Naibu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM-Zanzibar, Khamis Mbeto, amewashangaza wengi alipopanda jukwaani kutetea baraza la wawakilishi lenye nguvu na serikali imara ya umoja wa kitaifa.
Пікірлер: 17
@RichardTenga-yj3qoАй бұрын
Huna flow of thought mheshimiwa.hueleweki unachokilenga ni nini
@alinassor391Ай бұрын
Umeongea ukweli mtupu mashaallah lkn na unafiki ndani yake
@KhalfanAbdalla-x7uАй бұрын
Daah huyu jamaa anaongea vizuri ila maslahi yao wameweka mbele
@kassim1262Ай бұрын
Wnachokiongea nitofauti namatendo yao ikifika uchaguzi piga uaa ili ccm ishinde kwenye majimbo nauraisi hlfu analalamika 😂😂😂😂
@nassorkhamis-s3pАй бұрын
Pumba
@RashidiHassani-in9rbАй бұрын
Mnaongea kama waungwana wakuuubwa vile
@RashidiHassani-in9rbАй бұрын
Huyu jamaa kanywa Leo amakatumwa yaani hakasemapo ukweli ispokua leo
@KhalfanAbdalla-x7uАй бұрын
Katika siku ambayo Mbeto amesema kweli ni leo kua kila mmoja anaangalia maslahi yake ndio maana hata wewe anasimamia uchaguzi wa siku mbili mbili hayo yote ni kwa maslahi yako sio kwaaslahi ya Zanzibar
@abubakarmuhammadsaid3244Ай бұрын
Haja yake na sisi tupigane vita
@ahmedalbalooshi8518Ай бұрын
Kwani CCM wanajali democrasia?
@abdallaameir3153Ай бұрын
HUYU HAMALIZI MWEZI ANAONDOSHWA SAVE HII COMMENT
@SaidSaid-xt1qeАй бұрын
Duuuuh,CCM chama changu,tutafuteni mwenenzi hapa tunamzimu,huyu hafai hata kwa ngazi ya tawi
@kassim1262Ай бұрын
Unajua mungu aachwe tu awe mungu unajua ccm niwanafki eeh ss unapokua mnafki inafika mahali mungu anakudhuhirisha kwaio ccm mungu anawadhihirisha utapata tabu sana maana huo ndio ukweli shekhee😅😅😅
@RamadhaniMussa-xs5ukАй бұрын
Mwakani njooni mtuuwe
@nassorkhamis-s3pАй бұрын
Huyu kaja kufuja kikao pumba huyu mbeto .zero
@RidhwanfakiRifa2020Ай бұрын
Haaaaa haaaaa .Huyu jamaa Ni mnafiki Sana mbona husemi mauwaji munayofanya kila kipindi cha uchaguzi .CCM kwenye maslahi yao hawjali demokrasia wala chochote na ndio maana wanauwa 'wanabaka ili tuuu ili tuuu wabaki madarakani .wacheni unafiki nyie maccm SS wananchi sio wajinga kiivyo mnavyotuchukulia mutambue ilooo .inauma kumsikiliza mtu kama huyuuu haingii akilini