Ina maana kila mwaka chadema inapoteza nguvu ndio maana ya speech hiyo!
@FrankEdson-l2o6 сағат бұрын
LISSU ndio mpinzani bora wewe jiondoe mpe huyooo
@AbdallahYangaКүн бұрын
Makonda hoyeeee
@HijaSaid-t6cКүн бұрын
Wewe mwenyewe unategemea fursa ya ruzuku, kwa sababu hatuwezi Pata ushindi huku ukijua wateuzi wote sio tume huru ni wamgombea mwenzako sio wa waote, Mpinzani wa kweli hawezi shirki uchaguzi unaouhubiri
@ikram-x3m15 сағат бұрын
Ruzuku ipo kila kwenye Taifa la viama vingi hata hao ccm pia wanapewa Ruzuku.kwa hiyo huna hoja wala la msingi la kuongea
@leoncebenjamin81072 күн бұрын
Kweli wewe ni chawa Yani watu wanauwawa wew unaleta uchawa wako
Ccm mlidhani mamiladi yenu yatawabeba kwenye uchaguzi watanzania wamewakataa ila mnalazimisha kutawala
@faustinluambano29583 күн бұрын
Angalia kinachoendelea GEORGIA
@clemencemkondya85613 күн бұрын
Mmeshindwa hamkosi visingizio
@samwelorest3 күн бұрын
Mim naomba ww ulieandika kichwa Cha habar humalizi mwaka huu
@BahatiSimkonda3 күн бұрын
Ila waandixh kueni na huruma bc ata tusio na vyama tunalia hiyo hali so poa uchawa huo utawaumbuwa kwa mora
@نوفل-س5ر4 күн бұрын
CCM hata wakijitangaza watanzania sote tunajua kwmba ccm haikushinda na Wala haitoshinda ,waendelee tu kujiweka kidhulma.
@DivaMsukuma4 күн бұрын
Mtakoma .mwakAkesho
@willymgaya76184 күн бұрын
MH. NAPE NA WENGINE WALIOZUNGUMZIA UCHAGUZI WA TZ, NA KUWA LAZIMA CCM ISHINDE WAKO SAHIHI, KUSHINDA KWENYEWE NDIKO HUKO. WA-TANGANYIKA TUAMKE.
@FREDYMBUGHI-q5k4 күн бұрын
Mbowe anasababisha je umati Chaws mkubwa mweusi ww,oungo hadanganywi mtu siasa za maji taka mfanyazo wa mboga mboga
@MohammedAwadh-gq9si4 күн бұрын
Bange tu ndio inawazingua
@salama11134 күн бұрын
Sasa ww mtangazaji kinakuchekesha nn
@rebekakulwa61594 күн бұрын
Mungu. Yalaani mabolice
@mgawetv4344 күн бұрын
Huu niusenget
@DavidKagulu4 күн бұрын
Police kimekuwa chama cha siasa Sasa
@EmmanuelAlberto-g5v4 күн бұрын
Kauri yanape mtaikumbuka
@LameckMbele4 күн бұрын
sasaiv mjipange kugombea na polisi sio ccm tena ccm hawana Lao wamechoka nyong'onyong'o
@OswadSanga-hb2vi4 күн бұрын
Naona chadema hamna lolote hamjui hamshindani na ccm mnashindana na dola fanyeni kama sudani
@simongwandu73924 күн бұрын
Tundu lisu anakuharibia chama Yeye hutakana kila mtu ana laana ya matusi
@HiteshkumarDhirajlal-nh3ly4 күн бұрын
Bravo MBOWE
@abelianraphili51505 күн бұрын
MUNGU WA MBINGUNI HADHIHAKIWI, wanamtaja Mungu yupi kwa hila walizofanya? Ijulikane ya kuwa Mungu wa Mbingu anaishi, Kila aliyeshiriki Hila na yeyote ambaye ajashinda kwa haki, Hataishi!! Na hataona Uchaguzi wa 2025, Thanks Lord 🙏 in the almighty Jesus Christ for Done
@levissanga88675 күн бұрын
You are nothing
@MaulidyMadyo5 күн бұрын
Ccm mungu ataiangamiza wanaua sana watu pia wanateka sana watu
@clemencemkondya85615 күн бұрын
Huna aibu kusema uwongo kiongozi mzima .Hizo ndiyo Sera za kiongozi .Nani atakipa chama chako wakati viongozi wote wahuni na wenzako.
@EstherJerald-tc6ct5 күн бұрын
CCM mitano tenaaaaa
@HamisLeo5 күн бұрын
Asante Baba
@geophureysamsoni50336 күн бұрын
😂 Sugu aripokuwepo madarani turiona vitu vingi sana hapa mjini mama yetu turia viko wapi harafu yeye ni mkubwa serekarini tunachoona ni kureta madege tuu ya kijeshi sijui ndo maenderao yanambea
@TeddyCyprian-o1s6 күн бұрын
Kama iliyo tupata msm
@ndogoroedson1996 күн бұрын
Mbona ni mwizi na muuwaji?
@kiluiWanguvu6 күн бұрын
mbowe unatafuta haki wakati unakula kwa ulaji wa pupa pesa ya ruzuku chadema kwenyewe hakuna democrasia ndani ya chama
@kiluiWanguvu6 күн бұрын
Tulia humuwezi hata mgombee wote ww na sugu wote tulia atakushindeni
@aminielyusufu43517 күн бұрын
Uko sahihi kabisa Ni kweli
@BethuelofficialTz7 күн бұрын
Twendeni tukapige Kura sasa kzbin.info/www/bejne/f2TcdmZ9ltBmoqMsi=iyrtvv-7IYBV-cXb Chadema ni imani
@josephatkajange-zx2tl7 күн бұрын
This man is talking nothing!
@nancolower_80327 күн бұрын
Wahuni
@herypinda-z5l7 күн бұрын
hakuna kitu humo wenyewe malumbano kila kukicha
@BethuelofficialTz7 күн бұрын
Penye malumbano ndipo penye kuimarishana
@alphoncewilliam43257 күн бұрын
Yani uyu jamaa hafai kua kiongozi
@KelvneJeremia7 күн бұрын
Nice mbowe
@allymohamed27247 күн бұрын
KAZI, TATIZO LENU TAMAA YA PESA HAMWISHI KUGOMBANA.
@allysimu68567 күн бұрын
Ngojatuone kamanchi ikishikwa na mkatoliki mwenzio kamautatoa maneno ya kebihi kamaaya atakama anafanyaovyo nyiee wakatoliki ndo mnapewa chuki na wamaghalibi kuwachukia wengine na nyiendio mtakaoleta machafuko nchini kwetu kwani unatumwa mjekusema chochote ili lolotelikitokea wajekuwapiga waislamu kwauitwa magaidi lakini kumbukeni yakuwa akuna mwenyedini Wala mwenyenchi dini ni ya mungu na nchi ni mungu acheni uchochezi acheni ubaguzi wakifa watakuwa wamekufa watanzania sio dini
@abuilmailma3534Күн бұрын
Huyo shoga tu na kujichubuwa msenge mkubwa sana
@mabulalusolela20687 күн бұрын
UNAYESEMA WATU WAMEICHOKA CCM NI WEWE WENGINE BADO TUNAIPENDA ASILIMIA 100 MAMA MITANO TENA