Dr Nikki siku zote hujawahi niangusha, proud of you.... you missed tho! ✍Music hauambukizi Covid_19 🤗😎
@jimmyx84124 жыл бұрын
Vichwa vyao ndio vigumu, watu wa jamii ya hip hop tumebarikiwa utajir wa akili... we have second mental revolution
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Wanadai navuta mihadarati, kisa niko na Chidi kwenye harakati... @Unju bin Unuki mfalme wa Tamaduni followed by One the incredible, much respect...
@johnjohnson93744 жыл бұрын
jamaa anataka nick amkandamize chidd ila jamaa anachomoa duhh noma sana kaka big up mzee wangu mungu akubariki sana nikk mbishi 🔥🔥🔥🔥🔥
@muniraahmed6244 жыл бұрын
Unju bin unuki🌹
@shaphyvuai68054 жыл бұрын
Hahaaah Nikki mbishi bana Ni nomaaaaaa....kwa kweli alivojibu kuhusu Chid Benz....u r genius
@abdulseif40934 жыл бұрын
huyu mbona ana akili nyingi kiasi hiki👍
@LeeUfudu4 жыл бұрын
Saaafi kabisa unju from kwa Pelé são Paulo
@mo_zillaa54284 жыл бұрын
"Chid benz ni msanii,, usimlazimishe awe na image ambayo ww umeizoea, ukimuuliza upuuzi atakujibu upuuzi". Huyu mtangazaji ajiongeze. Saafi Mbishi the Genius 💪🏼💪🏼🔥🔥
@princefelix45834 жыл бұрын
ukiacha uno, Songa, dizasta huyu ni most of the ill-est emcees bongo, loved what u did n do toka sauti ya jogoo
@jeremiahmasunzu34374 жыл бұрын
Nyinyi ndo hamueleweki sisi tunamuelewa Mbona Easy tu
@moziidavchonchi33384 жыл бұрын
Anapoongea Genius Nikkimbishi uwa natulia sanaaa
@begaca4 жыл бұрын
CHIDI BENZI SIO CHIZI MTATA YULE
@issaomari52974 жыл бұрын
Abnormal Normality....much respect brooo from kitaaa Unju Engeneer mhuni one love genius
@abuusufian65064 жыл бұрын
Tena ninyi wasafi ndo wapuuzi haswaaaaaaa😡😡😡 Safi sana Nick ..Chid juz nilimuelewa
@mvungigaming4 жыл бұрын
Kwel
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Wasafi inaupuuzi gani?? Kijana!!
@abuusufian65064 жыл бұрын
Fatilia interview ya Johari wakidis maisha ya mama ake Kanumba
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Ukata ndo tatizo c kingne ndugu
@abuusufian65064 жыл бұрын
Si debate bro take yourself time kamanda
@lodrickvungwa77834 жыл бұрын
Kama uwingi wa komenti zetu kuhusu nikkimbishi ndo ingekuwa ni wafuasi wake mwana angefika mbali sana na tungemtia moyo sana kwenye kazi zake
@godfreybenedicto35774 жыл бұрын
Bonge la point,,lakini nikwambie ukweli ni heri tumkubali sisi mfano mimi na wewe kuliko kukubalika na wengi ambao hawajui nini wanasupport/wanachokikubaliii na dunia ya leo wengi tunakubali kitu flani kwa misukumo lakini sio kwa kujua nini nakikubali.
@G-meJames4 жыл бұрын
"Abnormal normality" Huyu jamaa genius...
@binsururu4 жыл бұрын
Unju bin Unuk ni hatar sana yan kawachana Wasafi TV (kwenye suala la Chid) bila wao wenyewe kujielewa
@papaesco51984 жыл бұрын
Huyu jamaa ni msomi mbaya big up sana mzee baba
@mugadimon35634 жыл бұрын
Wee jamaa ni genius sana Umeongea point sana
@mbenamdudu78564 жыл бұрын
Unju nondo nakubali broo
@erickzephania10304 жыл бұрын
Nikki Unaweza wewe ni maana halisi ya Msanii, wengi tunakuamini. Angalia usiyumbishwe na huu mziki wa mashoga.
@shadrackkayuni53824 жыл бұрын
Bro niko Geita huwa napenda sana interview zako uwe unafanya Mara kwa Mara nisipo ona interview zako huwa sijisikii vizuri one love bro Nikk karb Geita
@ramsdenjames97824 жыл бұрын
Shadrack kayuni pande zp geita
@simohernandez30214 жыл бұрын
Pande za wapi hyoo geita
@julius.m.issame33114 жыл бұрын
Nikki Mbishi Anajuaga kujielezea mno..Big Up MURA
@meltusmethod15214 жыл бұрын
Genius
@YohanaCharles-zx3py28 күн бұрын
Nikimbish nimbishi kama jina lake good sana
@osmanmustafa29254 жыл бұрын
Jamaa amejibu vizuri sana
@amonrushambila79894 жыл бұрын
Niki you're smart man large upo yourself brah
@kyataonline52624 жыл бұрын
HUYU MDADAA AALIYAH nimependa kazi yake inavyobamba ile mtindo wa nywele zake angekuwa mtoto wangu ningemnyoa na wembe!
@budahman29084 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genius
@abdulkareemsaleh47054 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali...
@hellyally43954 жыл бұрын
unju nakubal mzeee
@muhodarifredws4 жыл бұрын
Siangaliyi nani amefanya kitu gani wakati gani ( jamaa aisee ni genius) tujuane uku
@yebetejoseph66114 жыл бұрын
NIKKI UKO GOOD SANAAA NA NIMEKUELEWA SANAAA
@muddymwakatika86594 жыл бұрын
Alafu wewe jamaa nimekuelewa mno. Nikki ni bright sana.
@rajkalifa60774 жыл бұрын
Huyu Jamaaa hajui kuhoji mtu anaboa sana
@maimunahussen49194 жыл бұрын
Sijui wamemtoa wapi kuna yule dogo mwingine mo town sanya sikuhizi simuoni akihoji watu sijui ndio ameshaondoka wasafi
@freydeogratius65184 жыл бұрын
@@maimunahussen4919 huyu dogo nahisi wamemtoa east Africa E-news. Miyeyusho sana
Daaah kaongea point 2pu kuhus chid bando langu halijaenda bure kuliko wengne hao wanajadil upuuz2 gonga like ishakua ok hii
@mohamednaaman1884 жыл бұрын
Mbishi 💪🏾💯
@MKobe_2544 жыл бұрын
Eti vita ya viangazi... kijana mwenye akili timamu, haaaha... mziki utambe, haumbukizi Corona... much love from Seattle,🇺🇸🇺🇸🇰🇪... be safe bro*
@ChumaTheGreat4 жыл бұрын
Jackson Nyarangi sio viangazi ni bengazi mji uliopo libya
@kastorymalila11094 жыл бұрын
Daaaa!!! we jamaaa ni geneous balaaa
@bobomsafi74504 жыл бұрын
Flow Addict Best Rapper
@josephybaruti12504 жыл бұрын
Refresh....imekua ya kizazi sana
@kijangapeter51354 жыл бұрын
Baba Malcolm,akili kubwa sanaa
@stanmartin22104 жыл бұрын
Nakubali Unju
@leonardmhagama58282 жыл бұрын
"Boss tutakutoboa toboa utabaki kama neti"...😂😂😂😂😂
@MR_NONAME_TZ4 жыл бұрын
Niki kweli kabisa chidi yuko na akili nyingi sana kuliko hao waliokuwa wanamuuliza maswali chidi kama kudata angedata kipindi kile coz kila mtu alikuwa anamzungumzia vibaya but mzee kasimama so Leo awajamaa wanataka kupiga hela kupitia chidi sisi tunajua chidi ni mtu mwenye akili nyingi sana mfano ako kajamaa kana mforce Niki aseme chidi kadata wazee chuma yupo imara Mara 1000000000000000000 chumaaaaaaaa ilalaaaaaaaaaaaaaaah
@hidoxtz35594 жыл бұрын
Mziki hauambukiz corona🤣🤣🤣🤣
@mahfoudhb_13214 жыл бұрын
NIKKI MBISHI HE’S VERY WISE# BIGUP👍🏽
@idrisamvano87584 жыл бұрын
noma sana broo
@zungutouch65084 жыл бұрын
Oya we! conscious bro
@bennypeter30294 жыл бұрын
My real G
@goodmusic82824 жыл бұрын
Unju baba malcom Huyu ni nigga Atari
@bouyboyka90004 жыл бұрын
Chidi tulimuelew sana... ww mtangazaj ndo kichwa box anachozngmzia mbishi....😡
@datikazumari5154 жыл бұрын
Nikki tunakupa jina jipya genious
@malikeyndotopopote4 жыл бұрын
Mbona hii wcb wanatafuta habari za negativity tu. Pussyclat. Upumbavu kweli. Hata hawa watangazaji wapumbavu kweli
@joycesilvesta35954 жыл бұрын
Mbishiiii
@djsebons64964 жыл бұрын
Full busara sana
@begaca4 жыл бұрын
We Bro Ni FUNDI Malcom
@chuwaloonlinetv66724 жыл бұрын
Kwa chidii hapo ndo kanena ukwel chid genious
@BigZhumbe4 жыл бұрын
MoTown Sanya ako wapi??? Huyu interviewer hana amsha amsha kabisa
@captenndunga61994 жыл бұрын
Msomi anajibu kisomi chid mzima sema anazinguaga kutokana na maswal yenu.
@mugadimon35634 жыл бұрын
Sure hili ndio tatizo la kupeana kazi kihunihuni tu
@heremanhereman30334 жыл бұрын
Kweli
@raidorally55774 жыл бұрын
Ukija kipuuzi anakujibu upuuzi wako aminii
@captenndunga61994 жыл бұрын
Tena ananichekeshaga sana... ukitaka kujua anazingua angalia akihojia na mtu makini anajibu kiumakini ili ukija na maswali pumba anakupa majibu MAPUMBA utajuta kumuhoji mana atakuchoresha mpaka kipindi kinaisha.. yani anakupokea jinsi ulivokuja.
@dullamkwinda75944 жыл бұрын
Niki unamjua sana benzi
@abbaskhamis96554 жыл бұрын
Media ndiyo mzozo kama nipo pamoja na kikosi cha jeshi wote tusonge mbeleeeeeeeeeh....!
@derrickdeo91374 жыл бұрын
hahahah respct nick chid ni bright
@joshuachedego80533 жыл бұрын
Huyo nick mbishi bang x ana
@AbilahSalumu-qx1cbАй бұрын
Aminiy 🙌
@gucijeshii17944 жыл бұрын
Dada vp twamuelewa bana
@bakarininga41004 жыл бұрын
Well said
@msodokithesantz16554 жыл бұрын
Chidi Benz sio chizi ila nyie mnao muliza maswali ya sio eleweka ndo ana wajibu vile
@martinmsigwa90664 жыл бұрын
Unjuu✌✌
@SIMULIZIZONE4 жыл бұрын
Kama unapenda simulizi za kihistoria karibu kwenye channel yetu.
@GamechangerTz4 жыл бұрын
Unju ana akili nyingi sana aisee
@kisulaabas26144 жыл бұрын
Hivi kumbe kuna watu walikwa hawajamwelewa Chidi Benz that why we call Hip Hop is street Edu iv mfano unakula chakula chakula en mtu anakuuliza ivi ukinya inakuwaje nikimjibu hapa sinyi nakula mavi nani chizi Benzino katoa kazi yake anakuja mtu kumuuliza out of truck out of main issue lazima akujibu utumbo tu
@bibomax42734 жыл бұрын
True
@mobest15554 жыл бұрын
Uyu mtangazaji simpendag kinyam coz ni mnafik na mnoko xn na hyu ndio anagombanishag wasanii huy
@maimunahussen49194 жыл бұрын
Huyo ni kichwa panzi
@kijangapeter51354 жыл бұрын
Huyu mtangazaji km choko, huwa anamaswali yakiwaki sana kudadeki
@yudatadeshayo44344 жыл бұрын
Huyu mtangazaji vp yanii yeye ni negativity tu
@amirimkindai17994 жыл бұрын
Mtu Makin unju
@raninick25694 жыл бұрын
nakubari mzee
@redice48234 жыл бұрын
Sanaaaa
@gucijeshii17944 жыл бұрын
Hawana aidia ya hiphop hao
@jamesmushi25524 жыл бұрын
Huyo ndo doctor
@signalboy42604 жыл бұрын
unjuuuu....
@rayyannaceeb99914 жыл бұрын
We ndo ueleweki sio mziki wa nikki
@amosimwiko64404 жыл бұрын
Shaktopazz zohan
@yasintajoseph74954 жыл бұрын
Ngoma kali
@hassanjuma93534 жыл бұрын
Tatizo hamujamuelewa chidi kwa kuongea vile alikuwa hataki yale maswali kwa sababu hakuyaona na maana kwa wakati ule yy alikuja kuleta wimbo na hakuja kwa maswali
@mchaletek23244 жыл бұрын
kum###******ma****eee zaoo wote wanqao sem mzik mgum
@mfilistgachu Жыл бұрын
Kubal sana mkuu
@kijaziwakijayo68334 жыл бұрын
Fire dem ,weakened people never survive
@afterfull-time13484 жыл бұрын
Uyu jamaa ana akili nyingi sema mwamba sijui ni njia ndo mbayaa
@trinitynorberth50684 жыл бұрын
Nikk mbish chundabad, sina kitu ila kichwan nina mipango kishenz hawa ndo kioo cha jamii wengn kioo cha chumbn
@Ngudure4 жыл бұрын
Wasafi presenters kueni makini maswali yakuuliza kwa issue ya chidi maswali mnayomuuliza sio ya kiuweledi
@kennethkennedy7174 жыл бұрын
Ww ndiyo Nikki mbishi nanaye kuelewa ww ni mbishi kama jina lako
@batoromeojohn8444 жыл бұрын
Mshika kipaza anastahili kurudi darasani kujifunza zaidi jinsi ya kufanya interview...hana maswali yanayoelekeza mtu kujibu maswali kiusahihi
@elishakilasi87144 жыл бұрын
Nakubal
@jamesowen8164 жыл бұрын
Malcom
@mudybestmusic38894 жыл бұрын
huyu mtangazaji kunauwezekano marinda yamekaa kushoto maswali yakijinga kabisa