anamponda Diamond🤣🤣🤣🤣 Halafu si kila Msanii wa zamani aheshimiwe kisa ameimba Enzi hizo…ni Kama Sawa Teja la mwaka 1974 linataka liheshimiwe mwaka 2023 kisa limekuwa Mbaba mtu Mzima..kumbe bado Teja🤣
@taswiramedia
@taswiramedia Жыл бұрын
DOSARI EP 02 kzbin.info/www/bejne/bnu7aKZreb6qpc0
@kaburaakbar4838
@kaburaakbar4838 Жыл бұрын
muacheni simbaa jamani diamond platnumz sio level zenu
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Unajua historia ya MB na wasafi au ndio munamuona huyu mjinga nenda katizame nyimbo za MB dog zinashikiliwa na wasafi nikweli.
@tabujuma5366
@tabujuma5366 Жыл бұрын
Mozambique
@TSMONEY92
@TSMONEY92 Жыл бұрын
From songwe regional….upcoming….artists
@samuellevy2564
@samuellevy2564 Жыл бұрын
Good
@martinmbesi5551
@martinmbesi5551 6 ай бұрын
Alikuwa mkali sana enzii izo
@abdulchilyunga7575
@abdulchilyunga7575 Жыл бұрын
Uyu bwana inaonekana aliuza haki zake pesa zimeisha anakuja kudai
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Жыл бұрын
😂😂😂😂 Ni hatariiii
@jeffyasin2977
@jeffyasin2977 Жыл бұрын
Me sielewi inakuwaje nyimbo zake zipo kwenye digital platform yake zinamilikiwa na yeye afu diamond ndo anazishikilia hv inakaaje
@MrDJbobomix
@MrDJbobomix Жыл бұрын
from France PARIS
@momadesuales
@momadesuales Жыл бұрын
Doggy man namkubali sana mshikaji
@mwenendoassani9127
@mwenendoassani9127 Жыл бұрын
From Burundi ❤❤❤❤
@fababindawood8363
@fababindawood8363 Жыл бұрын
Huyu ashafulia anatafuta namna ya kuja juu kupitia mgongo wa simba 😅😅😅😅😅
@chiragahmbura9523
@chiragahmbura9523 Жыл бұрын
Nawafatilia Show nikiwa Kenya 🇰🇪 Bambur Mombasa County
@mwajabukalage7824
@mwajabukalage7824 Жыл бұрын
Jamani kuwa mond ni kazi kubwa, Diamond tunakuombea uwe na maisha marefu Ili wasanii wetu wengine wawe nao wanaonekana
@kebbymwalimu
@kebbymwalimu 7 ай бұрын
Diamond amehaki wimbo wa MB dog muasisi wa Bongo flavour, akae nae wafikie muafaka wayamalize.
@zanzibarboyzanzibar509
@zanzibarboyzanzibar509 Жыл бұрын
Wasanii wa Bongo kuweni Serious Dunia nzima isimame kwa Nyimbo yako wewe? duh hatari
@jamalchisasa
@jamalchisasa Жыл бұрын
bila diamond mtamchafua nan cjui daah mtu wakat wako umeisha bado unataka kufoci kaa kushoto watu hawana mda na ww rasta kama kamba za ukwaju
@officialkassimu7791
@officialkassimu7791 Жыл бұрын
Wewe njaa ikikuuma kaa utulie wachana na simba wakati wako uliisha bana
@hamadyasin7429
@hamadyasin7429 Жыл бұрын
Kw hiyo sns ndio mahakama au!!
@user-hd4ld7fw7j
@user-hd4ld7fw7j Жыл бұрын
Natazama nipo🇲🇿
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML Жыл бұрын
Sasa hivi tajir ni diamond tu cz kila aliyechoka ni lazime aanze na diamond tu kmamayeeee
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 Жыл бұрын
Tunaku miss sana kaka 🔥🔥🇰🇪💪💯
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 Жыл бұрын
Sanaa🤔🇪🇭
@jonathanmwisho2649
@jonathanmwisho2649 Жыл бұрын
Kweli kabsa kaka Umesma ukweli inabid upate haki zako za msingi daimond iyo ndyo tabia yake
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Natazama nikiwa Saudi Arabia 🇸🇦 ❤❤❤
@vipackyummy6916
@vipackyummy6916 Жыл бұрын
tufanyeje
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
@@vipackyummy6916 jitie vidole vya nyuma mamako
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
@@vipackyummy6916 au una lengine
@samirmswahili
@samirmswahili Жыл бұрын
😂😂😂
@sundaysenga7608
@sundaysenga7608 Жыл бұрын
Dah!! Nimefurahi si uliniambia kwamba waja big up mwamba return of the master, Asake kaibia watu wengi sana na bado anaiba, pigania haki yako FA anawasaidia wewe konde big up bro
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 Жыл бұрын
Uonevu Kwa kweli Sheria ifuate mkondo
@silamnyama1642
@silamnyama1642 Жыл бұрын
Nko mombasa Kenya
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
KAPITA KOTE,,THE CLASSIC,EATV HAKUWATAJA HAO WATU,,NILIKUWA NASUBIRI KWA HAMU,,,NA DAI ASITAJWE HAPO,, UYO TALE UYO
@suzannembotcha3965
@suzannembotcha3965 Жыл бұрын
Belgique
@paschalewamtaa726
@paschalewamtaa726 Жыл бұрын
Uyu jamaa nimemchoka sana malalamiko Kila Siku aache ubwege aimbe tumsikie hii na hamisa mobeto ya ovyo Au ndo maneno ya mwijaku wakati ukipita uwezi Rudi nyuma
@Josh_1194
@Josh_1194 Жыл бұрын
Dimond hana tofaut na kina jayz na didy they’ll do anything for money and fame
@reaganmethod3309
@reaganmethod3309 Жыл бұрын
Jamaa aache kulia Lia kama haki ni yake awapeleke mahakamani adai fidia ya mabilioni.Haki akiiendea hivyo ataishia kuonewa huruma pesa hapati.Amtafute Albert msando awanyooshe kama alivyowanyoosha Tigo
@belyseiradukunda6079
@belyseiradukunda6079 Жыл бұрын
🇨🇦
@georgekabaka377
@georgekabaka377 Жыл бұрын
Kama mlikuwa hamjui ili uwe maarufu usitoe nyimbo wala movie... We tafuta chokochoko na Diamond basi OnlineTv zitakupa airtime... Bado mm tuu sasaivi namdisi Diamond.
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Жыл бұрын
Unajiona kama sasa wewe ni moja ya shabiki maandazi???😂yani mtu nyimbo zake zimeibiwa na diamond na akisema ameibiwa hio ni chokochoko😂kweli ww maandazi tu
@jacobsanga6118
@jacobsanga6118 Жыл бұрын
​@@criminalminds7723 una uhakika kama ameiba ...uliwaona wapi hukumu inatolewa Kwa kusikiliza pande Moja ya mlalamikaji tuuu? Cio kweli ni kherii ungepata nafas ya kumsikia na diamond anajibuje izo tuhuma ..
@adolphyamin1245
@adolphyamin1245 Жыл бұрын
Hivi kwanini mashabiki wa diamond mnakuwa hamna busara, yaani mtu anatetea haki yake wew unaona ni chokochoko kwa diamond... We kiazi nin
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
​@@adolphyamin1245kama qnaibwa haki yake aende kwa mmlaka husika apa ni njaa tu na wivu wa maendeleo unamsumbuwa
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Жыл бұрын
@@adolphyamin1245 hata sijui kwann wanakua mashabiki maandazi,tena wote,yani hata mtu akifanya kosa wao hua hawaoni,jamaa kapost ngoma iko Kwa jina la diamond kibali cha diamond ati kisha bado mtu asiseme
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Hii Kes ya mb dog,,angekuwa marekani alafu kaibiwa haki zake,,walah hao walioiba wangefirisika Kwa
@user-gk3pp8cz9o
@user-gk3pp8cz9o Жыл бұрын
Kweli wew ni Dogg tuachieni mond wetu mwehu wewe umechoka na maisha huko unaleta ujinga wako huku
@ChrisMoses-nk3kp
@ChrisMoses-nk3kp Жыл бұрын
Jiite MB dog (don't change)!@
@AminaKikapu
@AminaKikapu Жыл бұрын
Sauti mbona km my brother MilladAyo
@naimanimo4925
@naimanimo4925 Жыл бұрын
Listen mr,whatever your name is don't promote your work ,let simba do his things is the master take it leave it he his a big deal for now
@josphatthuo7105
@josphatthuo7105 Жыл бұрын
Your advitising your ignorance he just want his rights to his music which diamond stole and doesn't want give back if he's that of a big deal and has money why can't he give back what that doesn't belong to him
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Have u done some research to find who is right here course all MB song fall under Diamond and Ziki ,MB has the all right to speak even if its ur .
@comics3437
@comics3437 Жыл бұрын
Mwamba kapiga T-shirt flani hivi ya Upinde wa mvua 😅😅
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌.
@simulizi2632
@simulizi2632 Жыл бұрын
Hii ishu ipo kwa wasanii wengine pia na ni muda wa kupata haki zao🙋🏾‍♂️
@josephstephen1079
@josephstephen1079 Жыл бұрын
Mbona sauti inakwaruza hivyo halafu endelea kujiita MB Dogg tu ukibadili jina unazingua
@franzoonlinetv3641
@franzoonlinetv3641 Жыл бұрын
Mchizi kazungumza fact sana
@sheynalove7953
@sheynalove7953 Жыл бұрын
UK BEDFORD
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Жыл бұрын
Anaweza thibitisha kuwa ni Diamond Platnumz au Diamond Music walioclaim wimbo wake?
@rogerslwitiko3915
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Natazama SnS nikiwa Chato,Muganza, Geita
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 Жыл бұрын
Zik ziki ni wizi
@user-py6mn1uq7z
@user-py6mn1uq7z Жыл бұрын
Sisi wengine hatutembei ndo maana mengine ya wasanii hatuyajuwi tuwaachie wenyewe
@makongapatrick
@makongapatrick Жыл бұрын
Mimi niko zambia ila mi mu congo na wafata sana
@vedanismtv1892
@vedanismtv1892 Жыл бұрын
ila hawa wazee , njia nyingine ni kiki
@criminalminds7723
@criminalminds7723 Жыл бұрын
Kwaio kama mtu amaeziona kabisa ngoma zake ziko Kwa jina la diamond asiseme???ushabiki maandazi ndio huo sasa😂
@asiamerey9081
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Yani watafika mbinguni wakiwa wamechoka sana
@alexxsheezo8394
@alexxsheezo8394 Жыл бұрын
​@@criminalminds7723, huyo ni m2 mwengine ana2mia jina la diamond ,ukitaka kujua ukweli nenda kwa KZbin chanel ya diamond kama utaona wimbo wowote wa huyu jamaa, tatizo ni elimu w2 hawana elimu ndio maana
@tzfunchannel
@tzfunchannel Жыл бұрын
​@@alexxsheezo8394Tatizo pia huelew hajamaansha kuwa diamond ameweka nyimbo zake KZbin no but anamaanisha kuwa diamond kupitia ZIIKI MEDIA (music distribution publishing company) huwa anasambaza nakuuza nymbo za mb Dogg, na Mb Dogg akidai mirabaha(pesa) zake hapewi na moja ya sababu ni kwamba kwenye licensing Jina LA Diamond platnumz linatokea kama mmiliki wa hizo nyimbo
@user-cz2co3bc3g
@user-cz2co3bc3g Жыл бұрын
Clouds fm na wasafi fm tofauti nini?????100 dollars ikiwa mfuko wakilia niyako ata ukiwa mfuko wakushoto niyako
@ElisaLuisMarengula-wg9ul
@ElisaLuisMarengula-wg9ul Жыл бұрын
CLIS FLOUVER NENO NAMNA NYINGI AU NYENGINE UNASEMA SANA, ALAFU UNABOA😂😂😂
@wazirie4070
@wazirie4070 Жыл бұрын
Afu amevaa t-shirt inayopromote LGBTQ.
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mcfistonkawayakawaya2073
@mcfistonkawayakawaya2073 Жыл бұрын
Mimi nina wafata nikikuwa Kenya turkana kakuma camp refugee
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
Eeeeh 😮
@DogoCharle-gu4ge
@DogoCharle-gu4ge Жыл бұрын
Kwahiyo aibe wa wasichane Wacha uoga
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Жыл бұрын
Wamtaje Alikiba ama harmonize mbona diamond kila siku
@dhadkanmain7842
@dhadkanmain7842 Жыл бұрын
Ni Mwizi anatajwa Kwa Ubora Wake
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Жыл бұрын
Kuimba amapiano sio kwamb uko nje ya misingi, ww sio mfnybiashara kama huwez kubadilika lazima uwe versatile ktk hii game mzee
@user-nd5rt3xp2r
@user-nd5rt3xp2r Жыл бұрын
Mimi Sam nipo muzaqiki
@mduduonline8116
@mduduonline8116 Жыл бұрын
Unazingua mb dog kila fanya mziki
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Жыл бұрын
Watu wanatembelea upepo wa mond 😂😂😂
@babiddi8620
@babiddi8620 Жыл бұрын
Upepo ni mwizi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mb dog Yani kwajinsi unavyoonges unaonekana unaumia kuhusu daimond,,Yani kama unawivu na wasanii wasasa waliofanikiwa,,kaka mb dog usiumie Kila mtu na wakati wake,,kama wewe ulivyokuwa umehiti,,Yani kiufupi mb dog acha wivu
@dhadkanmain7842
@dhadkanmain7842 Жыл бұрын
Ni wakati Wa Quevo Kuiba..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@itNeza
@itNeza Жыл бұрын
Walio feli Kimziki wote Wakitaka kuja mjini Ni kumuongelea Diamond, Hembe Dodo kweliwewe Wakumsema Diamond Upumbavu kabisa. 🤔👀
@iskiji1240
@iskiji1240 Жыл бұрын
Mtu analalamika juu ya haki ya mziki wake kuporwa lakini wewe umeona diamond tuu. Yaani hawezi hata kuupload mziki wake unataka akae kimya. Hayo majibu kapewa na hao ziiki media lakn wewe uko kintiku huko hutaki aseme.
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
@@iskiji1240 wanatetea ukuma TU awo
@JacoboleKampuni-px9rd
@JacoboleKampuni-px9rd Жыл бұрын
Dog master
@musiclover7537
@musiclover7537 Жыл бұрын
Ukweli wasanii wa zamani walikuwa hawana hati miliki za kazi zao za muziki hicho ndicho kinawatesa Diamond anahaki miliki ya kazi zake zote zinasimamiwa na ziiki so wenye mapungufu katika hili ni ziiki ndy wanaomkosea mb doggy
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 6 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 47 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 65 М.
DUKANI KWA MEKU
11:05
Joti TV
Рет қаралды 332 М.