MBINU ZA KUONGEZA UFAULU WA MASOMO KWA HARAKA ZAIDI

  Рет қаралды 507

TUKI - Kuza Akili Yako

TUKI - Kuza Akili Yako

Күн бұрын

Wanafunzi wengi wanatamani Kuongeza ufaulu katika masomo yako lakini wanashindwa kujua MBINU za kufuata ili kuondoa changamoto hiyo.
Mbinu hizo TANO ni pamoja na:
1. Growth mindset
2. ⁠spaced repetition
3. ⁠interleave the studies
4. ⁠Elaboration
5. ⁠Generations
Growth mindset
Ina maana ya Ubongo wako Unamini kuwa unaweza Kuongeza ufaulu wako
Spaced repetition
Maana yake ni kutumia ratiba Maalumu ya Kurejea masomo yako.
Interleave the studies
Hii ina maana ya Kwamba ukisoma masomo yako pitia masomo mengi kwa wakati mmoja.
Elaboration
Ina maana ya kwamba Tumia maelekezo zaidi kufahamu ulichosoma
Generation
Mbinu hii inaelezea kwamba unapopewa masuala au kazi na Mwalimu, jibu masuala hayo Kichwani Mwako kabla ya kupata majibu katika sehemu sahihi
Natumai kuwa umefaidika na somo hi.
Usisahau KUSUBSCRIBE katika channel HII ili uendelee KUJIFUNZA zaidi mbinu za kisaikolojia za kuongea uwezo wako wa akili na Kukuza kumbukumbu.
Mr. Tukrim
Mtaalamu wa Ubongo…Nafundisha jinsi ya kutumia Ubongo kitaalamu

Пікірлер: 2
@LuckyCalicoCat-pd9dt
@LuckyCalicoCat-pd9dt 21 күн бұрын
Mtaaramu mm mwanagu nimtu wakusahau aliyo fundishwa. Nisaidie
@tuki-kuzaakiliyako2381
@tuki-kuzaakiliyako2381 18 күн бұрын
Umri gani?
MBINU ZA KUKUZA UWEZO WAKO WA AKILI/IMPROVE YOUR BRAIN POWER FOR MORE SUCCESS
14:32
Vyako bora kwa ajili ya kuimarisha ubongo, kuongeza akili na kumbukumbu
10:37
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 6 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 19 МЛН
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
JINSI YA KULIPA MADENI HARAKA | Happy Msale
9:54
Happy Msale
Рет қаралды 21 М.
Mbinu za Kusoma na Kufaulu Vizuri katika Masomo Yako
10:22
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 267
Mbinu za kusoma na kufaulu masomo magumu kwa wanafunzi wa aina zote.
5:46
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 13 М.
Mbinu ya kukuza uwezo wa akili kwa haraka sana\Increase brain power fast
5:30
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 1 М.
Mbinu Sahihi Nilizotumia Kusoma na Kufaulu Vizuri Katika Masomo Yangu
10:50
TUKI - Kuza Akili Yako
Рет қаралды 100