No video

MBINU KUBWA SITA ZA KUPANGA BEI YA BIDHAA/HUDUMA YAKO | Victor Mwambene.

  Рет қаралды 2,231

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Күн бұрын

Baada ya kutazama somo hili utajifunza mbinu kubwa sita unazoweza kuzitumia kupanga bei ya bidhaa au huduma zako. Pia utajifunza faida na changamoto za kutumia kila njia.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila wiki yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 16
@user-tp3jv3fr5x
@user-tp3jv3fr5x 7 ай бұрын
Mr.victor nakushukuru sana umenifungua vitu vingi sana mungu akubaliki
@ramaahke512
@ramaahke512 4 ай бұрын
👍
@user-iw9qk2wm4v
@user-iw9qk2wm4v 10 ай бұрын
Good
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje Жыл бұрын
Somo kubwa kwa kila mfanyabiashara. Kuna pesa nyingi za wafanyabiashara zinapoteza kwa kutokujua kupanga bei.
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Hakika My Brother.
@ivonafrancis919
@ivonafrancis919 4 ай бұрын
Mr. Nina shida naomba unisaidie
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 Жыл бұрын
Asante Sana victor nimepata kitu hapa
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
hongera sana.
@michusicompany6151
@michusicompany6151 Жыл бұрын
Dc. Nakuelewa saana kwenye elimu yako ya biashara. Ila naomba unisadie mawazo. N mtaji wa 100000 je naweza kufanya biashara gan?
@festoamos_tz
@festoamos_tz Жыл бұрын
Powerful💪💪
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
ASANTE KAKA
@JackobKanyara
@JackobKanyara Жыл бұрын
Somo zuri sana Mr. Victor hivyo nimeweza kujifunza zaidi.
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Hongera sana ndugu
@hurumamwambene4286
@hurumamwambene4286 8 ай бұрын
jinsi ya kupanga bei ya mauzo
@barakasaidi9632
@barakasaidi9632 Жыл бұрын
Bro ktabu cha kanun za fedha
@MohammedAli-rb2nh
@MohammedAli-rb2nh 9 ай бұрын
Mm nauza Sana Duka ila sijui kupaga hesabu
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 5 М.
MBINU KUBWA 6 ZA KUTOFAUTISHA BIASHARA YAKO SOKONI | Victor Mwambene.
13:14
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,2 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 1,9 МЛН
SIO JAMBO GUMU KUJARIBU, ONDOA UOGA ANZA NA KIDOGO ULICHONACHO
5:36
MBINU 7 ZA KUONGEZA MAUZO KATIKA BIASHARA - Victor Mwambene.
11:25
Victor Mwambene
Рет қаралды 9 М.
AINA SITA YA MAWAZO/FIKRA ZINAZO LETA UMASIKINI | Victor Mwambene.
12:32
NJIA ZA KUANZISHA BIASHARA | Victor Mwambene
8:52
Success Path Network
Рет қаралды 7 М.
SIRI KUBWA 6 ZA KUFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
23:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 8 М.
Jinsi ya kupanga bei za bidhaa ili kupata faida
7:09
Tan Business Channel
Рет қаралды 435
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,2 МЛН