God Bless You, Mbowe Muda Wote Hana Maneno ya Kuwadhalilisha na Kuwafanya Wengine Waonekane Wabaya... Lakini Wapo Ambao Kila Wapatapo nafasi Wanataka Kujionyesha Wao Ndio Bora, Imara na Wenye Akili na Uadilifu Kuliko Wote AKA Immaculate! WANANICHEFUA!