Gwajima awapasua wasomi/ elimu. Mbarikiwa akazia kuonyesha nguvu ya akili ya kuzaliwa.

  Рет қаралды 3,890

Kikosi kazi cha injili🎖

Kikosi kazi cha injili🎖

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@IbrahimKamwela-vp8nd
@IbrahimKamwela-vp8nd 23 сағат бұрын
AMEENI PASTOR
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn 2 күн бұрын
NaaaM. Kwa Sehemu kubwa Nchi Za Afrika; Akili Zimeaminishwa kwenye Vyeti tu na kaminiwa kwenye Vyeti vya WAZUNGU.
@KlaudiMfilinge
@KlaudiMfilinge Күн бұрын
Kweli baba,,,,,,,,,lakini pia ungetoa na ushauri nini kifanyike kwa ambao washapata hii elimu na nini kifanyike kwa wale ambao bado
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile Күн бұрын
Huwa tunatoa sana. Ila bado tutaendelea.
@nenolauzima5281
@nenolauzima5281 2 күн бұрын
Ukweli mchungu ila tunauookea kama ulivyo
@aminitu3766
@aminitu3766 Күн бұрын
Mhhh sio kweli
@PastorNathanael-ex4co
@PastorNathanael-ex4co 2 күн бұрын
Hongera mbarikiwa hapo umenena
@KallindeFaustin-f8d
@KallindeFaustin-f8d 8 сағат бұрын
Iyo nikweli mchungaji maana ata saizi tume asirika naelimu ya dunia maana kunawatu awakusoma ila kwa neema ya mungu ata ukimpa kitabu gani anasoma
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 2 күн бұрын
Kweli kabisa
@MickyMgeri
@MickyMgeri 2 күн бұрын
Hii elimu yetu mimi binafsi naichukia na kuidharau sana hata watoto wangu nawapeleka kukamilisha ratiba tu nikiwa nimewaelekeza kwenye mambo mengine ya ujuzi,sitaki kuamini ktk mfumo wa elimu uliojaa uwongo na uovu.
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 2 күн бұрын
Kuna kitu Gwajima nimemuelewa tena sana tu
@WTC492
@WTC492 2 күн бұрын
Hotuba nzuri
@ashelikilele167
@ashelikilele167 2 күн бұрын
Nikweri baba sivema kutesana wakati SISI nijami Moja
@Masterplan696
@Masterplan696 2 күн бұрын
100%
@JoelMroni
@JoelMroni 11 сағат бұрын
KWA MAONO YAKO HII NCHI YETU YA TANZANIA INAELEKEA WAPI? MM NAONA NCHI INAELEKEA KUZIMU. WATUMISHI WA MUUNGU IOMBEENI INCHI HII MUNGU AINUSURU INCHI HII
@issackkazimili4597
@issackkazimili4597 2 күн бұрын
Elimu ya Tanzania ilitakiwa iwe imeshabadilishwa .haiwaendelezi watanzania kifikira na kimaendeleo
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 2 күн бұрын
Kusoma ni kufuta ujinga lakini upumbavu haujawatoka.
@asamwklkw
@asamwklkw 2 күн бұрын
iv Bible iliandikwa na wasomi au wenye vipaji vya akili za kuzaliwa?
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 2 күн бұрын
Jibu wewe kuwa Musa alikuwa na degree ngapi?
@AbelnegoPhilimon
@AbelnegoPhilimon Күн бұрын
​@@Mbarikiwa_Mwakipesile sa pastor tufanyeje tulioko mashuleni? Tuache kusoma?😂
@issayamsyani7842
@issayamsyani7842 2 күн бұрын
Kwaiyo unataka watu wasisome
@SHADRACKNYAMATI
@SHADRACKNYAMATI 2 күн бұрын
Utopolo huu
@KsaC711
@KsaC711 2 күн бұрын
Nawe ongea utopolo watu wakutazame na wakomenti
@IbrahimKamwela-vp8nd
@IbrahimKamwela-vp8nd 23 сағат бұрын
AMEENI PASTOR
@IbrahimKamwela-vp8nd
@IbrahimKamwela-vp8nd 23 сағат бұрын
AMEENI PASTOR
UFUNUO JUU YA MAAFA YA KARIAKOO.
19:11
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 6 М.
ТЮРЕМЩИК В БОКСЕ! #shorts
00:58
HARD_MMA
Рет қаралды 2,3 МЛН
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 44 МЛН
Mbarikiwa ashangazwa na miujiza inayofanywa Mbeya na Mwamposa inayoitwa "KAFIE MBELE"
8:25
USIDANGANYIKE! | SIKIA UKWELI HUU ILI UJUE UTAKUWA NANI BAADAE | BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA
16:14
ASKOFU GWAJIMA AFUNGUKA NAMNA YA KUTOKA KWENYE TATIZO LOLOTE KUBWA LINALOWEZA KUKUPATA
14:37