MBOSSO AWEKA WAZI KUHUSIANA NA BINTI MUNIRA ALIYEDAI KUNYWA SUMU KWAAJILI YAKE ENDAPO ATAMKATAA

  Рет қаралды 2,468,089

Wasafi Media

Wasafi Media

4 жыл бұрын

Wasafi News leo imemtembelea Mbosso na kupiga nae story kibao. Mbosso ajibu kuhusiana na Msichana anaeitwa Munira ambaye ametoka Mombasa Kenya na Kuja hapa Tanzania kwaajili ya Mbosso na anataka kuwa nae kimapenzi. Pia afunguka kuhusiana na picha za marehemu Martha alizoziweka nyumbani kwake.

Пікірлер: 2 200
@Ericoh..467
@Ericoh..467 4 жыл бұрын
Napenda mbosso venye uko tu humble Mungu aendelee kukuinua....
@iammusic3404
@iammusic3404 4 жыл бұрын
Mbosso ana mjengo mkal hv Asante 💎😍
@timamohamed5345
@timamohamed5345 4 жыл бұрын
ni ajili ya nyimbo zake za mahaba. tunapenda mapenzi jamani na kubembelezwa saana, kudekezwa sana. sasa labda akiimba tunahisi ndio kinachoendelea katika maisha yake. big love Mbosso
@georgiathomas2639
@georgiathomas2639 Жыл бұрын
Mboso unanyota ya kupendwa baba
@nazaelyshani7973
@nazaelyshani7973 4 жыл бұрын
Mbosso khn nakubali kaka uko vzur weka like zako kama unamkubali muhindi wa kusini
@evandan7
@evandan7 4 жыл бұрын
Duh! Hilo geti ndo noma,ka unakubaliana na mimi tafadhali naomba like yako
@chujimbondei8260
@chujimbondei8260 4 жыл бұрын
evandan7 noma sana
@lovenanah5040
@lovenanah5040 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 жыл бұрын
evandan7 tz tu ndo mnaona noma miji ya wenzetu unagonga kengere mtu anakuona kabisa ndani ww kweli ndo mwenyewe
@paulluhende6557
@paulluhende6557 4 жыл бұрын
mbinti njokwangu upate laha
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 4 жыл бұрын
@@mimaakenirram1405 umeonaee
@reggyvallerin7460
@reggyvallerin7460 4 жыл бұрын
Demu mwenyewe ni mzuri kinoma, Me najua mbosso huwezi kuniangush🙏 Kama na wew umeliona hii gonga like tuende sawa.
@mrskhamismussa9754
@mrskhamismussa9754 4 жыл бұрын
Reggy Vallerin Yule dem kamzidi mwanamke wa mbosso kwa uzuri
@reggyvallerin7460
@reggyvallerin7460 4 жыл бұрын
@@mrskhamismussa9754 Kabisa yani
@mzizirashid709
@mzizirashid709 4 жыл бұрын
Reggy Vallerin Hahahahaha mboso hawezi kukuangusha eeeh hahahahaha
@agnessmbise8404
@agnessmbise8404 4 жыл бұрын
Kwa kwel
@masudathumani2275
@masudathumani2275 4 жыл бұрын
Nimemuona nimzuri
@chesterbrand6723
@chesterbrand6723 4 жыл бұрын
Nimempenda mboso naona picha ya mzazi mwenzako stand comedy Dada mkuu Martha blessing brother
@Euphemiafabi...
@Euphemiafabi... 4 ай бұрын
Humble mbosso 😊❤ata mm Niko njiani Naja 🤭☺️🥰,,,,,,nakupenda pia😂❤😂😂
@emmanuelyjoseph2957
@emmanuelyjoseph2957 4 жыл бұрын
Unaeshimaaa sanaa mbosso hio tabiaa ndo yakuigaaa safiii sanaa
@metiakijoseph9913
@metiakijoseph9913 2 жыл бұрын
As a Kenyan from Mombasa, this was the best option my bro Mboso. Take it easy, you are a star in Msa this is normal. How you hundled it was awesome.
@husnaali36
@husnaali36 3 жыл бұрын
Mbosso km mbosso. 😍😍. Mi mwenyewe napnga kuja kufnya kolabo na mbosso😂😂. Km tun kubliana nipn like apo.. 🙈💪. Mbosso juu juu sana tamu ya warembo kwa nyimbo zko tuu sio kingine💕💕💕💕
@ladylikealwiya
@ladylikealwiya 4 жыл бұрын
mbosso u are my heartbeat😍 mob love from 254
@master-pu2hc
@master-pu2hc 4 жыл бұрын
mbosso unapend sn kutabasam yaan uko happy mda ote gd blss
@tida3727
@tida3727 3 жыл бұрын
Sisi Kama wakenya tunamuobea huyu mtoto wetu,🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii nayo ni Kali
@liliannyakweba6403
@liliannyakweba6403 2 жыл бұрын
Mbosso hta mimi nakupenda sana hisia za mapenzi unasijua sana keep up the good work definition of love.
@joshuamollel241
@joshuamollel241 Жыл бұрын
Ok
@RahmaMohamed-vh8gt
@RahmaMohamed-vh8gt 4 жыл бұрын
Jaman me naon Kama yuko xaw kwan kuna ubay mtu kuongea hixia zak Jmn 🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♀️🤷🏼‍♀️❤️❤️❤️❤️
@beparlakihaya1921
@beparlakihaya1921 4 жыл бұрын
dah pole sna mdgo wangu jikaze tu, ndoustar uwo
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 4 жыл бұрын
Haha alie Sikia kuwa mboso anaweza muoa huyo dem cku za uson... Gonga like
@salimhamisi29
@salimhamisi29 4 жыл бұрын
hahaaa anaruhusika hadi wa 4
@mcmathasichone2822
@mcmathasichone2822 4 жыл бұрын
Uoe mke wa pili utanioa mke watatu
@neemajohn1719
@neemajohn1719 4 жыл бұрын
Mboso Hana nyota ya punda
@aminahamis9343
@aminahamis9343 4 жыл бұрын
@@mcmathasichone2822 😂😂😂😂 unialike harusi sawa
@aminahamis9343
@aminahamis9343 4 жыл бұрын
@@neemajohn1719 nyota ya punda au kondoo ni kali zinawakilisha diamond
@leanabusanga875
@leanabusanga875 4 жыл бұрын
Ata mimi na kupenda mbosso 😍😍😍
@irutingabojoel1060
@irutingabojoel1060 4 жыл бұрын
Yani demu akapenda kinoma tafadhali sana tu mbosso mkubaliye anaye penda munira aolewe na mbosso agonge like hapa👈
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 4 жыл бұрын
Agonge atembee tuu
@fevecaminade8150
@fevecaminade8150 4 жыл бұрын
Waah bosso amesema pengine cku za usooni mtoto wa watu atapata tabu sana duuh
@peterwaigwa1884
@peterwaigwa1884 4 жыл бұрын
Mapenzi yana run dunia
@jescaagustn4910
@jescaagustn4910 3 жыл бұрын
0682285518
@rich3051
@rich3051 4 жыл бұрын
Mbosso ana mke na watoto afaa kuheshimiwa wewe dada rudi kenya ungoje Mwenyezi Mungu akupe mume wako sio kutaka waume za watu
@saadakiyungi6437
@saadakiyungi6437 4 жыл бұрын
Sarah Kililo Ana mke au anamalaya mwenzie?
@ceciliastephano645
@ceciliastephano645 4 жыл бұрын
kamaupepo wa kisulisuli umemleta basi umludishe alipotoka😂😂😂😂
@marylandmary4067
@marylandmary4067 4 жыл бұрын
Sasa mbosso anamkataa huyo demu na maybe walikutana wanaume mna za ovyooo Sasa anamkana mwezie bure.
@marylandmary4067
@marylandmary4067 4 жыл бұрын
Maisha Sasa ni magumu akuna mwanamke anamtegemea mwanaume Juu kila kikicha mambo na vimambo
@iqraabuhet6588
@iqraabuhet6588 4 жыл бұрын
Sarah.. Mboso kaoa lini?
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 4 жыл бұрын
mapenzi Jamani, mbosso you're a good guy who understands hisia za mapenzi ya mtu. Wanaume wengi hawaelewi na hawaeshimu hisia za wanamke, wakisha jua una hisia za mapenzi kwake wanaakudanganya na kuanza kuchezea Moyo wa mtu.
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Kama unamkubali mbosso gonga like twende sawa huyu jamaa anajielewa sanaa
@haikajohn7580
@haikajohn7580 3 жыл бұрын
Kabisa
@rahmanmaabadi3760
@rahmanmaabadi3760 4 жыл бұрын
God bless you mboso Khan tunaokupenda tupo weng tang ya moto band full Maupendo 💖💖💖
@user-cl8bz4zw1r
@user-cl8bz4zw1r 4 жыл бұрын
Mashaallah mboso tunakusubir huk maskat
@nsanzabahizirahma7104
@nsanzabahizirahma7104 4 жыл бұрын
Pole san Mboso unamutihani ila Allah atakuwekeya wepesi
@kulwakabondo4544
@kulwakabondo4544 4 жыл бұрын
Dah bro kma kipato kinatosha msitir mtoto wa watu
@fysalamir4981
@fysalamir4981 4 жыл бұрын
Hahaaa you know what mboso ,,love does not ask why xo you do have to kick her
@MaryamAli-zv1on
@MaryamAli-zv1on 4 жыл бұрын
Amiiin
@boscoboscoboy3100
@boscoboscoboy3100 4 жыл бұрын
Ati fresh baridi uliwai mpenda mtu mwenye ako na mausiano akakufanya mchepuko umuwa broo mbosso
@jacksonjosephkungunde6337
@jacksonjosephkungunde6337 4 жыл бұрын
Mboso upo vizuri sana ndugu yangu, umejua kumjibu kwa hekima.. Hongera sana
@barakajonass3731
@barakajonass3731 2 жыл бұрын
Mpee baba mtt wembe anko
@brendaulomi6482
@brendaulomi6482 4 жыл бұрын
Waoooh chggaboy oyeeeee ChggaGirl tunakupaa bguup🤘🤘🤘🤘🔥🔥🔥🔥🔥
@annvic3996
@annvic3996 4 жыл бұрын
This guy continues to win my heart....he understands how love works. Ni mustarab boy sana. He has love experience. Ngoma zake ni noma sana, its like his speaking to you directly😘😘
@user-mp7gq8mb8r
@user-mp7gq8mb8r 2 жыл бұрын
Qqaaaà
@user-mp7gq8mb8r
@user-mp7gq8mb8r 2 жыл бұрын
A A aaa A A
@user-mp7gq8mb8r
@user-mp7gq8mb8r 2 жыл бұрын
Himbosso
@paschalpeter4540
@paschalpeter4540 4 жыл бұрын
Mbsso unaakili sana kwa kuangalia mbele wengine hap wangepita naye pyaaaa bila kuangalia kesho so big Up
@jontezdiamond670
@jontezdiamond670 2 жыл бұрын
Wale tukohapa Leo 2juane 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@caroladanez3344
@caroladanez3344 4 жыл бұрын
2020 huyu dame bado yupo🤣🤣🤣🤣 mbossoh apenda kufurahi sana he is a good man
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 4 жыл бұрын
Mbasso haaaaaaah nawapenda wote ongera sana kwa wasafa
@amamohammed8072
@amamohammed8072 4 жыл бұрын
MASHALLAH MBOSO KWA KUPENDWA LAKINI MUNIRA ANAWAZIMU ENDELEA MBELE USIANGALIE NYUMA HATA SIKUMOJA BADAE
@poulkiarie254
@poulkiarie254 2 жыл бұрын
Mbosso uko very understanding to many, nakupenda sana kakangu,heko kaka,walakini saidia huyo dada munira.
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
Nyimbo zako mbosso ndo zinazo sabanisha ufatwe na wasichan tofaut tofauti upepo wa kisulisuli huo 😂😂
@machadostopper586
@machadostopper586 4 жыл бұрын
z Qatar nom
@chedielymussa4045
@chedielymussa4045 4 жыл бұрын
ukiskia mbosso hodari ndo hiki kinamkuta
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 жыл бұрын
@@chedielymussa4045 hodar wamapenz haraf amebeba jina kubwa kutok India sio name nampenda kuchi hotahe tumpase hae wee stor ya mapenz yan namboss anamizik wake anabez na mapenz uwiii
@hadijangaya477
@hadijangaya477 4 жыл бұрын
z Qatar Hahaaaa rewo nimecheka, njoo uchukuwe soda
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 4 жыл бұрын
Punguani wa akili huyo dada
@mohamedabdallah8321
@mohamedabdallah8321 4 жыл бұрын
Mboso unajua kujieleza vizuri saana nimependa na nikushauri kitu usijaribu kujichora kama bosi wako acha kabisa angalia ivo unavopendeza safi sana
@mayangehemed9804
@mayangehemed9804 4 жыл бұрын
Waislamu kumbe wana good kind...yaani wakarimu kweli asee good interview.
@abdullahazizfarah1
@abdullahazizfarah1 4 жыл бұрын
Baharia baharini @mbossokhan mshedede
@mackladislaus474
@mackladislaus474 4 жыл бұрын
Hiyo ni kweli mboso mdogo wangu anaitwa chino huwa akiona nyimbo zako lazima alie anadaiii anakupenda sana
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 4 жыл бұрын
Mack Ladislaus 🤔🤔🤔🤣🤣🤣
@abdulmchere6315
@abdulmchere6315 4 жыл бұрын
@@michelinemapendo6652 ni mzur au mapicha picha
@eviepretty2646
@eviepretty2646 4 жыл бұрын
Abdul huyo anaeongea kuwa atakunywa sum ndo mwenyew
@abdulmchere6315
@abdulmchere6315 4 жыл бұрын
@@eviepretty2646 anha Kama ni huyo nimzur♥️♥️
@wisperfect1960
@wisperfect1960 4 жыл бұрын
Mleten kwangu uyo mtoto
@videlialabeka4899
@videlialabeka4899 4 жыл бұрын
Mbosso anacheka poa...mm nmeona ☺☺☺
@johnntarangwi5425
@johnntarangwi5425 3 жыл бұрын
Sasa
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Pia mboso we we una nyota nzuri ya kupendwa...mungu akusaidie pia wew n MTU was watu na mpole ..nyimbo zako pia za slowmotion na msisimuko.ndan ya mioyo za watu zinakongwa...mungu akulinde na hasad.pia jitahid uoe na c kuongeza watoto was nje...umeumbwa wew hujui SAA wala DKK... Prevention better than cure.tahadhari kabla lmauti
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 4 жыл бұрын
Kwanza anaekunywaga sumu aagi ndugu yangu 😁 nmemuelewa Sana mbosso apo
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 4 жыл бұрын
Duh! Mwambieni aje kwangu katuacha kenya na kuja Dar kutafuta mbosso.🇰🇪🇹🇿
@fattyandruqyahbinthouthman8025
@fattyandruqyahbinthouthman8025 4 жыл бұрын
😂😂😂
@imranmohammed1266
@imranmohammed1266 4 жыл бұрын
Yaani anatuaibisha
@heraldloshi1864
@heraldloshi1864 4 жыл бұрын
Yusuf Mwash - mistari unayo?
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 4 жыл бұрын
😂😂😂hakuwaona
@magretyhaule9881
@magretyhaule9881 4 жыл бұрын
Ili iweje sasa
@florambwambombwambo1322
@florambwambombwambo1322 4 жыл бұрын
Kama umeona picha ya boss matha gonga like hapa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Wkwanza
@shanilangson904
@shanilangson904 4 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 naqbalii
@jawadyrasheed6880
@jawadyrasheed6880 4 жыл бұрын
Upuuzi
@veronicadaniel1122
@veronicadaniel1122 4 жыл бұрын
Flora Mbwambombwambo Nimeona alaf ckuta kulike nyau ww
@nancyruoruo1025
@nancyruoruo1025 4 жыл бұрын
Rip martha
@langeoym2mbaya117
@langeoym2mbaya117 4 жыл бұрын
kama unampenda mbosso gonga like
@mwitakassan
@mwitakassan Жыл бұрын
Mbosso vp
@user-hp6rx1gk2g
@user-hp6rx1gk2g 9 ай бұрын
Karibu tupoooooo
@user-hp6rx1gk2g
@user-hp6rx1gk2g 9 ай бұрын
Waja lini boss
@victoromondiochieng9865
@victoromondiochieng9865 5 ай бұрын
Waaah noma.....swali langu ni aje Do this girl wins mbosso?❤❤
@victoromondiochieng9865
@victoromondiochieng9865 5 ай бұрын
Mbosso alimkubali ama??
@makulazomorice3766
@makulazomorice3766 4 жыл бұрын
Kwa maisha haya mwisho wa siku mtu akisema lipa milion 500 mnasema mnanyanyaswa
@sarahhamisi2070
@sarahhamisi2070 4 жыл бұрын
safi sana ila ukikua usijemsalit/ bos utokage kwawema2
@saadangala6751
@saadangala6751 4 жыл бұрын
Kweli lkn
@rachelmukazayire8293
@rachelmukazayire8293 4 жыл бұрын
My love from Rwanda
@zawadimrindoko6782
@zawadimrindoko6782 4 жыл бұрын
Umeongea vizuri sana mboso.hujatudhalilisha wanawake.
@lawrenceminya2776
@lawrenceminya2776 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏 and that was so cute of mbosso labda ndo Kamaliza huyo ametumwa
@elizabethatienoogutu2056
@elizabethatienoogutu2056 4 жыл бұрын
Hahahaaa mbosso get ready am coming for u next week ukinikataa nachange niwe mwanaume...heheee
@QueenPlays
@QueenPlays 4 жыл бұрын
Yaani munira amekua star 😂😂😂😂😂
@beastmc6663
@beastmc6663 4 жыл бұрын
Mbosso upepo wa kisuli suli😂😂😂
@kelvinbensoni9785
@kelvinbensoni9785 3 жыл бұрын
VP mbosso
@aminaamina-xj6qs
@aminaamina-xj6qs 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌
@gm7045
@gm7045 4 жыл бұрын
Mboso you’re smart man
@richarddominico6953
@richarddominico6953 4 жыл бұрын
Mboss usichengane na bahati yako. Broo fanya ivoo
@titotitojones8792
@titotitojones8792 4 жыл бұрын
mkubalie ukaenae, 2
@winniejoy9518
@winniejoy9518 4 жыл бұрын
Wah kumbe sio mimi pekee yangu niko na hiyo shida munira nakupa wewe kubali hata ukiolewa bibi wa sita sawa 😭😂😅
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Inshallah pia mm nkirud Home ntakutafita nkupe za wadi braza mbosso 😎
@azaliayefta1163
@azaliayefta1163 4 жыл бұрын
Una mtihani mgumu sana mbosso Dada wa watu kakolea sana mzee
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 жыл бұрын
r.i.p boss mathar hira mbosso ulimpenda huyu dd bac tu
@fadhilsanga2847
@fadhilsanga2847 4 жыл бұрын
Anampenda ndio maana ake akazaa naee
@josephmboje9098
@josephmboje9098 4 жыл бұрын
Kwel big gup
@mirajikandala3683
@mirajikandala3683 4 жыл бұрын
Lkn atafanya vizuli kama utamngumbalia bro ..
@winniekarambu3935
@winniekarambu3935 4 жыл бұрын
Pia mimi nakupenda sana MR Mbosso nategea tu ile siku utafika kenya.aki nakupenda Sana lakini siwezi kunywa sumu..I love you so much..Niko Kenya
@janetshennele4368
@janetshennele4368 2 жыл бұрын
Much love from kenya 😍 big up brooo🥰🥰
@Jackiedaniel75
@Jackiedaniel75 4 жыл бұрын
She’s cute thou
@esabellaleonard2313
@esabellaleonard2313 4 жыл бұрын
Mmmh uyo demu nae bado anamistari ya zaman eti npo tayar kunywa sumu
@yascomdoe5686
@yascomdoe5686 4 жыл бұрын
Esabella Leonard vip kuhusu kukata TIKITI😂😂
@jssaa4733
@jssaa4733 4 жыл бұрын
@@yascomdoe5686 😀😀😀😀😀😀😀. Kenya ndo wanasema ivo
@josboy5384
@josboy5384 4 жыл бұрын
😂😂😂
@ichukagaum9732
@ichukagaum9732 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bahatimwagaro3410
@bahatimwagaro3410 4 жыл бұрын
😂😂😂😂maajabu
@finidibukuku1729
@finidibukuku1729 3 жыл бұрын
Nice bro nakubali 💪
@sylviawawira6525
@sylviawawira6525 4 жыл бұрын
Iiih waah hii noma kweli upepo wa kisulisuli umetembea kenya kila kukicha mapya mmh
@patricemacky1164
@patricemacky1164 4 жыл бұрын
Icho ndo kilicho mfanya mickael jakson akawa king of pop mana alikua kipenzi cha watu kila alie mwambia i love you alimjibu i love you to na alieshimu isia za mashabi sugu kama uyo dada kikubwa zaidi nikumfariji kiujanja ujanja. rest in peace Mj 😭😭😭 kama na wewe umemmisi mikel gonga like hapa.
@minyugeminyuge6753
@minyugeminyuge6753 4 жыл бұрын
Kabisa kaka., education’ hata kidogo ni bora kwa tasnia yao ya muziki., hayo ni maradhi tu kwa huyu msichana very innocent’ ni ushabiki tu na mwanzo wa mapenz. So’ mboso kuwa na busara ya kumpunguz kiakil maana watakuja wengi kwa kupenda muziki wako., utajisikiaje mtu kapanda maradhi hata ya akil au kufa kwa ajili yako? tena ulishaongea hata mara moja?
@ruwaidaali8937
@ruwaidaali8937 4 жыл бұрын
Tatizo ilooo upepo huo WA kisurisuri
@patricemacky1164
@patricemacky1164 4 жыл бұрын
@Sulayzi VEVO shukrani sana.
@patricemacky1164
@patricemacky1164 4 жыл бұрын
@@ruwaidaali8937 hahaha wameanza kupokea😂😂😂
@patricemacky1164
@patricemacky1164 4 жыл бұрын
@@minyugeminyuge6753 umeona ndo mwanzo wa kua star mboso ameanza kushindwa kuimi mikiki mpaka anadai alitaka kwenda polisi je atapofika kwenye level ya juu ya hustar mambo yatakuaje ? Unacho kisema nikweli education ni inaitaji kwenye tasnia ya musiki.
@salvatory2987
@salvatory2987 4 жыл бұрын
Angecheza nachibu aone.. 😂 😂 Chibu hana hiana, angemsaidia angalau ndoa ya week moja2..
@credovichekesho01
@credovichekesho01 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@aishaabdulrahman6995
@aishaabdulrahman6995 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@maryamabdalahmakyalue40
@maryamabdalahmakyalue40 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@subiradalabu6616
@subiradalabu6616 4 жыл бұрын
😁😁😁😁😸😸😸
@husseinlanh2052
@husseinlanh2052 4 жыл бұрын
Mh gelz have confdence eeh!!! Km unakubaliana na mm gonga like hapa
@secondwife3561
@secondwife3561 4 жыл бұрын
In the meantime ,we disown munira as a Kenyan,,, 😁
@gerrykomba3240
@gerrykomba3240 4 жыл бұрын
mushedede mutukutu 😅😂😂😂😂tatzo una kamusi ya mapenZi kichwan 😅😅😅😅😅
@fabianjulius5274
@fabianjulius5274 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂
@rahimarahima7291
@rahimarahima7291 4 жыл бұрын
Gerry Komba
@joshuasimon4902
@joshuasimon4902 4 жыл бұрын
Wameumbwa pia kwa nasi ya kupenda yanayomzingira duniani so.mungu pia yupo kwa kila nafsi na aabudiwe mille
@lizzybahati9833
@lizzybahati9833 3 жыл бұрын
😃😃😃Hatareee sana
@christopheratoli347
@christopheratoli347 2 жыл бұрын
Mbosso napenda sana nyimbo zako .
@sharonaubray5662
@sharonaubray5662 4 жыл бұрын
Ety anajipigania😂😂😂
@jacklinebenny4738
@jacklinebenny4738 4 жыл бұрын
Unamajbu mzri sana bosso mungu akutie nguvu
@zulfamziwanda794
@zulfamziwanda794 4 жыл бұрын
Hata kama kupenda ni dhambi kesho kwa mungu nitakaa Kitano nikuombe radhiii acha yakukute mboso kama Niko sawa gonga like
@mulamwanaliaka2900
@mulamwanaliaka2900 4 жыл бұрын
Mimi ni mkenya mbosso labda huyu dada ni jini la Mombasa mwangalie vizuri unaweza ingia illuminated bila kujua
@MenTPL
@MenTPL 4 жыл бұрын
Umeongea vizuri
@kenyanyavanistir3064
@kenyanyavanistir3064 2 жыл бұрын
Much respect mr Mbosso
@obediesenga9951
@obediesenga9951 Жыл бұрын
Mbosso mkubali umhowe❤❤❤❤😊😊😮😮
@hakikahoman615
@hakikahoman615 4 жыл бұрын
Yaaani we mbosso eti uliwekwa mchepuko haaaaaaa😂😂😂😂
@rodgersmukhove3776
@rodgersmukhove3776 4 жыл бұрын
Munira anaweza,mbosso mfanyie huruma mtoto wa watu
@kardblymond3634
@kardblymond3634 4 жыл бұрын
rodgers mukhove 😂😂😂😂😃
@yurubadan7334
@yurubadan7334 4 жыл бұрын
Muonee huruma mtoto wa wtu bwana,mbosso usijiangushe mwanangu
@yusufally6853
@yusufally6853 4 жыл бұрын
Ni sheria wanne na huwezi jua kesho yako muombe mwenyezimungu akupe wake was kheri inshallah.
@ukhutysalmaah1463
@ukhutysalmaah1463 4 жыл бұрын
Kwan Kenya hakuna wanaume😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wakenya tulieni huko kwenu msituletee joto bongo maana kuna upepo wa kisuli suli
@flightclubtanzania1638
@flightclubtanzania1638 4 жыл бұрын
Mbosso usiniangushe aseeee funika kombe mwanaharamu apite. 💎💎
@monicahmwkali1209
@monicahmwkali1209 3 жыл бұрын
Ukiona akijitokeza yeye mwenyewe kweli mapenzi yake kwa mbosso ni 🔥🔥🔥🔥ako mwisho sasa ww muongeleshe tu vizuri atakam utamuo hivi sasa asije poteza maisha juu ya neno mapenzi
@jacksonkayanda455
@jacksonkayanda455 4 жыл бұрын
Mbosso vuta jiko demu mzuri kinomaaa yani .....nafsi ya mwanamke from Mombasa inakulilia
@naomikongara6755
@naomikongara6755 2 жыл бұрын
Mbosso you are handsome man
@saleheathumani1291
@saleheathumani1291 4 жыл бұрын
Sio kila mwanamke akimtongoza mwanaume mkazania ni Malaya🙈hata wao wanahisia Kama sisi mda mwingine inabidi uheshimu hisia za mtu mbosso inabidi msikilize huyo dada kwani hadi katoka kenya kaja bongo bc kweli anamapenzi ya kweli na wewe🙆upepo wa kisurisuri huo umekuja kwako 😂😂😂
@princessramihakim3828
@princessramihakim3828 4 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@tammysalum5475
@tammysalum5475 4 жыл бұрын
Unaakili ww,watu huzan wanawake hatuna hisia
@makalasaigoni2275
@makalasaigoni2275 4 жыл бұрын
Salehe Athumani hongera kaka kwa ujumbe mzuri
@erickmollel2420
@erickmollel2420 4 жыл бұрын
Mbona nyie mna2zingua am2taki mnahangalia pesa
@ramadhanrashid1462
@ramadhanrashid1462 4 жыл бұрын
Kabisa
@jafalaymeshack3122
@jafalaymeshack3122 4 жыл бұрын
Ishallah mbosso ongezaaa jikoo big
@saidahj2543
@saidahj2543 4 жыл бұрын
Nyimbo zako pia mbosso jamani...vry romantic
@innocentamarrow
@innocentamarrow 4 жыл бұрын
Ujuwe kupenda malaz
@mamusleman6500
@mamusleman6500 4 жыл бұрын
Nyl
@mamusleman6500
@mamusleman6500 4 жыл бұрын
By in boy a bosons hiking I yang sea
@marycelinapaschal9619
@marycelinapaschal9619 4 жыл бұрын
Tulio ona picha ya boss matha tujuane
@najibabdi7317
@najibabdi7317 4 жыл бұрын
M arycelina Paschal
@timoliiisaya3824
@timoliiisaya3824 4 жыл бұрын
Marycelina Paschal Bjs
@scielliger2216
@scielliger2216 4 жыл бұрын
M
@angelalessovitenge9265
@angelalessovitenge9265 4 жыл бұрын
Marycelina Paschal angel
@jackpartck8578
@jackpartck8578 4 жыл бұрын
Marycelina Paschal rudi tu nyumban kwenu mmy uajiaibixha sema mboso nae mh xjui huwa unawapaga nn naww punguza
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Somo yangu waallhy 😂😂😂punguza mistari ya mahaba
@majaliwacharles3759
@majaliwacharles3759 4 жыл бұрын
nkumbal san huy dem kash pend ko mfikirie vzr
@erickmbwiliza5564
@erickmbwiliza5564 4 жыл бұрын
mungu akubaliki San nakupe afya khan mboss
@noelsimon3320
@noelsimon3320 4 жыл бұрын
Mbosso umekuwa sasa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 4 жыл бұрын
Nyimbo zako mbosso ndozafanya utafutwe na waxchana bro 😍😍
@hadijahassanmgonja3352
@hadijahassanmgonja3352 4 жыл бұрын
Tupo Oman karibhu Sana, tutakupokea
@mariamramadhan9651
@mariamramadhan9651 4 жыл бұрын
Et kesho ake interview nkasema duh kachanganyikiwa 😂 mboso
@doreenandrew3063
@doreenandrew3063 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka kweli...na ni karembo jamani....mboso muoe tuu jamani
@shemsamaterabubakary4911
@shemsamaterabubakary4911 4 жыл бұрын
😂😂jaman kiki izi zita tuoa mavi mtangazaji mim nipo tayar kufa kwaajili yako😭
@richieentertainmentkenya3
@richieentertainmentkenya3 4 жыл бұрын
DAH!!!uyo Dada mrembo kuweza kama ni Mimi sasa . 💥💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Napita na yeye
@abeer4201
@abeer4201 4 жыл бұрын
😂🤣😂🤣Mim Nikiceko tuuu na mimi niko njiani nakuja bongo kumufata aslay namim niko tayari kufa ju ta aslay😂😂😂😂😂😂Uyo Dada karogwa
@bitunihassan9950
@bitunihassan9950 3 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu akuepushe na vishawishi akupe hitaji la moyo wako .umeongea point sana
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 жыл бұрын
Mbosso unanin kupendwa huko VIP bro
MBOSSO - "ASLAY ANATAKIWA APEWE HESHIMA KUBWA KWENYE MUZIKI"
13:45
Wasafi Media
Рет қаралды 649 М.
ROCK PAPER SCISSOR! (55 MLN SUBS!) feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 137 МЛН
small vs big hoop #tiktok
00:12
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
Mbosso - Sele Behind The Scene Part 1
45:29
Mbosso
Рет қаралды 199 М.
MKUDE SIMBA :  NANDY / ANATUMIA PESA APATE PENZI
31:28
Wasafi Media
Рет қаралды 1 МЛН
MBOSSO: Nina WATOTO Nchi mbili tofauti
4:21
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 МЛН
Вор в законе заступился за официантку  ...
0:59
Сериалы 🍿
Рет қаралды 9 МЛН
小天使生病,去学校被嘲笑,最后太有爱了#short #angel #clown
0:56
Кошки не нарушают закон😂
0:34
FERMACHI
Рет қаралды 5 МЛН
Happy 4th of July 😂
0:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 11 МЛН