MBINU 6 ZA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA - Victor Mwambene.

  Рет қаралды 4,009

Victor Mwambene

Victor Mwambene

Жыл бұрын

Kama wewe ni miongoni mwa watu wenye mtaji fedha ila haujui ufanye biashara gani, basi somo hili ni muhimu sana kwako kwani utajifunza mbinu kubwa sita za kupata wazo bora la biashara.
.
Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
.
KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
.
Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
3. NGUVU YA KUJUA.

Пікірлер: 14
@ga2revocatus91
@ga2revocatus91 3 ай бұрын
Nakukubali 🎉🎉🎉sana jamaaa langu:::::!!!
@benedictaustard5583
@benedictaustard5583 3 ай бұрын
Mungu akubariki we kijana!
@user-qz2xl3qe3v
@user-qz2xl3qe3v Жыл бұрын
Asante mwanangu nakutakia kila lakheri katika Marshall yako
@motivational_leader
@motivational_leader 11 ай бұрын
Mentor wangu mimi 🔥🔥
@user-rb8em8mt2d
@user-rb8em8mt2d 11 ай бұрын
Asante kaka
@michusicompany6151
@michusicompany6151 Жыл бұрын
Yan ninakuelwaga Kaka. Mungu akuwezeshe
@HajiDilimaTv.
@HajiDilimaTv. Жыл бұрын
Shukran
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Asantee
@asajilesanga_3481
@asajilesanga_3481 Жыл бұрын
GOD bless you kaka
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Shukrani sana
@lightnessulomi6128
@lightnessulomi6128 Жыл бұрын
Upo vzr kaka
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Asante sana Light
@rajabhussein7794
@rajabhussein7794 Жыл бұрын
Victor Asante Sana
@victormwambene
@victormwambene Жыл бұрын
Shukrani Kwa Kushukuru
JINSI YA KUTUMIA MUDA WAKO ILI UFANIKIWE KWA HARAKA | Victor Mwambene.
16:15
Namna Gani Unaweza Kupanua Biashara Yako
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 21 М.
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 73 МЛН
MAKOSA 6 YA KUEPUKA UNAPOANZISHA BIASHARA - Victor Mwambene.
13:13
Victor Mwambene
Рет қаралды 6 М.
Hatua Tano:Jinsi Ya Kupata Pesa Za Wazo Lako La Biashara
6:05
Joel Nanauka
Рет қаралды 13 М.
NAMNA YA KUKUZA BIASHARA YAKO  - JOEL NANAUKA
6:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
SIRI KUBWA 6 ZA KUFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
23:41
Victor Mwambene
Рет қаралды 7 М.
AINA SITA YA MAWAZO/FIKRA ZINAZO LETA UMASIKINI | Victor Mwambene.
12:32
Victor Mwambene
Рет қаралды 1,9 М.
Jinsi ya Kupata Wazo Zuri ya Biashara
15:09
Online Profits
Рет қаралды 1,3 М.
MAAMUZI YAKO NDIO MAFANIKIO YAKO
7:26
Success Path Network
Рет қаралды 46 М.
MAMBO 10 YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUAJIRI MFANYAKAZI - Victor Mwambene.
16:49
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 73 МЛН