Рет қаралды 153,915
MBINGU ZIMESAINI ni wimbo uliyojaa nguvu ya Mungu unao tusogeza katika kumbukizi ya mpango wa kuokolewa kwa Mwanadamu. Ni moja kati ya Nyimbo za Albumu ya SHINA LA YESE,uliyoimbwa na Groupe alleluia ya Nyarugusu Tanzania. Watsaap yetu +1902 440 3883