MuuLize hata KASHASHA kwangu kona Kama penati....MBIZEEE MC 👊
@kashindiedson85593 жыл бұрын
Dr. Unju na K Wa Mapacha, Chemistry yenu ni noma sana... embu tengenezeni album ya pamoja... Daaaaaaaaah!! Nyie ndiyo hip hop cats mliobaki..... Nick unachana mpaka MC's wengine wanajiona wapuuzi... Keep it real bro.... The streets are yours....!!!
@dullahsimbaulanga64723 жыл бұрын
>>>👊
@winfridagadau89103 жыл бұрын
kweli nikki mbishi ni Ingredient anamashairi yanayogusa life yng noma sn
@paulonjozi16383 жыл бұрын
Wakasaula wakala uyo nipaula kajala like kwanikki mbishi unjuu
@ajsmainde51383 жыл бұрын
Ngoma yangu ya wiki hii. Na sina haja ya kuikariri coz nitaichoka labda ijikaririshe yenyewe. Nikki mbishi🔥 K wa mapacha kaja kumaliza km kawaida yake na style yake ya kucheza na maneno yenye utamu🔥 Mbize nyoko🔥
@jafetiusega34243 жыл бұрын
Hawaaa jamaa zangu hawajawahi kuniangusha KABISA kazi nzur Sana'a nawaunga mkono forever
@edsonjulius18333 жыл бұрын
Mbize ni mnyakyusa ila nageuka mkurya kwenye ugomvi wa mapanga 😂🔥🔥
@patrickapolinali36183 жыл бұрын
Unju am comeback na love ya California
@nalamzalendoo3 жыл бұрын
Tujengewe sanamu sio tu tupewe ulinzi💥💥💥 #NDUMBULI BOYS
@felixrumisha51323 жыл бұрын
Naona unju unaendelea kumnawa nawa konde.. anyway safi.. nimepende location Magufuli Bridge mto Kilombero, Ifakara, na hapo hotelini nahisi mbega resort.. sa mkija huku muwe mnatafuta wadau tupige hata picha wazee.. Ifakara Stand up..
@danta77183 жыл бұрын
Mbishi noma
@hemedmgomi44503 жыл бұрын
Kikosi kazi Kama kikosi kazi Kazi inaendelea 💥🔥🔥🔥🙏
@jastinisengasu20463 жыл бұрын
ila unju nomaaa
@nmon21113 жыл бұрын
Nikki mbishi do always have a back_up team A, to team Z
@johblazzy38313 жыл бұрын
Bonge la session Hip-hop stand up
@richvetty32433 жыл бұрын
Nakubaki k wa mapacha anavo chana na nilikubali sana kwenye TOFAUTI KIDOGO ya watema nondo alivo flow
@MiaTheLathini3 жыл бұрын
Mbize na Masela Na Msela ni zohan na K👊
@bedanm.8424 ай бұрын
Ni juu ya ngori na hii mbogi ni mbekse... Nairobi tunakuelewa
@waduducamp36363 жыл бұрын
Big up Sana mwanangu Mbize Nakubali harakati SHAQUEE hapa
@kashindiedson85593 жыл бұрын
Kama umeangalia hii zaidi ya mara 10 kama mm basi ujue unanielewa hip hop....
@kingbidder3 жыл бұрын
Hahahaaa safi sana wana naona K wa mapacha nae ndani ya mjengo.. Zenge🇬🇧
@youngnc3 жыл бұрын
Ni juu ya ngori na hii Mbogii ni mbwegze👊🏾👊🏾 aminiaaa
@wycliffhezron73783 жыл бұрын
Much Love straight outta Qatar 🇶🇦
@D-Man.B-Free3 жыл бұрын
Hawa niwa ndo wana Hip hop ,damn Nikki Mbishi,K wamapacha,Mbize MC
@jimmyfulani75983 жыл бұрын
oya wahuni sio poaaaaa mdundo uko💪
@Science-concept12343 жыл бұрын
Doctor Unju bin killer 🔥
@SameerSameer-ol1im5 ай бұрын
For realy.bro when nakusikiliza wewe noma sana
@henrywambura17723 жыл бұрын
MUCH RESPECT UNJU....................
@slimfocus95353 жыл бұрын
Basement...🔥🔥 Uendelee kuwaka in air
@Nickbrown1273 жыл бұрын
Kali kinoma ...kwetu corona nika nimonia.
@nazzer08153 жыл бұрын
Oooi mbize na nasela tumepokea kwa mikono yote miwili