RAIS MSTAAFU Dkt.KIKWETE ASAFIRI KWA SGR DAR - MORO, "MABEHEWA MAZURI, MUHIMU NI KUYATUNZA TU"

  Рет қаралды 19,223

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

RAIS MSTAAFU Dkt.KIKWETE ASAFIRI KWA SGR

Пікірлер: 78
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 2 ай бұрын
R.I.P.JPM
@modenasayi
@modenasayi 2 ай бұрын
Magufuli hoyeeee 🎉🎉🎉
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 ай бұрын
Mama oyee haha
@MgasaEmanoeli
@MgasaEmanoeli 2 ай бұрын
Jpm forever
@nashonjoel20
@nashonjoel20 2 ай бұрын
RIP MAGUFULI Mbeba Maono, Heko kwa Dr. Samia kwa Kukamilisha Miradi ya Kimkakati.
@zephaniazacharia519
@zephaniazacharia519 2 ай бұрын
Rip Jpm
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 ай бұрын
Kuna watu walipinga ujenzi wa treni hii. Nashukuru wametumbuliwa.
@shedracknelson5486
@shedracknelson5486 2 ай бұрын
rip jembe magufuli.huyu alikuepo hapo alishindwa kufanya hayo bip up magufuli
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
@@shedracknelson5486 ungefanya ww
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 2 ай бұрын
Zee jinga sana
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 2 ай бұрын
Yeah big up jakaya kwa kuikubali kazi ya JPm na Samia ila nakumbuka 2010 ukiwa shinyanga ulisema serikali itajenga SGR.Ila Sasa J k saidia mama kupata pesa tujenge pia reli ya Samia SGR Lindi mtwara Ruvuma Mozambique na madaba Ili tz uchumi upae.
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 2 ай бұрын
Huo ukanda wa kisini washaanza kukusanya pesa nadhani soon ujenzi utaanza
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 2 ай бұрын
Sasa kusin kuna nn kwa wamakond uko
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 2 ай бұрын
​@samwelimoshi5614 ukitaka kujuwa kusini Kuna Nini nenda masasi Kaa pale barabarani utakubali kusini ni tishio Tanzania kwasasa inauza sana makaa ya mawe Toka Ruvuma tuna chuma , urenium kule songea na makaa ya mawe kule liganga na kule mbinga.pia tuna mafuta na gas katika ziwa Nyasa pia tuna gas na mafuta kule Lindi na mtwara chezea kusini wewe!
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 2 ай бұрын
wakushukuriwa Allah,serekali ya awamu ya 5 na 6 hao wengine wacha tuwajipakulie manyama ila mh Magu na mama ❤❤❤
@katemachanda7035
@katemachanda7035 2 ай бұрын
Ulikua Rais wetu. Tunakupenda!
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 2 ай бұрын
Rais hongera. Mama umepambana
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 2 ай бұрын
Sio asilimia 30, asilimia 30 ni bwawa la Nyerere.
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 ай бұрын
Tengenezeni barabara. Barabara za kuelekea station ni mbovu sana.
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
Ahsanteni nyoote marais wetu, wastaafu, mpk mama Samia. KAZI IENDELEE
@jameskapele441
@jameskapele441 2 ай бұрын
Hongera sana Serikali ya Tanzania🇹🇿
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Hongera kiongozi mambo mazuri hii SGR umependeza kweli kweli kabisa 🎉🎉🎉
@omariabeid3291
@omariabeid3291 2 ай бұрын
Well said Horn Adam Malima.
@ernestkomba5403
@ernestkomba5403 2 ай бұрын
R.I.P John Pombe Joseph Magufuli.
@dudemussa6715
@dudemussa6715 2 ай бұрын
Congratulation mama for your best job in our country.
@dullybrown7841
@dullybrown7841 2 ай бұрын
Wazo la ujenzi alikuja nalo JPM wangine wanataka na wao waonekana wana mchango hakuna mambo mazuri yote tz ni magufuli hakuna kiongozi waliopita na wajao wa kumshinda jpm
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 2 ай бұрын
Viongo sana hivi vizee kila kitu wazo lilikuepo ye mbona hakufanya uongo uongo tu wakati watu tunaakili tunaelewa
@bakarijumakupaza4351
@bakarijumakupaza4351 2 ай бұрын
Na mtasema Mwendokasi kaanzisha nani? Wakati kaanzisha Kikwete. Terminal namba tatu kajenga Kikwete akishirikiana na BAM Uholanzi. Nyerere Bridge ile ya Kigamboni kajenga Kikwete. NIENDELEE?
@pascofp145
@pascofp145 2 ай бұрын
Umeandika mapendi nahisia
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
@@dullybrown7841 muache chuki na roho nyeusi, loo
@thamani5842
@thamani5842 2 ай бұрын
@@FahadAbubakari Acha roho mbaya haikusaidii kitu
@starjay3052
@starjay3052 2 ай бұрын
tena bila kukopa ela magufuli alikua mtu kazi
@kwisa4899
@kwisa4899 2 ай бұрын
punguza ujinga
@starjay3052
@starjay3052 2 ай бұрын
@@kwisa4899 sipunguzi
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 2 ай бұрын
Eti bila kukopa na huo mkopo wa Dola Bilioni Moja kutoka Starndared charterd Bank kwa ajili ya ujenzi wa SGR JPM aliupeleka wapi😮😮😮
@starjay3052
@starjay3052 2 ай бұрын
@@modestwenceslaus9 ata jua yeye
@uwembatvonline
@uwembatvonline 2 ай бұрын
Huu ni mkopo hamna uwezo wa kujenga mradi mkubwa kodi zenyewe mnakwepa 😂😂
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 2 ай бұрын
Nakukubali sna pale unapokubali kuhsu magufuli alikufa watu wakiwa wnampenda mstaafu unajua siasa safi😊😊😊 hongera
@zawadix9574
@zawadix9574 2 ай бұрын
Kwa kweli lazima tu tunze hizi reli wa bongo waharibifu sana sana wata anza eba fenci copper kila kitu!!!!!
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 2 ай бұрын
Jpm in our heart
@eliassangisangi
@eliassangisangi 2 ай бұрын
Huna hata aibu
@AbuuMuhyiddin
@AbuuMuhyiddin 2 ай бұрын
Tunashukuru kwa jitihada za viongozi wetu pia usafiri uwe wa uhakika na safari ziongezwe walau ziwe tatu kwa siku.
@J4UPro
@J4UPro 2 ай бұрын
Magufuli alikuwa Mwamba kweli
@AzizMasenga
@AzizMasenga 2 ай бұрын
Nalola amanzi aya pamzi pali sumbuwanga.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct 2 ай бұрын
Ameongea vizuri , sasa najua watu wanapenda , kusifia sehemu moja tuu , kna watu wengi wamehusika kwenye hili , kipekee Dr JPM alikuwa na uthubutu wa kufanya hii kazi , na Rais S S Hassan kuhakikisha anamalizia kazi , ndivyo nchi inavyoendeshwa
@jamesmethusela1148
@jamesmethusela1148 2 ай бұрын
Magufuli ndio kajenga, watanzania karibu wote tunaelewa kipi ni kipi msitafute ujiko wa bure.
@JakoboKazilo
@JakoboKazilo 2 ай бұрын
Jk kikwete muongo, Hukuwa na uwezo wa kufanya vitu vikubwa maana ww ulikuwa bize kupiga madili tuu, ndo kinachoendelea hata hv
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 ай бұрын
Tumuulize mji wake mpya wa kingamboni alituenyesha mpaka michoro , ulliishia wapo ? Vp nao kesha umaliza 😂😂😂
@kilumbasalumwakulichombewa3844
@kilumbasalumwakulichombewa3844 2 ай бұрын
Tunaomba watu wenye ulemavu Watembelee usafiri huo ili wajiridhishe na huduma kwa ajiri yao kama zinakidhi mahitaji yao
@material_liv4674
@material_liv4674 2 ай бұрын
Halina hata haya hilooo. R.i P magufuli. Ongera Samia
@liberatedpeople6054
@liberatedpeople6054 2 ай бұрын
Natumai kila mtu kujilipia nauli hapo sio mwakani kwenye ripoti ya CAG tunasikia shirika linaendesha kwa hasara
@mopalmo5818
@mopalmo5818 2 ай бұрын
Mchongoko iko wapi ???
@modenasayi
@modenasayi 2 ай бұрын
@@mopalmo5818 hata mimi siwaelewi elewi kabisa
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 2 ай бұрын
Rais Mstaafu Kikwete alishindwa kujenga Treni SGR Marehemu ameanza Mam amemaliza anajitetea Tu Rais Mstaafu lakini alishindwa kujenga Treni ya SGR Mama amemaliza .
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 2 ай бұрын
Alikuwa anasafiri safiri nje ya nchi wazo bila utekelezaji ni Bure JPM hoyeee🎉🎉❤
@thobiasmnyasenga7950
@thobiasmnyasenga7950 2 ай бұрын
Hongera sana Mh kikwete Kwa kuanzisha hili wazo. Ukweli lilikiwa na brilliant idea
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 2 ай бұрын
Uwanja wa ndege wa dar tuu kikwete ulimshinda , mpaka mkamdarasi alirudi kwao Japan kwa sababu ya kukoaa malipo yake , kusema sio kutenda , matendo hayahitaji kusemewa 🫣🫣🫣
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 2 ай бұрын
Halafu muka muwa magufuli
@DAVIDMARTIN-ou6br
@DAVIDMARTIN-ou6br 2 ай бұрын
App yenu ya kufanya bookng inazingua
@badrimanu2468
@badrimanu2468 2 ай бұрын
Dar es Salam old capital of Tanzania isnt she
@magorymara5515
@magorymara5515 2 ай бұрын
Baadh ya watanzania hawana adabu huo wizi wa kijinga nikuwafunga miaka 30 huyo ni muwaji mkimkamata achukuliwe kama gaid
@tanzaniakwanza1699
@tanzaniakwanza1699 2 ай бұрын
Ujenzi wa Sgr, akiba ya dola kwa miezi 6 kwa kila African country na barabara ni azimio la AU kuwa Afrika iunganishwe na barabara pia Sgr. Kama Mkapa na Jk hukuanza kwa miaka 10 yoote, nyamaza. Watz watakutukana tu kwani JPM aliyatekeleza yote. Akatuachia dollar za miezi mi3 BOT. Wewe na Mkapa kaka yangu hukuweza. Pumzika usife kwa ma presha ya watz.
@SATZ-news
@SATZ-news 2 ай бұрын
Hana lolote kapanda train aliyotengeneza mwenzie na uongo wake hakuna lolote unafiki tuu na uswahili mwingi huna lolote😏😏
@richwase6550
@richwase6550 2 ай бұрын
🇹🇿🚈
@prosperitymaarifa3324
@prosperitymaarifa3324 2 ай бұрын
mungu amlaze mahali pema peponi magufuli..kweli kifo hakina huruma kaanzisha kupanda hajapanda..wanapanda wengine halafu wanajifanya kujisifia ndio sababisho so s😢
@emanuelelias4695
@emanuelelias4695 2 ай бұрын
ℝ𝕝ℙ 𝕛𝕡 𝕨𝕒𝕝𝕚𝕠𝕜𝕦𝕔𝕙𝕦𝕜𝕚𝕒 𝕟𝕒 𝕜𝕦𝕜𝕒𝕥𝕚𝕤𝕙𝕒 𝕟𝕕𝕠𝕥𝕠 𝕫𝕒𝕜𝕠 𝕜𝕥𝕜 𝕥𝕒𝕚𝕗𝕒 𝕙𝕚𝕝𝕚 𝕨𝕒𝕟𝕒𝕡𝕒𝕟𝕕𝕒 𝕦𝕥𝕙𝕦𝕓𝕦𝕥𝕦 𝕨𝕒𝕜𝕠
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,4 МЛН
TRENI YA MCHONGOKO DAR-DODOMA NAULI 100,000-120,000
2:47
Nipashe Digital
Рет қаралды 10 М.
Tawasifu ya Profesa Kithure Kindiki
12:00
NTV Kenya
Рет қаралды 3,4 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН