MBARIKIWA Akiwasha leo kanisani kwa MWANA MAPINDUZI pamechimbika

  Рет қаралды 6,400

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@PhilipoJumbe
@PhilipoJumbe 2 ай бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu uliye jitoa mhanga kwaajili ya Mungu na Mungu asinyamanze juu yako na huduma uliyo nayo Mana huku daa injili imevamiwa na wagang wa kienyeji wansjiita manabii
@lucymwinuka3541
@lucymwinuka3541 2 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Mbarikiwa
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 ай бұрын
Mchungaji Mm ni mtumishi wa Mungu kweli kweli . Acha Mungu aendelee kumuinuwa zaidi na zaidi
@LydiaMuhoja
@LydiaMuhoja 2 ай бұрын
Nimefurahi sana, kuungana na mchungaji Mbarikiwa, kwa njia ya mtandaoni akiwa kanisani kwa Mwanamapunduzi,. MUNGU wangu nakushukuru mno.
@MugishoMwenda-sx6xt
@MugishoMwenda-sx6xt 2 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@DAUDIMWAMBALASA
@DAUDIMWAMBALASA 2 ай бұрын
mbalikiwa mungu akupe maisha mengi ili uendelee kututoa gizani
@KenedyMwakyimo-lf6jg
@KenedyMwakyimo-lf6jg 2 ай бұрын
😂😂kweli kabsa hizi message😂😂 ubarikiwe mchungaji mbarikiwa
@JacksonRamadhanMchakila
@JacksonRamadhanMchakila 2 ай бұрын
Bwana Akubariki sanaa Mbarikiwa nakuelewa sanaa nimepata kitu kipyaa
@Pendopasilika
@Pendopasilika 2 ай бұрын
Kweli kabisa mtumishi MUNGU akubariki
@mnyakyusambunifu143
@mnyakyusambunifu143 2 ай бұрын
Mnyakyusa Mbunifu Nipo Hapa Naendelea Kukufatilia Mtumishi Na Shujaa wa Mungu Injili Kama Hiyo Ndo Yenyewe Lakini Wengi Hawaipendi
@MercyKadutu
@MercyKadutu 2 ай бұрын
Amina
@JudithMbugi
@JudithMbugi 2 ай бұрын
Ameeeeen baba mlingoti chuma kamba chuma bendera chuma
@BartolomeuHenrique-mx1fn
@BartolomeuHenrique-mx1fn 2 ай бұрын
❤ ubarikiwe sana Niko Mozambique Pemba nakufuatilia
@eliudimsyani127
@eliudimsyani127 2 ай бұрын
A! MZEE TUNAKUELEWA SANA
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 2 ай бұрын
Kamanda langu likihubili Kwa sauti ya Mamlaka dadeki 💪💪
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 2 ай бұрын
Amen baba ninakupata kutoka Green city
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 2 ай бұрын
Halleluyahhh...💃💃💃💃
@EsterSwilah-jv6ns
@EsterSwilah-jv6ns 2 ай бұрын
Hii ni chuma mlingoti kamba bendera🔥🔥🙏
@kikosikaziupdate
@kikosikaziupdate 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 moto moto
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 2 ай бұрын
N kweli kabisa mchungaji waambie ukweli waache kuchafua jina la yesu
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 2 ай бұрын
Tanzania kama Tanzania wahubiri halisi tumebaki nao wapambania kweli na haki ni hawa wawili tu: Pasta MBARIKIWA na Pasta MWANAMAPINDUZI MAXIMILIAN MACHUM.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 ай бұрын
Neno ni Moja tu, Upendo na Haki na vyote vinaangukia kwenye kutenda Wema tu basi.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 ай бұрын
hii nimeipenda sana, kuna neno kwenye Biblia linasema ukitunzwa madhabahuni na wewe iache hapohapo madhabahuni.
@JosephAkida
@JosephAkida 2 ай бұрын
Ameeen sana
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n 2 ай бұрын
Gombo limesimama namna hii, duuu! ni kama nyakati za mitume wa Yesu.
@musajulias3392
@musajulias3392 2 ай бұрын
Pamewaka sana sana❤❤❤
@JuliusMakwengwe-x3e
@JuliusMakwengwe-x3e 2 ай бұрын
Unaeleweka sana sana baba
@musajulias3392
@musajulias3392 2 ай бұрын
Ameni baba
@re.emmanuelmdoe3345
@re.emmanuelmdoe3345 2 ай бұрын
Sura zimezizimaa😂😂😂 Kura chuma hiyo katika Imani Ya Kristo Yesu wa Nazareth.
@Leonard-jl8gt
@Leonard-jl8gt 2 ай бұрын
Huyu nimeanza kumhelewa ,dunia ni ya shetani ,ukihubiri haya uwe na moyo wa chuma,we ni mbarikiwa kweli
@ChristineDama-wf3sd
@ChristineDama-wf3sd 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏
@monicandengo4680
@monicandengo4680 2 ай бұрын
Leo kimeeleweka
@PAULOBURTON
@PAULOBURTON 2 ай бұрын
Hamna kitu hapo upo kwenye kanisa la freemason hao unaowapinga Kila siku mbarikiwa
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 2 ай бұрын
Wewe kama ni mzinzi, mwizi, mla rushwa (mwenye dhambi) wewe ni mkuu kuliko freemason. Kwani imeandikwa hivi katika 1 Yohana 3:8 atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo (NI MRITHI WA UWEZO WOTE WA IBILISI AU NI MWAJILI WA FREEMASON KWA KUWA FREEMASON NI WAKALA WA SHETANI). Zaidi ya hayo hata Yesu aliingia kwenye masinagogi ambayo alipinga uhubiri wa wakuu wa makuhani viongozi vipofu wa vipofu.
@AskofuAmosi
@AskofuAmosi 2 ай бұрын
Ameni
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 2 ай бұрын
Hilo andiko linaumizaga sana ila sijui namna ya kujua nitatenda kwa nani?
@sandejacob623
@sandejacob623 2 ай бұрын
Chuma chuma
@boskomushi8574
@boskomushi8574 2 ай бұрын
Nimehelewa
@TUMUENZIMBARIKIWA
@TUMUENZIMBARIKIWA 2 ай бұрын
Vyumavyumaaa
@FestonjohnngilangwaNgilangwa
@FestonjohnngilangwaNgilangwa 2 ай бұрын
Hiyo kama nyota kwenye bendera ya Israel hiyo nembo ni nani wanaoimiliki hiyo nembo?
@yuzzob
@yuzzob 2 ай бұрын
Israel 🇮🇱 mwenyewe
@KokoloLambinguni
@KokoloLambinguni 2 ай бұрын
Ninembo ya Israel tunatakiwa kuwaombea waisrael kuwainua kwa Bwana YESU kama unajua kuna maali inatumika wanatumia kinyume
@mvunge7108
@mvunge7108 2 ай бұрын
kunyanganya maskini pesa tu...wezi hawa hapo anaomna pesa
@Philipoupdates
@Philipoupdates 2 ай бұрын
Acha makasiriko amenyanganya za nani sasa sikiliza injili iliyonyooka
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 2 ай бұрын
Hujui unacho ongea wewe
@mkdg.4skolo891
@mkdg.4skolo891 2 ай бұрын
Kwnza mtumishi kama huyu hakuna na hata utfyte kwa tochi wew sdka zko peleka kwa mwmposa wko hkoo hpo hta hana tyme na sdaka zako anasstiza vjana wakapge kazi jioni warudi hemani mwa Bwana Wakamtukuze alivyowabariki wew hbri za kuwnyang'anya sadaka maskinj unazitoa wapi nyang'au weww mwnyewe nenda katubu hyo dhambi zako
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 ай бұрын
Jiongeze uelewe, na acha uelewa wa kinafiki nafiki.
@DativaDaud
@DativaDaud 2 ай бұрын
Mungu akusamehe hujui usemayo!
@alunekyusa4905
@alunekyusa4905 2 ай бұрын
Hilo andiko linaumizaga sana ila sijui namna ya kujua nitatenda kwa nani?
Unatakiwa kuona zaidi ya jamii inayo kuzunguka | Ibada ya jumatatu jioni  | 14/10/2024
1:19:11
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 204 М.
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 79 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 18 МЛН
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
MATOLE TV
Рет қаралды 8 М.
HUU NDIO WOSIA WA MBARIKIWA KWA WATOTO WAKE.
14:15
Devotha Sanga
Рет қаралды 11 М.
RAISI kupeleka waganga IKULU Mwana mapinduzi akiwasha Mbele ya Mbarikiwa
13:13
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 10 М.
TAZAMA TUKIO ZIMA LA MZEE CHIDUMULE KUKABIDHIWA GARI NA KUHANI MUSA
14:44
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 25 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 657 М.
TAZAMA MAMA ALIYEKUWA AKIMROGA MKWEWAKE AJITOKEZA BAADA YA MAOMBI YA NABII KIBOKO YA WACHAWI
22:06
Mbarikiwa apinga uwepo wa uchaguzi. Asema hautabadili chochote
30:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 1,9 М.
USHUHUDA WA MAMA ALIYESOMA UZEENI  (HESABU NI KAMA KIFO HUWEZI KUEPUKANA NAYO)
16:15
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 204 М.