No video

MBASHA: "Kwa Mungu Flora bado ni Mke wangu, Mtoto aliyemzaa ni mwanangu pia"

  Рет қаралды 83,819

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 270
@christinakiula3766
@christinakiula3766 5 жыл бұрын
Hayo unayosema ni kweli kabisa kwa Mungu Flora bado ni mkeo na Mungu anachukia kuachana. Mungu aendelee kukupa amani Mbasha.
@lobemwamba8656
@lobemwamba8656 5 жыл бұрын
Kama unamukubali uyu bro gonga like apa
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 5 жыл бұрын
Mwanaume anayejitambua bigup brooo coz umetuheshimisha wanaume woote duniani heshima kwako broo
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 жыл бұрын
Mbasha una hekima sana.Flora ipo siku atajuta kwa maamuzi yake.Nilisikitika sana kuachana kwenu heshima yote ya Flora ilipotea ktk jamii.Alidhalilisha familia ya mzee kulola.
@richardsoka2400
@richardsoka2400 5 жыл бұрын
Happiness Mwenda kawaida watoto wa wachungaji hupata saaaana mashambulizi kutoka kwa ibilisi kwa sababu ya kazi nzuri anayofanya mzazi ya kuangamiza maovu! Do your own research you will note that Pastors’ children very often end up in living ungoldly life, kutokuwa na stable home, ulevi, madawa ya kulevya, kuolewa na kuachika au kuoa na kuacha. Katika dunia hii kuna mchungaji mmoja tu ambaye anautatuzi wa haya matatizo whether you like it or not or whether you believe it or not ni afadhali kufuatilia na kuona ukweli, ni Pastor T B Joshua!! Hakuna gharama yeyote, hakuna kupanda mbegu, ni nauli yako tu! Angalia videos kwenye kzbin.info hata mashoga wanarudi kwenye maisha yao ya kawaida mara moja(instantly)!!!He is a true Man of God. Videos zote ni kwa lugha ya Kiingereza!!!kuna Wa Tz wengine wanefika pale(gay and lesbians) wakajitambua mara baada ya kuwekewa mikono - Wakristu, Waislamu, Hindu hakuna ubaguzi wala masharti!!
@jacqulinemushi5849
@jacqulinemushi5849 5 жыл бұрын
Msikurupuke ku judge kitabu kwakuangalia cover Mungu ahukumue kwa haki anaujua ukweli
@estellesichone7413
@estellesichone7413 5 жыл бұрын
Siri ya kiatu anajua mvaaji.
@elinaikeandrew1377
@elinaikeandrew1377 5 жыл бұрын
We Dada happy ucmsome m2 nje vya ndani huvujui
@janengowi3011
@janengowi3011 5 жыл бұрын
Flora umemuacha MTU mwenye busara sana
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 5 жыл бұрын
Inaonekana huyu jamaa bado anampenda sana hyo mwanamke
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 5 жыл бұрын
Nimke wake wa halali lazima ampende
@dianarenard5853
@dianarenard5853 5 жыл бұрын
Wanaume kama wew wachache sana dunia hii, I wish 😍😍😋😋
@dianarenard5853
@dianarenard5853 5 жыл бұрын
@bennie msangi Ndio ivo my hawafai kabisa
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 5 жыл бұрын
Ima Mungu akubariki sana hekima umejaliwa.
@joycematonya1241
@joycematonya1241 4 жыл бұрын
Hongera sana Mbasha mungu azidi kukusimamia katika safari yako ya maisha ni wanaume wachache sana ambao wanajitambua kama wewe ubarikiwe! Nakupenda kaka
@neemasanga416
@neemasanga416 5 жыл бұрын
mbasha unajuwa neno Mungu akusimamie.
@lobemwamba8656
@lobemwamba8656 5 жыл бұрын
Sijaona mutu mwenye musimamo wako bro kwasababu niwanaume wachache wanamoyo kama wako nakupa ongera kutoka marecani
@jacklinekimaro302
@jacklinekimaro302 5 жыл бұрын
etiiii yani ukute mwanaume kaachwa na ndoa ishafungwa alafu bado anasema nimkewe kweli mbasha mwanaume jamani
@marysteven605
@marysteven605 3 жыл бұрын
Kwa macho tunamuona ana msimamo,lakini hadangi?
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
​@@marysteven605 Hapo tusihukumu kabisa
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Kama unamkubali Mbasha
@paulinaalex4491
@paulinaalex4491 5 жыл бұрын
Handsome balaaa 😘😘
@norahkimuyu9097
@norahkimuyu9097 5 жыл бұрын
Love you bwana Mbasha.... MUNGU akumbariki sana....
@yusuphmasingisa6722
@yusuphmasingisa6722 5 жыл бұрын
i
@soniahomary6430
@soniahomary6430 5 жыл бұрын
Unajitambua broo big up sn
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 5 жыл бұрын
Sote tulio comment humu ni wazazi wa watoto woteee,ila baba wa watoto wetu ni mmoja tuu,yeye aketiye mahali pale pa juu palipo inuka,ndiye Baba yetu na ni Baba wa watoto wetu.
@joycejoyce8451
@joycejoyce8451 5 жыл бұрын
waukweeli nikkon Mungu akutunze kk uendelee hivyo hivyo
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
Ndoa za kikristo zina mlango mmoja tu wa kuingilia hazina mlango wa kutokea. Mume mmoja mke mmoja mpaka kufa. Kinyume cha hapo utakuwa unayafuata mapenzi yako wewe mwenyewe. Ndoa ni moja wala syo mbili, Ile Ndoa yako ya kwanza ndyo ndoa halali inayotambulika na mbingu. Hiyo nyingine itakayofuata huo utakuwa ni uzinzi!
@sophyshauri2298
@sophyshauri2298 5 жыл бұрын
Amosi Chacha Don't book by its cover hebu jiulizeni nyie mnaokomalia Bado ni mkewe tuseme Flora angebaki na huo mtazamo alafu Mbasha akaja kumuua, mngeendelea kusisitiza na kumsifia Flora kwa kungangania kubaki mpk akauliwa? Jmn tuwe tunaangalia pande zote za Shilingi
@felixshirima2615
@felixshirima2615 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kwa imani ulonayo
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 7 ай бұрын
Pole ,ikiwa mume au mke amekuchagulia MUNGU KAKUONYESHA SAWA NI NDOA ILA KAMA NIMTEGO WA SHETANI WENGI WAO UFUATA HISIA BILA MUNGU UKIOA TYUU INAKULA KWAKO MMANA UNAWEZA OA MKE SIIWko rohoni anatambulika maana ajapewa na Mungu tumshirikishe ROHO MTAKATIFU ATUFUNULIE
@amosichacha5675
@amosichacha5675 5 жыл бұрын
Ndoa ya Mungu ni moja tu, ikitokea ndoa ya pili hiyo haiwezi tena kuwa ya Mungu inakuwa ya kwetu.
@shkonlinetv1756
@shkonlinetv1756 5 жыл бұрын
Kusema yaliyopita tena maswala ya ndoa yanauma... Mbasha anaongea kiume lakini moyo ni wa nyama... Mwandishi achaaaaaaa... Washa Gari Mbasha
@anastaziamlungu9871
@anastaziamlungu9871 3 ай бұрын
Duuh mkaka ukimuona live n handsome balaaa
@somiaal8019
@somiaal8019 5 жыл бұрын
Mm ninavo kupenda hapa Kenya basi tu .... yani unamoyo wakuridhisha mwanamume na pia umejaliwa utu.. Iseee I love you mbasha kiukweli ..
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
Yani jamani Mbasha nakupendaga bure...wengine tupo tupo jamani hatujapata bado 😂😂😂
@mcrithawaukweli4885
@mcrithawaukweli4885 5 жыл бұрын
Asha Ally 😀😀loh jamani
@ashaally6993
@ashaally6993 5 жыл бұрын
@@mcrithawaukweli4885 😂😂😂😂 msema kweli mpenzi wa mungu😉
@mcrithawaukweli4885
@mcrithawaukweli4885 5 жыл бұрын
Asha Ally kweli sio uongo my uko wapi
@rachelmulonda6648
@rachelmulonda6648 5 жыл бұрын
Mimi nampendag a sana
@georgemaselekwaiyoniwematu6758
@georgemaselekwaiyoniwematu6758 5 жыл бұрын
Asha Ally tupo tutafutane. msitafute wenye pesa
@sweetmama6885
@sweetmama6885 5 жыл бұрын
Ivi Mbasha ni kabila gani jamani? Mweupe mwenyewe. Sijui ni joto la Dar au ni Damu Ya Yesu 😀. Ila nimu handsome sana. Mimi nampenda. Mrefu mwenyewe, mwembamba. Sauti sasa. Konkiiii....! 🤣🤣🤣😜
@sweetmama6885
@sweetmama6885 5 жыл бұрын
@@audifasorest3867 Yaani acha tuu. 😁
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 5 жыл бұрын
Mkorogo, kitaulo.
@khadijakhadija4159
@khadijakhadija4159 5 жыл бұрын
hata sio mkorogo Bal wengine wamejaaliwa uwepo
@dianarenard5853
@dianarenard5853 5 жыл бұрын
😂😂😂
@benardmartine244
@benardmartine244 5 жыл бұрын
Mzuri Kama Mimi Tu
@naomilemi4717
@naomilemi4717 5 жыл бұрын
Hata neno la Mungu halijui vzr Daud ndiye alinyang'anywa mke na Uria. Soma neno likae Moyoni likukomboe likutoe ktk Maangamizi likuponye mwili roho na nafsi. Mungu akusaidie
@jonathaneliabu2298
@jonathaneliabu2298 5 жыл бұрын
Mimi sio mbombezi sana wa maandiko ila sababu ambayo inanguvu ni kwamba maandiko yanasema injili ya mathayo 5:31hadi 32 nanukuu imenenwa pia mtu akimwacha mkewe na ampe hati ya talaka. 32 lakini mimi nawaambia kila mtu amwachae mkewe isipokuwa kwa sababu ya uwasherati amefanywa kuwa mzizi na mtu amuoae yule aliye achwa azini.mwisho wa kunukuu pia huyu emanuel haelezi daud alinyang'anywa mke na nani ila mimi ninavyoelewa visa vya mfalme daud yeye ndie alinyang'anya wezake wake alimchukua betsheba mke wa askari wake aliekuwa anaitwa uria ndo akazaliwa huyu mtoto anaitwa seleman mzee wa wake wengi na masulia( ukipenda unaweza kumuita hivyo)na pia alimchukuwa mke wa mtu aliekuwa anaitwa Abigaili kisa hiki unaweza kukipata kwenye kitabu cha wafalme kwahiyo wao kupeana talaka ilikuwa ni sawa lakini kwamujibu wa maandiko rejea injili ya mathayo 5:31-32 ilikukwepa mtego wa kuwa wazinzi emanuel hatakiwi kuoa na flora (madam)nae hakutakiwa kuolewa vinginevyo ni uzizi tu
@valeriamtenga3384
@valeriamtenga3384 Жыл бұрын
​@@jonathaneliabu2298 Bro, hii sheria hapa km Kristo aliikaza sana, mana kuna errors tunafanya km vijana, sasa ukigeuka unakuta sheria inakufinya! Yesu tupe macho ya kuona mapema
@momylaviel
@momylaviel 6 ай бұрын
Huyu mbaba na mkewe walkuwa wanaendana sana
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Mwanaume anayejitambua
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 5 жыл бұрын
Kabisaaaaa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Veronica Scott Mollel umeonaee yaani huyu amenifanya niamini kuna wanaume wana makoromeo na moyo wa uvumilivu maana wangekuwa wale wanaume wa Dar wasiojielewa yule flora angekuwa uchi kwa mapovu
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 5 жыл бұрын
@@mwanajumaomahundumla6504 Mm namuombea Mungu warudiane Florah ameacha mume anaejitambua...
@tuombesunzuesperance5196
@tuombesunzuesperance5196 5 жыл бұрын
Mwanajuma Mahundumla true true
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 жыл бұрын
Veronica Scott Mollel hata mimi natamani sana warudiane sijui Flora alipwa na nini kwakweli maana wanawake ndio tunaosifiwa kwa uvumilivu ila yeye mmmm haya kikubwa kumuombea
@jenipherchristopher2230
@jenipherchristopher2230 5 жыл бұрын
Nakupenda sanaa mbasha. unahekima za ki Mungu.. ubarikiwe mnoo..
@reshmapenz9051
@reshmapenz9051 5 жыл бұрын
We mtangazaji hadi ukatwe makofi unauliza sana khaaa
@jaysballoh22
@jaysballoh22 5 жыл бұрын
Anazini tu frola wala hana ndoa
@leahjames647
@leahjames647 5 жыл бұрын
mbasha nakupenda bule natamani tukutane nikupe hat mkono tu
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Mkono utakutosha Leah?
@nancymrs359
@nancymrs359 5 жыл бұрын
Sakina Omar 🤣🤣
@lilianpalanjo2444
@lilianpalanjo2444 5 жыл бұрын
@@nancymrs359 haaa
@matildamkombachepa2095
@matildamkombachepa2095 5 жыл бұрын
Majibu mzuri sana bro
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 жыл бұрын
Mungu akubariki mdogo wangu Mbasha
@anethpino1321
@anethpino1321 2 жыл бұрын
Mungu akuzidishie hekima zaidi
@janethmakingi6024
@janethmakingi6024 5 жыл бұрын
God bless you Mbasha.
@nsiamassawe3075
@nsiamassawe3075 4 жыл бұрын
Mbasha wewe ni handsome wanawake wanakulilia. Bahati mbaya ulioa kiumbe chenye elements za umalaya. Matokeo yake kimeenda kubaka kitoto kidogo.
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
MWANDISHI UMENIKELA KUTAKA UMBEYA KINGUVU 😃😃😃😃
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 5 жыл бұрын
James Ngunda Teresia 🤣🤣🤣mbona mtangazaji kutaka umbea kwa nguvu nimecheka mie
@devybernardlaizer7713
@devybernardlaizer7713 5 жыл бұрын
James Ngunda Teresia 🤣🤣🤣mbona mtangazaji kutaka umbea kwa nguvu nimecheka mie
@ainonlinetv8863
@ainonlinetv8863 5 жыл бұрын
kaka saf sana na mungu ni wetu sote
@maryjustapeter5430
@maryjustapeter5430 5 жыл бұрын
Mungu azidikukutia nguvu, mgoje Bwana yesu hyo Frola alikengeuka endelea kumuombea Mungu ampe toba
@erikadaudi1556
@erikadaudi1556 5 жыл бұрын
Mambo ya ndoa nikuwaachia wahusika tu maana hakuna mtu anayeweza kuicha ndoa yake ikiwa iko salama pengine huyu naye atakuwa nashida
@belak999
@belak999 5 жыл бұрын
Mwanamke mzinzi huyo alianzia kwa gwajima, embu jinyamazie tu usijibebee dhambi
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 жыл бұрын
mpaka wauane ndo mngelizika. watu waachane kistaarabu sio mpaka msikie matukio ndo mridhikre
@gracekangendo3075
@gracekangendo3075 5 жыл бұрын
This is a strong man
@lulunnk8321
@lulunnk8321 5 жыл бұрын
mbasha mungu akupe nguvu na uvmiliv flora bado n mkeo na ipo cku atard kwako
@shekhekhandereizer559
@shekhekhandereizer559 5 жыл бұрын
Hhahahahah BROO anaonekna kunakitu kipo nyumaa ya pazia naona na mke wake sio kutk kuzingua kuongeaa
@ziadasalim8807
@ziadasalim8807 5 жыл бұрын
shekhe khan de reizer umeonaae na wakirudiana frola hana bahati ogopa mtu umemsweka ndani matukio kibao umenfanyia. eti bado mwanaume anatangaza anakupenda loo mwanaume ni watu wa visasi. huyo anazuga anataka Mali zake zirudi kwa kisingizio nampenda Mke wangu. looo akihakikisha kila kitu kipo mikononi. utasikiza matukio kama hujaona mtu kachinjwa sijui na magunia mawili ya mkaa yanamuhusu
@majaliwamichael1687
@majaliwamichael1687 5 жыл бұрын
very wise kabisa Mr mbasha mpaka nimekupenda bure
@tausimwambujule1642
@tausimwambujule1642 5 жыл бұрын
Uko vizuri Mbasha, Mungu azid kukubariki
@davidgustavkomba2521
@davidgustavkomba2521 5 жыл бұрын
Ukisikia watu ni oooh huyu jamaa ni gentleman. Ndo hapo na kujieleza.
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 5 жыл бұрын
Nakupenda sana jamani 😍😍
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Dah mbasha unahekma sana aiseee
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Nakukubali sana
@salamaamos4013
@salamaamos4013 5 жыл бұрын
Nakupenda bure mbasha unahekima Sana bro
@mariammwambungu3174
@mariammwambungu3174 4 жыл бұрын
Nikweli Kwa ss wakiristo yule nimkeo kabisa FROLA anapoteza muda aludi tu Kwa mbasha maisha yaendelee
@sarahsamwel8283
@sarahsamwel8283 5 жыл бұрын
Mtangazaji me nakupendaga I wish one day tuonane
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 5 жыл бұрын
Kweli Elinaike lakini wakristo hatuvunji ndoa.Hatusimami madhabahuni kuapa mara ya pili mwenzio akiwa hai.Mungu ataniwi
@mollymartine8350
@mollymartine8350 5 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@queenyahaya3147
@queenyahaya3147 5 жыл бұрын
Maswali mazuri sana 😍😍
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Mungu akubariki sana wanaume, sijawahi kuonaga mwanaume aliye achana na mkewe kwasababu yeyote ile then akaanza kumponda mtaraka wake, Mbasha una hekima sana
@hadijahmwajombe9588
@hadijahmwajombe9588 4 жыл бұрын
unabusala sana mbasha yaaani nakupenda bule
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 жыл бұрын
Mbasha naomba uniombee nina pepo jipya linanifurahisha!
@stellahemilian9168
@stellahemilian9168 5 жыл бұрын
Aise mwanaume unajitambua sn hongera kaka
@abdulmisambano7485
@abdulmisambano7485 5 жыл бұрын
Mungu akutangulieee mbashaa
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 5 жыл бұрын
Jamani huyu kaka kachanganyikiwa nisimuone yupo happy Kumbe Hayupo sawa sawa yeye bado anaamini frola ni mkewe wakati mwenzie kashaolewa😂😂😂
@nancymrs359
@nancymrs359 5 жыл бұрын
Kafanana na Rommy Jones
@nicholausmakundi2663
@nicholausmakundi2663 5 жыл бұрын
Nashukuru kwa kunisimamisha..
@hudhaifalagoslagos5209
@hudhaifalagoslagos5209 5 жыл бұрын
Jaman Kuna watu wanabahat sana mmbasha ni handsome boy kweli flora hana hata uzuri
@fakhirhamad1273
@fakhirhamad1273 4 жыл бұрын
Daa mtangaziji upon vizuri jmni nimekupenda jmni😁😁😁
@user-eh2ym7nv1v
@user-eh2ym7nv1v 5 жыл бұрын
Mungu akubaliki broo
@khadijavassardanis3178
@khadijavassardanis3178 2 жыл бұрын
mungu akubariki
@jonaselias7729
@jonaselias7729 5 жыл бұрын
Mbasha Daudi hakunyanywa Mke ila yeye ndie aliyemnyang'anya Uria Mke...
@hosianaelfuraha9949
@hosianaelfuraha9949 5 жыл бұрын
Emma nimekupenda buree bg up sanaaa
@jacqulinemushi5849
@jacqulinemushi5849 5 жыл бұрын
Mungu ndo anajua ukweli ma actor wapo wengi😆😆😆😆🤗
@Mohabmts
@Mohabmts 4 жыл бұрын
Kweli kabisa wako tu wengi,yaani ngozi ya kondoo ndani mbwa mwitu
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 5 жыл бұрын
Nakupenda bule mbasha
@beatricedonald3934
@beatricedonald3934 5 жыл бұрын
kweli kabisa.Flora ni mkeo kibiblia.
@deborambonea9512
@deborambonea9512 5 жыл бұрын
love you mbash@
@munakassim3521
@munakassim3521 5 жыл бұрын
Mbasha nakupenda sana
@jamesjames5129
@jamesjames5129 5 жыл бұрын
Hongera broo kwa busara
@topistarnelima6797
@topistarnelima6797 4 жыл бұрын
Mwanamume sura nzuri ya kiarabu.
@remmynnko5827
@remmynnko5827 5 жыл бұрын
Jembeee nakukubal jembeee lazima arudiii
@josephharri9015
@josephharri9015 5 жыл бұрын
Jamaa Anaongea point sn
@stanslausdaudi1708
@stanslausdaudi1708 5 жыл бұрын
Kama mnalijua hilo kwa nini msirejee kwenye Neno la Mungu mtubu? Geukeni
@elizabethmyula982
@elizabethmyula982 5 жыл бұрын
unabusara kwl kaka mbasha mungu awepamoja nawe
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 5 жыл бұрын
First cut is the dipest hehehe ths giy will never get over his ex wife florah .he must have loved tht woman fr real inauma kweli 😏
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 5 жыл бұрын
SSA nyinyi watangazaji kueni serious na maswali munao wauliza watu yani munalazimisha MTU kuingia kwenye mambo mengine, MTU ayupo tayari kujibu. munamulazimisha esuuuu
@Papa2thaE
@Papa2thaE 5 жыл бұрын
Muwege mnapiga njendani za kinyama kinyama Mara moja kwa mwezi, hawaendi popote. Make sure unampigisha bao.
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Safi sana baba unahekima sana
@annaallex3996
@annaallex3996 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kimungu ni mke wake
@nicholausmushi44
@nicholausmushi44 4 жыл бұрын
Mbona sijamuelewa eti yakobo alikuwa na watoto 12 alafu wawili siyo wake kasoma wapi
@annakashelo8519
@annakashelo8519 5 жыл бұрын
Nimekwambia ni mwanangu sasa wewe unataka nini! Hahahahaaa mtangazaji mbea wewe
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Akukubali sana baba
@asimwetibaijuka7318
@asimwetibaijuka7318 5 жыл бұрын
Mtumishi Mbasha, ninapenda kuimba na ninauwezo wa kutunga nyimbo (gospel) nimebahatika kurecord wimbo 1 tu nasijui pakuelekea naomba msaada wako (0746019342) pia bro Ayo naomba unisaidie hata kuniunganisha nae ntashukuru Sana.
@rehemaginono8756
@rehemaginono8756 5 жыл бұрын
Unaimba ili utambulike au unaimba kumtukuza MUNGU??? Jinyenyekeze kwa MUNGU naye atakuinua usitegemee mwanadamu hasa katika huduma za KIMUNGU.
@frankjully5457
@frankjully5457 5 жыл бұрын
yuko sahihi flora bado ni mke wake ndoa za kikristu hamna kuachana mpaka mmoja afe
@alphahappy3501
@alphahappy3501 5 жыл бұрын
frank jully kuachana kupo..ila ni kwa sababu ya uzinzi tu. Kama ujapaona sema upewe mastar ujue.
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
Type mstari tujue broo
@khadijakhadija4159
@khadijakhadija4159 5 жыл бұрын
ila wakristo ndoa za hatar Sanaa mpk umsubiri mwenzio afe au ufe ndo uolewe
@chrispinashayo795
@chrispinashayo795 5 жыл бұрын
Mimi sisubiri afe ndo niolewe naolewa akizingua banaa,
@williamchrispian1752
@williamchrispian1752 5 жыл бұрын
Mungu hakulazimish wew kufuata amri zake, Bali amekupa chaguo ufuate yake au yako NA mwisho wa cku mtakutana hukumuni, amwachae mume au mke NA kuoa au kuolewa na mwenzake akiwa bado hai AZINI kwa wafuasi wa Yesu Kristo na neno la Mungu halipindishwi nukta wala yodi.
@rolandjacob2086
@rolandjacob2086 5 жыл бұрын
mhuuu yesu alisha kuwa daraja watu kupga Hela tu yesu yesu wanapga Hela pumbavu zenu
@geofreysolomon8532
@geofreysolomon8532 5 жыл бұрын
Mtaje yesu upige hela sasa unasubiri nini ndugu yangu😁😁😁
@godsonsafisana2326
@godsonsafisana2326 5 жыл бұрын
Mbasha mpole jamani
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
alisema hamtanitumikia bure,ntawapa Mara mia duniani,kisha uzima wa milele ,hyo ndio Yesu
@rehemaginono8756
@rehemaginono8756 5 жыл бұрын
Na wewe karibu upige hela mlango uko wazi wateja tunakusubiri kama unahisi ni kazi rahisi.
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 жыл бұрын
Amen sana
@happykipeya8516
@happykipeya8516 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀nimekupenda bure kaka
@johnsylivester8412
@johnsylivester8412 4 жыл бұрын
bro anahekima Sana, ni mtu mzuri, ila waandishi wengine ving'ang'anishi
@nicenice413
@nicenice413 5 жыл бұрын
Acha unafki wewe Uende mbinguni, ulimkataa yule mwingine ukasema ulizaa nae motto mmja tu, huyo mwingine humtambui, sasa imekuwaje huyu ni wako? mfyuuuuuu kwendraaaaaaaaaaaaaa muache Madam Flora na maisha yake ndoa yenu ilishakufa,
@mercedesphiri1609
@mercedesphiri1609 5 жыл бұрын
Mmbasha unamachokozi hahaha i like it.
@leopoldmwesa6968
@leopoldmwesa6968 5 жыл бұрын
Mtangazaji unatoka nje ya reli kaka
@chimwanakasanda3952
@chimwanakasanda3952 5 жыл бұрын
Hapo umenena mbasha
@beatricembilinyi3599
@beatricembilinyi3599 5 жыл бұрын
safi sana
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 жыл бұрын
Hivi Mungu wenu alihalalisha mwanaume kuvaa thehabu?
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
mpaka almasi ,Amri za Mungu kasome uone ka kuna hiyo pumba,Mungu wetu ni baba yetu ,siyo kutupangia mpka cha kuvaa,no ,tunavaa tunapendeza coz our God z wealthy
@edinachami1754
@edinachami1754 5 жыл бұрын
wanafki hamkosekanagi
@gracenavilo5872
@gracenavilo5872 5 жыл бұрын
Upo sawa kabisa kaka
@R10_Rajab
@R10_Rajab 5 жыл бұрын
@@edinachami1754 tatizo mkiambiwa ukweli mnapanic hamuna dini nyinyi dini yenu ni yawapiga hela tu kama vymaa pinzani vya tanganyika
@goldmansun5859
@goldmansun5859 5 жыл бұрын
leo nimekusoma,yo r wise
@georgemalinzi9647
@georgemalinzi9647 5 жыл бұрын
mbasha kajichubua sana
@zawadianne278
@zawadianne278 5 жыл бұрын
Yani were nimwanaume sjui kama Tanzania hii mko wangapi sjahi kuona MTU mwenye moyo Ka wako
Watoto 8 wa Marais wa Afrika wanaoongoza kwa mvuto
4:59
Millard Ayo
Рет қаралды 561 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha
6:16
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 195 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН