Рет қаралды 440,667
Wimbo huu ufanyike baraka kwako na kufungua kila kilichofungwa katika jina la Yesu. PENDO LA MUNGU ni moja kati ya nyimbo za Album ya SHINA LA YESE album iliyojaa nguvu ya Mungu. Wimbo una tuongea kuhusu Chanzo na Thamani ya sadaka. Moyo wako ndiyo sadaka kubwa kuliko zote kwa Mungu. Watsaap +19024403883