MBOSSO amuita HARMONIZE Kunguru? ni baada ya kupost hili ''Fukuza Kunguru''

  Рет қаралды 18,517

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

17 күн бұрын

#harmonize #mbosso
Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 88
@meryamreally2768
@meryamreally2768 15 күн бұрын
Sawa sana mbosso sawa ❤️❤️❤️🖐️🖐️😂😂💋💃❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 15 күн бұрын
Niwakwanza hapa twende pamoja mashabiki wa mboso kumfukuza kunguru 👇👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣👇
@beingothman
@beingothman 15 күн бұрын
Media ndo huwa zinakuza sitofahamu baina ya wasanii na mashabiki ndo wanakuwa watu wa mwisho kuamua badala ya kusikia habari kwenye hizi media na mbaya zaidi hivi vitu hupewa kipaombele kiasi ambacho hata kama kuna msanii anataka kutoa ngoma inabidi atulie mpaka hizo habari zipite hii kitu kibaya sana yaaan
@JonasPhilimon
@JonasPhilimon 15 күн бұрын
Sema zote noma
@AdamMwava
@AdamMwava 15 күн бұрын
Hahah mboss Hadi laha🔥🔥🔥🇹🇿🇿🇲
@meryamreally2768
@meryamreally2768 15 күн бұрын
Ok sawa sana kaka we mbosso sawa 👏👏🖐️🖐️🖐️❤️❤️❤️❤️👍😂😂😂🐧🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@habarugiraRodrigue
@habarugiraRodrigue 15 күн бұрын
Harmo bado anawapa wasiwasi WBC
@ChamLucky
@ChamLucky 15 күн бұрын
Kunguru kama kunguru😂
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 15 күн бұрын
Kivipi?
@john_1trader
@john_1trader 15 күн бұрын
Fukuza kunguru
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 15 күн бұрын
Mmmh kunguru 🦅🦅🦅
@badeuxGerard
@badeuxGerard 15 күн бұрын
Wewe kunguru kweli
@mrsinia3064
@mrsinia3064 15 күн бұрын
Huyo mbosso akae kwa kutulia hawawezi kondegang ata kdg
@john_1trader
@john_1trader 15 күн бұрын
Tulizakunguru
@AdamMwava
@AdamMwava 15 күн бұрын
Mboss
@MkaliZuberi-rt3gb
@MkaliZuberi-rt3gb 15 күн бұрын
Mboso katoa ngoma bila kumlenga mbwa yoyote. tumlenge mfu ana nini kipya
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 15 күн бұрын
Sasa huo harmonize Kiki ya nini si kila mtu achinde mechi yake comment ca VA tunatamba nao
@princekim99
@princekim99 15 күн бұрын
No disconnect
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 15 күн бұрын
Mboso mwenyewe kapoteyaaa😂😂😂😂
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 15 күн бұрын
Ongeleen na nyimbo hanstone
@user-xr4dp1cs5b
@user-xr4dp1cs5b 14 күн бұрын
Eeeee kunguruuuu banaaaaa
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 15 күн бұрын
Mbosso anaweweseka
@daylight1707
@daylight1707 15 күн бұрын
Kunguru si ni huyo boss wake mondi alikua namba moja sa hii yeye ndo amemutoa amekua yeye namba moja
@MikeFuraha-rw6dr
@MikeFuraha-rw6dr 15 күн бұрын
Mbona kama Sns hamna content za mashiko of recent??
@MajutoElliasi
@MajutoElliasi 14 күн бұрын
Bosso anarazimisha sana bifu na harmo sijui arimkosea nini
@phelgonaamondi8547
@phelgonaamondi8547 15 күн бұрын
Ebu follow mbosso wewe
@NaymaAli-ro1np
@NaymaAli-ro1np 15 күн бұрын
Malipo ni hapa hapa weeeeee
@NaymaAli-ro1np
@NaymaAli-ro1np 15 күн бұрын
Hamumjuwi kunguru ni mmakongeee rabda
@ChibuMitindo
@ChibuMitindo 14 күн бұрын
King khan🔥 wcb for life
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 15 күн бұрын
Fukuza kunguru🤣🤣🦅
@user-dz5jc6pp8e
@user-dz5jc6pp8e 15 күн бұрын
YEYE MWENYEWE MBOSO KUNGURU LA UNGUJA
@sunwizy608
@sunwizy608 14 күн бұрын
😂😂😂😂WCB mnawasiwasi sana juu ya kijana Harmonize mtapata tabu sana dogo sasaiv anafuraha sana mpunga anao anafanya anachojisikia
@user-rg5dj1ww1e
@user-rg5dj1ww1e 15 күн бұрын
RAYVANNY AMEKOSEA MEDIA YA TANZANIA WAPI YANI SNS HAMJAONA SHAKE SHAKE VIDEO
@mrsinia3064
@mrsinia3064 15 күн бұрын
Ray sijui hana mvuto
@john_1trader
@john_1trader 15 күн бұрын
Wanaifuta mikiki ya wahuni
@exclusive4528
@exclusive4528 15 күн бұрын
Ray mambo yake mengi Yana copyrights huwezi post post clip zake ovyo
@AlexMasinga-sv1vk
@AlexMasinga-sv1vk 14 күн бұрын
Harmonize anawasumbuwa sana
@richkaja3317
@richkaja3317 13 күн бұрын
Harmonize bdo simkubali mie
@ezrommussamusssa2540
@ezrommussamusssa2540 15 күн бұрын
Mbòsso nampa jina la bundi
@vickyvictoire-kq1qv
@vickyvictoire-kq1qv 15 күн бұрын
Mbona nikama mumesahau chupa ya ray shekesheke
@ronzevannyboychui1661
@ronzevannyboychui1661 15 күн бұрын
Kwani kunguru ní nani niambie jaman nataka kujua mimi
@PatrickMwamba289
@PatrickMwamba289 15 күн бұрын
Mzee Popo ni Kunguru, Kijitu, Kistuli...kwasababu harmonize ameroga accounts za wasanii wa WCB youtube...Vita mbeleni😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@barnacVEVO
@barnacVEVO 15 күн бұрын
Eti mboo Nini?
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 14 күн бұрын
Kunguru hafugiki
@IssaMuhamed-sg6np
@IssaMuhamed-sg6np 15 күн бұрын
Mbonso njo nani
@user-sn8zw9rn5x
@user-sn8zw9rn5x 15 күн бұрын
Mumeo
@salashbooben7622
@salashbooben7622 15 күн бұрын
Yani Jacob kajifany yuko buuuuusy😂😂
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 7 күн бұрын
mnatafuta kiki goma yenu imebuma unachota upepo uliopo uende mjini
@thierrynigaba7395
@thierrynigaba7395 14 күн бұрын
Mboso ni Nani?????
@johnnchora3215
@johnnchora3215 15 күн бұрын
Mboso
@isaacelijah6516
@isaacelijah6516 15 күн бұрын
U guys SNS stop ✋️ . I know that's u want more viewers 2 ur content but why must u start beef with Mbosso and Konde 😞. Tonge zitakuponzeni stop ✋️ ur nonsense brothers
@VITUSPROTUS-wh4mn
@VITUSPROTUS-wh4mn 15 күн бұрын
Fukuza fukuza kabisaaaa Kunguru huyo
@jaelkitwa1621
@jaelkitwa1621 15 күн бұрын
Mbosso ndo Nani 🙏?
@user-cd2mf2vf8r
@user-cd2mf2vf8r 15 күн бұрын
Mboso nimmakonde kutoka chitohori mlevi
@NivoAfrica007
@NivoAfrica007 15 күн бұрын
Mbosso ndo nani uyo tena
@ce-08
@ce-08 15 күн бұрын
Is angel of love
@user-cd2mf2vf8r
@user-cd2mf2vf8r 15 күн бұрын
Mboso nibibi yako
@badeuxGerard
@badeuxGerard 15 күн бұрын
Kisturi kawa kunguru tena🤣🤣🤣 wewe mbosso wewe
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 15 күн бұрын
Mboso ndo nani mbwa mmoja tu asumbui
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 15 күн бұрын
Mboso ni mmeo
@user-cd2mf2vf8r
@user-cd2mf2vf8r 15 күн бұрын
Mboso nibasha ako alli
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 15 күн бұрын
@@user-cd2mf2vf8r ashakufiraga nini
@princekim99
@princekim99 15 күн бұрын
Mboso shoga na ngoma imebuma 🚮
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 15 күн бұрын
Wajingatuhao wachafu. Hawataki wengine wafanikiwe fyuuuuu
@rajuxcharity
@rajuxcharity 15 күн бұрын
Tuoneshe ushahidi
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 15 күн бұрын
Mashoga Kama nyie inatakiwa kuuliawa
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 15 күн бұрын
Kwahiyo wasitowe nyimbo kisa mvuta bangi aka korosho
@user-cd2mf2vf8r
@user-cd2mf2vf8r 15 күн бұрын
Ushamba nao niugojwa yaani mashabiki wayule mvuta bangi wengi niwashamba nawana roho zakichaw
@merckmdamu2942
@merckmdamu2942 14 күн бұрын
@@adamnasibu5931 sikiliza stori iliyozungumziwa
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 15 күн бұрын
Kaona haongelewe anataka kutrend kupitia harmonize 😂😂mmakonde nyie uchafuni hamumuwezi ndo wote uchafuni mmenshindwa kama hsrmo ni mmbwa wewe utakuwa nguruwe na mipua yako
@jaelkitwa1621
@jaelkitwa1621 15 күн бұрын
Mbosso ndo Nani 🙏?
@user-jq9rj4dm5u
@user-jq9rj4dm5u 15 күн бұрын
Seleman khan🤸
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 15 күн бұрын
Oyo mboso sikuiziibchoko ona mavazii yakee sasa usaanii ganii uwoo uyo analiwa sikuziiii
@Ommy9_fungabreakjr9
@Ommy9_fungabreakjr9 15 күн бұрын
Umekula sio unatukn wat na ujala cha mchana
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 15 күн бұрын
@@Ommy9_fungabreakjr9 hiii we vip wauni atuwazi kula wewe we kama una wazawaza kula subilia na ww uliwee siunapenda kulaee bas ngojaa nawe uliweee ndio kama ao tunaowaona apoo
@Ommy9_fungabreakjr9
@Ommy9_fungabreakjr9 15 күн бұрын
Acha kutukana watu ovyo inaonesha jins gan upeo wako wa akili ndo umeishia apo
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 15 күн бұрын
@@Ommy9_fungabreakjr9 sasa mwana ume unawezaa kufanya vituivyoo una ifundishaa nn jamiiii au nawe pungaa
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 15 күн бұрын
​@@Ommy9_fungabreakjr9sasa wewe mwanaume kukaa kusukwa na kuvaa Madera maana yake nini na wewe au na wewe ni upinde
Kunguru
4:11
Mbosso
Рет қаралды 54 М.
Chips evolution !! 😔😔
00:23
Tibo InShape
Рет қаралды 42 МЛН
Wezi WAKAMATWA ARUSHAA....UWIII....Ona KINACHOTOKEAAA!!
20:48
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 74 М.
MABAYA 3 ya DIAMOND usiyoyajua, Creez ayachambua!
8:01
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 23 М.
Mbosso - Kunguru (Official Audio)
4:11
Mbosso
Рет қаралды 451 М.
Truck spring suspension straightening process #youtubeshorts #youtube #foryou
0:59
Pk Awesome Restorations
Рет қаралды 6 МЛН
🤑Самый Дорогой Автомобильный Номер #dubai
0:20