Рет қаралды 5,513
Mtambo huu wa biogesi ukilishwa vizuri unaweza kupikia chakula hadi Saa 7 kwa siku. Matumizi ya mtambo huo ni tofauti na mitambo ya kujengwa ardhini. Huu ni upo kwenye aina ya mitambo ambayo haihitaji ujenzi wowote na inapatikana kwa bei nafuu zaidi. Mtumiaji huu anaelezea namna anavyotumia mtambo kutoka ICHI Renewable Energies Tanzania.