Mbarikiwa "achafukwa" kauli ya Geordev "Yesu akija atapanda gari yangu" Yesu sio limbukeni/tapeli...

  Рет қаралды 16,488

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 344
@qulasulle-hp1ni
@qulasulle-hp1ni Күн бұрын
Nawasikitia sana wanaosali kwenye madhabahu ya GIZA ya anayejiita nabii! Huyo 100% siyo mtumishi wa Mungu aliye hai labda mungu wa dunia hii!!
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Күн бұрын
Mbarikiwa mungu wa mbinguni akulinde na akubariki sana watumishi Kama huyu wamekuwa adimu sana katika uso wa Dunia wengi Hawasemi ukweli wakati wanajua kwamba msema kweli ni mpenzi wa mungu
@Zaburi-
@Zaburi- Күн бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@samweli7985
@samweli7985 12 сағат бұрын
Amlinde kwakutukana? Amlinde kwakukosa adabu kufuatilia maisha ya wengine ndiyo ahubiri
@husseinkiruta1712
@husseinkiruta1712 6 сағат бұрын
Utapeli huo manabii wa uongo
@abrahmanmussa1384
@abrahmanmussa1384 5 сағат бұрын
Hata bibilia ishayaongea sikuzamwisho watakuwepo kama Hawa yanini upate shida yawatu kama hawa
@SakinaValy
@SakinaValy 5 сағат бұрын
​@@abrahmanmussa1384kweli manabii wamejaa wa uwongo saa hii ni heri kubaki na mungu alie sirini
@ATHANASLUKEHA-ui7pq
@ATHANASLUKEHA-ui7pq Күн бұрын
Ubarikiwe Sana Mbarikiwa,Hilo jamaa limetuvunjia heshima wakristo Dunia yooote,juu ya Yesu wetu!!endelea kutoka kipondo.
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw Күн бұрын
Tena apigwe kweli
@FridaMwaihojo
@FridaMwaihojo 2 сағат бұрын
Mbarikiwa Mungu akulinde sana, huwezi kuwa adui kwa kusema ukweli wa kumtetea Yesu wetu🙏
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f Күн бұрын
Ahsante rafiki yangu mwema kwasababu ya neno la Bwana Yesu, neno la uzima!!!! Ww hakika ni mtumishi wa Bwana Yesu, sio hao kina Geordavi, huyu atatupeleka pabaya pabovu, atatuangamiza na maneno yake ya ajabu sana, inatisha sana!!! Bwana Yesu Kristo asifiwe!!!
@BettyKereth-ov2bp
@BettyKereth-ov2bp 12 сағат бұрын
Asante Baba kwa kukemea.Hivi mtu anaujasiri gani wa kulichukulia poa Jina lipitalo Majina.kumtaja Yesu Kristo kwenye mambo ya kipumbavu!! Jina YESU linatetemesha ati!!!
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 16 сағат бұрын
Yaani Umepasua Mulemule be blessed sana Mbarikiwa liwalo na liwe Ukweli lazima usemwe Siku Moja YESU atatukaribisha kwake Mpinga Kristo yupo kazini Kwa Kazi Kubwa mno wengi wanajifanya Watakatifu ili kuibia Watu Tu na kutaperi Mali za wanyonge
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Күн бұрын
Ameni mbalikiwa MUNGU AKULINDE YESU SIO WA KUCHEZEWA HIVI
@MtesigwaNyanguli
@MtesigwaNyanguli 22 сағат бұрын
Mtumishi wa Mungu mbarikiwa ahsante sana lazima ukemee na kuonya, yesu siyo mtu wa kuchezewa,na kutolea mifano ya kihuni, mungu na akutunze tupo nawe.
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 Күн бұрын
Mungu akubaliki mtumishi
@pmmovies767
@pmmovies767 Күн бұрын
❤MUNGU AZIDI KUKUPA SIKU NYINGI KATIKA DUNIA. KUNA MENGI ZAIDI WANADAMU WANAHITAJI KUSIKIA KILA SIKU KADRI MUNGU ATAKAVYO KUONGOZA KUNENA NASI. 👉🏽Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.❤
@eliaslaurent-it1id
@eliaslaurent-it1id Күн бұрын
yaani kazidiwa upako wa mungu na mtangazaji,kwani sikia swali aliloulizwa ni la kimungu ,lakini jibu ni la kishetani:
@LylianeBauma
@LylianeBauma Күн бұрын
Eti alitumiye gari lako kwani ninakakuambiya yesu masikini 😢😢😢😢 mambe megine munamukufuru Mungu sana hawa sio watumishi wa Mungu
@AnnaMwitega
@AnnaMwitega 5 сағат бұрын
Asante mbarikiwa kwa kutufungua macho Mungu akubariki sana sana.
@CosmasMbiro
@CosmasMbiro Күн бұрын
Nakukubali Sanaa mbarikiwa MUNGU aendelee kutumia ivoivo 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 karibu MTWARA ufungue huduma uku
@Franklajifaunuel
@Franklajifaunuel 11 сағат бұрын
Ubarikiwe sana Kwa kuwafungua walio wengi myoyo yao imeenda mbio kufuata ibada za mashetani ❤❤❤
@ChazMakavu-f9w
@ChazMakavu-f9w 18 сағат бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa kweli, na mungu akupiganie dhidi ya hao mahasidi wanaowinda roho Yako kwa hakika hawatoweza, wewe kama kuondoka utaondoka kwa unyakuo2
@NellyKombe
@NellyKombe Күн бұрын
Amina MUNGU akubariki sana mtumishi
@stevenkuhanwa7819
@stevenkuhanwa7819 17 сағат бұрын
Bila shaka huduma ya Moyo haipo na kao la Neno ndani ya hawa watumishi halipo kabisa! Aliyetamka na anayebisha wote ji watumishi wa mwilini, nafsini na rohoni wasio na ufahamu wala uelewa juu ya 'Yesu' wala 'Kristo' wala 'Neno' bila shaka wanamsubiri yule jamaa muigizaji aliye igiza filamu ya maisha ya Yesu Kristo.
@CafeJohn-n9o
@CafeJohn-n9o Күн бұрын
Kweli umeuwa bendi khaaa mwenyezi mungu tuhurumiye kwa wakirisito hii niaibu
@ommylax7231
@ommylax7231 Күн бұрын
Labda atampokea Yesu wa tongaremi 😅😅😅chizi uyu mzee anakufuru sana na waumini wake kawavuvia mapepo hata awajitambui
@GabrielBoniface-pe3kc
@GabrielBoniface-pe3kc 4 сағат бұрын
Wanaamua kumkufuru mungu kwasababu hawa ni watumishi wa kuzimu wa ufalme wa Giza wote hao kina mwamposa,geo devi mwenyewe na wengine wengi kama yeye
@EK-kp2np
@EK-kp2np Күн бұрын
Kuhusu kurudi kwa Yesu: Zakaria 14:4 Siku hiyo miguu yake itasimama juu ya mlima wa Mizeituni. Sasa sijui hawa wachungaji wawili wanamzungumzia Yesu yupi🥺. Someni maandiko!
@JoshuaOrikilulus
@JoshuaOrikilulus 5 сағат бұрын
Mungu utuhurumie
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s Күн бұрын
Ahsante mtumish barkiwa sana🙏🙏
@ArssanalmalijaWilley
@ArssanalmalijaWilley 4 сағат бұрын
Mtu akianza kulopoka mambo yakimungu kama Mungu yuko chini yako Hana muda wa kuishi Tena ktk Dunia hii mwisho wake umefika.yesu hayupo chini ya mwadamu yeyote.
@HassanAthuman
@HassanAthuman 2 сағат бұрын
Yesu anakaa wapi
@DismasVenance
@DismasVenance 14 сағат бұрын
Geordev ni mhuni nani asiyemjua bhana. Lamda vipovu wa kiroho. Mbarikiwa upo sawaaaaaaaa baba
@PaulMahiza
@PaulMahiza 2 сағат бұрын
Kwani Hadi akuombe gari Je, toka mbinguni kuja katumia gari lako wewe mshenzi!!?? Utakufa vibaya weweeee!😢😭😭😭
@moseshaule586
@moseshaule586 6 сағат бұрын
Kikeke ameuliza swali zuri sana
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 Күн бұрын
Jamaa katuvunjia heshima kweli yani Dah, Yesu tunayeamini alikufa siku ya tatu akafufuka hafu akapaa kwenda mbinguni na tunatarajia atarudi kama alivyoondoka leo hii atumie usafiri tena wa kafiri!!! Aaaaah siyo kweli
@GiliardLugala
@GiliardLugala 36 минут бұрын
Huyu jamaa j dev amezingua sana
@SylvesterKibamba-m4c
@SylvesterKibamba-m4c 3 сағат бұрын
Huyo akamatwe awekwe ndani asiendelee kutuhalibia ukristo
@frbm1729
@frbm1729 Күн бұрын
Mungu mlinde mtunze mtumishi wako Mbarikiwa.
@Pauloagustino-e1f
@Pauloagustino-e1f Күн бұрын
Utajili wa dunia ni mavi tu fahali yetu sisi ni yesu sio pesa wala vigali mnanvo vitabikia
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 7 сағат бұрын
Dakika 0-18, siyo sentenso ya kuchekesha. Ni tahadhari kwa waamini kuwa yupo Nabii mjinga hadi hajui Yesu atakuja na mawingu. Akija kutokea airport atakuwa Yesu tofauti na Kristo, Mwana wa Mungu. Hii inatisha
@kwisa4899
@kwisa4899 Күн бұрын
Safi sana yesu kapata watu wa kumsemea
@JumaChabanempondinho-t8y
@JumaChabanempondinho-t8y Күн бұрын
Usiongee usilolijua ana mkusudia yesu wa tongalend nchini kenya
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Pauloagustino-e1f
@Pauloagustino-e1f Күн бұрын
Wewe umpe lifti YESU wetu utampa lifti babaako sio YESU wetu mjinga mmoja wew
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 сағат бұрын
Gari ,😂😂😂😂😂😂😂😂, jodevi ,, Yesu atatemberea gari,😂😂😂,mtangazaji tuletee Mchungaji wakuhoji mwingine,tafuta wachungaji ,wanao mjua Mungu vizuri sana
@AbdallahSuleiman-vx6gp
@AbdallahSuleiman-vx6gp Күн бұрын
Ubarikiwe mbarikiwa
@SophiaHermanLukamata
@SophiaHermanLukamata 2 сағат бұрын
Mbarikiwa hatukani ovyo bali asemayo ni kweli unafurahia maneno ya nabii wako feki nya.mbafu
@saratimoth4734
@saratimoth4734 13 сағат бұрын
Mbalikiwa Mungu akulinde
@LillianMunyaka
@LillianMunyaka Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 mavi mavi mavi😂😂😂😂Mbarikiwa ubarikiwe kamajinalako BABA
@peterodera5685
@peterodera5685 10 сағат бұрын
Ila kweli huyu nabii ni wajabu sana nashangaa sana kuhusu wafwasi wake
@JabirJabir-r5g
@JabirJabir-r5g 5 сағат бұрын
Huyu ni mpiga Hela za mambumbu wasio jitambua.
@samweli7985
@samweli7985 12 сағат бұрын
Mbarikiwa elewa hili, Mungu siyo Babu Yako Wala nduguyako, unaongea kama YESU umejaa nae, unatukana watu wamungu kama Wewe ndiyo uliyo itwa na yesu
@samweli7985
@samweli7985 12 сағат бұрын
Mbona unaona kama Wengine hawana haki Na MUNGU?
@violetnasimiyu8718
@violetnasimiyu8718 11 сағат бұрын
😭😭😭😭ole wako joudev
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 11 сағат бұрын
Mbalikiwa usijiumize sana yamejichora haya kuwa mafreemason ila wameanza kutita hela na bado walifikili.kila tatizo linatatuliwa na pesa kumbe kuna matatizo yanamhitaji Mungu yeye kama yeye yamewakuta hela zao zimegeuka kuwa nyuki zinawagonga amesoma sehemu gani kwamba Yesu atakanyaga ardhi ya dunia mmoja baada ya mwingine watajichora kanisa linaomba kila kitu kitakuwa peupe
@AdekJekonia
@AdekJekonia 16 сағат бұрын
Namkubaligi sana huyu Mwanaume
@JosephTherathini
@JosephTherathini 3 сағат бұрын
Hilo lijumbe la kuzimu linashida sana. Yaan Yesu aje kupanda gari lamashetani.😊😊 kwanza natamani akukute akukaange motoni vibaya sana umemdharau vya kutosha. Kwanza kuna wakati uliikataa biblia ya Yesu ukatukana vibaya. Leo tena unataka apande gari lako 😂😂😂😂😂😂 una ujinga furani mimi hua naushangaa.
@EsauBakari
@EsauBakari Күн бұрын
mbarikiwa nimefurahi sana kumwambia ukweri huyu mwongo
@UpendoBarnoth
@UpendoBarnoth 12 сағат бұрын
Unàjua kuna watumishi siwaelew kbsa yan mtu anatania kabsa jina la mungu
@BenardLucumay
@BenardLucumay Күн бұрын
Mimi ni mkristo wa kurithi ! Mbarikiwa Mungu akubariki sana umaskini wa akili umewafanya " the so called" wakristo wa sasa kujidhalilisha sana!
@MussaTibeth
@MussaTibeth 18 сағат бұрын
Mbalikiwa nataka kujuwa na mm mnasema yesu akija vip nayesu aliendan yetu au ndaniyakohayupo.
@YohanaMsekefu
@YohanaMsekefu 8 сағат бұрын
Alie ndani yetu ni Roho wake
@meikoking
@meikoking 20 сағат бұрын
Unaweza Kutoa Wewe hata laki moja??😂😂😂😂 Maskini Hujui Lolote 🤣🤣🤣🤣🤣Utafika Umechoka sana wewe 😅😅😅Yaan hauna point kabisa
@EdwinNyabikwi
@EdwinNyabikwi 14 сағат бұрын
Yesu naomba unibariki
@hyasintkisika8848
@hyasintkisika8848 13 сағат бұрын
Yesu akija hata gusa ardhi hii, atakaa angani,
@kisesawapiliTv
@kisesawapiliTv 14 сағат бұрын
We mbarikiwa acha ulongo wako Umesema yesu baada ya kufufuka alipewa jina jipya lipitalo majina yote Swali je ni jina gani hilo tufahamishe na liko kwa aya gani
@EmilyTembo-pg6tg
@EmilyTembo-pg6tg Сағат бұрын
Ndio wakilisu
@masindemagee9603
@masindemagee9603 13 сағат бұрын
Uyoo Salim kikekeni muislam na waislam hawamwamini yesu kristo alikufa na kufufuka na geodevi injili yake haieleweki apo mbalikiwa haoni anahangaika nao bure maana hao ni watu wa siku za mwisho waliokataliwa kwa imani ya yesu kristo na pia wametabiliwa na manabii
@RodaMaganga-ye6ye
@RodaMaganga-ye6ye Күн бұрын
Daaah nmeogopa hizi kauli za geodavi Mungu atusaidie
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Ni lifesti sana huyu mzee. Si mnadhifu. Hatumii neno au nguvu za Mungu hata. Kajifanya Mungu. Bas yake pia si ya kiheshima. Ni kama playboy.
@TumsifuSilaa
@TumsifuSilaa 12 сағат бұрын
Makufuru makuu😭😭
@BjleonardBhianda
@BjleonardBhianda Күн бұрын
Jamani ni Yesu yupi ambaye Geo Devi anamtaja? ...Umpe lift Yesu wewe!!...jamani kiburi cha uzima kweli kinatudanganya..vimalimali hivi vya muda vinatufanya tusiwe na hofu ya Mungu. Yesu ni Bwana wa Mabwana na mfalme wa wafalme hawezi kupanda migari yenu..kipindi cha Yesu si kwamba kulikuwa hakuna magari..kulikuwa na magari ya chuma yakikokotwa na farasi lakini sijaona sehemu yoyote Yesu aliyatumia..Yesu alijifanya masikini lakini alikuwa tajiri katika yote..Nimejisikia vibaya sana kwa kauli yako..jirekebisha.
@israelmwasota
@israelmwasota Күн бұрын
Tz akili ndogo😂😂 Kasikilize interview ndo utamuelewa vizuri Geordev
@EmanuelMandoo
@EmanuelMandoo Күн бұрын
​@@israelmwasotakwa lipi tumwelewe
@Lucyiminza
@Lucyiminza 8 сағат бұрын
Ukipata aliye kuwa mtumishi wa Mungu aliyekua akitenda miujiza fake, akija hewani na kuongea mambo ya kipuzi, inaashiria kwamba ametajirika ya kutosha na sasa ameamua kuwaonyesha tabia zake kamili,,,,. Mungu tusaidie kwa kweli,.
@JusticeKleva
@JusticeKleva Күн бұрын
Tazama yuaja katika mawingi Kila jicho litamwona na hao waliomchoma na makabila yote ya dunia wataomboleza kwa ajili yake Naam amina ufunuo1:7 jodevi atakuwa upande Gani? Yesu anatukanwa waumini wa jodevi eti wanacheka mbalikiwa yesu akubaliki
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k Күн бұрын
Huyo itakua kakayake na Dayamond yaani msaanii ,itabidi aubde bendi 😂😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
Aliyemuuliza ni muislam ,salim kikeke ana uelewa , wa mambo haya
@lightandholiness
@lightandholiness 19 сағат бұрын
Mungu akutunze na kukuzidishia utukufu na hekima mtumishi japo wengi hawakuelewi leo ila injili au maneno yako haya yatakumbukwa vizazi na vizazi
@samsonmgaya4306
@samsonmgaya4306 17 сағат бұрын
Huyu mbarikiwa naye njaa tu...😂😂😂
@gidongailo7174
@gidongailo7174 14 сағат бұрын
Kweli manabii wengine hamna kitu kabisa😂😂😂 eti Yesu atataka kutumia gari lake😂😂😂
@StelaJohn-nj5yf
@StelaJohn-nj5yf Күн бұрын
Glory be to God Halleluja
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 5 сағат бұрын
Amakweli Torati huleta hasira😂,😂🤣
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Kwanza Grordave kaa yake si ya kawaida kwa mtumishi wa Mungu. Kuna dosari kubwa sana. Ni mtu wa kujivuna sana. Mwanao umempeleka wapi. Pesa ni makamı tu. Muigope sana Mungu wa kweli.
@RehemaGodfrey
@RehemaGodfrey 12 сағат бұрын
Kwanza anatia hasira Sanaa kiukweli huyo anayejiita nabii mkuu Yani ingekuwaga mungu wetu anatowaga adhabu papo hapo uyu uwo mdomo ungeenda pembeni kwaza .
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 сағат бұрын
MUNGU ni mwingi wa rehema
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Күн бұрын
Mpk nimeogopa!!!!! Ee Mungu uturehemu, jamani Mungu hadhihakiwi..😢😢
@BossiLaizer
@BossiLaizer 15 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ukiwa tapeli lazima ujiamini na uwe smart ndicho nilichojifunza,, mbarikiwa ni mlikole halisi
@RaymondMwanza-xm4jf
@RaymondMwanza-xm4jf 22 сағат бұрын
Nashangaa sana watu wanao Abidi Japon kwa huyo anae jiita nabii mkuu.hivi hayon majibu Yale hayatoshi tu kumtàmbua ni Nani!!Mbarikiwa MUNGU akuzidishie neema.
@AdekJekonia
@AdekJekonia 16 сағат бұрын
Hapepesagi macho watu kama hawa ni wachache sana Duniani
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 15 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Acha comedy 😂😂😂 Acha mambo yako 😂😂😂😂
@dr.jean-boscongendahimana7213
@dr.jean-boscongendahimana7213 Күн бұрын
Kweli kabisa hapa Mchungaji Mbalikiwa amenena jambo la maana sana.
@AdekJekonia
@AdekJekonia 16 сағат бұрын
Mungu awe nguzo yako
@meikoking
@meikoking 20 сағат бұрын
Huna Hela haya Makasiriko Yote Ni HELA HUNA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@annettemalechela7543
@annettemalechela7543 Күн бұрын
Jesus have mercy on us Mungu amekusamehe bure
@nichoojr.6747
@nichoojr.6747 2 сағат бұрын
SEMA KAKA ME NAKUELEWA SANA KATIKA BAAZI YA POINTI ZAKO LAKINI KUUSU KWAMBA WATUMISHI WA KWELI NI WALIO MASIKINI HAPO HAPANA ASEE
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 7 сағат бұрын
Uko vizur Mbarikiwa.uyo jamaa ni shetan kabisa. Ibilis. Mda wake wa kurudi kuzimu umefika.
@emilynathanielluvanda8298
@emilynathanielluvanda8298 Күн бұрын
Jaman mungemuuliza yesu yupi. Maana wa afrika weng wanamjua yule alie ekti muvi ya yesu marekan anaitw Brian dekon. Kwakuw yupo hapahap dunian huend atakuja nakumpokea
@MchungajiNzelani
@MchungajiNzelani Күн бұрын
Huyu jamaa anadharau sana eti atapanda gari yake ngoja tuone mtakako fika
@DonDallas
@DonDallas 6 сағат бұрын
inabidi yesu aliondoka na ndege ndio nimejua leo
@antipasbenjamin4327
@antipasbenjamin4327 5 сағат бұрын
Hakika hawezi kuyapanda hayo kabisaa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md Күн бұрын
Ananichefua sana huyo nabii muhuni alishamuacha mungu kitambo anaulizwa swali anajibu kwa kejeli eti
@edinahalexander5306
@edinahalexander5306 3 сағат бұрын
tatizo hamjamuelewatu. huyu baba.sasa unapomtukana mavi nawewe hujui kuwa ni duambi.anagawa mitaji amegawa magari hawezi kuwa maliza maskini hata yesu alieaacha.mimi niko mwanza.wala sio mshirika wake ika nimemuelewa
@Neema-m6s
@Neema-m6s Күн бұрын
Huyu nabii kamkufuru Yesu live tumemjua niwa upande gani
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 Күн бұрын
Wewe ndio ujamuelewa huyu mbarikiwa moto wake umejaa kujiona mkàmilifu kanisani kwake wako sita
@mwinjialiyetumwa2302
@mwinjialiyetumwa2302 14 сағат бұрын
​@@jewelmabhenga4742hata wangekuwa watatu,inatosha kwa idadi ya ki Mungu nasemajee,,,mtaumbuka kila kukicha mashetwain wakubwa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Сағат бұрын
Mpumbavu hujaelewa nn geo david alichomaanisha....
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 18 сағат бұрын
G D anazidi kuwa mlevi
@RubensaroSaro-ip6by
@RubensaroSaro-ip6by Күн бұрын
Tena anasema et Yesu ataomba kutumia gar yake , amemkufuru sn Yesu MUNGU amuhurumie jmn
@marthabenard3723
@marthabenard3723 5 сағат бұрын
Mwakipesile utunzwe na Bwana nakuelewa
@JosephTherathini
@JosephTherathini 3 сағат бұрын
Hili jamaa luna yesu mwingine yaan hawa wanaosali humo wanahasara kubwa sana. Unakua nababa wa kiroho anaetoa vitu vya namna hiyo mtandaoni😊 halafu upo tu hapo.kisa njaa. Mwisho atakua anawakojolea mokojo mdomoni. Ebu acheni jamani kukaa watu wa hivi. Mtaangazaji nakupa hongera Mungu amekupa ufunuo mkubwa ju ya swalhili.😂😂😂😂 tumejua anachowazaga huyu mzee. Ila Mungu amwokoe du! Inachekesha comedy hii😂😂😂😂
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 19 сағат бұрын
😂 Nacheka lakini naogopa, kwa aina hii ya watumishi kama Geor Dav basi una kila sababu ya kuwakemea kwa lugha yoyote watakayoielewa. Nimeiona hasira ya mtu mwenye haki.
@BossiLaizer
@BossiLaizer 15 сағат бұрын
Nataka tusali wote mbarikiwa fungua tawi la kanisa lako Arusha na Tanga wahumini ni wengi mno
@nabiiwaisharaonlinetv9863
@nabiiwaisharaonlinetv9863 Күн бұрын
ANAMTISHIA YESU NA KINYESI CHAKE ANAKIITA MAGARI YALIYOJAA UASHERATI MKUU NA WIZI HUYU NI MSHAMBA
@NtujiNdakiOfficial
@NtujiNdakiOfficial Күн бұрын
Nakupendaga kwa misimamo tu, duuuu,huogopi?
Hatimaye Mbarikiwa “AMLIPUA” Mch Daniel Mgogo. Unachofanya ni comedy au injili?
29:10
Lissu Akijibu Maswali Magumu ya Waandishi Baada ya Kutangaza Nia
2:00:06
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 15 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
Mbarikiwa awaimbisha waumini wake bila vyombo vya musiki akiwaonyesha mapito ya zamani.
14:02
RUTO NI NG©MA😱MUTUMIA URIA ARATREND KWARIA NA RUO NA MARAKARA
49:59
SHILOLE AELEKEZA NAMNA YA KUTAFUTA SHILINGI
22:11
Dina Marios tv
Рет қаралды 21 М.
Sheekh Mustafe Siirada Nabiga (ﷺ) | Qaybtii 2aad
3:29:56
Siirada Islaamka
Рет қаралды 168 М.
Farmer narrowly escapes tiger attack
00:20
CTV News
Рет қаралды 15 МЛН