Mbowe mungu akupe neema ya maisha marefu inaongea maono makubwa kwenye taifa
@MurunguwetoshaDeheaven5 ай бұрын
Great man,,,,,hapo kaongea MTU na nusu,,,,unaona MTU aliyejiandaa na anayejua,,,,,, Hope message sent and delivered,
@mohamedomari61295 ай бұрын
Umeongea vizuri mno. Sipendi siasa, siamini katika kiongozi mweusi sababu ya roho mbaya na ubinafsi uliopitika mpaka. Lakini umeongea kwa mpangilio mzuri na points hata Lipumba nimeona ameshika note book na pen ana note points.
@ndingolivin-qy6xk5 ай бұрын
Baba mbowe Mungu akupe maisha marefu
@MussaSimeon5 ай бұрын
Mungu akubaliki sana
@sammykateregga62385 ай бұрын
Mhe Mbowe umegusia mambo muhimu sana ingawaje kwa kifupi lakini ndiyo moyo wa demokrasia na Maendeleo ya nchi yetu. Hongera sana. Kubadili jina la Tume ya uchaguzi bila kugusa composition yake ni ubatili. Daftari la wapiga kura ni muhimu. Mabadiriko ya katiba ilingane na marekebisho yaliyofanywa ni muhimu. Nimesikitika kumuona Mhe Kinana haoni na kuyabeza madai ya CDM kwamba si muhimu ingawaje body language yake ktk kikao Cha Juzi inaonesha kujua ukweli. Tunahitaji tujenge nchi hii kwa ajili ya vizazi vijavyo. Let us be serious and use the present period positively. Mungu fungua macho na mioyo yetu.
@rogersiddy5 ай бұрын
Ndiomana maccm wanatamani leo kesho Mbowe aachie uwenyekiti Chadema ili wafanye yao waishushe Chadema kama walivyoishusha CUF lkn wasubiri kwanza ataachia tu mbona wao walitaka Raisi wa awamu flan awe wa milele wakae kwakutulia tu huyu bado yupo sana tu Mbowe Mungu akuongoze akulinde akubariki uhai mlefu na afya njema✌️👏👏
@TM.Sullusi5 ай бұрын
Hata yeye hataishi milele boss. Hata kama uwe mzuri kiasi gani, muda wako utaisha tu.
@rogersiddy5 ай бұрын
@@TM.Sullusi Hakuna anaekataa hilo wote tunapita ila Mbowe atakuwa kioo kwa wengine kwa miaka hiyo atakayotumikia atakaekuja atakuwa mkakamavu asitishwe na kufungwa jera asitishwe na kupigwa adi kuumizwa miguu ajue uongozi hautofautiani na uongozi wa nyumbani kwake ataumia akiwa kazini atasemwa akiwa kazini atanyanyaswa akiwa kazini atafitinishwa ili kuonekana mbaya kazini lkn hatorudi nyuma akijua nyuma nina familia huku akimuona Mungu amvushe salama kwenye majaribu mbali lkn sio kuiuza familia yake au kuikimbia familia yake nadhani kama mwepesi kuelewa maana yangu kuu utakuwa umeielewa vyema kbs
@rogersiddy5 ай бұрын
@@TM.Sullusi Nalijua hilo kbs hakuna atakae ishi milele sijakataa hilo kbs ila maana yangu kwa mapitio anayopitia Mbowe kuna cha kujifunza kwa watakaochukua kijiti chake cha uwenyekiti sio mtu wa tamaa ya hela wala uoga hatakiwi kwenye kiti cha uwenyekiti hapo Mbowe iwe shule kwa wale wanaotaka kuwania huko mbeleni nadhani umenielewa maana yangu sasa
@gowekogoweko58035 ай бұрын
HONGERA SANA MBOWE
@DoctorRengeda5 ай бұрын
Mr president,,, mbowe wewe ni mtu muhimu sana ktk taifa letu I sure one day utakamata kijiti Tz🇹🇿✌️✌️✌️
@dr_godfrey5 ай бұрын
Kiongozi wa viongozi Tanzania hongera sana mbowe wenye akili tunakuelewa lakini mazuzu yatakuelewa siku hauko na sisi tena tunakuombea Mungu akuweke
@bmdele58165 ай бұрын
Mbowe ni Legendary 🔥🔥🔥
@sonnyr18995 ай бұрын
😂
@titusrobert58905 ай бұрын
Mbowe mungu aendelee kukupa afya njema,mungu amekupa busara kubwa santa
@petroyohana11265 ай бұрын
Mbowe you are my future president
@kombidin..25835 ай бұрын
That idiot isn't a presidential material
@Jal2105 ай бұрын
Mnaota Urais
@RutinikiGosbert5 ай бұрын
Ukweli na uhakika Freeman god bless you my future president 25
@amosjoseph72415 ай бұрын
Alafu kujadili na shetani Mambo ya ufalme WA mungu ni kupoteza muda. Ma CCM ni mashetani ya Taifa hili
@TomasiklistophaMwinuka5 ай бұрын
Mbowe mungu akulinde unalipigania taifa sana sanakwafaida yetu tusio jua haki zetu tunakuombea kwa mungu akulinde naakipe maisha marefu uwepo wako nifahari kwataifa letu wanyonge
@daniellyimo95475 ай бұрын
Ukweli mtupu..."cosmetic changes" badala ya kubadilisha composition ya tume unabadilisha jina la tume....!
@lukasmnyeti30165 ай бұрын
Ukiona mtu yuko ccm hata kama ni baba YAKO jua huyo mtu ni shetani alievaa sura ya binadamu wataenda kujibu Mbele za Mungu
@OmarJuma-og4kd5 ай бұрын
Hakika kabisa ulichoongea ni shetani tu wanaojali maslahi Yao
@simonmalegesi4145 ай бұрын
Siyo kweli magufuri / polepole kina makonda/ mpina nawengine wengi wako pouwa ata samia yuko sawa biteko/jafo/majariwa/mpango yani wapo wengi kishimba na MIMI 😅😅😅😅
@youngsachafurniture54825 ай бұрын
Wote wale wale kuanzia huyo maguful na hao wengine
@thaddeojude75115 ай бұрын
Nafikiri hata wew mwenyew ni mmojawapo wa hao mashetani maana umezaliwa mule mule...na umekulia mule mule....
@thaddeojude75115 ай бұрын
Daima kumbuka siasa ni sayansi..hakuna mwanasiasa mzuri ..anayetumia maneno mataamu leo ..kesho yake anakunyonga...kwaiyo hakuna wa kumtetea awe chadema au popote
@BonaventureJohn-mk6xh5 ай бұрын
One of the big brains in the nation
@emmanuelymganga57375 ай бұрын
mpangilio wa mawazo yako unazidi hadi watu ambao wajiita maproffessa hongera sana Mbowe MUNGU akulinde uzidii kuisemea Tanganyika
@fatumahassanduale47015 ай бұрын
Pole sana,wengine tulishakata tamaa,hatuoni CCM ikiondoka.kwa amani,tunachohofia watu wakichoka itakuaje je watatuwac 14:05 14:05 ha na vita au wataondoka nchi ikiwa imeungana kama nchi zilizoendelea,i hope watakubali katiba mpya yenye kuruhusu uchaguzi huru na haki,na sisi wananchi tuweze juiwajibisha chama kama haitatekeleza ahadi,kama nilivyo sema mwanzo nimekata tamaa na naomba mungu awape CCM maono ya kuelewa Tanzania ni ya wananchi na wanamaamuzi ya kuchagua wamtakae.
@KiigeMongoreme5 ай бұрын
Tujifunze kupitia Kenya,Inaongozwa na upinzani,pia tujifunze kupitia marekani Inaongozwa na upinzani sisi tunawazidi Nini hao
@fidelismwakanyamale67875 ай бұрын
Kenya aiongozwi na mpinzani Ruto ndiye alikuwa mwenyekiti wa vijana KANU mpinzani ni Raila ondiga tu. Na atabaki hivyo ni mpinzani siku zote
@sonnyr18995 ай бұрын
Upinzani wa Bongo una upinzani ndani Ya upinzani kabla hata hawaja pambana na chama tawala. Mbowe maneno yake ni mazuri sana ila yeye matendo mengine
@ignacekiwale72815 ай бұрын
Ongea Mbowe.unaeleweka
@mnanze5 ай бұрын
Well said,We need leaders of this kind Blessings Mbowe.
@TajewuoMoseka5 ай бұрын
Ukiona mtu Yuko CCM kama ni baba Yako au mama Yako ni sawa Yuko kwenye tanuru la moto ya jehenam
@Optionxll_Playz15 ай бұрын
Hahahahaha Jehanamu ipo hapa duniani .
@MenruphKahimba5 ай бұрын
Mbowe safiiii sana sarurt mzee
@Aminmwansile-we8vn5 ай бұрын
Kaka mbowe uko sahihi wenye akili timamu watakuelewa hii ni sauti ya mtu aliaye nyikani
@JohnMahu-f1g5 ай бұрын
Asnt mbowe mungu akulinde ipo ck tutashinda kwa jina la yesu
@prothodommy5 ай бұрын
Huyu jamaa smart sana, Big up Mbowe
@giftyjackson24615 ай бұрын
Safi sana mwamba
@zimboj52785 ай бұрын
Genius man
@EstermsuyaMsuya5 ай бұрын
Big up Mbowe
@samsonkatigiri23445 ай бұрын
Huyu mzee kabudi tangu aliposema katolewa jalalani basi hana kitu tena cha kusaidia Taifa,hata kwenye midahalo asialikwe tena,hata mzee chenge nae hamna kitu ni ubabe tu,mbowe anajua mambo ndo maana hababaiki,katulia sana big up comrade mbowe
@TrustElbashil5 ай бұрын
mzee mbowe watu walioko ccm 100/ nimashetani kuliko shetani tunae msikia sijui shetani wawapi hatujui mungu atatuambia
@PropKibali-f8d5 ай бұрын
Sweet recommendations, uko vzr!
@emmanuelymganga57375 ай бұрын
Bigger up 👏👏👏
@pdwanakaza24112 ай бұрын
Mbowe baba mungu akulinde
@Frank-b2d6uАй бұрын
Well said
@salumally3482Ай бұрын
Nakubali hiki ni kichwa kwelikweli..!
@FadhiliMwaitete-ls2li5 ай бұрын
Hali ya ccm nisawa na mchawi anae Kula nyama ya mtoto wake ccm awafai kabisa kubasa wanauza asilimali zetu bila lizaa ya watanzania atuna bunge Wala viongozi wenye huruma na inchii ccm fekeni kabisa Tena ccm nikichefuchefu safari hii tunazaa na nyiye
@IbrahimTabu-qh9il5 ай бұрын
Haki haiombwi ukijua nihaki yako chukua safalihii hakuna kucheka nao
@CarlMagi5 ай бұрын
Kwa muujiza gani ndugu maana ccm wana uhakika wa kushinda kupitia goli la mkono
@leonardmartine6625 ай бұрын
Safi sana kamanda wa Anga
@paldonjonas94895 ай бұрын
Mungu ibarik tz
@HajiJuma-xw7vh5 ай бұрын
Ww baba mm ingekuwa uwezo wangu ningekupeleka peponi yani unaakili mpaka manyanga'u wanakuogopa
@RawsonNkini5 ай бұрын
Mungu akulinde san
@gaitanikazikidogo15565 ай бұрын
mboe nikichwa sana huyu jamaa yani
@festokivuyo71215 ай бұрын
Mbowe ana kuaga kiongozi kbs
@kasiankillo69495 ай бұрын
Daaa awa ccm aise mbowe uko vizuri kama ccm wanayofanya wako Sawa mbona wanaigopa kuacha uchaguzi uwe huru
@PropKibali-f8d5 ай бұрын
HII TUNAITA NI, PRECISE AT A POINT!
@AmosSniper5 ай бұрын
Ushauri wangu chadema wote ingien ccm mlaluane humohumo alafu mtengeneze makundi mmpitishe mmoja mnaemwamini kw tket hiyo ya ccm akiingia ikuru ajenda ya kwanza kwake iwe KATIBA MPYA
@LangoiMollel-p1p5 ай бұрын
Kwan chadema wanataka nn mbona imekuwa chama Cha kulalamika ,lawama Kila wakati mara tunaumiswa,mara katiba ibadilishwe mara iboreshwe kupiga kura mpaka lini?
@edwardmwingira70965 ай бұрын
Safi Mbowe
@mariamumechara33985 ай бұрын
Mbowe hongera San
@hamisimuhunzi79165 ай бұрын
Mwl Nyerere alisema ukila nyama ya mtu huachi CCM walikula nyama ya mtu 2019/20 hawawezi acha 2024/25 itakuwa ni upuuuzi wa kiwango cha juu kwaamini kuwa watabadilika
@EliaoniTerry5 ай бұрын
Unaye taka Lisu aongee kama Mbowe unakosea, yapo mambo Mbowe anaweza kuyaongelea na kuna mambo Lissu anaweza kuyaongelea, ni bahati kwamba chadema ina hazina hizo muhimu kwa taifa.
@AlbinMsechu5 ай бұрын
Umewajibu vizuri kaka
@exprodigitaltechtv55715 ай бұрын
Mr president
@AlexMetwi5 ай бұрын
Kweli mzee
@GodfreyMwamaso4 ай бұрын
Mizee ya CCM imekaa tu Kama minyumbu ndiyo wanufaika wakubwa wa mfumo mbovu wa mfumo mbovu wa uchaguzi ndiyo maana yanapiga chenga kubadilisha katiba mpya na tume huru ya uchaguzi wanajua kabisa wakibadilisha katiba hawataweza kushinda uchaguzi majizi makubwa hayo
Kama sijamaliza kusikiliza anayesema mbowe.....mwaka 2005 alikodiwa helkopta na kuwekea mafuta ili kupunguzu nguvu iliyokuwepo Cuf enzi hinzo chini ya Lipumba Hii nch ain demokrasia ujanja ujanja....wapinzani na watawala ndio walewale
@MjuniLaulian5 ай бұрын
Ndio maana wanatuma vibalaka ili wakutoe kwenye nafasi yako kama mbatia ili waweze kuua chama kwami wao wanataka viongozi masikini ili wawanunue na wawauzie chama ili kife
@kabaly185 ай бұрын
huyu jamaa ni kiongozi kweli kweli
@AlexMakala-s7k5 ай бұрын
Na kuku Bali sana kiongoz wangu mbowe mungu akupe maisha malefu
@EliaoniTerry5 ай бұрын
Kwa maoni yangu, na nilivyofuatilia mijadala mbali mbali ya namna hii, Uchaguzi Uahirishwe kwa mwaka mmoja na Nusu, ili kwanza ama katiba hasa ile ya TUME ya WARIOBA, au ma badiliko makubwa yafanywe kwenye katiba hii ya 1977,ingawa kwangu ni kupoteza fedha kurepea katiba. RASIMU YA KATIBA YA TUME YA WARIOBA NDIYO IFANYIWE MA ONGEZEKO KIDOGO. NA KISHA TUIPITISHE KUWA KATIBA MPYA.
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv2 күн бұрын
Akili mingi kija congration
@leonardphilip5655 ай бұрын
A logical leader
@mohoniajoseph90675 ай бұрын
Wewe ni Kiongozi hakika
@Focusm-se2sd5 ай бұрын
Umeonge mambo ya maana sana mzee wangu ni ukweli mtupu
@benedictmrisho18005 ай бұрын
Marefa wanaolipwa kutokana na idadi ya magoli watapiga penalti nyingi nyingi hata makosa ya katikati ya uwanja yatakuwa penalti
@Saidi-x4h5 ай бұрын
Akili ndogo inaongoza akili kubwa
@willykomba83765 ай бұрын
Well Said gentleman keep it up ❤
@B23-i8pАй бұрын
Kiongozi asiyeongoe ongea ovyo,ili watu wacheke,ndoma.wenye akili wapo makini kumsikiliza
@bonifacedanielmwakisunga96385 ай бұрын
Professor kabudi ukweli anajua ila sababu ya chama lazima ageuke elimi yake anaweka pembeni kujifanya mjinga alafu historia Leo atuitaki tunataka hoja ya katiba mpya Ili kuondoka migogoro iliyopo
@DavidMutiba-hr3vo5 ай бұрын
Mbowe si professor km kabudi lakini yuko wima zaidi.
@BalakaMbughi5 ай бұрын
Laisi wetu mtarajiwa huyo
@TomasiklistophaMwinuka5 ай бұрын
Kwakwer ccm mlaaniwe sana mnawatesa sama wananchi wahili taifa tunateseka ila mungu yupo anasikia kilio chetu
@OscarAsukenie5 ай бұрын
Ikiwa vyama vya upinzani havitajiunga na kuwa chama kimoja, yaani vibaki Ukawa na ccm tu wapambane, hata iwe miaka 1000 ijayo wapinzani hawatakaaa kamwe wakaipindua ccm. Wamlaaumu aliyevunja ukawa.
@muhsinissa70815 ай бұрын
Hongera mbowe umesema sahihi
@usitocassian32864 ай бұрын
Mboe uenyekiti wa Chama taifa tunakukabidhi labuda mungu achukue uhai wako.kukabiliana na Hawa mabwana wakubwa bila wewe nikazi kweli kweli akija mtu mwingine anazimwa chapu na vijisent
@bahatishitindi5 ай бұрын
Ukweli mtupu
@joshuaswai82035 ай бұрын
Mbowe busara kubwa sana huyu jamaa
@akaumbo94335 ай бұрын
True Mbowe
@NixonGerson5 ай бұрын
Change si mwizi huyo
@Yussuf-b3b5 ай бұрын
Mh mbowe ndie alietowa na kuwasemea speech bora WATANZANIA WOTE KIPI WATANZANIA WANACHOHITAJI ,WENGINE WALIOSHIRIKI NI BLA BLA TU ,HONGERA MBOWE SISI WANANCHI TULO PAMOJA NA WEWE KUWEZA KULETA MABADILIKO TUNAYOYATAKA
@fadhilisawe4345 ай бұрын
Ila mnakula Bata asee hiyo sofa baba lazima uongee point
@RaphaelMachinda-ih5we5 ай бұрын
Huku wanaoenda kuhakiki ni maccm
@malkavoice25705 ай бұрын
Kichwa kabisa huyu jamaa,nAAMINI KABISa akipewa nchi tuka safety hakika
@AmosSniper5 ай бұрын
Ccm haijawahi kuwa na chaguzi huru, na mwanadamu usimuamini
@boscomfundo79535 ай бұрын
Mheshimiwa Mbowe ni akili kubwa. Anaeleweka na pia ana uwezo wa kujenga hoja
@RahmaJohn-yu3ni5 ай бұрын
Chadema
@teddymuganda31585 ай бұрын
Nashauri kuwepo na tume maalum ya ajira inayohusu sera na utawala Bora na uchumi enelevu wa maaedeleo na siasa huru ndani ya taifa,ambapo mfumo huu utajitegemea bila kuingiliwa Na selikali au utashi wa chama chochote,watatumia miongozo na katiba ya wananchi ya nchi husika Kwa kuweka sera za uchaguzi zitakazopitishwa na wananchi Kwa kupima wagombea kulingana na dira ya taifa ya maendeleo ktk sekta zote,ambapo mgombea atatakiwa kupitishwa kulingana na uwezo wake wa kuongoza nchi pili atimize vipaumbele vya wanachi bila visingizio tatu awe tayari kufungiwa mfumo kiintelijensiamwilini mwake amba o utakuwa unatoa taarifa zake zote nzuri mbaya na hata uwezo wake ukishuka ahiari kuachia nafasi Kwa kiongozi mwingine kuendelea hata kama miaka mitano haijaisha nne acngatuke madarakani asipoweza kukidhi haja za wananchi,achie ngazi kama watumishi wengine wanavyochukuliwa hatua,tano tume ya ajira ya siasa nchini itakuwa ndo yenye wajibu wa kumchukulia hatua za kinidhamu na kumwajibisha pindi anapokiuka sera kanuni miongozo sheria na katiba za nchi husika au taifa,pindi ameshika hatamu,mifumo ya kiitelijensia itafunguliwa Siri zake zitatoa majibu yote naye atastaafu kama mtaafu mwingine,hii itasaidia Sana bara la afrika viongozi kulewa na madaraka na kushindwa kuchukuliwa hatua naye atapimwa na tume ya ajira yasiasa na kuchukuliwa hatua za kinidhamu pale inapotokea kakiuka taratibu za nchi,tume ya siasa ya taifa itakuwa ndo inawajibu wa kuwapima viongozi wa vyama vya siasa work performance appraisal report,ambayo itasimamiwa na viongozi wabobezi ktk ufanyaji wa tathimini ngazi za kimataifa na kitaifa wataunda ,monitoring and evaluation (,national and international )guideline,standard,appraisal statistics on economic ,living standardandnational sustainability,team work,on good policy govenance ,katiba itakuwa sehemu ya nyongeza ,mfano huu nimeshauri Kwa sababu nchi imetoka analogy to digital watendaji na viongozi wapo analogy kiakili, na matendo kidijitali hapa vinakinzana,afungiwe booster imdaidie kutenda smart,
@stanleyamlima20855 ай бұрын
Ameongea kwa hisia sanaaa
@henrymntangi77835 ай бұрын
na ndio maana ccm na watu wake ipo siku watalia, kama sio wao watoto, wajukuu au vitukuu vyao. Na tunawajua
@josephngowoambroce4185 ай бұрын
Nakuheshimu baba mbowe
@CholoNassor-h8r5 ай бұрын
Good 👍kamanda
@rabsonchisumo66405 ай бұрын
Ccm ni wabaya sana
@driss49575 ай бұрын
MACCM HAYAYCHAGULIKI,KAMWE HAYATAKI MIFUMO HURU YA UCHAGUZI, HAPO MBOWE UNAPOTEZA MUDA TU..
@HarunaSaidi-lb8oe5 ай бұрын
Mbowe nademokrasi wapi na wapi!
@benedictmrisho18005 ай бұрын
Kwa nini kila kitu chetu tunapenda kushirikisha wazungu wakati wao sio kila jambo lao hutushirikisha? Waafrika tujihoji sana tu. Sio ufahari Afrika tujihoji .
@dezruh2 ай бұрын
Bado tunawategemea kwa misaada so moja ya kigezo Nchi kupata misaada ni good governance ndo maana unawaona hapo!
@ChristianMkumbo-ix2ke5 ай бұрын
Madam president tunataka kuona Tanzania iliyo bora na katiba mpya
@thomaskiponda60795 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HABIBHASSAN-wf5mr5 ай бұрын
MNAKERA KWENYE KUWABAGUA WATU...MNATURUDISHA NYUMA SANA SANA SANA...MNAWAFARAKANOSHA WA TZ...INASIKITISHA SANA SANA