Mahojiano maalum na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, CHALAMILA. Classmates wanapokutana kwa mahojiano.

  Рет қаралды 23,675

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 72
@rosengandile129
@rosengandile129 Ай бұрын
Brother EBM hongera sana na Mkuu Chalamila mko vizuri
@MuhsiniAmrani
@MuhsiniAmrani 2 ай бұрын
Mr Makuliro na mh Challamila hongereni sana kwa kufanikisha hii interview kwani mmetufunza mengi sana katika muda mfupi na ni matumaini yangu mr Makuliro atazidi kutuandalia mahojiano na viongozi wanaojitambua ili jeneresheni mpya iweze kujifunza na kuboresha maisha yao kwa weledi.
@christiangideon8663
@christiangideon8663 2 ай бұрын
Hongera sana Kaka EBM mambo mazuri sana tumeyapata toka kwa bro Chalamila kudos to you mkuu
@agnesfelex8292
@agnesfelex8292 2 ай бұрын
Hongera sana kaka tunashukuru kwa Elimu unayotupa na MUNGU akubariki 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jescamwera5631
@jescamwera5631 2 ай бұрын
Interview nzuri sana,hongeren sana,hongera sana kaka EBM
@tunulashku788
@tunulashku788 Ай бұрын
Educative relevant with best practice sharing interview😊
@samwelmchuma3299
@samwelmchuma3299 2 ай бұрын
Kudos EBM, splendid interview with comrade Chalamila RC dsm
@mvutomedia
@mvutomedia Ай бұрын
Aseee hii interview mimi siitazami kama video naitazama kama Shule kwangu na ni shule nzito sana je mmeona jinsi mkuu wa mkoa alivyozuia interuption
@Really-football
@Really-football 2 ай бұрын
Mtu wa maana sana EBM umetutoa mbali sana 😂
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Hongeren snaa kumbe mtoka mbali sana mungu awabarik sana kwa upendo wenu piga kaz chalamila mungu akuongoze mkuu wa mkoa wangu dsm changamoto zipo baba seem yeyote ya kutafuta ugali Kuna mengi nimejifunza hapa shukran Sana Mr EBM
@suwedsuwed1042
@suwedsuwed1042 Ай бұрын
Mh. Rc umeongea kwa standard ya hali ya juu ❤❤❤❤
@mtushindirena2981
@mtushindirena2981 2 ай бұрын
Ebm tupo pamoja na mzee chalamila,Mungu Watunze
@johnsonyokoyana5127
@johnsonyokoyana5127 2 ай бұрын
Hongera sana Brother EBM, naona carrier yako ya habari unaipeleka level nyingine.
@saviomlelwa
@saviomlelwa Ай бұрын
Hongera sana kaka EBM your interview is good
@mohammedbaraka9230
@mohammedbaraka9230 2 ай бұрын
Good brother EBM
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh 2 ай бұрын
Mzee wakazi Ebm hongera
@bobbsalumnyalu1114
@bobbsalumnyalu1114 2 ай бұрын
EBM safi sana hii
@herielnk
@herielnk 2 ай бұрын
Mtu wa tatu hapa. Hongera sana EBM
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 ай бұрын
Kweli seminary Albert ungefukuzwa . Ww ni mtundu mtundu sana 😢😮😅😊😢😮😢
@isaacvtv547
@isaacvtv547 2 ай бұрын
Hata kuongea kwao kunafanana ila Ebm na kasound ka kigoma some how.
@Jackson-Novat
@Jackson-Novat 2 ай бұрын
Kaka EBM hongera sana.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 2 ай бұрын
Safi sana, ila tu nakumbushia muda hauko static kwa hiyo huwezi leo kulaumu social media!
@dorothymoshi
@dorothymoshi 2 ай бұрын
Am so proud of you Kaka endelea kupasua anga
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 ай бұрын
Ubarikwe saana kazi nzuri
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 2 ай бұрын
Aluta Kontinuo bro Erest
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 2 ай бұрын
Safi sana ❤❤👏🏾👏🏾👏🏾
@DINASSOUR
@DINASSOUR 2 ай бұрын
Dah ni nzuri sana
@lucasmkude237
@lucasmkude237 29 күн бұрын
Engineer umenikumbusha mbali sana ukiwa na muheshimiwa Chalamila, enzi hizo wataalam wa kufanya asignment za Political Science tulikuwa tunaitana ma engineer
@vannymokoca358
@vannymokoca358 2 ай бұрын
Mupungeze kuhuwa watanzania wew chalamila
@issandule1750
@issandule1750 2 ай бұрын
Tumekupgia kura ktk ma group yetu ya pi EBM
@BLB67
@BLB67 2 ай бұрын
Chalamila anaelezea mambo Kwa uweledi na utulivu mkubwa Sana.
@BLB67
@BLB67 2 ай бұрын
Wa kwanza kabisa
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 2 ай бұрын
Asante, na karibu sana
@AthumanRashid-er2sj
@AthumanRashid-er2sj 2 ай бұрын
Kaka habali
@damasiuspetro5178
@damasiuspetro5178 Ай бұрын
Huwa napenda kumsikiliza sana Chalamila He talks logic ally. Hata uso wake unaonesha hivyo. Alisema Kagera huku watu ni wavivu Akashambuliwa ILA ILIKUWA KWELI. Ana mawazo mengi mazuri sana alafu pia katika uzungumzaji ni artist.Unaweza kucheka mpka basi
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 2 ай бұрын
Akiri mbili makini sana
@izereswabri78
@izereswabri78 2 ай бұрын
Hivi ulisema kam mwezi September tuanz ku apply summer camp
@praygodmtera9907
@praygodmtera9907 2 ай бұрын
Shukrani
@Alltogethercrew
@Alltogethercrew 2 ай бұрын
Safi mkuu
@DaghauMsule-e3u
@DaghauMsule-e3u 2 ай бұрын
Ndgu naomba namba yako
@joycehaule9717
@joycehaule9717 2 ай бұрын
Chalamila umependeza Sana hela tyamu
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 2 ай бұрын
Ernest Boniphace Makuliro, brilliant and super vision guy. This interview done here in Tanzania this time?
@josephlorri431
@josephlorri431 2 ай бұрын
Wapo dar es salaam
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 2 ай бұрын
@@josephlorri431 hii ilikuwa lini? EBM alikuja far?
@mtushindirena2981
@mtushindirena2981 2 ай бұрын
Kumaliza foleni nikitu kigumu sana maana hata wazungu wameshindwa kumaliza ila wamepunguza nadhani yawezekana kupunguza.
@kevinchalamila6068
@kevinchalamila6068 2 ай бұрын
EBM MAWAZO MAZURI
@peterlugomoka3605
@peterlugomoka3605 2 ай бұрын
Ebm
@jacobsimkoko3096
@jacobsimkoko3096 2 ай бұрын
Nimefurahi
@charlesngahimika6817
@charlesngahimika6817 Ай бұрын
Viongozi wote wangekuwa kama CHALAMILA tungekuwa na nchi inayo jitambua nimependa sana.
@NanahBrown
@NanahBrown 2 ай бұрын
Tuko pamoja
@adelgotingingo8396
@adelgotingingo8396 Ай бұрын
Tanangozi kukaye
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@liannsambu7264
@liannsambu7264 2 ай бұрын
Raha sana ukikutana na class mate 😂😂😂
@kevinchalamila6068
@kevinchalamila6068 2 ай бұрын
Kongole kwa mahojiano yenye kujenga
@ahmedalfan8075
@ahmedalfan8075 2 ай бұрын
🤝🤝🤝
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 2 ай бұрын
Nikiangalia mfumo wa kiuongozi Tanzania na katiba ilivyo inaonyesha kabisa haiendani kabisa na mfumo wa vyama vingi kuna mkanganyiko mwingi sana
@antonimwamahonje
@antonimwamahonje 2 ай бұрын
Tuliosoma MALANGALI TUJUANE
@ramadhaniomarishauri9905
@ramadhaniomarishauri9905 2 ай бұрын
Ndio maana Akili zenu zinafanana
@AliciaKyai
@AliciaKyai 2 ай бұрын
Kaka yangu chalamila nakumbuka nilikuwa school of law
@kevinmary7129
@kevinmary7129 2 ай бұрын
Mkuu wa mkoa mwehu kichaas tahira chizi Kabisaaa, ukorofi wake ukichaaa sanaaaaa
@mboyipaul
@mboyipaul 2 ай бұрын
Majamaa Yana kumbu kumbu haya
@kevinchalamila6068
@kevinchalamila6068 2 ай бұрын
Kongole
@foibtv3044
@foibtv3044 2 ай бұрын
Nilicho gundua wa tz ni wanafik san
@kevinmary7129
@kevinmary7129 2 ай бұрын
Maisha sio kwenda US au ulaya, Unaona jamaaa ni mkuuu wa mkoa wewe bado uko US unagaga kupiga ndebe huna maisha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@christiangideon8663
@christiangideon8663 2 ай бұрын
Hujielewi wewe, US utalinganisha na mkuu wa Mkoa? Aiseee
@_motivementor
@_motivementor 2 ай бұрын
yawezekana ulishatafuta fursa ukaamua kukata tamaaa ndgu ni wivu unakusumbua kaka kla m2 akule kwa urefu wa kamba yake na as always human beings 2meumbwa kwa utofaut na mapungufu baina ye2 so kla m2 ako na v2 avpendavyo na asivyopenda so we kama umeamua kubaki bongo its well and good m2 akiamua kwenda marekan anywhere sio dhambi wala so bro ningependa ubadrike ayo so maisha ni ushaur wa bure tu naweza nkakupatia maana najua ata nikitukana ni kazi bure but kukupatia elimu tu ni ki2 important nimeona hauko nayo mungu azidi kukubariki ndgu😢
@aoloathumani10
@aoloathumani10 2 ай бұрын
​@@christiangideon8663Mkuu wa mkoa yupo juu tena mkoa wenyewe wa dar es salaam, unatengeneza mabillion ya pesa kwa siku, ila kikubwa ni kwamba hao wote wamejitafuta na tayar wamejipata sio lazima wote wafanane au wawe wakuu wa Mikoa, Naamin huyo EBM safar yake Moja ya kutoka Us kuja Tanzania inagharimu si chini ya mill 5, ambayo ni pesa nyingi so ni kwamba yupo vizur, ana maisha yake US, nyumba yake lakin pia ni Veteran wa jesh la Us na pia kasoma, so simuoni mwenye njaa hapo wote wako vizur ingawa vipato vinaweza kutofautiana kutokana na mazingir wanayoishi, so sidhan kama EBM anajuta kuwa Marekani au Chalamila anajuta kuwa Tanzania, kila mtu kafanikiwa kule aliko.
@EBMSCHOLARS
@EBMSCHOLARS 2 ай бұрын
Maisha ni mipango yako na malengo yako mwenyewe. Sio kila mtu atakuwa na same dreams. Mfano Mimi hata unipe ukuu wa mkoa, au ubunge sitaki sababu sio dream life yangu. Kuna mwingine yeye ni biashara mwingine yeye ni kilimo tu nk. Mafanikio ni kutimiza ndoto zako si kutimiza expectations za watu wengine.
@_motivementor
@_motivementor 2 ай бұрын
@@EBMSCHOLARS thats true brother mm nimeshafikia hatua yaan ata unipe urais wa TZ au ukuu wa majeshi still bdo ntakataaa coz sio mipango na dream yangu so bnadam tunatofautiana haijalishi unapata pesa kias gani but je moyo wako upo katika peace of mind yaan sehem uliopo kwa sasa ndy uliokua umepanga au what next after there?!...keep pushing EBM bnadam bn ndy 2shaumbwa na mapungufu so 2jarbu kuish kwa kuvumiliana 2 ili maisha yaende God bless u all🫡
@izereswabri78
@izereswabri78 2 ай бұрын
Hivi ulisema kam mwezi September tuanz ku apply summer camp
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 60 МЛН
From Small To Giant 0%🍫 VS 100%🍫 #katebrush #shorts #gummy
00:19
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 97 МЛН
Ushamba wangu mwanzoni Marekani - Maisha Ughaibuni
53:50
EBM SWAHILI
Рет қаралды 6 М.
Maswali na Majibu kuhusu Uhamiaji na Maisha ya Marekani - LIVE TIKTOK
1:27:16
Madaraka Nyerere Hajasema KWELI - Mohammed Said
35:41
Kalamutz
Рет қаралды 26 М.
Hatua na mafunzo ya kuwaTRUCK DRIVER Marekani
1:17:10
EBM SWAHILI
Рет қаралды 7 М.
Safari yangu kuja USA na kuishi miaka 15 (Njia niliyotumia)
15:34
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 66 М.
MAISHA YA ICOME - NJE YA MITANDAO YA KIJAMII
1:17:02
EBM SWAHILI
Рет қаралды 11 М.