No video

Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha

  Рет қаралды 554,915

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa.

Пікірлер: 240
@kulengwamabula9508
@kulengwamabula9508 8 жыл бұрын
Sijaona mtu kama Emanuel mbasha dah kaka na Mungu wetu akusaidie kaka
@annewetungumusuya9213
@annewetungumusuya9213 8 жыл бұрын
Mbasha I salute u.we dont get maried to try but to stay.
@nicethamanonga5855
@nicethamanonga5855 4 жыл бұрын
Hawa wanawake hawa wanashida kweli wanajifanya wadini kumbe hovyo sana .
@addonovember
@addonovember 8 жыл бұрын
Millard is doing a good job... Bro hongera sana u have set new standard in our country... Wasiokujua watadhani umeanza juzi.. Hongera sana mdogo wangu Millard
@halujasalem7820
@halujasalem7820 7 жыл бұрын
uyu mwanamke hasidi kweli unampeleka police mumeo, ww kweli chizi.
@beckydicksonmarisa4551
@beckydicksonmarisa4551 8 жыл бұрын
the best news presenting site! Good job Millard!
@silvagoldtechnician1698
@silvagoldtechnician1698 9 жыл бұрын
nakuombea ufike mbali zaidi ya hapo nakukubali sana kwa kazi zako
@amosmchiwa3762
@amosmchiwa3762 7 жыл бұрын
flora ni msanii tena mm nathubutu kusema anaangalia maslahi zaidi nyimbo za injili anazitumia kufanikisha mambo yake lkn hakuna kumpenda Mungu hapo
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
swadakta...nisahihi...Kabisa ajielewi pia
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 6 жыл бұрын
Hahaaa ww noma
@happymanjira7364
@happymanjira7364 7 жыл бұрын
Hongera Flora. Mungu anakujua ulivyo. chapa kazi ya Mungu.
@fredymahinda4024
@fredymahinda4024 6 жыл бұрын
flora sio mwanamke ni pepo huyo yaan sio kila anaeimba nyimbo za dini anamaanisha yuko safi wengine wanatafuta salio tu mambo ya kidunia ndio kawaida sana. coz km umeshaolewa naamini unajua maana ya kusamehe. Taraka ya nini sasa???? huyo mwanamke mchepuko tena wakapime km watakuja yamaliza siku moja. mungu sio wa mchezo mchezo shilawadu shilawadu nawaonanawaona mnakula tu biblia)
@user-kg1xd9gd2q
@user-kg1xd9gd2q 8 жыл бұрын
all da best for re-union u r such a nyce couple I lyke.
@venancejuvenarymsabila8623
@venancejuvenarymsabila8623 9 жыл бұрын
I appreciate you brother milard...
@marynjeri8500
@marynjeri8500 8 жыл бұрын
Mwanamke unawezaje kupeleka mme wako police.Alafu bado unasema unampenda wewe ni mwanamke mpumbavu..mandiko yana sema mwanamke mwenye busara ujenga boma yake kwa mikono miwili lakini mpumbavu ubomoa kwa mikono yake..jiulize wewe flora huko upande gani.
@fofo100fool
@fofo100fool 8 жыл бұрын
kweli
@elihurumamatowo7612
@elihurumamatowo7612 7 жыл бұрын
Mbasha achana na huyo flora tayari kazaa njee ya ndoa.maana yake yeye ndie amevucha ndoa na tena kwa kukudharau amekupeleka police.hapo hakuna mapenzi kaka.ni mnafiki tuu.mrudishe huko huko alikozaa bana.watoto wako uliezaa nae chukua.muache aauze sura yake.tena kashakuwa mzee huyo.kibibi wakumtaka hamna tena.
@valleriansegwa8688
@valleriansegwa8688 7 жыл бұрын
inauma
@majjeychabruma5693
@majjeychabruma5693 6 жыл бұрын
mary njeri
@williamombeni9237
@williamombeni9237 9 жыл бұрын
@Millardayo Kaka i love Ur work kaz nzur sana mtu wangu wa nguvu oll the way from 88.7 Morogoro Much love sana Repoter wangu tuko pamoja
@elizabethjames292
@elizabethjames292 5 жыл бұрын
huyu mwanamke mjinga hana hakiri,Mme umpeleke polisi bora ,asiludiane nae
@yohanakibuga1544
@yohanakibuga1544 9 жыл бұрын
hongera sana kaka kwa uwepo wako tunapata habari kwa wakati, maisha marefu Bro.
@alicekamau2060
@alicekamau2060 8 жыл бұрын
flora umefanikiwa kupata mume akupendaye jamani unacho tafuta nje ndo nn kufikia chanzo cha talaka mahakamani ...dear Lord intervene in this young couple n give them long life Lord I salute Mr coz you follow your hrt flora rundi nyumbani
@OscarQuiyenga
@OscarQuiyenga 8 жыл бұрын
Hi uko juu Millard endelea kutuletea mavituz moto moto. Pamoja sana Comrade.
@yohanakibuga1544
@yohanakibuga1544 9 жыл бұрын
uwepo wako, uwepo wetu maisha marefu Bro Mungu akujalie.
@milysehweil6331
@milysehweil6331 9 жыл бұрын
GOD always with his pple never ends in shem life.cong flo and mbash .even me am sure 1 day it will b pos 2 m.amen.b blsd in the name of JESUS amen.
@felshirimashirima9343
@felshirimashirima9343 4 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa sana immanueli yavumilie tu ipo cku moja tu flora atajua thamani yako mungu akupe amani
@neemajohn6142
@neemajohn6142 2 жыл бұрын
Mawakili mawakili Mungu anawaona , Moyo tofauti na maneno
@mercykobay2908
@mercykobay2908 8 жыл бұрын
good job God bles ura family
@danielwambura5025
@danielwambura5025 9 жыл бұрын
kazi nzuri jombaa,Aminia Millard wa Ayo Tv....
@kilaweevelynzeno1875
@kilaweevelynzeno1875 9 жыл бұрын
Nice one millard mimi penda Sana Kaz zako
@neyginabdallah3051
@neyginabdallah3051 7 жыл бұрын
mashaallah Mungu ni mwema
@afropanorama4730
@afropanorama4730 7 жыл бұрын
ndio maana watu husema akili za wanawake wakati mwingine ni kama za kuku unapomuekea mtama chini ili ale basi ataanza kufukua chini zaidi kwa miguu yake akijua kule chini kuna mtama mwingi zaidi akikosa ndio anaanza kurejea ule aliocha
@dyneshuberty1704
@dyneshuberty1704 8 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuri ,Milard mdg wang
@jac9495
@jac9495 9 жыл бұрын
Nice work Milly
@farajagordon4847
@farajagordon4847 4 жыл бұрын
Hongera frola tena hongera saana nguvu ya msamaha
@yahyamaxega9650
@yahyamaxega9650 8 жыл бұрын
millard ayo big up
@gozbertmmassy2943
@gozbertmmassy2943 8 жыл бұрын
God be with u bro,keep it up
@hitsoundmusicnicet5712
@hitsoundmusicnicet5712 8 жыл бұрын
oyooooooooo!!!!!!!! hiligoma ninoma saaaaan duuh.. kweli halinagaaaaa amanini sasaaaaa!!
@dianaantony9445
@dianaantony9445 7 жыл бұрын
Good job miradi ,jamani uyu dada chizi amemtesa mumewe amemwabisha ,kam alijua ayo yote anampenda kwanin unamsumbua ivyo,
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 7 жыл бұрын
addo nafaham ww ni mtumishi! huyu mwanamke ananipa hasiraa naapa kwa Mungu utamkumbuka Emma huko uendako hutafanikiwa,soon!
@patrickmwarabu9165
@patrickmwarabu9165 7 жыл бұрын
mimi nimechoma cd zake zote mnafiki huyo mama.anamuimbia Mungu shetani
@seckeboy9493
@seckeboy9493 9 жыл бұрын
asante sana
@husnasaidy274
@husnasaidy274 9 жыл бұрын
Good job Millard kila la kheri ktk kazi yako
@hfhgf4915
@hfhgf4915 9 жыл бұрын
keep it up Millard
@princessagy1552
@princessagy1552 8 жыл бұрын
awesome news
@samsoncharles7950
@samsoncharles7950 8 жыл бұрын
No body who is perfect Wasameheane waishi kama zamani
@rehemaabel7671
@rehemaabel7671 8 жыл бұрын
jaman flora ulifanya vby lkn kumpeleka mume wako polis
@vivianlibert3024
@vivianlibert3024 9 жыл бұрын
Aachaneee nayee mnafki tu kaona Mbasha kamaliza kesi ndio anaanza kuleta utumbo
@funsupadatestourists9256
@funsupadatestourists9256 9 жыл бұрын
wasameheane tu mungu atawabariki na wajue pia wana watoto wanaitaji malenzi so itaathiri watoto wao
@dreamerboy4956
@dreamerboy4956 9 жыл бұрын
Amakwel #Mungu mkubwa.ndo furaha yetu cc kuwaona wanarudiana.
@imanmgina5342
@imanmgina5342 6 жыл бұрын
We Frola weee mwogope Mungu wewe hapo hamna cha imempendeza Mungu wala nini ukatubu na kumrudia mume wako ndo usalama wako hata Moses Kulola angekuwepo asinge ruhusu upuuz wa hivo
@lilykombe4435
@lilykombe4435 8 жыл бұрын
epuka marafiki flora mwanamke huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. good day
@myself4128
@myself4128 5 жыл бұрын
Flora asiyemjua ni nani? Au sababu mtoto wa Marehemu Askofu Kulola???? Alikuwa mzinzi kanisani Eagt Bugando mwanza kuliko wanakwaya wote na wengi tu wameoita pale na alikuwa ndio mwimbishaji(sololist) sasa lini kabadilika??? Kubadilisha wanaume ni asili yake kabisa naimani Mwanza hakuna anayeshangaa maisha yake,anaimba gospel sio kama mtumishi wa Mungu ila anaimba sababu ya mazoea na wokovu na pia ni ajira yake, naimani kabisa hata Gwajima kapoga tena sana tuu sababu wote wazinzi wazuri tuu
@chechGodsgirl5341
@chechGodsgirl5341 6 жыл бұрын
Ndoa ina mambo mengi sana,sana. Hakuna mtu ana haki ya kum-judge mwenzake kwani ukweli hatuujui. Letu la kufanya ni kuomba na kuwatakia kila laheri
@devothakanyahaingilo5914
@devothakanyahaingilo5914 7 жыл бұрын
Mungu awasaidie zaid tengenezen yote yanawezekana kila ubaya ni wa mwov shetan.
@getunkole1099
@getunkole1099 7 жыл бұрын
Nisingekuwa na mume ningemtafuta mbasha kwa vyovyote,,, flora hapati bahati tena ameichezea mnafiki mkubwa eti anampenda mume wake jamani dunia hii Mmmmmh!!!
@makambamirumbe3078
@makambamirumbe3078 7 жыл бұрын
Getu Nkole we sio mke bora
@ellymsgala4679
@ellymsgala4679 7 жыл бұрын
Getu Nkole furola we nomaaa
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 6 жыл бұрын
Dah jaman ukistaajabu ya musa utayaona ya firaun
@mekumeku2484
@mekumeku2484 4 жыл бұрын
Tangu mwanzo Emma alikua sahihi ila namshauri Emma asiendelee Na huyu mwanamke atamsumbua kwakua ameshakula kiapo na mwanume mwingine
@mekumeku2484
@mekumeku2484 4 жыл бұрын
Emma hapo awe makini huyu mwanamke ameburuzwa Huko mambo Yamekua sivyo anataka kurudi
@officialmilo7050
@officialmilo7050 7 жыл бұрын
Aah Millard mi mtu wako wa nguvu no moja....... daah keep it up
@161mviews
@161mviews 7 жыл бұрын
mwanamke asiye na elimu sehemu zake za siri huteseka
@christinaakonaay3998
@christinaakonaay3998 7 жыл бұрын
ww
@christinaakonaay3998
@christinaakonaay3998 7 жыл бұрын
Raha jipe mwenyewe Dada haya ndomaisha
@gracejohn886
@gracejohn886 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂🤔
@samweljeremiah8886
@samweljeremiah8886 6 жыл бұрын
Ila pia ni vema ukamrudia mkeo wa ujanani,,,mambo ya kutangatanga na wanaume tens kwa mkristo sio vzr Dada,,,,
@bacwaadyeeri5887
@bacwaadyeeri5887 8 жыл бұрын
Good idea
@jacklinedastani6112
@jacklinedastani6112 9 жыл бұрын
mungu awalinde shetani awe mbali ndoa ni heshima
@halimamlili8803
@halimamlili8803 7 жыл бұрын
safi sana mbashaa achana naye
@jacklinmacha5471
@jacklinmacha5471 6 жыл бұрын
mmeuzalilisha sana ukristo
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 6 жыл бұрын
Yan du Mungu anawaona
@jenuromfilinge2827
@jenuromfilinge2827 9 жыл бұрын
kaz nzuri Ayo
@davdngeta6314
@davdngeta6314 9 жыл бұрын
Mungu mkubwa kwa imanueli mbasha
@sophiajonas8618
@sophiajonas8618 3 жыл бұрын
Halafu muimbaji mzima unavaa mbatooooo daaaaa
@moyobongo2273
@moyobongo2273 9 жыл бұрын
amina
@elihurumamatowo7612
@elihurumamatowo7612 7 жыл бұрын
We flora umekuwa mzee sasa mbona akili hazikomai aibu gani hiyo kumpeleka mumeo police?kosa lingine kuzaa njee ya ndoa.ndivyo maandiko yanavyosema?inaelekea ulifundwa na wahuni.umejiabisha sana umeiabisha dunia nzima inayokufahamu.
@elizabethcharles875
@elizabethcharles875 6 жыл бұрын
hatar
@samweljeremiah8886
@samweljeremiah8886 6 жыл бұрын
Huyu flora ni mwanamke mbaya sana
@hakeemmapumba1240
@hakeemmapumba1240 9 жыл бұрын
Gud gud bro
@emmahowour2162
@emmahowour2162 7 жыл бұрын
Flora punguza mpango wa Kando mtoto huyo ulizaa outside ya ndoa ataishi vipi mume wako ata kuwa anamuangalia aje?Bwana alikumarry ukiwa na watoi wawili unamsalia mtoi mmoja tena unaenda kupanulia mwanaume wa mtu kuma kando na mume wako anakutunga mimba shamefull lady toka madhabauni paa Mungu.
@andrewndine1505
@andrewndine1505 6 жыл бұрын
Emmah Owour
@siaveronica7826
@siaveronica7826 9 жыл бұрын
gud job brother
@roselusenaka7548
@roselusenaka7548 3 жыл бұрын
Without involving God in marriage , forgiving,submissive, praying.
@blandinalawrence4597
@blandinalawrence4597 7 жыл бұрын
uyo mwanamke sio mtu mzuri
@glorydavid387
@glorydavid387 9 жыл бұрын
Good job Millard
@millardayoTZA
@millardayoTZA 9 жыл бұрын
+Glory David Thanks a lot mtu wangu Glory, asante kwa kutazama na kuniachia comment yako pia
@wanjarakassoga8264
@wanjarakassoga8264 8 жыл бұрын
+Millard Ayo frola utu wa mtu mwenyewe ashukuru mume wake ni muelewa,wanawake jaman tujifunze!
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
asante sana Millard wetu mungu akubariki sana
@dolinamarende4338
@dolinamarende4338 7 жыл бұрын
nakama hamko tayari kwenye ndowa nini mnaolewa??
@neemamoses9238
@neemamoses9238 7 жыл бұрын
mmmmh!!
@patrickmwarabu9165
@patrickmwarabu9165 7 жыл бұрын
hivi unasemaje unadai talaka wakati wewe ni mtu wa Mungu.
@marykamnde2985
@marykamnde2985 7 жыл бұрын
huna lolote umezaa mpaka nje ya ndoa mwanaume anakusameh ila ukajifanya mzur tambua huyo mwanaume nimzur wewe anaweza pata totoz mzuri nawakaendeleza life
@sunnamickdady5383
@sunnamickdady5383 7 жыл бұрын
pumbavu sana Wewe frola
@fredymbilinyi9152
@fredymbilinyi9152 7 жыл бұрын
huyu frola nikigeugea jamani
@johnzubery6604
@johnzubery6604 8 жыл бұрын
anazinguatu huyo anataka kuluditu
@coesxxx7283
@coesxxx7283 8 жыл бұрын
huyu Dada cjui kakumbwa na nn?
@raphaelrespichius8508
@raphaelrespichius8508 5 жыл бұрын
Nyie wanafiki sana nyote
@fransiscarwillaasinta6008
@fransiscarwillaasinta6008 7 жыл бұрын
sio mke wakuishi nae huyo kaanza polic asikupotezee mda huyo (inauma sana
@lilykombe4435
@lilykombe4435 8 жыл бұрын
mwanamke gan pasua kichwa millard. ndoa kuheshimiana na kupendana na si kuzalilishana. flora kaa chini tafakari ulikotoka na mumei
@lifeofvicky91
@lifeofvicky91 9 жыл бұрын
Mungu wetu ni mkubwa sana
@odilinadonald261
@odilinadonald261 5 жыл бұрын
Kashajua mume wa kwanza ndo mume frola kachemka kwa kijana wake na mbwembwe zote kwa hiyo hao watoto wa mbasha looo ndoa bwana saruti
@henrymlandali9187
@henrymlandali9187 4 жыл бұрын
Mungu hayupo ndani yake
@metridamihama3087
@metridamihama3087 4 жыл бұрын
Daaaaah ni hatariii
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
rudianeni msamaha ni muhimu hata kwa mungu
@godymakundi
@godymakundi 8 жыл бұрын
Wanatudhalilishia wokovu hawa wanazingua.....
@rosembaga2721
@rosembaga2721 7 жыл бұрын
ww sauti kama ya ayoo nilijua ayo au mapacha uwiiiii watu na vipaji kwelii
@mariebakari815
@mariebakari815 5 жыл бұрын
Nahomba jibu jamani hivi ndowa kwa nini ifungwe kanisani alafu talaka itolewe maakamani nikwanini !!!!!!
@adelardkanje7516
@adelardkanje7516 7 жыл бұрын
mwanamke mnafiki ww, m, baya sana
@balualfredsdk3751
@balualfredsdk3751 7 жыл бұрын
mwanamke mnafki. kwa nini amzalilishe kwanza mme wake mahakamani pote kwenye mtandao? hapo msizani yamekwisha bado ataibua jipya.
@WillyLibawa
@WillyLibawa Ай бұрын
Kaka kuwa makini huenda amekuja na lake jambo.
@benardmasaki3882
@benardmasaki3882 7 жыл бұрын
merry njeri ni me penda sana ujumbe wako
@fatmajumanne2778
@fatmajumanne2778 7 жыл бұрын
Huyo n changuduo anatuboa umezaa nje umekataliwa ndo unamrudia leo
@masimbangwefahad199
@masimbangwefahad199 9 жыл бұрын
nimependa uamuzi wa flora
@fatmasalum2737
@fatmasalum2737 8 жыл бұрын
kujidau uyo flora ss kaishiwa ndo anajifanya kufuta kesi ovyooo kwanza uyo mbasha mwenyewe mzuri kuliko ata yy kama alijiona keki mwanzo ss naona kageuka boga amuwache mbasha na maisha yk tena atajimurder hhhhhhhhhhhhhhh
@gracejohn886
@gracejohn886 4 жыл бұрын
Angalia tabia sio uzuri akuna mbaya ww ukoo wako mzima ni wazur
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Getu anaweza kakuoa tu uwe na wanaume wawili
@RandB_Channel
@RandB_Channel 7 жыл бұрын
Malipo nihapa hapa we mwana mke ulio mufanyiya mme wo mjinga mjinga sana
@junithamwasile468
@junithamwasile468 7 жыл бұрын
Vestine malungana et watoto wawili simwingine kafulula saizi, sijui nanani
@safiasaleh813
@safiasaleh813 5 жыл бұрын
Ata aibu haoni keshasahau alivyomzalilisha mwenzie looooo ,muhuni mkubwa
@barakawatu9226
@barakawatu9226 Жыл бұрын
Wakati mwingine, tunapenda umbea, hata wewe mwandishi unachimbua mambo ya watu,
@georgefaustine4414
@georgefaustine4414 7 жыл бұрын
usanii na kutafuta maneno kwenye vyombo vya habari wananchi waone nadhani ni aina nyingine ya dhambi,hapo kati kati wakiwa wameachana hawajazini nje na ndoa yao?muogopeni MUNGU atakuja achape siku moja mtajuta
@cutependo4948
@cutependo4948 7 жыл бұрын
Kaka mpe talka bwana kwn wahenga,wansem mpende,akupndae,asiye kupendaaa achan naeeee,,,
@chikukalelanda2394
@chikukalelanda2394 7 жыл бұрын
jamani wasameheane tuu mm napenda ndoa yenu mnakop mnapendeza kiukweli mnapendezana mnoo mkemeeni shetani maisha yenu ya ndoa yaendelee km zamani plzzzzz
Emmanuel Mbasha: Flora amethibitisha kuzaa nje ya ndoa
21:27
EastAfricaTV
Рет қаралды 147 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 20 МЛН
Flora Mbasha kaolewa tena... Tazama ndoa ilivyofungwa
25:17
Millard Ayo
Рет қаралды 814 М.
Maisha la Flora Mbasha
10:06
Swahiliwood
Рет қаралды 119 М.
Mbunifu wa trekta ya kulimia kwa kutumia injini ya mashine ya kusaga
3:56
SIMULIZI FUPI: MAPITO YA FLORA, By Anko Jay
1:32:10
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 38 М.
Bwana Yesu Karibu By F.E. Nyanza, Kwaya ya Mt. Cesilia - Mombo,Tanga (Official Video)
6:45
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 552 М.