kiongoz Mbarikiwa, nakukubali sana ww kamanda, hata kitechnolojia uko juu, ww ni genius. Mungu akubalik na kukulinda.
@johnkaliwanje4342 ай бұрын
kitendo tu cha ww kujenga kanisa na kufunga cctv camera inaonyesha jins gan ulivyo na akil kubwa, mm nashangaa sana vituo ving vya police, hospital, mahakama hazina, likitokea tatizo huwa hakuna majibu yanayoeleweka.
@JoshuaSalimu2 ай бұрын
Magufuli aliupiga mwingi na mama anaupiga mwingi pia
@gadielmungure9711Ай бұрын
Mbarikiwa hakika umenena yaliyo mapenzi ya Mungu. Kilio kimefika mbele za Mungu.
@IsakaHosea-g9g2 ай бұрын
Ufahamu kama huu aise nikwauwezo wa Mungu tu.huwa na barikiwa sana na huyu pastor.
@obedimunguachiza8434Ай бұрын
Katika hili Pana mkono wa Jehovah Mungu wetu mtu hawezi kuropoka hivi asipo sukumwa na Mungu, Mbarikiwa Mwakipesile kazi yako ni kubwa hakika wewe ulitumwa na Mungu kuleta nuru duniani
@HelbethMlelwa2 ай бұрын
Naamini Mungu atauona moyo wako wa kusimama kwenye haki daima na kupigia kelele utu na ubinadamu ndani ya nchi yetu.
@HawaOman2 ай бұрын
Ahsante mtumishe wamungu mungu akulindi sana
@christinenyagiro66622 ай бұрын
Hongera mtumishi wa Mungu Mbarikiwa. Unayeonahaya. Kwa sababu sisi ni watumwa wao siyo watu kama wao.
@MichaelKibona-p9m2 ай бұрын
Ahsante mtumishi, hii serikali hamna wa kuikemea,waliokuwa wanakemea walishatangulia mbele ya haki, tumebaki kama kuku wa kienyeji,❤❤❤❤❤
@robertphilip3852 ай бұрын
Kama nani alikua anatetea ambao wametangulia mbele ya haki?
@leonardkajuna12132 ай бұрын
Mtumishi nchi hii,inakwenda kushuhudia ghadhabu ya Mungu ya hali ya juu!
@TUMUENZIMBARIKIWA2 ай бұрын
Yeyeyeeeeeee,hiii lugha inautata sana kiongozi WA chinjachinja Uwiiiiii ccm ccm
@HawaOman2 ай бұрын
Mungu tuomba ulize juu ya mtumishe wako mbarikiwa
@IddyGiribaАй бұрын
Mungu ututazame wanao utunusulu na haha pambana na wanaopambna nac baba.
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Hivi wakati wa Nyerere lugha hizi zilikuwa wapi?Ee Mungu hizo lugha umezisikia Baba. Wewe na Mungu unayesikia kila linalomtoka mtu. Tusaidie Mungu. Haya yanezidi kiasi tunacho weza kuona na kusikia
@mikbete2 ай бұрын
Kinywa cha Mungu duniani, UJASILI NDIO UTU NDIO ASILI YA MUNGU, Mbarikiwa wewe ni binadamu na nusu.
@LenatussylivesterPetroАй бұрын
Ubarkiwe san
@henrymligo2440Ай бұрын
ni kweli usemacho mch Mbarikiwa
@JonathanTembo-f6j2 ай бұрын
Nimelia kwa uchungu sana
@christinenyagiro66622 ай бұрын
Kweli kabisa tunaitaji ya kupewa lugha hizi zifafanuliwe. Angeongea mtu ambaye si mwana CCM si jui ingekuwaje. Kwahiyo kuomba kura unajivuna kuchinja wengine?
@abdallahmsham-eb7jzАй бұрын
sasa yalokuwa yanafanyika kwa siri mungu anaweka dhahir shahir wanasema wenyewe duuu hiii kalii
@EmmanuelSimkwai2 ай бұрын
Baba Mungu akupe nguvu
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
Maaskari wote wa vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya Nchi yetu. Wanao Wajibu wote wa kutolea majibu juu ya watu wanao tekwa ndani ya nchi yetu hii ya Tanzania 🇹🇿.
@gadielmungure9711Ай бұрын
Amesema yeye mwenyewe matendo ya uovu waliyoyatenda.MUNGU anawafunua hadharani mchana peupe hadharani.
@ReginaManyanguАй бұрын
Kila uovu ukiutenda uwezi kuondoka duniani mpk ujiseme mwenyewe
@abasiachimika5412 ай бұрын
Hao wapo nchi mzima sio huyo2 ccm wana vikosi vya utekaji na uwaji
@SubiranTimo2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu wanachinja watu haaaaaa
@listonjiwe3467Ай бұрын
Chinjachinja wawatu hawa wanafikili damu za watu sio mchezo kawa kuchinja wanyama tuliopewa kwa ajili ya chakura wamekuwa kama wendawazimu damu zinanena kwenye nafsi zao hawatakuwa na amani maishani mwao tunasubili bado wapo wengi wanaofanya matendo hayo kwa binadamu wenzaokwa sababu ya tamaa za madalaka na vyeo na uongozi wa kishetani duniani laana hii itachukua hadi kizazi chao cha nne
@rithaurassa2 ай бұрын
Ni WAKATI WETU kuomba ZAIDI ya hawachinjachinja wajulikane ZAIDI.Ubarikiwe mtumishi.
@RizwanAbdallah2 ай бұрын
Ww nimtumishi ambae nakuelewa sana japo mm nimuislamu ila upo sahihi sana
@jeremiahakonaay18422 ай бұрын
Damu ya binadamu ina madhara sana hakuna mtu atamwaga damu ya mtu akabaki na hali yake ya kawaida ndyo maana kesi nyingi za mauaji utakuta mtu anajitangaza mwenyewe! Uwe polisi uwe usalama wa taifa ukiua au ukasababisha mtu kuuawa iko siku kabla ya wewe mwenyewe kufa lazima utaropoka tu!
@Mosmwampa2 ай бұрын
Mungu emeanza kuwaumbua, chinjachinja, mbinu za ushindi, na mengine mengi yatafuata kama utekaji, uaji, nk. Yaan nchi hii tunaongozwa na genge la wahun CCM
@sapricatermaregeri6571Ай бұрын
Wanajitaja wenyewe .
@infodigtechforcommunityemp4103Ай бұрын
Mungu wangu jamani
@clevermgedzi47082 ай бұрын
Huyo pawa imekwisha Muda umefika!!! Ubabe na utumwa Muda umeisha!!! Pambana mbarikiwa Sisi tupo nyumba yako Kwa SASA tunaujasili Wa kutosha!!
@FridayMwassa2 ай бұрын
Usikae nyuma njoo huku mbele,nyuma wanakaa waoga
@AscriteMgaya-qr8eo2 ай бұрын
Duuh hatar Mungu tusaidie
@samoskiyalo6095Ай бұрын
Maharaja ya mbinguni imeshuka watajihukumu sana Bwana pigana mwenyewe
@RichWise671Ай бұрын
Hii Lugha inahitaji ufafanuzi😂😂😂
@HekimaSalama2 ай бұрын
Mungu anawaumbua
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Hivi lugha hii polisi hawakusikia? Mbona wanabadirishia wapinzani ambao hawana lugha za ajabu.
@aloycemisigalo3983Ай бұрын
Haya maccm tulisha yachoka ila basi tu, kama ni kutuuwa watuuwe tu ila hatutaweza kukipenda kikundi cha chinja chinja, cc kama wananchi tunatakiwa tuishi kwa tahadhari sana, haiwezekani mwenzio afanyiwe ukatili ukae kimya.
@LusiaJothamАй бұрын
MUNGU AWAWEKE WAZIWAHALIFU
@philemonsnyanda94502 ай бұрын
Huyo chinja chinja akamatwe maana ndivyo walivyokua wanafanya na kuzawadiwa vyeo
@ismailsanga9190Ай бұрын
Na wataaabika maana hajauliza na mtajitangaza wote ndipo mtakapo jua ya jizan sasa mtasema hadharani
@Faraja-j2zАй бұрын
Huyo kiongozi wa kuchinja anadhani ataishi milele hapa duniani
@EliaHilukaАй бұрын
Inawezekana huyo kijana yupo juu ya sheria
@RoseMayige-gn9qb2 ай бұрын
Mungu huwa anawafunua waovu kama hao. Ni wakati wa kufunguka sasa.
@swamadujumanne795Ай бұрын
Mtu yyte alioko kwenye ccm hawezi kuiona pepo
@ErizicDaud2 ай бұрын
Kwahiyo huyu mwomba kula kumbe alifanya chinja ndio sifa ya kumpa kula ilicheo kipande jmani hatuko salama😢😢😢😢
@MwanneSudiАй бұрын
Wauaj hao
@jediokokoma86702 ай бұрын
Ama kweli CCM ni hatari sana inafuga hadi chinjachinja?
@georgeWeleleАй бұрын
Yule kijana alie Choma picha ya rais hadileo. Wamempoteza lakini huyu chinjachinja bado yupo
@SarhaSaid2 ай бұрын
Kwaukweli niatali jamani 😢😢
@JuliusMakwengwe-x3e2 ай бұрын
Kweli CCM uongozi mmeshindwa mpaka na wachinja,!
@MaxCharles-wj5dg2 ай бұрын
hatarii sana Kwa tz hii Ina changamoto nyingi
@CheezyBoy-p6tАй бұрын
Mnauawatukumbe
@innosentimugarula86252 ай бұрын
Huu ni wakati wa kusema ukweli wa Mungu ili ajulikane
@victorkisenha5933Ай бұрын
Mch.wasio julikana watajulikana tu,
@NestoryMgimbaАй бұрын
Nawao wanasubili kufa tu mbarikiwa wanadhani wao hawatakufa.
@jesaminzo2 ай бұрын
Mami nimeuliza sijajibiwa mpaka sasa. Hiyo lugha na maneno naona ni ya kweli kabisq!
@Yonaobedi-z1tАй бұрын
agekua wa chadema tugeshaona atua za kitelejesia hila hapo wa mejizima data
@GideonLenardАй бұрын
Chinjeni tuuu mpaka mtumalize
@abdulsalaamkahttan1037Ай бұрын
yukowapi huyu mpakasasa hivi ajatiwa nguvuni?
@titonsimbazi55322 ай бұрын
Hapa tulipo vikia ni hatali sana tusipo jitetea tutaisha heli tuishe tukiwa tunajitetea.
@ChristmasMaheri2 ай бұрын
Hizi lugha! katikati ya utekaji wa watu zina utata.
@lukomanomaliki5442Ай бұрын
Kwanini hawa makada wa CCM wanatoa kauli za kukiuka haki za binadamu hadharani hawachukuliwi hatua? Na polisi hawawakamati? Lakini viongozi wa Chadema wakizungumza maneno ya kuikosoa serikali wanaitwa wachochezi.Na polisi wanadeal nao.Ina maana polisi wako kwa ajili ya CCM na kukandamiza upinzani?
@Mtemihashir2 ай бұрын
Nasiku kiongoz wading mkisimama yaan kilakitu kitakua sawa
@LusekeloNgondya2 ай бұрын
Kwa Chama Makini ilipaswa hao vibaka iwe imewafukuza, ila Kwa vile wote ni haohao ndio Maana yanapiga makofi kama mazuzu
@yassinnabwera4273Ай бұрын
CCM ni wauaji na sasa hawana hofu na Mungu
@ombendaud59382 ай бұрын
Ameni baba hii ni lugha ngumu aelezee ana chinja chinja watu, wanyama au kuku
@Mjeda-q1m2 ай бұрын
Angesema kiongozi wa chadema kauli hiyo hapo ungemsikia afande misime au kamanda wapolisi akisema sababu za kiitelejensia tumegundua Kuna uvunjifu wa amani na uchochezi laaaa tanzania yetu
@RhodaKibona2 ай бұрын
Jamani!!!! Heeeeeee hii ninn,!!!!????
@DenisRukangula2 ай бұрын
Haujaelewa nini
@ItikaWito2 ай бұрын
Damu zinaanza kulia vinywani nikweli kinywa chake kimekiri
@NeemaElisante-zd2dt2 ай бұрын
Kinachohitajika ni time huru ya uchaguzi na katiba mpya hivi hivi ni dhahiri they don't care
@BeniJohn-xd3cn2 ай бұрын
Haaaa haaaaa Mbarikiwa bwana Yesu asifiwe
@michaelmlyuka60322 ай бұрын
Mtakuja kujibu, ipo siku
@michaelmagwaza-bc6mk2 ай бұрын
Mwingine alisema watu wakimsema vibaya Vijana wa Chama chake wanyooke nae, hata Mwenyekiti wamtaa akisemwa Nyokeni nao, hata Mimi nikisemwa vibaya Nyoka nao, kisha unasikia mala utekaji , ubakaji,
@NoahSeludaoАй бұрын
Alaaniwe hiyo nidamu zinamlaan
@jeanmarieirankunda-ww4bn2 ай бұрын
Nivigumu kabsa kumbe wanaomba kura namnahivo
@ZakayoSanga-ge4jrАй бұрын
Aliaza nape Sasa kafata huyu,huu nimpango wamungu tutayajua namengine,
@HabilyTech2 ай бұрын
Kila neno lazima lichunguzwe kabisa, Mbarikiwa anafanya tuamke tufahamu kila neno lina maana yake
@charlesseba20002 ай бұрын
Kikosi cha chinja chinja kimewezesha nguo za ccm zinavaliwa, lakini ni ukweli mtupu
@EmanueliWildausoniАй бұрын
Hv kutumia hzo kauli ni sawa yan ccm ni mamuozo tuuu
@fredrickmwakalinga6390Ай бұрын
Kuwa makini mtumishi waje wakakuteka na wasio julikana
@musajulias3392Ай бұрын
Wafafanue baba
@GeofreyMwandanji-ot2lf2 ай бұрын
Ccm inako kwenda nikubaya
@lucianakweyunga81872 ай бұрын
Sasa nimeelewa
@AnethNkuba2 ай бұрын
JAMANI! Hii ni Nini???!!!!! Ni TANZANIA HII HII INAYODAIWA INA AMANI, AU NI NYINGINE, MBONA NI MAUWAJIBTU?!!! TOKEA MWANZO HADI SASA???!!!!!😱😰😰😰😰😰😰
@malkavoice25702 ай бұрын
Hii ni miongoni mwa kauli nyingi mno za ccm na tumezichoka sana kilichobakia kwetu sasa ni kufa kwaajili ya taifa la kesho kwa vizazi vyetu
@josephmaduka-xv8yp2 ай бұрын
Kumbe huyu ndo kiongozi was chinjachinja Tanzania kwahiyo Nazi imeenda vizuri anaomba wampe kura kama walivyomuahidi , aise ccm kumbe joka hatari hivi
@DenisRukangula2 ай бұрын
Ndiyo Kikosi Cha panya road
@emilyKassiano-oo5iy2 ай бұрын
CCM imefika mwisho
@BakaryBekq2 ай бұрын
C C M ya mwaka 1977 imeenda wapi?
@wanguwangu342 ай бұрын
HUYO NDUGU KAMA ANAFANYA KAZI HIYO YA KUTEKA NA KUCHINJA WATU BASI AJUE ANATEMBEA KWENYE LAANA YAKE, LAANA YA WATOTO WAKE, LAANA YA KIZAZI CHAKE CHOTE MAANA UKIMWAGA DAMU YA MTU HAIWEZI KUKUACHA MILELE, AFUATILIE MAISHA YA WALIOUA HAWAKO SALAMA NA WATOTO WAO, LKN SERIKALI INABIDI WAMUULIZE ALIKUWA ANACHINJA NINI?
@JuliusMakwengwe-x3e2 ай бұрын
MUNGU tuhurumie
@BabaBabalili2 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@MichaelKibona-p9m2 ай бұрын
Ansa
@rajabusaimon76622 ай бұрын
Hata kama ni kweli unachinja ndo utokehazalani useme hii naona sio sawa hata wewe Kumbuka na wewe unawapendwa wako watakuja kufaywa kama unavo wafanya wewe naludia Tena kama ulitamka chutama waombe laz watanzania
@sagandamalechampullo659Ай бұрын
WATUMISHI WA MUNGU WANAOSIMAMA KATIKA HAKI NA KWELI YA KUWATETEA WANYONGE NA WENYE KUONEWA, KUTESWA NI WEWE NA BOGONZA TU
@isayacharles28502 ай бұрын
Basi, nyinyi wadau wengine mlipomuona uyo kijana anasema mimi ni chinjachinja, fikra zenu zilivyokua ndogo, zimekimbilia haraka kwamba ana chinja watu❌ sio hivyo hilo ni neno la kisiasa tu. Namshauli huyo mbarikiwa wenu, Aumbili mambo atakayo mungu kwa wanadamu na sio kuwatafuta watu chokochoko ❌
@Mbarikiwa_Mwakipesile2 ай бұрын
Ukitaka Mbarikiwa ahubiri mambo ya Mungu, basi walihubiri kwenye Biblia walikemea mauaji. Hata Mbarikiwa mwenyewe hajasema huyo anachinja watu ila amesema auliwe. Zaidi ya hayo hilo neno mnaloita "chokochoko" limewapa kiburi sana.
@ugalidona-cs2yn2 ай бұрын
NGORONGORO Na LOLIONDO Bado Watu wanalia juu Ardhi yao na Mifugo yao na NDUGU ZAO.
@EzekiaMtwaleАй бұрын
INADHIHIRISHA NI KWA NAMNA GANI WW NDO MWENYE AKILI NDOGO,KWAN MSEMAJ KAKUFAFANULIA?! LUGHA YA KISIASA KWA MANENO MAKALI HIVO?!!! 😭😭😭😭😭😭
@RobertGwelela-m3l2 ай бұрын
Kazi kweli kweli duniani hapa!!! Kusema kweli huyu kijana anatakiwa atufafanulie kwa marefu na Mapana kikosi cha chinja chinja ni kikosi gani.
@elibarikimollel71492 ай бұрын
Wananchi huwa tunajiuliza nyuma pana nini ndani ya matamko ya ccm kupitia makada wake?! Huyu kijana alisema yeye ndiye alikua kiongozi wa chinja chinja akiwa Dc lakini hakufafanua zaidi watu wakaelewa maana! Maana halisi ya kuchinja,ni kukata shingo ya mfugo,mnyama,au binadamu usiyeweza kamla kama nyama baada ya kumuua! Kauli za kutisha ni nyingi,na karibu zote hazikuleta manufaa kwa watu lakini polisi wanaosimamia sheria hawakuwahi kuwakamata na kuwachukulia hatua kali za kinyama kinyume cha sheria kama raia wengine wasiokua makada wa ccm! Kama Mungu wa haki na hukumu aishivyo, Yer9:9 maumivu haya ya upande mmoja ipo siku yatawarudia wenyewe kwa wenyewe kama adhabu ya kulipa gharama za uovu wao huu...
@juliuskitaluka12062 ай бұрын
Kimtokacho MTU mdomoni ndicho kilicho jaa moyoni
@EliaHilukaАй бұрын
Vyombo vya dola vinafanya nini kuhusu kushughulikia huyu