Рет қаралды 1,039
SIMU. Tv
Halmashauri ya Mbozi imetajwa kuwa miongoni mwa halmashauri zinazotekeleza mpango wa serikali wa kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula cha mchana shuleni.