MBOWE AONESHA MJENGO WAKE WA KIFAHARI ULIOPO KIJIJINI MACHAME, NI KAMA HOTELI YA NYOTA 5....

  Рет қаралды 8,758

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@muta-news2786
@muta-news2786 11 ай бұрын
Endelea kuandamana wenzio wanalala kwenye kasiri sisi km ndege. Hii nchi kila mtu apambane na maisha yake Ila sio kupotezeana mda.
@suwedinamga581
@suwedinamga581 11 ай бұрын
Kama siasa ndo hii acha tufanye biashara huko kuna maisha sana
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 11 ай бұрын
Usidanganywe na wanasiasa kua maisha ni magumu. Pambana kivyako. Ukiambiwa kua kuna ugumu wa maisha ujue wamebanwa na mfumo sio kwamba Wana maisha kama yako
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 11 ай бұрын
Ni kweli waambie hao wanaowatetea chadema
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 ай бұрын
​@@philemonmagesa5548na nyie mnao tetea ccm
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 9 ай бұрын
Wambie hao wanao tetea ccm
@samwelmollel602
@samwelmollel602 11 ай бұрын
Hongera sana
@leonardmartine662
@leonardmartine662 11 ай бұрын
Mbowe kweli ananjaa
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 11 ай бұрын
Ukiwa mwanasiasa Tanzania Jua wewe utakuwa tajili mkubwa sana
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa 11 ай бұрын
Oky kumbe mnasema tuchangie chama nyinyi mnaumuwa mijengo na kupga picha pamoja bila hata wogo mnaita na waandishi wa habari kuonyesha ruzuku zinavyo tumika
@aud548
@aud548 11 ай бұрын
😂😂😂Bro hao wenzio wamezaliwa kwenye pesa ..wewe endelea kupiga mayowe mtandaoni...unadhani hiyo ni ruzuku...mawazo ya kimaskini sana asee
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 11 ай бұрын
😂😂😂😂 mtakufa masikini na kujiunga na vyama chama pekee ni kumcha mungu basi vingine kausha damu
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 9 ай бұрын
Mbowe hajatengeneza hela kupitia Siasa lazima tujifunze kusema kweli,amezaliwa amezikuta pesa kwenye familia...japo si msapoti freeman mbowe kisiasa ila panapo ukweli hebu tujitahidi kuusema kuliko kuwapakaza watu matope
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 9 ай бұрын
Sio kweli , Chama chao lini kimefanyiwa auditing???
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 9 ай бұрын
@@ndukulusudikucho_ .umeaminishwa auditing ndio inazuia wizi? Hivi ulishawahi walau kuuza duka ndio ujue auditing kuwa ni usanii tu wa kuhalalisha wizi,auditing ni usanii tu .Kuna taasisi nyingi zinafanyiwa auditing na Bado watu wanapiga humu humo kwenye jumlisha
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
"Surrender or Starve": Israel Weighs Plan to Liquidate Northern Gaza
13:45
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!
22:09
Global TV Online
Рет қаралды 600 М.
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 39 МЛН