NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 31,780

Joel Nanauka

Joel Nanauka

2 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 56
@bisemwabernadette
@bisemwabernadette 2 ай бұрын
Uwa nafatiliya sana mafuzo yako naitanji siku monja niwe kama wewe mungu akupe maisha marefu.
@elishakabone8535
@elishakabone8535 2 жыл бұрын
unatusaidia sana Bro
@BukelebeTv
@BukelebeTv 8 ай бұрын
Ubarikiwe kaka Joel
@sapiamosi3285
@sapiamosi3285 Жыл бұрын
Huyu n Genius
@sylivanus8674
@sylivanus8674 Жыл бұрын
Asante nimeelewa
@marcopeter4091
@marcopeter4091 Жыл бұрын
Shukran Mwalimu
@sidaryotv8821
@sidaryotv8821 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaa kaka Joel kwa motivation zako 👏👏👏👏🤛
@kuruthumukondo7149
@kuruthumukondo7149 7 ай бұрын
Shukrani kaka nimejifunza kitu kipya ❤❤
@rahmamohammed3116
@rahmamohammed3116 Жыл бұрын
Mungu akubariki kaka joel ila mimi naomba unishauri jinsi ya kuikuza biashara ya mtandao
@mudygay2929
@mudygay2929 2 жыл бұрын
Ni kwel kaka
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 жыл бұрын
Mungu akuweke milele una mambo mazuri na mengi
@frankmafole2713
@frankmafole2713 2 жыл бұрын
nahitaji mtaji nina wateja wengi sana
@joshuamollel6993
@joshuamollel6993 Жыл бұрын
Asante sana nimejifunza sijutii kuskiliza habari zako za mafundisho @joel
@raphaelamensimon2888
@raphaelamensimon2888 2 жыл бұрын
Asante kaka kwasomo.zuri
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 2 жыл бұрын
Shukran brother
@saidhaji4537
@saidhaji4537 2 жыл бұрын
BIG Big up brother Nakukubali sana
@givenjackson5449
@givenjackson5449 2 жыл бұрын
Dream comes true kwangu Leo jaman 😭😭😭😭😭 nimefanikiwa kushake hands na mtumishi wa Mungu na nmemuona live 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana kukuona pia, hongera kwa initiatives unazofanya kwa mabinti na wenye matatizo ya akili, keep it up
@rajabumnyimwa1649
@rajabumnyimwa1649 Жыл бұрын
Sea s
@user-ww6xe9ez1d
@user-ww6xe9ez1d 10 ай бұрын
Me Nataka biashara Nikuze Je Unaweza kunisadia Kuza Bixharayangu Kujiunga Mukono
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
💙Yeah 🔥👌🏽
@misalabambudeba3120
@misalabambudeba3120 2 жыл бұрын
Ahsante sana brother joel kwa somo zurr hakika umeniongezea matilio kichwan godblees you
@rweumbiza255ommy7
@rweumbiza255ommy7 2 жыл бұрын
Habr ya asubuhi.... somo zuri sana kaka.kwa mimi ningependa unishauli sana sana kwenye swala la perteners....
@mbukejames3231
@mbukejames3231 3 ай бұрын
BIASHARA ya korosho zilizobanguliwa
@daudkanyelele4862
@daudkanyelele4862 Жыл бұрын
Nauliza nakipi kwa sasa unaweza wekeza Ili unufaike na tanzania ya mwaka 2032
@awadhzmussa5265
@awadhzmussa5265 2 жыл бұрын
Ubarkiwe sana mentor sema tunaomba ujitaid kuboresha kidogo kwenye upande wa sauti
@ismail_4_future.
@ismail_4_future. Жыл бұрын
Mafunzo Yako makubwa Cana Joel..... thanks
@omarhamad9489
@omarhamad9489 2 жыл бұрын
Joel nanauka mungu akubariki sana
@piellee1915
@piellee1915 2 жыл бұрын
Tunasubili Kaka Joel ifunguke tu
@evancepillar3753
@evancepillar3753 2 жыл бұрын
Daah Big up kakaaaa Why not Tanga.. kwanini huji tanga kaka napenda sana mafunzo yako na kila siku nachek nini umepost... maisha yangu kwa kiasi kikubwa yamebadilika kupitia wewe....Tembelea Tanga Mtumishi naamini pia wapo wengi watazidi kubadili maisha yao kupitia wewe.. Barikiwa Mtumishi
@raphaelamensimon2888
@raphaelamensimon2888 2 жыл бұрын
Mungu akubariki
@imlankumchaya661
@imlankumchaya661 2 жыл бұрын
🙏
@eyoboboytzeyobo1187
@eyoboboytzeyobo1187 7 ай бұрын
Kaka j.nanauka nakubalii sanaa
@eliudbeyanga8575
@eliudbeyanga8575 Жыл бұрын
Mimi kaka sijajenga human resource sawa sawa.
@selemanihussein7873
@selemanihussein7873 2 жыл бұрын
Thank you
@fatumaabdallah4851
@fatumaabdallah4851 8 ай бұрын
Asantee kwa somo nimelielewa vzr sana.barikiwa sana kaka.ila mimi kaka nina kijiduka kdg cha nguo za akina mama ila kutokana na udogo wa mataji kuna vitu wanaviulizia wateja nashindwa kuviweka kwa ajili ya udogo wa mtaji basi ninapoona nimekosa mteja naumia sana.nisaisidie hapo nifanyeje .
@willyqtz6835
@willyqtz6835 2 жыл бұрын
mimi nataman niweke system nzur ya kugaw ofa ambayo haita nitia loss
@ismail_4_future.
@ismail_4_future. Жыл бұрын
MUNGU akubariki 🙏🙏🙏💯
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Napenda sana unavyoenda kwenye point miji kwa moja. Natamani kupata vitabu vyako..... Kwa mtiririko. Kuanza chini kwenda juu napataje?
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Tuwasiliane 0762 31 21 71 karibu sana
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
@@joelnanauka asante sana nitakutafuta i'm very serious.
@mahirfauz1993
@mahirfauz1993 Жыл бұрын
🧠
@NikomezeMpapla
@NikomezeMpapla 22 күн бұрын
Tuungeni kwenye masomo kama hayo pls
@philemonmasalu-qy4wz
@philemonmasalu-qy4wz Жыл бұрын
Fantastic training
@peteretlawe6269
@peteretlawe6269 8 ай бұрын
Nimekutafuta muda mrefu lkn. Upatikaji wako umekuwa chida mtu wa baba nitafute
@leonardkasanga4435
@leonardkasanga4435 Жыл бұрын
Mimi napenda nifanye biashara ya usafilishaji wa watu
@JacklineMusau-me4vp
@JacklineMusau-me4vp 5 ай бұрын
Nivyema kukopesha katika biashara ya duka?
@maikosimon-xy2bt
@maikosimon-xy2bt 9 ай бұрын
Kaka naomba namba zako
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kaka
@joelnanauka
@joelnanauka 2 жыл бұрын
Ameen
@peteretlawe6269
@peteretlawe6269 8 ай бұрын
Sasa kupatikana kwako ni kwa chida Sana mbona?
@director_ggxstudio3297
@director_ggxstudio3297 10 ай бұрын
Nafanya kazi ya picha na video shooting nifanyaje kuiukuza kazi yangu
@ismail_4_future.
@ismail_4_future. Жыл бұрын
Mafunzo Yako makubwa Cana Joel..... thanks
@NikomezeMpapla
@NikomezeMpapla 22 күн бұрын
Tuungeni kwenye masomo kama hayo pls
@maikosimon-xy2bt
@maikosimon-xy2bt 9 ай бұрын
Kaka naomba namba zako
@NikomezeMpapla
@NikomezeMpapla 22 күн бұрын
Tuungeni kwenye masomo kama hayo pls
NAMNA YA KUIMARISHA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
12:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
Njia 4 Rahisi Za Kujenga Nidhamu Ya Fedha Ili Utimize Malengo Yako
7:52
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 24 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 51 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 57 МЛН
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 174 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 115 М.
JINSI YA KUONGEZA THAMANI YAKO ILI UINGIZE KIPATO ZAIDI - JOEL NANAUKA
1:11:12
SABABU 10 KWANINI UNASHINDWA KUPATA WATEJA WENGI | Victor Mwambene.
17:54
MBINU 6 ZA KUHARAKISHA MAFANIKIO YAKO | Victor Mwambene.
15:33
Victor Mwambene
Рет қаралды 6 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 24 МЛН