Amen hta sasa Mungu ametusaidia maana waliotoka slma ni wengi kuliko walofariki hakika najaribu kuwaza cjui nnni kingetokea kma Roho mt.asingeleta huu ujumbekabla kupitia mtumishi wa Mungu huyu hta tukaomba rehema za Mungu.i love Jesus,I love prophetic ministries i love ecgthe Jesus nation .
@frankkcu77412 ай бұрын
0
@joyprisy91142 ай бұрын
Amen Apostle mwenye masikio na asikie yale anayonena roho wa Bwana,Mungu akulinde na kukuhifadhi we Love you too much.
@MagrethMussa-z3s2 ай бұрын
Wapo manabii wa kweli ambao Mungu amejisazia hapa duniani,,Mungu wasaidie.
@yvonnemashuda30042 ай бұрын
Ahsante eeh Mungu...ni huruma zako hatuangamii na fadhili zako ni mpya kila siku! BABA AHSANTE🤲🤲 Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu!🤲🤲🤲🤲
@victorialema40332 ай бұрын
Namtukuza Mungu kwa ajili Yako Apostle..umefanyika ngao kubwa sana Tanzania 🇹🇿 kwa Mambo mengi, Mungu azidi kukutumia na Akutunze sana chief 🙏🙏🙏
@godwinkatemi51572 ай бұрын
Wizi mtupu
@vailethmwageni84412 ай бұрын
Amosi 3:7,mungu tujalie sikio la kusikia watumishi wako na tuzingetie sawasaw na neno lako🙏🙏🙏🙏
@irenemichael2 ай бұрын
Ua nafurai mtu anaeka na maandiko
@vailethmwageni84412 ай бұрын
@@irenemichael mungu akubarikii kwa kupenda neno lake🙏🙏
@humphreymlagalila18862 ай бұрын
Asante Mungu wetu mwingi wa rehema maana umetupa mitume na manabii. Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukulinda , nimesikiliza mpaka mwisho Kuna mahali pamenitoa machozi
@maureenlilykiwia15152 ай бұрын
Asante sana Mungu kutuweka chini ya huduma ya Kinabii. Ehee Mungu tunaomba utupe zaidi mioyo ya kuheshimu watumishi wako ulitupa kama zawadi sisi kutumika chini yao. Asante sana Chief kwa namna ambayo umekuwa ukitufunulia yale Mungu aliyosema nawe. Mungu azidi kukutunza
@elizabethnamwinga32102 ай бұрын
Amen Apostle. Mungu azidi kukutumia barikiwa sana
@jemimatumaini70262 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa Ajili ya Mtumishi wako Apostle Mtalemwa Mpe nguvu zaidi kwa kazi uliyomuitia kufanya hapa duniani na watu wako tupate kusikia na kutii sauti ya Mtumishi wako🙏🙏
@TrephinaNgambeki2 ай бұрын
Mungu apanue mipaka yako ya huduma na hekima na maarifa ya ki Mungu nakuelewa sana Mutalemwa Aposle.
@monicarobert42862 ай бұрын
Hata sasa Mungu anaongea na watumishi Mungu akubariki Apostle
@VictoriaMwanga-o4f2 ай бұрын
Ni vema Sasa watu tukubali kuwa manabii wa kweli wa Mungu aliye hai wapo hata leo
@EpsonFelician2 ай бұрын
Mtumish Apostle yupo vizuri sana kiunabii na Na maombi Namuamina sana ishot ni nimejifumza meng sana toka mwak 2020 namfatilia nimejifunza mengii hayaelezeki kupitia mafundisho yake Mungu azidi kukuinua katika viwango na akupe Miaka Mingi Dunian 🙏
@gambasonDennissonofmajoron60122 ай бұрын
Amen chief Apostle Mungu yupo pamoja nasi Tanzania we are protected
@florencekatungu88922 ай бұрын
Merci beaucoup très cher Pasteur. Tu es le meilleur. Que Dieu soit loué, que Dieu veille sur toi et toute ta famille.
@SamweliUlomi2 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua Mtumishi Mtalemwa,apanue maono ya huduma yako ufike Kilimanjaro Wilaya ya HAI,na Kata Zake zote unahitajika.
@julianapeason62542 ай бұрын
kuna majanga gani tena huko?
@leonbwenda19452 ай бұрын
Mungu yupo na anaongea kila siku...tujifunze kusikiliza sauti ya Mungu
@queenGrolly2 ай бұрын
Nimemuogopaa sana Mungu kwakweli Mungu awezi ruhusu maafa bila taatifa Mungu aturuhumie
@KenethChristian-os9jq2 ай бұрын
Shalom, apostle Mungu akulinde zaidi maana umejitoa kwake NAMI naungana na wewe katika sala na maombi yenye kuzuia kazi za adui Kwa jina la Yesu Kristo under the blood of Jesus
@rebekasamweli2142 ай бұрын
Mungu akutunze mtumishi
@sundayherrieth94602 ай бұрын
Naamini unabii wako mtumishi wa Mungu, niliposikia jengo limeanguka kkoo nilimwambia mwenzangu unabii wa hili ulishatolewa mwanzoni mwa mwaka na mtumishi wa Mungu, Mtalemwa ila watu tunakaza sana shingo, hatuna imani!! Mungu azidi kukulinda mtumishi
@RithaJoseph-uq2kq2 ай бұрын
Natamani kujua hilo kanisa like wapi na linaitwaje
@josephnkindwa71422 ай бұрын
@@RithaJoseph-uq2kqunashukia pale Mlimani City kuna njia ya lami inapandisha pale Chuo cha ardhi, wakati unaelekea kwenye kadaraja dogo unapita njia ya mkono wa kulia unaacha ile inayonyooka moja kwa moja chuo cha ardhi bali ile inayopinda mkono wa kulia unanyooka nayo moja kwa moja inatokea supermarket 1 hapo wewe nyooka kwa juu kidogo mkono huo huo wa kulia hapo Makongo Juu utakuta bango limeandikwa ECG The Jesus Nations Church utaona picha ya watumishi hapo utakuwa umeshafika tayari. Karibu sana
@josephnkindwa71422 ай бұрын
@@RithaJoseph-uq2kqKanisa linaitwa ECG (Enlightened Christian Gathering) The Jesus Nations Church ama kwa Kiswahili linaitwa Kusanyiko la Wakristo walioangaziwa Nuru (Enlightened Christian Gathering), Taifa la Yesu (Jesus Nations) kwa kifupi ukisema kanisa la ECG utakuwa umetupata hili jina linafahamika sana
@sundayherrieth94602 ай бұрын
Kanisa lipo tankibovu
@angelmsoffe3982 ай бұрын
@@RithaJoseph-uq2kq Tupo makongo karibu na chuo cha aridhi karibu na mbelw ya dawasco
@Bles-x1v2 ай бұрын
kweli kizazi cha sasa kimejaa ubishi mungu atusaidie tumjue mungu kwa uwepesi na huyu ni mtumishi wa pili kumsikia kwenye mahubiri akisistiza tumjue mungu na tuombe toba wakwanza ni àpostle mwamposa nimemsikia ni zaidi ya mara 3 akisema na huyu nabii niwa pili jamani watu wamungu tuzitii sauti zaa watumishi wa mungu
@pastorgodwinchengula78482 ай бұрын
Naam Apostle nimekupata Asante kwa haya maono...kumbe Kuna Nabii aliona na wewe ndiye huyu Nabii. Mwenyezi Mungu Asante kwa Sauti hii.
@HappyJohn-h8q2 ай бұрын
Waliona manabii kadhaa prophet Musa Meizon.aliitaja kariakoo.
@nikokihaga80242 ай бұрын
Mbona hawakuzuia?
@HappyJohn-h8q2 ай бұрын
@nikokihaga8024 anayezuia ni Mungu sio mwanadamu. Hakuna mwanadamu mwenye nguvu hiyo na wewe unajua hilo. Anayewaonyesha ni Mungu na waliomba ndo maana idadi ya vifo haijawa mamia ya watu. Unaweza ukaamini au usiamini ni sawa si lazima uamini ndugu ila tu haina haja ya kubishana kama huamini . Kwenye Biblia yupo nabii alitabiri akasema kesho muda kama huu chakula kitauzwa kwa shekels kadhaa na kuna mtu akabeza hakuamini maana kulikuwa na njaa sana. Kesho yake ikawa hivyo ila kilichompata yule aliyebeza nakijua ila sitaji hapa uliza mtu anayeijua hii akwambie nini kilimpata kwenye lango la mji huo wakati huo. Wanaobeza hawajaanza sasa walikuwepo
@MagrethMussa-z3s2 ай бұрын
Watu kama hawa ni swala la Muda tuu,,watamjua Mungu na watumish wake
@HappyJohn-h8q2 ай бұрын
@MagrethMussa-z3s kabisa Magreth
@domitiladsm2 ай бұрын
Asante Mungu kwa Rehema zako. We continue to pray for our beautiful nation. Ee Mungu Rehema zako ziwe pamoja nasi.
@furahabeatrice20572 ай бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu 🙌 Mungu akubariki zaidi. Mungu azidi kukutumia kama vyombo.
@VictoriaWariobaJr2 ай бұрын
We are the son of Major one!Thanx Lord am proud to be ECG church!
@jacksonbiswalo83602 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏🙏
@IreneCremece2 ай бұрын
Amina sana mtu mtumishi wa Mungu Asante sana Mungu Kwa maana unaishi karibu yetu kuliko hata nguo tulizozivaa
@MussaSoja2 ай бұрын
Mungu bariki mtumishi wako
@janelyatuu11352 ай бұрын
Amen nakupata nikiwaaa arusha mungu akutunze baba
@saimonjmai8012 ай бұрын
Good Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi Wa Mungu Asante kwa kazi nzuri 🙏
@theresiamartin31502 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi nabii wetu
@jescarwegoshola17542 ай бұрын
Apostle Mungu akubariki sana Uendelee kumtumikia ktk roho na kweli,🙏
@YusuphuMapembe2 ай бұрын
Mungu akubariki chief
@EvelinaShedrack2 ай бұрын
Mbarikiwe wanamaombi, mungu yupo anaefanya mambo makubwa , yalio shindikan Kwa wanadamu yeye anayaweza
@kelvinmoses75492 ай бұрын
hakika Mungu yuhai❤❤mtumishi Mungu akuweke
@PaulinaLunyonga2 ай бұрын
Upande wa pili wenzetu wanatuita makafiri,, Swali nnalo jiuliza Je Mungu anaongea na makafiri kama hivi,,, Wao kuna hata unabii wowote ambao wamekwisha utoa na ukatokea kama hawajawahi wanatakiwa kujitafakari sana katika imani yao,,,, Maana Mungu alie hai anaongea ndo maana matukio makubwa kabla hayatokea anawaambia watumishi wake,,,, Natamani ningeona wote upande wa pili mmgeukie upande huuu kwani ni wazi kua Mungu yupo pamoja na walokole,,,, Ushauriii tu kama utaweza kuufata sawa ukikataa sawa
@MzeewaslowHusseinAndrew2 ай бұрын
Mpuuzi wewe mbona kama wakristo mnapewa maono mbona mnashidwa kuzuia tukio lisitokee na kama mtumishi aliona mbona hakuzuia tukio lisitokee!.
@MzeewaslowHusseinAndrew2 ай бұрын
Acha ubaguzi wa dini nimekuota dhamani Sana aisee
@experansiakahama18022 ай бұрын
Tukio haliwezi kuzuilika ikiwa watu hawamwamini miungu yeye ataomba kwa upande mwingine lakn je ambao nimeamini Mungu huwezi jua na kutoka@@MzeewaslowHusseinAndrew
@NassoroHaji-i8k2 ай бұрын
@@MzeewaslowHusseinAndrewUtamtoaje thamani mtu ambae anaongea ukwelii ..hapa hakuna unabii wala utume ..Mitume walishapita miaka mingi iliopita waliopewa uwezo wa kuona lijalo na kuanza kutoa nasaha na taarifa kwa ummah..hivyo bas hakuna mtu zaidi iliopita na mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad S,A,W na hakuna mwengine
@JoycePoul-l8y2 ай бұрын
We nawe umeandika maelezo mareefu nilijua ni ya maana kumbe upumbavu
@bonifacekalima52732 ай бұрын
Hongera saana mtumishi mungu
@JoyceHaule-o8c2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@SaibatMyaleАй бұрын
Mungu atujalie
@sarraipaul20782 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia our Apostle
@naftarjahzeel25992 ай бұрын
Mungu akubariki apostle Mtalemwa a son of prophet Bushiri (Major 1.)na azidi kukutumia kwa viwango vikubwa zaidi pasipo kuwa na mpaka wowote in Jesus name 🙏
@beatriceisack53172 ай бұрын
Mwenyezi MUNGU akubariki sana pasta yani hadi mwili unasisimuka
@emmymatigula48702 ай бұрын
Utukufu kwa MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI MUNGU ALIYEHAI Aendelee kumimina mafuta zaidi kwa mtumishi wake Mutalemwa 🙏 🙏 🇺🇸
@VenerandaKundi-ph4hg2 ай бұрын
Kawaida mungu akikuonyesha maono unatakiwa kumsihi mungu ili aghairi mabaya kwa kufunga na maombi ya kujitesa mungu huwa anakubali maombi
@josephemmanuel3882 ай бұрын
Kweli kama mungu kamuonesha angeomba yasinge tokea
@colethamushi24632 ай бұрын
@@josephemmanuel388 wajibu wetu ni kuomba rehema, mengine ni mapenzi ya Mungu hata wakati wa korona taifa zima tuliomba tukaona ukuu wa Mungu kwa Taifa la Mungu lakini kunabaadhi walifariki pia. lakini bado hatukujiuliza kwa nini wengine walikufa. anayeokoa ni Mungu mwenyewe kwa mapenzi yetu wajibu wa watumishi ni kutuhimiza kuomba.
@fortunataangelo55752 ай бұрын
Aanapo kushirikisha, maana yake nawewe uombbe, so jambo likitokea baya na wewe una husika, kwa sababu ya uzembe wa kuomba,, huenda hata idadi hiyo, haikufikiwa, kwa sabaabu ya maombi alkoomna mtumishi, na kimsingi, bimadamu gulivyo yassipo. Tokea tungesema uongo @@josephemmanuel388
@magesanka17082 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia zaidi na zaidi apostle nchi ipone
@godlovemalekela172 ай бұрын
1❤ Apostle 🎉 GOD at Work
@FestusKinyamgala2 ай бұрын
Asante Yesu kwa kuwa wewe ni njia ya kweli na uzima
@MamaNabii2 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@shabanjuma71022 ай бұрын
Nami maono yangu, juma pili kwenye kanisa lako litajaa sana
@RobinahumpreyRobinafungo2 ай бұрын
Wewe niamini kabisa wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli.
@AnethBoniphace-jp3lk2 ай бұрын
Mungu azidi kuwatetea amen
@FloraSumuni-jm1mx2 ай бұрын
Mungu azidi be kukutumia Kwa utukufu wake I'm
@محمدالقايد-د6ب2 ай бұрын
Mungu tusaidie jamanii tusikie neno lako toka kwa watumishi wako
@childofgod32162 ай бұрын
Daha aiseee Nothing was made without him kariako hakuna aliekufa wote ni wazima katika kristo Wamepata ajari katika siku ya Bwana hakuna aliekufa wametoka katika mwili wa Damu na nyama
@happinesslogasian26202 ай бұрын
Mungu wetu ni mkuu mnoo🙏
@AnnaKamagi2 ай бұрын
Ee Mungu uturehemu utupe roho ya maombi
@MatronaThomas-wz5si2 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi
@denisjumanne37902 ай бұрын
MUNGU akubariki sana mtumishi wa MUNGU
@neemamapenzi69602 ай бұрын
Mmmh Yesu tusaidie wanawako tunaangamia
@tanunewstzАй бұрын
Wew pastor mm ni mwanafunzi wake real
@visionvoicechoir20152 ай бұрын
Atukuzwe Mungu kwa kuwaponya waliolengwa kuteketea. Ahimidiwe Mungu wa Israeli.
@محمدالقايد-د6ب2 ай бұрын
Mungu naomba kupitia mazibau hii nipone kisukari kiishe kisirudi tena kwangu kiwe 5 point 4 tuu Mungu nitendee
@irenekenedy78892 ай бұрын
Nafikiri selikali ingekuwa inaamin na kusikiliza hivi vitu tungekuwa na macho mazuri ya kutembea kwenye nchi yetu
@imanimakishe86322 ай бұрын
Tuwasikilizeni watu wa mungu jamani, tuacheni pia ubishi wa kulinganisha dini na dini aminini nawaambia Dunia Ina kimvuli na kitu chenye kimvuli Kuna mahali kipo mpaka kikatoa kimvuli jamani mungu yupo aminini msiamini yesu anarudi. Sijui ata niwaambiaje mnielewe
@kisakim56602 ай бұрын
MUNGU ✅ Mungu✅ Yesu ✅ YESU✅ BWANA✅ Bwana✅ mungu ❌ yesu❌ bwana ❌ Hizi zinazoandikwa kwa herufi ndogo zote zinamaanisha miungu ya dunia hii
@FestoKalani2 ай бұрын
Mungu aendelee kuwa pamoja na sis
@innocentchuwa-wo1nl2 ай бұрын
Asante mtume, ebu ifike mahali mwenyezi mungu awaumbue hawa wanaotoa kafara hizi
@annasamo15872 ай бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu
@neemamabena-xx5er2 ай бұрын
Amina mapacha wamekaa siku 3 na niwadogi mungu ametendaaa
@VICENTNTALE-nw5jc2 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa BWANA, MUNGU aendelee kukupaka Nafuata ya shangwe.
@heladiosbernard73802 ай бұрын
Mungu Asante maana uko hai
@chongedaffa39382 ай бұрын
Shalom pastor,naomba Rehema, Mimi mjane,ninaumwa lakini wanangu wananipa uchungu sana
@oliviambombe36052 ай бұрын
May God have Mercy upon us
@mwanamisisalimu17042 ай бұрын
Kama kweli unamtumikia mungu aliye hai amen
@MarukamondoLaizaMondoLaizangob2 ай бұрын
Mtumishi wa mungu naomba tuasiliane tafadhali baada ya kusoma habari nyigi kuhubiri
@rambostalon28882 ай бұрын
God bless you pastor
@GlauryHaule2 ай бұрын
Mimi hapo nimejifunza kuwa tanzania tunaishi kwa upendo mkubwa wa mungu asante Bwana yesu kwa kutupenda namna hiiiiiiiiii mmmmm
@lilianmwita2711Ай бұрын
.namtukuza MUNGU kwa ajili yako apostle
@iviejustified81092 ай бұрын
Roho wa Mungu atuongoze tumfahamu Mtakatifu wa Israel... Maana watu wengi hatumpi Mungu nafasi watu tunaenda na miungu na ni changamoto kumbe watu wana agenda zao katika ulimwengu wa roho. Mwenyezi Mungu uturehemu! Mithali 3:3-4
@JacklineIkoki2 ай бұрын
That is My chief apostle mtalemwa ❤❤❤
@EmmaSanga-uq5hv2 ай бұрын
Kuna nabii nilimfwatilia alisema aliona lango la rehema linafungwa lakini alimlilia sana Mungu likafunguka,nachojua Mungu akionyesha anawapenda watu wake hataki waangamie.hivo lilipaswa kuombewa Mungu anusuru.
@michaelcharles37332 ай бұрын
Haina maana hiyo,, yesu alitabil angamizo la yerusalem kwel iliangamia,, manabii wametabili majanga,vita,njaa nk na yote yanatokea,, Mungu akionyesha jambo anataka ujue kwa nn linatokea ili uombe rehema, huenda pale kkoo ilikuwa wafe weng zaid lakin wamekufa 16 kwa sababu ya maombi
@CeciliaBashiry2 ай бұрын
@@michaelcharles3733😢😢
@HellenChamy2 ай бұрын
Mungu kweli ni mwema sana❤❤
@Abbellll0012 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi Mtume na Nabii Mtalemwa.Nabii ni kinywa cha Mungu.
@ZabMan-w5u2 ай бұрын
Fungua branch kenya mtumishi wa mungu, mafunzo yako hiko juu xana.
@humphreykamuhungiraobenets99482 ай бұрын
Huyu alitabiri pia mafuriko ya HANANG
@KabweDorcas2 ай бұрын
Uko nabii wa kweli kabisa 😢😢
@VianeMakarious-lt3is2 ай бұрын
NABII MTALEMWA,TUNGEJUA TUKAZINGATIA TUNGEOKOA MAISHA KWELI WATU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA..
@KabweDorcas2 ай бұрын
Que Dieu nous pardonne 😢😢 vraiment
@AmosJeremiah-dj2jm2 ай бұрын
Ameen Apostle
@godyphilemon30532 ай бұрын
MUNGU NA AZIDI KUKUTIA NGUVU APOSTLE MTALEMWA UMEJUA KUSIMAMA KATIKA ZAMU YAKO,MUNGU IBARIKI TZ NA UTULINDE NA UTUEPUSHE NA MAJANGA✝️✡️🕎🇹🇿🙏🙏🙏
@gishangaak76082 ай бұрын
May GOD have Mercy upon us 🙏
@MussaBihaliBalema2 ай бұрын
Mungu alirehemu taifa letu
@neemamabena-xx5er2 ай бұрын
Mliopona mungu yu pamoja nanyi shetani ameshindwa
@givenmsomba93582 ай бұрын
Naphtali shida kuonyeshwa tunaweza,ila kuomba yasitokee ina kuwa ngumu.Mungu aturehemu
@NassoroHaji-i8k2 ай бұрын
Mtume huyu kapewa na nani huu utume mbona mnamkosea sana Mùumba wetu nyinyi viumbee mlio ruzuqiwa afya na uzima
@daudigabriel98602 ай бұрын
Viongozi wa taifa mfike mda mtambue uwepo wa watumishi wa Mungu hata kutaka mashauri kwao Nini Cha kufanya Kwa ajili ya Taifa, naamini mnayasikia haya na kuona ni ushauri tu
@CharlesMakasi-jp2hs2 ай бұрын
Kabsa umeongea point sana sema wanakimbilia sana kusema watumishi wa uongo
@samwelmwangi91852 ай бұрын
Maombi yana nguvu, tusiache kumwomba Mungu kwa ajili ya NCHI YETU, kila hatua unayotaka kuipiga mwombe MUNGU akusimamie. "TUSIACHE KUOMBA".
@StephanoMbwambo2 ай бұрын
amen mtumishi wa mungu.
@bamag-0212 ай бұрын
13 Maana watu kama hao ni mitume wa uongo, watendao kazi kwa hila, wanaojigeuza wawe mfano wa mitume wa Kristo. 2 Wakorintho 11:13 14 Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. 2 Wakorintho 11:14 _##__###__###///##.. 22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Mathayo 7:22 23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu. Mathayo 7:23