JOAN AJIBU MAPIGO KWA MAMA MZAZI WA MATHA, AMWAGA MACHOZI AKIJITETEA

  Рет қаралды 53,773

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 1 400
@sumbaonline4002
@sumbaonline4002 10 күн бұрын
Ambao wamesikiliza mpaka mwisho na hawajaelewa anachokiongea Mume/Mke wa Martha like hapa😢
@aminafesaliaminafesali8105
@aminafesaliaminafesali8105 10 күн бұрын
😂😂
@gracewilliam4102
@gracewilliam4102 10 күн бұрын
Anaongea utoporo mtu
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 9 күн бұрын
Hawa ni mashetaniii ata Mkeee wak haelewekiii
@Keyjop
@Keyjop 9 күн бұрын
😆😆😆
@juanajuan3198
@juanajuan3198 7 күн бұрын
😂😂 kwa kweli nimetumia nguvu kuelewa ila wapi
@UwamahoroGraceBebrine-w7k
@UwamahoroGraceBebrine-w7k 10 күн бұрын
Wenye hamjasikiliza mpaka mwisho like hapa😂 vimenikera
@Jackillyne
@Jackillyne 11 күн бұрын
Namshukuru Sanaa Beatrice, Asante dada mungu akuonekanie Kwa kweli ili jini Joan alingechulikana 😢😢😢
@shihabmohmmed8469
@shihabmohmmed8469 9 күн бұрын
Ni jini kweli😢
@WitnessDavid-df4el
@WitnessDavid-df4el 10 күн бұрын
Ondoka kwenye maisha ya hiyo familia kama msaada ushapewa imetosha ushakuwa mtu mzima unaweza kujitegemea, Kisha nuka hapo dada ww songa mbele achana na hiyo family. Ukiondoka ww maneno yatapungua. Huna haja ya kujitetea ondoka ndugu watu wapumzike
@ferdinandlameck2287
@ferdinandlameck2287 11 күн бұрын
Mimi simuelewi kabisa. Kama huyu Joanna sio mume basi ni mke wa Martha, otherwise Joanna must go.
@abigailmuendi287
@abigailmuendi287 11 күн бұрын
Kabisa
@faithmusyoka6439
@faithmusyoka6439 11 күн бұрын
Na kuondoka kwake ni fire atimuliwe mpaka kwao
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 10 күн бұрын
Alafu hapa nahisi kalewa ss anang'ang'ana nn c atoke akaishi kwao
@elizabethobonyo7504
@elizabethobonyo7504 10 күн бұрын
Inaonekana uko n mdomo sana ungekuwa kenya ungekuwa ushafinywa .pea Familia nafasi ushakuwa mkubwa sasa.juu wewe ndio chanzo.et mama yako lia hata damu pea Familia amani wewe msichana
@elizabethobonyo7504
@elizabethobonyo7504 10 күн бұрын
Ama tukuzindikishe hadi kwenu wewe
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 11 күн бұрын
funga kinywa na unyamaze kimya wee mtoto..na ushindwe kwa JINA la YESU
@PendoSeleman-gy3wx
@PendoSeleman-gy3wx 11 күн бұрын
Anaonekana kalewa hili ni pepooo toka kwa jina yesu tokaaaa
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 11 күн бұрын
Kamelewa haka
@modestajamada3496
@modestajamada3496 10 күн бұрын
Kwanza kana ubilinini et😏
@Andres-qt6kp
@Andres-qt6kp 10 күн бұрын
Mungu amesha fanya Jambo huyu mtoto ni kapepo hasa yeye na wazazi wake
@Antomid
@Antomid 10 күн бұрын
Ashindwe katika jina la Yesu,pepo chafuu,badala ya kusema Chombo anasema chambo shindwe hilo pepp
@dicksonbaraka7639
@dicksonbaraka7639 10 күн бұрын
SITOKIIIIII
@SabinaJohn-p1v
@SabinaJohn-p1v 11 күн бұрын
Si uende kwenu! mbona hueleweki mama angu mama agu😂😂😂
@exop-r7z
@exop-r7z 8 күн бұрын
😅😅😅
@pianotv6465
@pianotv6465 6 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 11 күн бұрын
Yaani unatukera please tokomea motoni mbwa wee
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 10 күн бұрын
Nasimama na Martha
@prochesernest5439
@prochesernest5439 9 күн бұрын
​@@infodigtechforcommunityemp4103kazi hanayo kusimama na huyo mathar hanalakujitetea mama ni mama atakama ni mlemavu huyo Jo kawatega mathar na mdongo wake heti Sio mama Mmoja
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Don't watch umelazimishwa ?
@pommenuh5413
@pommenuh5413 6 күн бұрын
I understand you my sister Mungu wetu ni mwema
@mrsdeborahurio
@mrsdeborahurio 11 күн бұрын
Maskini!!!! Hayuko sawa, wanahitaji maombi ya ukombozi!
@SharoEmmanuel-n4f
@SharoEmmanuel-n4f 10 күн бұрын
Bado tena ni mwanzo
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 9 күн бұрын
Jmn Kwan wanaongeaaaa nn 😂😂
@lulumpeta6338
@lulumpeta6338 10 күн бұрын
Acha taja jina la Yesu ,kasome amri kumi za Mungu .
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 11 күн бұрын
Toka hapa kahaba wewe kwenda kwenu mmbwa weww una nini mchawi mkubwa wewe nenda kwa mama ako na baba ako mmbwa weww
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 10 күн бұрын
Nashangaa kang'ang'ana na mama wa wenzake
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 10 күн бұрын
@SalmaBinyaga eti linajilazimishia liwe linyakyusa wakati niligweno shetani huyu atoke ktk family za watu
@RechoMzava-gt7so
@RechoMzava-gt7so 6 күн бұрын
Nashangaa lipare lichawi la ugweno
@MaryMweshama
@MaryMweshama 9 күн бұрын
Matha Mwaipaja na Joan wana siri kubwa wameificha kwakufunika jina la Mama na Mtoto, haya mapenzi siyo yakawaida yachunguzeni,❤❤ ❤
@veronicaromwald8311
@veronicaromwald8311 11 күн бұрын
Maombi yana nguvu nyie. Familia ilifunga tatu na kuomba na Martha mwenyewe kasema tumuombee. 🙏😊
@Eddykikoti-g5t
@Eddykikoti-g5t 10 күн бұрын
Kwahyo matha ndo yesu😂😂😂😂 pole sana unachoongea hakieleweki
@upendojoel2891
@upendojoel2891 9 күн бұрын
Unachoongea ni aibu bora unyamaze unaongea utumboo havieleweki😂😂
@TwaeniKagine-p9f
@TwaeniKagine-p9f 9 күн бұрын
Yaani kichekesho 😂😂
@paulojohn-bh2vz
@paulojohn-bh2vz 11 күн бұрын
Tobaaa mbn kama kalewa huyu mtt jmn 😂😂maana sio kwakurudia rudia maneno 😂😂
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 11 күн бұрын
Hahahaaaaa eti tobaaaaaa
@RaheemaMosa
@RaheemaMosa 11 күн бұрын
Yanime nacheka tu haki kaka zana chambo chambo atoketu aende kwao😂😂😂
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 11 күн бұрын
Kamelewa Tena kisungura
@PeterSamson-d8v
@PeterSamson-d8v 11 күн бұрын
Hayuko SAWA kbs😅
@mhehetv2865
@mhehetv2865 10 күн бұрын
Nyinyi watu wemedia mmekosa cha kufanya na kutupostia ujinga huu
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 11 күн бұрын
Pigo la Beatrice hakika lilikuwa pigo takatifu, sasa nimejua hata Biblia kichwani mwa huyu imo rasharasha sana na hajui nini kinafundishwa humo.
@Karen-o6e
@Karen-o6e 9 күн бұрын
Umesema jambo la point sana.Kwa kumsikiliza huyu joan anaonekana hana neno ndani yake kabisa, sasa sijui anasupport vipi injili ya mamake. Mungu awarehemu sana.
@charlesstephano871
@charlesstephano871 11 күн бұрын
Ninawasiwasi na huduma ya Martha kama Mungu anahusika na anaishi na haka ka pepo muda wote asijue.
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 10 күн бұрын
LENYE MWANZO LINA MWISHO.
@PolycapySilayo-g9w
@PolycapySilayo-g9w 9 күн бұрын
Haka kadada ni kapanya road ,endeleeni kusagana ,alafu kamelewa angalieni hayo macho yake.
@theodosiampogole2672
@theodosiampogole2672 10 күн бұрын
Kumbe Joan ni chambo,Shetan yupo ndani yake anajua anachokitaka KWA MARTHA.😭😭😭
@JoyceNowara
@JoyceNowara 10 күн бұрын
Kweli kabisa pepo hiyo
@ShangweSylus-nf6we
@ShangweSylus-nf6we 11 күн бұрын
We mbwa toka kwenye familia ya kujipachika mchawi wewe pepo mkubwa msagwaji wewe shindweni mapepo nyie tena bora ukufe, usitumie neno la Mungu kujificha pumbavu zako.
@magrethsemindu8699
@magrethsemindu8699 11 күн бұрын
Tena pepo kutoka kuzima
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Wanadamu wana wivu sana. Poleni Joan and Martha. Mungu akulinde .❤❤❤❤
@PeterLucas-l7f
@PeterLucas-l7f 3 күн бұрын
Mmmmmh
@nursechunga4470
@nursechunga4470 11 күн бұрын
Kwani wewe ndugu huna kwenu? mbona king'ang'anizi kwenye familia za watu, toka kwa ndugu yetu Martha ili awe na amani, ondoka bhana!!!
@Dashina-2018
@Dashina-2018 10 күн бұрын
Ndio najiuliza hao ndugu zake hawaoni kanaongea Kama kamelewa kabisaaa! Nyooka kabisaa huyu mtuu alafu anaongea Kama Ana confidence ya kutosh inamana Martha anakaruhusu kufanya hivi jamani mbona Kama anabond kubwa na Martha Kama mke au Mme jamani
@pili4758
@pili4758 10 күн бұрын
Hahaha
@LissaHenry
@LissaHenry 6 күн бұрын
Jaman mange leta ushahidi ❤
@hassangasaba4565
@hassangasaba4565 11 күн бұрын
dunia kuna mambo kwakweli, kama huyu sio familia , mbona anajiamini kuna nini.
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 11 күн бұрын
Namn yakumuibia mtu ni lazm uwe na confidence zaid
@vaxminja9053
@vaxminja9053 10 күн бұрын
Anajiamini au anajikanyaga kanyaga hata haelewi anachoongea. Huyu ni wakala wa shetani tu
@T_Darius
@T_Darius 9 күн бұрын
​@@vaxminja9053 Anajiamini kwasababu huwezi kumtukana hadi mama wa mtu anayekulea na mdogo wake, kuingia mitandao ya kijamii kuongea mambo makubwa ya familia tena kwa ujasiri na ujinga bila kujari ya mtu maarufu na mwenye jina la huduma kama Martha, huo ni ujasiri wa hali ya juu na unapoona martha yupo kimya kuna JAMBO
@silviak1776
@silviak1776 11 күн бұрын
Ni mimi ndio Nimelewa😳 ama ni joan🍺🍺 ju sielewi chochote mara tumesababisha yesu ameshindia soda pekee 😂😂😂😂 so Martha ni yesu wa joan 😂😂😂😂 kumbafu zangu mimi 🤸
@SwabryStationery
@SwabryStationery 10 күн бұрын
Haki nimecheka kama mwendawazimu
@azizahamisi7349
@azizahamisi7349 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂sikua nicheke kwasababu anaongelea wakirito lkn apana huu ni utumbo ananisinya walai siaende kwao
@irenejerome111
@irenejerome111 10 күн бұрын
Dah nmechekaaa😂😂😂😂
@romwaldoamsi2783
@romwaldoamsi2783 9 күн бұрын
Kalewa .huyu
@silviak1776
@silviak1776 9 күн бұрын
@@SwabryStationery pia nami nimecheka yangu yote 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lilianowti5477
@lilianowti5477 11 күн бұрын
Hata kujieleza hajui,Martha hawezi kuzaa mwanamke mzee kama wewe.
@mercymakena8711
@mercymakena8711 10 күн бұрын
😂 kweli
@LydiakokindoOTIENO
@LydiakokindoOTIENO 10 күн бұрын
Umeangusha bland ya matrtha ..pepo mbaya rudi kwenu wewe shetani mkubwa😢😢😢
@lilyabel2320
@lilyabel2320 10 күн бұрын
Martha hawezi kuanguka. Yesu ndiyo aliye muinua atasimama naye. Amen
@hubimogela9167
@hubimogela9167 11 күн бұрын
Pumbavu wewe toka kwenye familia ya watu vita hii auwezi kushinda maana unapigana na umma Mama mzazi anashindia maji kule wewe unaongea upumbavu huku,, JOAHN MUST GO ,,
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 10 күн бұрын
Hiki nini??
@RehemaMtono
@RehemaMtono 11 күн бұрын
Kwahiyo martha ndo yesu wako
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 11 күн бұрын
Huyu nijini na anajua kina hofarakanisha hy familia ..
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 10 күн бұрын
Tayari ufahamu umefungwa sasa analopoka,ili uwazi ujulikane kuwa unataka kuangusha huduma,kama chambo ila shetani ndiye mhusika 🔥🔥🔥🏹
@Zeanbo1234-pn8tg
@Zeanbo1234-pn8tg 11 күн бұрын
Toka kwenye familia YAWATUumeharibu familia Toka 1:40
@Merry-h5m
@Merry-h5m 10 күн бұрын
Utajinyonga mwenyewe kwa jina la yesukristo kwasaba wewe ndo chanzo na utashindwa kwa jina la yesu.
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 11 күн бұрын
Kama unavotaka kumfanya mama wa watu ajitoe uhai, unayo kila ishara ya ushetani ndani yako, maneno yako hayana utukufu ndani yake hata kwetu masela tusio na hizo iman zenu
@Hawaandy-vd3uq
@Hawaandy-vd3uq 9 күн бұрын
😂😂😂😂, jamani kweli shetani yupo kazini, uyu binti anazidi kumharibia matha zaidi
@PhoibeMpemba
@PhoibeMpemba 11 күн бұрын
Achaa unafkii wewe una uchungu kuliko mama akee au mdogo akee.wewe ni pepoo unatumia tu kwa Marthaa,tena bora unyamazee kuliko kujiongeleshaa.unajitia aibuu pepo wewe muasherati wewe.inamana yesu wako ni Martha au.kwendraa Acha kutumia jina la Mungu wa mbinguni usimtajee kristoo.
@MargaretOmondi-pf3uz
@MargaretOmondi-pf3uz 11 күн бұрын
Maombi ya kufunga 3 days anafanya kazi. Pepo imejitokeleza ya ongea ana teketea Sasa Martha Amelia aombewe. The battle is the Lord's and VICTORY is ours Mama Martha Ushindi ushapata Joan must goooio
@joycendanundanu9218
@joycendanundanu9218 11 күн бұрын
Bado utalia sn kengee km kalewa vile laongea maneno hayaeelewiki ndyo ww ni chambo cha kujifaidisha kwa maisha yako na familia yako.wakati mama wa watu analia mitandao kwajili yako yule mama sio kichaa kaongea maneno yale yote.utayalipia kila chozi la yule mama.tena koma huyo sio mamako rudi kwa familia yako achana na familia za watu au ishi km ulivyowakuta wakiwa na amani sio kuja kuvuruga familia.na bado km kuna nguvu za giza na maovu mnayoyafanya mungu atazidi kuaibika huu ni mwanzo2 mengi yatajitokeza.ety mamayangu mamako wa wapi alafu hii ishu km mangi kimambi ashaipata subirini connection zenu ndy mtajua mungu hapendi watumishi vuguvugu.chagueni moja moto au baridi
@NeemaSelemaniMohamedi-g1m
@NeemaSelemaniMohamedi-g1m 11 күн бұрын
😂😂😁😂😂tushubili
@RehemaNkota
@RehemaNkota 10 күн бұрын
Tayari maombi ya mama matha yanafanya kazi
@RedeibraisackSanka
@RedeibraisackSanka 8 күн бұрын
Huyu ni shetan Tena wa kuzimu kabisaaa, Martha Rudi Kwa mama Yako mzazi ukamwombe msamaha hii ni dunia usilisahau Hilo,bila Yeye kukuzaa huyo kichaa asingekufahamu ,sherwani mkubwa kabisa huyo mdada
@Najma-i3w
@Najma-i3w 7 күн бұрын
A rudi kwao uyo toka kwa martha sisi tunataka uduma zake mbwaa ww
@NeemaGladsoni
@NeemaGladsoni 3 күн бұрын
We pepo mtoke martha lwa jona la yesu pepo ajohan anguka choni na ufe kwa jina la yesu Ameen
@lydiajuma01
@lydiajuma01 11 күн бұрын
Hapo ulipo umelewa mbwii halafu unatuzuga na soda😂😂😂😂😂
@nelsonmtaturu5298
@nelsonmtaturu5298 11 күн бұрын
😂😂😂
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 10 күн бұрын
Pepo joan limetoka kuliwa na lusfer,likemloga martha.
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 11 күн бұрын
Hata anachokiongea hajitambui,hajui hata neno utoto mwingi😢😢😮
@berneysebastian9337
@berneysebastian9337 10 күн бұрын
Utoto gani ajuza uyo
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 10 күн бұрын
@berneysebastian9337 Nilimaanisha,yaani ushetani mwingi🤔🤣
@ChabalaChanelKabamba
@ChabalaChanelKabamba 8 күн бұрын
Weye dada uko muloji vraiment mungu eko nakona😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@florangido202
@florangido202 11 күн бұрын
NENDA KWENU BANA TOKA, MCHAWI MKUBWA WEWE.. MAMA YAKO ALIKUZAA!! MLEVI MKUBWA WEWE. ATUKUELEWI HUMAANISHI. MWACHE MATHER NA MAMA YAKE...KINGANGANIZI HIVI WAZAZI WAKO AWAKUCHUKUI KWANGUVU AU LENU MOJA MCHAWI WEWE...NENDA KWENU KWA MAMA YAKO
@PhyllisMunaa00001
@PhyllisMunaa00001 9 күн бұрын
Amesema "Sina.huduma.ndani yangu"😂😂😂😂😂😂The devil has no secret
@EmmaJohnson-nc7sk
@EmmaJohnson-nc7sk 9 күн бұрын
Sure
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 10 күн бұрын
Mlevi huyooo 😂😂😂😂 Mungu anatenda Sasa huwezi kumdhihaki Mungu akuangalie.....
@wasafijonh3589
@wasafijonh3589 11 күн бұрын
E mungu wangu msaidie Martha
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 11 күн бұрын
Safii finally kaongea ukweli yeye ni chambo 😂😂😂
@konzerasokoni1773
@konzerasokoni1773 11 күн бұрын
Wew umemuelewa kama Mim ... Hapa panaitaji watu wa D2 kuelewa NENO hili. 😂
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 11 күн бұрын
@konzerasokoni1773 pombe huwa ina tabia ya kumfanya mtu atoe vitu moyoni ndio maana unaambiwa usimpuuzie mtu alolewa akiongea
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 11 күн бұрын
​@@wisemelodytz589😂😂😂 kwamba aliyelewa usimpuuze lazima ataongea ukweli
@HappyClement-p1s
@HappyClement-p1s 10 күн бұрын
Sasa kufikia hiki kichambo, 😅 kiongee martha alikua wapi?? Najiuliza sana arafu hk kiswahl kam a warangi ndo kupeleka maneno bla break
@RabeccaAdam
@RabeccaAdam 9 күн бұрын
Joani mungu awapiganie Kwa kipindi hiki nikweli inauma ila yatapit malipo ni duniani sio mbingun
@francinenahimana7289
@francinenahimana7289 11 күн бұрын
Wew nichambo cha shetani ibilisi mkubwa unaongea kama hujielewi utazani umevuta bangi wasagaji wakubwa😢😢😢😢😢😢
@EmmanuelMichael-t5g
@EmmanuelMichael-t5g 10 күн бұрын
Hivi mnamwelewa???
@lovek6593
@lovek6593 11 күн бұрын
Huna kwenu kwani ww.nenda kwenuu yaishe😂😂😂.Mamako tulimuona fb.Harieth Martin Mkwizu🤔
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 10 күн бұрын
Mama mzazi wa matha anaumia mnoo kuliko wewe mkimbizi kweendraaaaaaaa kwenu achilia vitu vya martha na familia yake mchawi huyu binti😢😢😢😢😢😢
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 11 күн бұрын
Uende kwenuuuuuuuuuuuuuuuh achana na familia za watu
@erickmassanja4201
@erickmassanja4201 10 күн бұрын
Mbona kama upo TUNGI. Hafu hata sielewi point zako?? Mara. Mi chambo ,, Mala Mmemwaga jasho na smdamu!!! Yaani hata hueleweki !!!
@bitecastory2137
@bitecastory2137 11 күн бұрын
Hata neno tu hajui duuuuu pole sana vile umelewa Sasa... Bora ungekaa kimy ikiwezekana uondoke kwenu
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv 11 күн бұрын
Bite hongera kukafichua haka kapepo kanisa litaomba subiria muone matokeo matha akili itarejea atakafukuza kama mbwa koko na atakuja kutubu
@edwardleonard5793
@edwardleonard5793 11 күн бұрын
Anaongea nini huyu pepo. Ni.eishia kucheka kama mazuri vile daaah!!! Inafikirisha sana
@NicholausMziray
@NicholausMziray 10 күн бұрын
Rekebisha kauli yako kusema yesu ameshindia juice sema mama yangu matha ameshindia juice siku 3 poleni sana kwa pito hili nalo litapita hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho Mungu awafutie Aibu hii InJesus Name
@dorisNyanda
@dorisNyanda 11 күн бұрын
Kwa hy martha leo ndio yesu.😂😂
@HappyJohn-h8q
@HappyJohn-h8q 11 күн бұрын
Kwake itakuwa
@RaheemaMosa
@RaheemaMosa 11 күн бұрын
Nyie niachen tuleo niponacheka kama chizi uyo mwehu mwenda wazimu hajui ata neno chambo chambo😂😂😂
@estermathias8354
@estermathias8354 11 күн бұрын
😂😂😂​@@RaheemaMosa
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Asante Joan. Please support dada Martha.❤❤❤
@MargaretOmondi-pf3uz
@MargaretOmondi-pf3uz 11 күн бұрын
Joan wa faidisha wazazi wako Make Martha anapolia wa furahi. Utatoka kwa nguvu za moto wa Roho mtakatifu unatoka kwa nguvu. Madawa zako nguvu kwisha. Hii ndo neno lako la mwisho huta ongea matope zako tena. Pack and GOOOOO USHINDWEEEEE
@NicholausDennis
@NicholausDennis 11 күн бұрын
Toka kwenye familia za watu pepo wewe unaharibu familia za watu mlevi wewe umelewa
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Mungu anajua roho ya Martha.Mungu umlinde .
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 11 күн бұрын
Bata sasa zimetosha haya rud kwa wazaz wako umetosha ujuaji.
@IreneMarkus-jl4nv
@IreneMarkus-jl4nv 9 күн бұрын
Nifundishe kunyamaza🙇🤦
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 11 күн бұрын
Nenda kwenu kwann udharirike hivi
@AAO2154
@AAO2154 10 күн бұрын
AMRI KUMI ZA MUNGU . Waheshimu baba yako na mama yako, ili upate kuishi siku nyingi katika nchi anayokupa Bwana Mungu wako.
@timizandotochannel3347
@timizandotochannel3347 11 күн бұрын
Pepo mchafu ww Joann
@EliasCosmas-qp6gn
@EliasCosmas-qp6gn 10 күн бұрын
MUNGU ndie atakae yanyamazisha haya hili ni popo watu mish wa MUNGU maombi ni muhimu ili kuto Leta misikule kama hii ndani ya family zetu 🙏
@VenanceMasimba
@VenanceMasimba 10 күн бұрын
kwani uyo yesu unaemuongelea hajakula ni martha 🤔🤔😳
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂yaani tuombeaneni jamaniiiiiiiiii
@irenejerome111
@irenejerome111 10 күн бұрын
yesu ameshindia soda😂😂😂😂😂
@LovenessElias-c4e
@LovenessElias-c4e 11 күн бұрын
Hahahha aliyegundua kalewa nan?? hahahh kamelewa ako we
@RayahAke
@RayahAke 9 күн бұрын
😂😂😂na kalewa kwel si uongo
@Mabby_edwards24
@Mabby_edwards24 7 күн бұрын
😄
@ROSEWANJIRU-q2m
@ROSEWANJIRU-q2m 10 күн бұрын
KENYANS GATHER HERE ...WE NEED TO KNOW WHAT IS THE MEANING OF THIS PHRASE " mimi ni Chambo wa kuvua samaki" Otherwise let us all go on our knees tumuombee Martha wetu ,na familia yake ili huyu ibilisi aende kuungua motoni na yule tajiri wake Lazaro.......mimi ni chambo my foot.....shiiiiiiit.........
@NicholausDennis
@NicholausDennis 11 күн бұрын
Point ya maana una tokaaa shetani wewe
@BensonMakari
@BensonMakari 2 күн бұрын
Kupitia madhabau ya kakande uame urudi kwenu na ushetani wako blood of jesus 🙏 usipate amani....
@vincej9275
@vincej9275 11 күн бұрын
Watu wanatumia jina la Yesu vibaya sana. Sasa huyu ndio shida kwa familia ya Martha na mama yake.
@JastinMsigwa-v6x
@JastinMsigwa-v6x 11 күн бұрын
Mmmmh mungu msaidie matha anaishi napepo eeeemungu tunusulu
@juddiewandera
@juddiewandera 10 күн бұрын
Hii ni aibu kubwa sana kuwa kwamba ndiye anayeshirikiana na Martha, Soo sad 😭😭😭
@HappyClement-p1s
@HappyClement-p1s 10 күн бұрын
Najiuliza martha alikua wapi kufikia hk kchambo kiongee dah inasktsha shda yake ataki kunyamaza arafu watu wanapambana ukiwasha moto ujue utakionaaa
@Matilda-q4k
@Matilda-q4k 10 күн бұрын
Joan toka kwenyee familia ya mwaipaja,shetani wewe,waache familia yao wametoka mbali.ushindwe Kwa jina la yesu.ondoka hapo umeshajulikana .
@Margretwambui123
@Margretwambui123 9 күн бұрын
Shindwe katika jina la Yesu Mwana MUNGU
@DMB563
@DMB563 11 күн бұрын
#Johan must go #Johan must go #Johan must go #Johan must go
@simionmomposhi1728
@simionmomposhi1728 3 күн бұрын
kwenda uko mlevi,yesu nani unaongelelea na ujui ,,
@elizabethowden4012
@elizabethowden4012 9 күн бұрын
Tutamvua matha kutoka.kwako kwa jina la Yesu wa Nazareth Amen
@GivenessJohnson
@GivenessJohnson 9 күн бұрын
Nataman niseme ila imeandikwa usihukumu usije ukahukumiwa, sijui chanzo cha haya yote bola nijinyamazie zangu🤔🤫
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Yes una Hekima ❤
@MariaMlenda-mv1yh
@MariaMlenda-mv1yh 10 күн бұрын
Kanakunywa soda kabisa kachawi aka uku kanatoa macho shindwa kwa Jina la YESU.
@GabrielMwambengo
@GabrielMwambengo 6 күн бұрын
Wewe acha uongo mamayako kivipi huyo mnyakyusa wa kyela wewe mchaga wapi na wapi,,
@edithantirugelegwa9534
@edithantirugelegwa9534 10 күн бұрын
Hakuna mcha Mungu mwenye tabia mbaya kama zako joan mcha Mungu always hawez kuachia kinywa chake kinene uyanenayo ww, always huzuia ulimi wake usinene mabaya, hakika tunakuomba uondoke kwenye maisha ya Martha,kwani Martha nimkimya sana ila ww Binti kinywa chake unakitumia vby nakupelekea Martha jamii imtafakar vby. Please tabia zako zinaonesha huna hekima,busara Wala Mungu ndani yko,na umefanya tuamini kuwa ww ni chachu kwenye familia ya Martha,funga kimya chako usubiri maamuzi Joan
@GraceKunzugala
@GraceKunzugala 8 күн бұрын
Shindwa kwa Damu ya YESU wewe na mtaaibika mnooo mtoke kwenye madhabahu hiyo
@AnastaziaMabula
@AnastaziaMabula 7 күн бұрын
Dada mungu atakupa pigo hutasahau maisha yako mpaka unaigia kabulin
@exop-r7z
@exop-r7z 8 күн бұрын
😅😅😅 DUNIA INA MAMBO,INGIYA KWENYE MITA,MACHIZI WAZAGA ,DUNIA INAMBOO,,,😅😅
@GadssonLutaha
@GadssonLutaha 10 күн бұрын
Mbona km kalewa au laana ishaanza kumtafuna😂😂
@agnesmbula5261
@agnesmbula5261 4 күн бұрын
Unahitaji kukombolewa katika Jina la yesu.
@RehemaPanga-x6z
@RehemaPanga-x6z 10 күн бұрын
Kisungura imechanganywa na coca😅😅😅😅😅
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 күн бұрын
Mungu akusamehe makosa yako we bint😢😢
@fadhilihongoli
@fadhilihongoli 10 күн бұрын
Karibu kimara temboni kwa kuhani musa Richard Mwacha.....
@phinammbando7876
@phinammbando7876 9 күн бұрын
Yan Joan unahitaji ukombozi wa fikra,dah.Mbona hueleweki ndugu yangu
@zadogavayon
@zadogavayon Күн бұрын
Itoshe kusema mim nichamboo 😁😁😁🙌
@Millie-q6x
@Millie-q6x 4 күн бұрын
Mtegemee mungu. Martha ni mwanadamu. Mamake antafute mungu. Family issues too complex.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
MaiTiti speaks on Madam Boss building a new house with Mhofela
5:01
BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
1:01:31
BongoStarSearch
Рет қаралды 196 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН