Hakika nisawa kibisa ,hakuna mtu ambae hata onja mauti ,mkikaa kimya mtanyakuliwa kama mwewe anavyo nyakuwa vifaranga , Mkiandamana vilevile mnaweza kuuwawa hakuna kheri , Mtangulize ni Mungu Kwa Kila jambo Yeye ndio muamuzi wa mambo yote.
@salmajafari6838Ай бұрын
UTUKUFU WA MUNGU ALIE HAI, UENDE PAMOJA NASI NAZIFUNIKA NA KUZILINDA BARABARA ZOTE ZITAKAZOTUMIKA KWA DAMU YA YESU KRISTO WANADHALETI MWANA WA MUNGU ALIE HAI
@BaloleBalole-x7eАй бұрын
Uko sawa kiongozi tuko pamoja
@JohnIsaya-e5fАй бұрын
mungu atusaidie tunako kwenda duiaina unaenda wp😢😢😢😢
@caashamacalini3887Ай бұрын
Maandamano kitu cha kawaida ila Tanzania government haijielewi kama hii nimitu cha kawaida wao kwanza nuna wasi wasi viongozi kama wameishia darasa saba wale watu ambao wanafisi kutesa watu wanataka wao chochote watakacho ongea iwe hewala kitu ambacho hakiwrzeksni
@marksinkala1465Ай бұрын
Lakini kwanini tunafika huku?, mbona tulishaupata uhuru!, tunaanza kupishana wenyewe kwa wenyewe, sasa uhuru ulikuwa kwaajili gani??
@paull8659Ай бұрын
Uhuru hatukupata bali ulinyakuliwa na mkoloni mweusi.
@WilliamstozzoАй бұрын
Boraa muingereza
@AndrewMasagaАй бұрын
Maandamano lazima
@damianmosoka5356Ай бұрын
Sasa mwandishi hilo neno kuvimbia polisi lilikuwa na ulazima kweli? Huna weledi na kazi wewe, ulimbukeni tu👎
@Bilioneabichwa331Ай бұрын
Yesu yu karibu kuja tujiandae
@paull8659Ай бұрын
Yesu hatakuja, wala hatakuja kumuondoa mkoloni mweusi ni wewe na mimi.
@shukurukihwelo3084Ай бұрын
Hofu yangu bwana mboe wewe ni tunu mhimu sana katika Taifa hiri kwanini msikae mezani , maana ukiuriwa kesho na chama chako kitasambaratika .Naomba uairishe
@RwelamiraPascalАй бұрын
Meza ipi Bwana shukuru?
@raymondnlelwa427Ай бұрын
Nani amuue? Na kwa sababu gani, sema labda wamkamate wakamweke ndani, maandamano siyo ya vurugu mzee, ni amani na ni kwa mujibu wa katiba.
@mzalendomzalendo2567Ай бұрын
Hamna lolote,
@hemedjackson2261Ай бұрын
You can fool people's sometimes you can't fool them all the time mbowe, no one need maandamano broo.
@mosesmacha1080Ай бұрын
How old are you,you call Mbowe Broo😮😮😮
@hemedjackson2261Ай бұрын
@@mosesmacha1080 miaka 3
@WilliamstozzoАй бұрын
Hajakuambia uende ,wanaenda na wenzake wanaohusikaa nayooo
@raymondnlelwa427Ай бұрын
Wewe ndo hutaki sisi tutaenda
@caashamacalini3887Ай бұрын
Wewe usiyetaka maandamano kwanini? Usinyamaze mbowe alikushika mkono mbwa wewe ? Mbowe asikufanye be fool alikulazimisha punda wewe hapo juu uliyeandika English yako ua darasa lasaba eti no one want to strike alikushika mkono mkundu kila mtu anamaoni yake na kila mtu hiari yake hao watu walikupigia simu kusema hawataki kundu lako
@dorothmsuya1686Ай бұрын
Kwa haya matusi ndio mnataka kupewa nchi kweli jamani! Kuweni na lugha za stara tutawaekewa tu.😢😢😢Tunataka amani...
@WilliamstozzoАй бұрын
Wameweka wazi sababu ya maandamanoo yao,,na ujumbe wao uko wazi? Na wameomba polisi wawasindikizee
@caashamacalini3887Ай бұрын
@@Williamstozzo wewe hujielewi maandamano lazima msindikizwe na kulindwa na polisi ndio Sheria duniani kote kulindwa ni wajibu tena mnalindwa na polisi ili kusitokee sintofahamu yoyote ndio nakujuza hivyo ndivyo inavyokuwa kisheria sasa cha ajabu nini? Ila bongo hawajielewi karibuni wote from top to bottom maandamano haiwi Fuji yoyote ila watu wanatembea na mambo Kwa Yale yakiyoandwika atutaki hiking na hiking vikomeshwe ndivyo ilivyo lakini bongo jeshi linatembea na machine gun, mbwa,kifaru ,gari ya maji ya washa yaani unafikiri wanaenda kuuwa Simba,na tembo, zimeingia makazi ya watu