MBINU ZA KUPATA WAZO SAHIHI LA BIASHARA. Nifanye Biashara gani? Kelvin Kibenje

  Рет қаралды 3,474

Kelvin Kibenje

Kelvin Kibenje

10 ай бұрын

Kupata wazo Sahihi la biashara Imekua ni changamoto ya watu wengi sana. Hapa nimekuwekea mbinu unazoweza kuzitumia kupata wazo sahihi la biashara.

Пікірлер: 23
@gloryjoseph9779
@gloryjoseph9779 2 ай бұрын
Asante kwa darasa zuri nimepata kitu na ntafanyia kazi Mungu akubariki
@shadracknoah1140
@shadracknoah1140 2 ай бұрын
Asante sana kaka kibenje napenda sana Elimu yako kaka unanisaidia kupata maarifa
@MrOmarmack
@MrOmarmack 10 ай бұрын
Ahsante sana Mwalimu Kelvin Kibenje, karibu tena Zanzibar. Mimi kwenye biashara ninayo ifanya ilianzia kwenye changamoto ya baba yangu, ambapo tulikuwa tunachangishana pesa watoto wake ili amudu kugharamia bidhaa anazotumia kila anapokwenda checking inayohusu changamoto yake, siku nilipogundua bidhaa anazotumia na kuona kuwa pia naweza kuwa sehemu ya kupata hizo bidhaa, basi nami nikaanza hiyo biashara kiurahisi sana tena bila ya mtaji kabisa, na Sasa nimeweza kuwasaidia wengine wengi sana kutatua changamoto zao mbali mbali tena wengine ni kubwa na walikwisha kata tamaa kabisa. Kwangu imekuwa biashara inayoniingizia kipato cha nyongeza zaidi ya nusu milioni nje ya ajira yangu rasmi, na inaniwezesha kuifanya popote nilipo. Nawakaribisha sana na wengine nitawafundisha BURE
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 10 ай бұрын
Safi sana 👏👏
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 6 ай бұрын
Genius
@Mr_miracle_decor
@Mr_miracle_decor 10 ай бұрын
Safi sana teacher
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 10 ай бұрын
Shukrani sana
@user-zs2gu5vi7x
@user-zs2gu5vi7x 5 ай бұрын
🙏🙏barikiwa kaka kelvin
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 5 ай бұрын
Asante sana
@asharamadhanially3990
@asharamadhanially3990 4 ай бұрын
❤❤😊
@mariasofiapeter3220
@mariasofiapeter3220 9 ай бұрын
Soon I will testify kile nimejifunza kwa vitendo😍 Be blessed
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 ай бұрын
Amen
@user-fm4qc8cl1h
@user-fm4qc8cl1h 3 ай бұрын
Niritumia njia ya 2 niliboresha biashara ya mtu mwengne
@naslove9
@naslove9 9 ай бұрын
Shukran sana kaka Allah akuzidishie yenye kheri kwako
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 9 ай бұрын
Amiin🤲
@abbygeorge8394
@abbygeorge8394 10 ай бұрын
❤❤
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 10 ай бұрын
❤️❤️
@abbygeorge8394
@abbygeorge8394 10 ай бұрын
@@kelvinkibenje ubarikiwe mm nnakuelew haraka na kufanyia kaz taratb 😊
@Phidely
@Phidely 6 ай бұрын
Samahan unaweza ukafa ya biashara Gani ukiwa chuon ngaz ya certificate
@belinajames4407
@belinajames4407 10 ай бұрын
Habari kaka mimi nataka kuanzisha biashara ya duka la vitu vidogovidogo pamoja na mpesa naomba unisaidie ninahitaji mtaji wa kiasi gani
@KelvinNyaitara
@KelvinNyaitara 9 ай бұрын
Nenda maduka ya jirani wanayofanya hio biashara...nunua soda Afu uanze Kupiga story 😂😂... Majibu yote utayapata huko..wish you all the best(if you want to go somewhere ask someone who have been there) 🙏🙏
@upendolairumbe889
@upendolairumbe889 10 ай бұрын
Kila siku napata Nondo kwenye hii account 🙏🙏🙏
@kelvinkibenje
@kelvinkibenje 10 ай бұрын
Asante sana
BIASHARA 15 ZA MTAJI MDOGO ZENYE MZUNGUKO MKUBWA NA FAIDA KUBWA
16:19
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 35 М.
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 29 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 43 МЛН
BIASHARA ZINAZOTENGENEZA MATAJIRI WENGI
12:39
Kelvin Kibenje
Рет қаралды 25 М.
SABABU ZA KWANINI WATU WENGI WANASHINDWA KUWEKA AKIBA  | Victor Mwambene
18:47
MBINU 6 ZA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA - Victor Mwambene.
13:23
Victor Mwambene
Рет қаралды 3,9 М.
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA BIASHARA
16:16
Jenifer Jovin
Рет қаралды 15 М.
Jinsi ya Kupata Wazo Zuri ya Biashara
15:09
Online Profits
Рет қаралды 1,3 М.
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 63 МЛН