No video

EXCLUSIVE na MTOTO wa MBASHA, kwa mara ya kwanza afunguka usiyoyajua kuhusu Maisha yake

  Рет қаралды 58,986

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

#Mbasha #ElizabethMbasha

Пікірлер: 116
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 Жыл бұрын
Hongera sana binti ,uko vizuri na una confidence,udaktari siyo lazima usome Tz,nje ya nchi hayo masomo yko unasoma ili mradi tu ufaulu.
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 жыл бұрын
Heshima bora malezi bora🙏🙏🙏
@MaaneML
@MaaneML 2 жыл бұрын
Very brilliant girl. Full of confidence and understanding. I can see her far. Go #ElizabethMbasha the limit lies on you. Tap opportunities.
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 жыл бұрын
Watanzania tujifunze kuwatakia mema watu wote na hasa watoto wa wenzetu.Yani comment za watu humu, mtoto mzuri usisome.Mwenyezi Mungu akujalie ufikie ndoto yako aliyokupangia Mwenyezi Mungu.
@omanss268
@omanss268 2 жыл бұрын
Umekuwa mtoto mzuri
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 2 жыл бұрын
Mkishakuwa familia maarufu family matters haipo!!! Na hii ni mbaya Sana kwa watoto! Inaweza hata waathiri katika ukuaji wao! But Mungu ni mwema umeweza kusimama na kufikia hapo!
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mashallah, Kawa mkubwa.
@monicandengo4680
@monicandengo4680 5 ай бұрын
Waooooooo mtoto nzuri tapia nzuri pia naona wewe ni Mtumishi wa Mungu
@upendolema9809
@upendolema9809 2 жыл бұрын
Hongera sana mtoto mzuri,Mungu akutangulie ktk ndoto zako🙏
@dr.sarahosima8066
@dr.sarahosima8066 2 жыл бұрын
Good girl, nakakushauri uwe geologist
@rizikiponsiano400
@rizikiponsiano400 2 жыл бұрын
Hapo ndipo tunasema wanafunzi wengi wanakosa mentors, wazazi ni Guardians Ila watoto wanahitaji professionals, academic mentors. mfano mpaka anafika form six anachukua CBG bado ana plan ya kuwa Doctor, this is very disapointing. Kwanza kuchukua CBG inatosha kwa mwanafunzi smart kujua ni professions gani ataelekea, lakini si Medicine. Labda nje ya nchi, kwa Marekani lazima amalize degree ya kwanza.
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 жыл бұрын
Kweli kabisa yani Apo alipo bado ajajua anaenda kufanya nini
@rehemamwakateba9627
@rehemamwakateba9627 2 жыл бұрын
Amesema malengo kuwa Daktari hajaspecify, Kwa hiyo Anaweza kuwa Daktari wa Mifugo kwa CBG anapiga tu!! Ila wa Binadamu CBG mmmh!!!
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Anasoma jmn tena kabisaaa. Udaktari saaana bios na chemistry
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 жыл бұрын
Labda akasome SUA udaktar wa mifugo hiyo combination CBG ina tick
@depaolo3461
@depaolo3461 2 жыл бұрын
@@rehemamwakateba9627 Subutuuu udaktari wa mifugo ni mgumu kuliko wa binadamu Kwa Sababu udaktari wa mifugo una anatomy nyingi kuliko wa binadamu wenye anatomy moja
@nsiaelieza9568
@nsiaelieza9568 2 жыл бұрын
Angepata sura ya Mmbasha angenoga zaidi ya hapo.
@tajilimtoto5009
@tajilimtoto5009 2 жыл бұрын
🤣bila mbasha ni mzuli tu
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 2 жыл бұрын
PCB ndo udaktari na sio CBG
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Pia mtafute mtoto wa Christina shusho ana bint mkubwa Sana mtafuteni mumuhoji nae tumuone nn anafanya na mtoto wa upendo kilahiro mtuletee
@seouliteawon8903
@seouliteawon8903 2 жыл бұрын
Duu... amekua kweli kweli.. mara ya mwisho nilimuona kwenye tangazo kwenye tv na baba yake na Mama yake beach.
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
kafanana sana na mama yake' Mashaallah
@familylove5417
@familylove5417 2 жыл бұрын
Kumbee mbshaa ana mtoto mkubwa hivi siku alopigwa mtamaaa alijiskiaje huyu mtoto😂😂😂😂😂mbasha hebu jifunzee kunya maza saa nyengine unampa tabu mtoto 😂😂😂😂😂😂😂😂
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Hajabahatika kuchukua sura ya baba ake
@familylove5417
@familylove5417 2 жыл бұрын
Hee ama kweli pesa haidanganyi 😂😂😂mtangazaji kawa hundsamboy hongera sky jinaa wapo vizuri
@vj8313
@vj8313 2 жыл бұрын
Dunia ya sasa Lazma uwe mult talented na mtoto mjanja atatamani awe mult talented ni akiba nzuri sana. Huyu mjanja , uthubutu kwa kila jambo ndo mafanikio yako tuache ushamba na wivu wa kijinga badala yake tuwatie moyo watoto wetu na tuwajengee ujasiri wa kuthubutu vitu tofauti tofaut iwe utangazaji, uanamziki, udokta etc.
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 2 жыл бұрын
ni kweli kabisa
@linahcharles3981
@linahcharles3981 2 жыл бұрын
Well said, though am from Kenya bt whatever she's doing that's her career let her do what she wants only her parents are paying school fees damn I can see ppl are already judging her
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 2 жыл бұрын
Good luck 👍
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mashallah 💕💕💕kakuwa
@sweetluc2660
@sweetluc2660 2 жыл бұрын
Hakika Mungu mwema amekuwa mkubwa
@hellenmollel6679
@hellenmollel6679 2 жыл бұрын
Sasa Daktari na CBG mdogo wangu wapi na wapi aiseee??? Siku hizi hicho kitu hakipo mumy
@wannaproducts
@wannaproducts 2 жыл бұрын
Usikariri, tizama criteria kutoka vyuo mbalimbali duniani
@njuuhjera9971
@njuuhjera9971 2 жыл бұрын
Kila kitu anadream nacho
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Bila biology huwi daktari. Chemistry inaendana na Technician mmmm geography uwe rubani.
@edinachami4318
@edinachami4318 2 жыл бұрын
Hapo ndonakubali uzee unanikimbiza🦸🦸 huyu mtoto wajuzi tu Leo yuko form six🙄
@suzanfelix8065
@suzanfelix8065 2 жыл бұрын
Unaongea kidogo kidogo 😂
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 2 жыл бұрын
Kila kitu anataka mara kuimba mara kutangaza mara doctor 😂😂😂mara director
@kwisa4899
@kwisa4899 2 жыл бұрын
Tanzania ndio inavyo taka
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 жыл бұрын
Umri huo ajui ndoto zake 🤣
@miriam7186
@miriam7186 2 жыл бұрын
Ame chukua mamake sauti sura urefu wa babake
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Ukue umjali baba ako maana mamaako alichomfanyia co kitu poa
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 2 жыл бұрын
Achana na uandishi labda iwe part time. Nenda professional Dr💪
@rithamsechu7220
@rithamsechu7220 2 жыл бұрын
Kabisaa
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 жыл бұрын
Hajasoma physics hawez kusoma udaktar wa binadamu labda asome SUA udaktar wa mifugo.,mtaala wa Tz ili usome udaktar wa binadamu unatakiwa usome PCB
@reytonie4362
@reytonie4362 2 жыл бұрын
@@bernadetamodest6170 udaktari wa mifugo BVM na wenyewe qualifications zao ni PCB
@bernadetamodest6170
@bernadetamodest6170 2 жыл бұрын
@@reytonie4362CBG udaktar mifugo wanasoma.Yupo mtoto alisoma hiyo CBG yupo SUA anasoma udaktar wa mifugo ameingia mwaka wa pili
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Yy kila kitu ni dream yake mmh haya bana
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
😀😀😀
@gladykidai5188
@gladykidai5188 2 жыл бұрын
Adi sauti Kama Flora
@vivianvivian8585
@vivianvivian8585 2 жыл бұрын
Kama anaonea geography bhas akasome statistics
@hellensaulanga2622
@hellensaulanga2622 Жыл бұрын
❤️🌷🎊
@sundayyohana8527
@sundayyohana8527 Жыл бұрын
wew mtangazaji umepewa maelekezo yamaneno yakumuhoji huyo mtoto muda wote unataja mamaake hana baba?? mbona humuhoji chochote kunihusu babaake
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 2 жыл бұрын
Zuhura Yunus Siyo Daktari
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Nimewapenda Sana tena Sana muwe mnawatafuta hawa watoto wa wasanii tujue wanayoyafanya
@reisezone4574
@reisezone4574 2 жыл бұрын
duh sasa anaongea lugha gani manake herufi neno kiswahili kingereza
@faustinaphilipo4997
@faustinaphilipo4997 2 жыл бұрын
Wabongo bhana kila kitu yeah ooh sjui nn mbwembwe nyingi
@aoman5214
@aoman5214 2 жыл бұрын
Hongera Sana sana
@ummydaudi4940
@ummydaudi4940 2 жыл бұрын
Daktrar CBG labda sio Tanzania
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jacklinenyalika5700
@jacklinenyalika5700 2 жыл бұрын
😁😁😁we muache tu , labda akasome India sio bongo😂😂😂😂😂😂😂
@tabithachamhene7956
@tabithachamhene7956 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@Cherriechina
@Cherriechina 2 жыл бұрын
I see smartness 😍👌
@restypeter1141
@restypeter1141 2 жыл бұрын
Sasa ndugu mtangazaji mbona wananenepaaa
@cymone6159
@cymone6159 2 жыл бұрын
Kina akili sana kitoto
@fortunatedominic7845
@fortunatedominic7845 2 жыл бұрын
Cku hizi kwa habari ya udaktari hawachukui CBG
@joycelaura4611
@joycelaura4611 Жыл бұрын
Lizy ana akili sana sana huwez kuwakataa watu ishi kwa akili
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 2 жыл бұрын
Kamekua upesi jmn
@mamajaphety1624
@mamajaphety1624 2 жыл бұрын
duh anajifanya mzungu koko
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
😀😀😀😀
@lovenessgodson1075
@lovenessgodson1075 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@reginambazi2060
@reginambazi2060 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😩😩😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂
@kimsamespa8490
@kimsamespa8490 2 жыл бұрын
Mashaallah unafanana na mamako kweli
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@drvidah7030
@drvidah7030 2 жыл бұрын
Kwa tanzania cbg huwezi soma udaktari unless usome CO kama ulisoma science sekondari....au iyo cbg labda udaktari uo akasome nje ya nchi....ila kwa tqnzania itc impossible kwa mtahala wa sasa hivi.....zamani ilikua hata cbg anasoma but waliokua kazini bila physics I remember waliambiwa wakaisome mwaka mmoja..........
@thisiszai2045
@thisiszai2045 2 жыл бұрын
Amekuwa
@stellangowa1893
@stellangowa1893 2 жыл бұрын
Binti sahau udaktari kwa kupitia CBG.Walimu wana kazi bado .ina maana wanafunzi hawajielewi.
@monicamushi5192
@monicamushi5192 2 жыл бұрын
Mtoto mwenyewe hajitambui hahahaa
@monicamushi5192
@monicamushi5192 2 жыл бұрын
Mm nikiwa form 4 nlikua naelewa
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
@@monicamushi5192 acha wivu
@monicamushi5192
@monicamushi5192 2 жыл бұрын
@@zakiamseka9698 cbg daktar labda akahonge hahahaaa
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 жыл бұрын
👏👏👏🇹🇿🇦🇪
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 2 жыл бұрын
Labda unaweza kuwa dactari wa mifugo ila kwa binadamu hapana. Kila la heri
@annajoseph9955
@annajoseph9955 2 жыл бұрын
Umefanya nicheke
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Wivu tu
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 2 жыл бұрын
Anaweza itategemea atasoma chuo kipi na nchi ipi. It is very possible
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Yaani watu wana roho mbaya,kumtakia mtoto wa mwenzio mabaya ni roho mbaya na yatakurudia
@veronicasulle1849
@veronicasulle1849 2 жыл бұрын
Wew kama umesomea udactari wa paka ni wew acha watoto wa watu
@kahawathungu
@kahawathungu 2 жыл бұрын
Flora mtupu!
@jescajulius8023
@jescajulius8023 2 жыл бұрын
Dogo kakua
@aletasathanas8959
@aletasathanas8959 2 жыл бұрын
mmmmh udaktari huoo daah😂😂😂😂
@babel4862
@babel4862 2 жыл бұрын
Ganziiiiiii
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 2 жыл бұрын
Ambao hatuelewi CBG au PCB tupite wap waw
@ngwelesalu8348
@ngwelesalu8348 2 жыл бұрын
Mukakoment kwenye SUBSCRIBE
@laurinfred2931
@laurinfred2931 2 жыл бұрын
Muulize kwanza ule mtama aliopigwa baba ake na Adam mabange aliuona 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁
@annasabay1112
@annasabay1112 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 жыл бұрын
Daah hahaahhq
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc 2 жыл бұрын
Amekuwa
@thisiszai2045
@thisiszai2045 2 жыл бұрын
Wajina nime Sema hivyo hivyo
@neemaisrael688
@neemaisrael688 2 жыл бұрын
Atakuwa Clinical officer
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Kweli uku kwetu ni doctor atujari co pia doctor
@annaantoni133
@annaantoni133 2 жыл бұрын
Elizabeth.... hongera Sana
@MeriMari-ol3ii
@MeriMari-ol3ii Жыл бұрын
She is very active
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 24 МЛН
GRACE MAPUNDA /KWA MARA YA KWANZA AZUNGUMZIA MAHUSIANO YAKE NA MUTRAH
27:20
ALI KAMWE: SIMBA WAMETUPA CHAMA WA MOTO "YANGA BAO 10 SAAAFI
9:12
Flora Mbasha - Ndoa
6:13
FloraMbasha
Рет қаралды 423 М.