mbosso yuko poa sana yaan Smart mnoo🙌👏👏👏my favorite
@norbertmakundi23052 жыл бұрын
Smart sana mbosso, amakwelii nimeamini Mungu hagawi kwa mtu wa hovyo hovyo, daaah this man motivate me, gud interview
@abdulhalimshaibu782 жыл бұрын
Mboso moyo
@kudrantegakaje72372 жыл бұрын
Nac
@sammycharomwalili67282 жыл бұрын
Mboso nampenda kwa nyimbo za mapenzi big up wanawake wananipenda kwa nyimbo zako hahahahaha big up
@rehemashikeli9612 жыл бұрын
Wafurahisha🤣🤣🤣🤣🤣sababu ya kukupenda?
@mrsinia30642 жыл бұрын
@@rehemashikeli961 nyimbo za mbosso 🤣🤣
@kairatiswahilli70242 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sharriffcharo19152 жыл бұрын
India uwe
@Nikita_80172 жыл бұрын
This guy has no show off scandals, very cool guy!
@simoneliabunkhay77872 жыл бұрын
Khlb
@elogebigirimana59722 жыл бұрын
Ambosso Mungu azidi kukubaliki kwa wazo lako ya kufanya kazi na yamoto nashuku saana
@yahyamkone56012 жыл бұрын
Yupo sahihi Sana mbosso ujuwe haya maisha bwana ni hatari Sana ukiona upo juu Sasa na mwenzakonaye akiwa juu usichukizwe dizaini Asley amekunja baada ya mbosso naye kushani hii nouma sana
@welcometoeat1652 жыл бұрын
@@rashidyally8715 don't judge book by its cover! Mnapenda kushadadia 🙄🙄🙄🙄🙄
@chrispinmkanda60972 жыл бұрын
@@rashidyally8715 acha kulopoka kijana alimkujia kivp Sasa alifukuzwa au aliondoka mwenyewe!?
@welcometoeat1652 жыл бұрын
@@rashidyally8715 wewe mknd wako hauna kazi tayar Taft hela sio unaleta ushoga apa kenge maji wee
Mbosso is humble,cool n smart...hana kiburi huyu mboso ..na talanta ako nayo kubwa❤❤❤❤
@badruabdulmuttwalib15332 жыл бұрын
Banaa mbossoo n mwenye moyo wenye imani n roho yenye kupenda watu wote mbosso ONE LOVE MY BIG BROTHER🥺🤟🥰
@wasikedenis2 жыл бұрын
We still love Yamoto Band
@estherwasike77892 жыл бұрын
Hio band karibu inivunjie ndoa wee wacha Tu but I thank God Niko na nyimbo zao zote
@wasikedenis2 жыл бұрын
@@estherwasike7789 karibu ikuvunjie aje
@felistersmejumaa51882 жыл бұрын
@@estherwasike7789 🤣🤣🤣 Eeeeeh kumbe
@ciciliakhabosa66272 жыл бұрын
@Esther wasike Eeh mwana wefwe pole,😂😂
@sautikaliitz9342 жыл бұрын
mbosso ni mkweli sana namkubali
@swabrnamwaka85542 жыл бұрын
Mbosso hana kiki kama wa sanii wengne nakupenda sana 💕❤️
@nba_fortunebello2552 жыл бұрын
King Mbosso 👑
@officialnifton2 жыл бұрын
Great mind,, mbosso ❤️
@subirachuta81692 жыл бұрын
Love you Mbosso a.k.a Tajiri wa mbegu.
@dafaboymusic34372 жыл бұрын
Namiss kuwaona yamoto wakifanya kazi pamoja furaha yangu
@mosesnyongole26812 жыл бұрын
Nimekuelewa mboso big up sana aslay alianza muda ila upo juu
@mohamedefranciscoxavier44402 жыл бұрын
Wasafi media big up 🔥🔥🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@meryamreally2768 Жыл бұрын
Wow sawa mbosso ❤️❤️❤️😂😂😛❤️❤️❤️❤️👏👏
@dontsto38652 жыл бұрын
Ni jealous bro WASWAILI wazito sana beka na aslay walidhani washashinda maisha
@isackbaton36862 жыл бұрын
Yes hii ni kweli
@sihamnjagi2 жыл бұрын
Hata hivyo na wao ndio waliotoka kwanza... Sasa wameona mwenzao yuko juu ndio wakaleta wivu.. Siku zote kutangulia sio kufika.. Lastly jealousy people will never win.
@mwanafalsafa36132 жыл бұрын
Nanni kati yao ndio mswaili?
@dontsto38652 жыл бұрын
@@mwanafalsafa3613 Wewe hapo
@khalidi392 жыл бұрын
Nimekupenda sana mboss yan wasanii ote wangekua kama ww bs mziki wet ungefika mbali sana
@cosmasmakoyelubasha38582 жыл бұрын
Umetisha sana nimekuelewa sana
@rashhrs71442 жыл бұрын
With me mbosso s the best musician in Africa 💯✅✅
@chazbway65732 жыл бұрын
Mimi niko uganda mwana kweri mbosso kazi zako noma Sana
@kbingwa88602 жыл бұрын
We need to see you guys for one show ,,we as your fans have faith in you
@mwanaidikhamis54302 жыл бұрын
nimependa anavojieleza mbosso
@nascentnoel3952 жыл бұрын
Tajiri wa mbegu ..nmecheka atar😂
@ernestroman82642 жыл бұрын
Nampenda sana mbosso yupo real sana....anasema enz yupo mbagala anakula MBILIMBI wkt aslay kaanza ku hit....
@derevamsomi2 жыл бұрын
ukubwa alionao bado hataki kuvimba kwamba ni mlaki zaid ya aslay...sisi mashabiki ndo tunasema sasa ww ni mkali
@jimkimtv2 жыл бұрын
I love mbosso 💕💕,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sweet10shorts332 жыл бұрын
God Bless You Mbosso
@eppiemodest2 жыл бұрын
Very intelligent boy😇
@AnnaPius-rv5md Жыл бұрын
Nakupend boss uk smart❤
@naldotheprince72 жыл бұрын
Perfect 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@farhyaabdallah20892 жыл бұрын
Uko vzr mbosso love 💕💕💕💕 so much
@Auntybetty_tz2 жыл бұрын
So Siri mwenyewe nakupenda sana kupitia kazi zako, ni shabiki damu kwako, Hadi watoto wangu wananitania kuwa mboso baba Yao mdogo. Pigs kazi dogo uko vizuri
@alejpapsyoh8092 жыл бұрын
Napenda ulivo ba mkuu... Nenda songa mbali zaidi!
@hassansammy10762 жыл бұрын
Mbosso khan mushedede🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@heartpain62262 жыл бұрын
Very smart #mboso
@Peninah-k7y2 ай бұрын
Mbosso do maana nakupenda ww ni mtu unapenda amani safi sana broo
@SuzyMukhawana Жыл бұрын
Nafurahia sn jinsi mboso anavyo jibu maswali anayo ulizwa😄🥰
@doniamaratane8248 Жыл бұрын
aslay mtoto sana kwako.mbosso kama ameamua kukinukisha we achana nae
@yuchaclassic61542 жыл бұрын
mh mfano wa naz korona hahahaha all are the big aslay namuelewa sana it is my favourite artist and mboso
@swalehesaad26922 жыл бұрын
Sema hii nyimbo ya moyo mbosso angeipiga mwenyewe au angeipiga na msanii wa taratibu kama marioo ama zuchu ingekaa pw sana hawa aliowashirikisha kuna ladha wameipoteza hii ni nyimbo ya kipwanipwani kabisa.
@zedekchamagogo12232 жыл бұрын
Kweli kabisa mwanangu hawa alio washilikisha dizain kama walitoka kwenye mstari hivi
@swalehesaad26922 жыл бұрын
@@zedekchamagogo1223 tunaomjua mbosso khan ndio tutaligundua hili hii nyimbo alitakiwa mtu wa taratibu na kama ni wa nje angekuwa dizaini ya reekardo banks
@asiakashonda16692 жыл бұрын
Mbosso umekua kaka.. Huo ndio Ukubwa..... Nakukubali saaana
@denismongare36942 жыл бұрын
Brother inaweza
@starlonejadamskp82242 жыл бұрын
Appreciate brother 💌
@francissakwa72822 жыл бұрын
mboso nawapenda sana ,how iwish to meet you infact simba mwenyewe
@furahinidaudi78512 жыл бұрын
Maneno ya hekima mbosso be blessed
@mshindotv2 жыл бұрын
Mboso Alipofikia kwa sasa Ana aina ya Mziki wake ambao tofauti akiutoa tuu unajua huyu Mboso.
@saketnicholaus99622 жыл бұрын
Smart boy wimbo na siyo wengine wanaosema nyimbo
@Tellaaxis5 ай бұрын
Noma😮 #tellaaxistz
@hamisishirikisho21992 жыл бұрын
One of the nice guy
@joycechege50712 жыл бұрын
Mbosso hajaoa🙆♂️nko hapa nikujie hapa kenya tutingize mti😂
@tida37275 ай бұрын
😂😂😂😂😂wewe tulia nawe
@angelbb52172 жыл бұрын
Mbosso ❤️🥺
@charlesyona10452 жыл бұрын
Dogo unaweza pamban 🤙
@asaadalbusaidi18702 жыл бұрын
Mbosso wewe ati Tajiri wambegu😂😂👍
@djkiwani92912 жыл бұрын
But his music needs to grow beyond Africa
@RufusMaore2 жыл бұрын
Siwezi kompea Aslay na Mboso, ni wakati wa mboso kushine,Aslay pia muda wake utafika...mungu hakosi mipango
@njoroboihustla1252 жыл бұрын
🗣🗣MBOSSOKHAAN ONE.NAMBA.MOJA☝
@hellenpaul21492 жыл бұрын
Fanyeni colabo upya please tunawapenda sana kwenye team yamoto
@bentaakoth42742 жыл бұрын
I still love yamoto band 🥰
@abednegomichael24192 жыл бұрын
Mboss Khan 🔥🔥🔥
@sheemwakuyumba29692 жыл бұрын
Wallah napenda sana mboso..huwa afichi uovu...na Siku zote interview zote huwa yuongea ukwel kabisa na sina wakika kma ana chuki na mtu...na nikwel beka aliongea tofauti xna chamsingi amuombe radhi to mboso to
@الرعدالصغير-ت1ش2 жыл бұрын
I love you mbosso😍😍😍
@PaschalWilliam-oi4kq Жыл бұрын
On fire
@superhemed75902 жыл бұрын
Hongera mbosso uko sahihi sn mdg wng
@othmanmohamed63462 жыл бұрын
Hakunaga sehemu watu wakaa bila kukwanza,chukua hili neno we mjinga unaedhan mkae weng afu usikie watu wamepishana, nimekuelewa Sana babu mboso.
@PItty3222 жыл бұрын
Ila Bado naona Kuna kaukweli👍👌
@antoinebakevya8911 Жыл бұрын
Kweli yamoto ningali nakumbuka ngoma zao
@TALLUBOY2 жыл бұрын
Nakupata vzl sana #AVATASTAR255
@cinditserehonari73642 жыл бұрын
Mimi na kukubali sana bro
@mwanaashasoud82402 жыл бұрын
Mwanangu uko sahihi
@stevenlenya52762 жыл бұрын
mboso uko juu
@agustinorichadi12532 жыл бұрын
Good 👍
@nanaleetz2 жыл бұрын
Sio story ni ukwel Simba anampenda sana Mbosso 😃 kitoto cha WCB japo mkubwa ila ni kitoto
@cleveronlinemedia8202 жыл бұрын
WCB 4life
@olivertsumake32122 жыл бұрын
They pay you how much?
@cleveronlinemedia8202 жыл бұрын
@@olivertsumake3212 songs
@shodristvtv61212 жыл бұрын
@@olivertsumake3212 and how much you get paid for your hatred
@monahmussamonah62292 жыл бұрын
@@olivertsumake3212 🤣🤣
@Thekidp37022 жыл бұрын
@@olivertsumake3212 Good question
@abiaslimadyanse18422 жыл бұрын
Hata goma lake Kali sana
@KoreanDramaMoviesKiswahili2 жыл бұрын
🔥🔥 🔥
@davidalengaingenieur17602 жыл бұрын
Mmmm?
@karinganireemmanuel43802 жыл бұрын
Mungu aenderee kuku wezeza
@amani13162 жыл бұрын
Mhhh atary mbosso nakukubary sna
@edwinfweni2 жыл бұрын
Smart Smart
@laula19992 жыл бұрын
mbosso nakuelewa 🙏
@princelungu75712 жыл бұрын
tupo sawaa
@NisuimweAbdul Жыл бұрын
Mboso noma sana
@scenepoint63172 жыл бұрын
Mbosso mushedede blaza we ni mkali kinoma
@sammycharomwalili67282 жыл бұрын
Nawapenda wadogo wangu nikirudi Tanzania nitawatembelea
@codenamerobiner38162 жыл бұрын
amuache aslay apambane huyu mwizi aslay ni talent kukushinda
@prophet_gamaliel_mkailwa2 жыл бұрын
King khan🔥
@junelatifa26182 жыл бұрын
Love you mbosso
@barakatabdul32122 жыл бұрын
Hawa yamoto Band hata sijui nn kilowasibu mpaka wengine wakapotea yani Nyimbo zao zote Hit-Song, kuliingia Jinamizi sijui gani.🤔
@azizkipitu89682 жыл бұрын
Tatzo alilianzisha aslay kujiona mkubwa
@sifatiiman2 жыл бұрын
@@azizkipitu8968 wewe nae mpumbavu nini kaa kimya
@azizkipitu89682 жыл бұрын
@@sifatiiman 🙏
@jayjayz36982 жыл бұрын
Boso am your big fun from gana
@princelungu75712 жыл бұрын
yupo sawaa dgo
@hadijasuleiman53502 жыл бұрын
Nakunda Sana mbosso
@officialkassimu77912 жыл бұрын
Mbosso hata bila wasafi Aslay hamuwezi kutunga ngoma