Haya nime yaona live nikosa kuangalia video zako Kwa siku nahisi kupungukiwa kitu kibwa sana hata usipo post Bora nirudie kuangalia nilio angalia Jana.
@frankmsangi5 ай бұрын
Yeah the same to mee❤🙏
@jameskalugo45833 ай бұрын
Mm mwenyewe najuta Kwa nn sikuwahi kukujua kiitambo
@jennymwakibasi20694 ай бұрын
Mr Joel ni mtumishi ambaye MUNGU amekutumia kuwafikishia ujumbe taifa lake barikiwa sana
@HastridaFrenk-uj7lt20 күн бұрын
Asante kaka mungu aendelee kukuinua upande viwango vya juu zaidi mana KAZI unayoifanya kwenye jamii kubwa mno mungu akubariki sana
@eliudbeyanga857526 күн бұрын
Safi Sana nakukubali bro
@MalumeDiofu3 күн бұрын
madini yakutosha nayapata mungu akulinde
@bernadetachari76485 ай бұрын
Nahitaji sana kujuwa zaidi mambo ya biashara kwakweli.umwkuwa mwalimu muzurusana kwanghu mimi
@sokotvonline88455 ай бұрын
Bro Yani Unajua Mpaka Bhaaaac,Much Salute And Much Respect.
@joelnanauka5 ай бұрын
Ahsante sana🙏
@starplatnumz5 ай бұрын
A boy from kigoma town ishi sanaaaaaaa kaka elimu yako inakomboa viumbe wengi
@sophiaoscar88515 ай бұрын
Asante kwa maarifa
@Pilioni_5 ай бұрын
See you at the top brother Joel
@MinardKayumboАй бұрын
Naomba mawasiliano na wewe bro
@waterforlife93565 ай бұрын
Mola akubariki sana uko na baraka za wazazi wako mashallah Nawatakia furaha kwa jumla wazazi wako niwatu wema amin naomba jinsi nitawasiliana na wewe by A awadh from lamu Kenya
@joelnanauka5 ай бұрын
Ameen Ameen nashukuru sana. +255743 868507
@user-fz7zg7xw6w5 ай бұрын
Wewe nauka mgodi tanzania
@user-ww1ge5pq8z5 ай бұрын
Umenisaidia pakubwa mno
@johnnkundiye-wl8ch5 ай бұрын
Barikiwa sana mtumwa wa Mungu, huyo aliyekujalia kumiliki hiyo hazina akuzidishie mafunuo jamii ipate kujifunza mengi zaid kupitia wew.
@leahmomba42383 ай бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽
@RumamboRumambo3 ай бұрын
All the best my lovely brother
@user-qv3eo5pb3g4 ай бұрын
Nakupenda kaka joel umenifaninya niwe mpyaa
@manirambonaibrahim20694 ай бұрын
asante kwa ukumbusho kaka yangu, na ongera sana kwa jitihada zako kwa utafiti na ushauri mzuri unaotoa kwa jamii
@HamadiRsima16 күн бұрын
Namba nne
@allymassamba5565 ай бұрын
Mfumo wa kiroho nahiji niwekeze zaidi ckujua njinsi unavofanya kazi
Ameeen broo somo zuriii sana Mungu akubariki sana broo🙏🙏🙏🙏🙏❤️🔥🔥🔥
@stanleyandrea51535 ай бұрын
God bless brother joe
@user-tr2mf3hp5s5 ай бұрын
I absolutely broo
@vailetheanyambilile97495 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi Joel
@laurentinalaurent89525 ай бұрын
❤ Asante kaka kwa ushauri wako.
@user-jn4wx1wg5h4 ай бұрын
Safi sana kiongozi
@williamkonesh29624 ай бұрын
Nakukubali kaka hujawahi niangusha
@maigeshija91124 ай бұрын
Brother wewe nidaraja kwa wenyemalengo❤❤❤❤
@user-pc7xn1kz8s5 ай бұрын
Thanks brother unatupa elimu yenye thamani kubwa sana. Mungu akubariki na kukupa maisha marefu
@user-gk4ce7ts8o5 ай бұрын
Sawa kaka
@user-er4hs7ek3h5 ай бұрын
Thanks😊
@harunaathumani16725 ай бұрын
Elimu nzur mungu akuongoze zaid
@user-bq7ym3tv1h5 ай бұрын
Ahsante kaka Joel
@sadickgodfrey2205 ай бұрын
❤ Be blessed broo joel
@user-jh5yu8ep9w5 ай бұрын
Be blessed for your talent
@Iam_Thomas_Innocent5 ай бұрын
More bless
@EmmanuelLazaro-cf8ew5 ай бұрын
Nimefurahia sana!! Lakin swali langu ni kwa namna gani ntaweza kujenga mahusiano na watu walioshikilia mfumo kwenye fiel yangu
@user-jb5tb7qq5f5 ай бұрын
Shukran boss tuko pamoja sana
@user-ie2qx3bd4t5 ай бұрын
Thanks good bless you
@simplismrosso50845 ай бұрын
God bless you bro
@muksinially83234 ай бұрын
Thanks brother joel
@user-qv3eo5pb3g4 ай бұрын
Mashaallah
@user-cx2ip8ik7o5 ай бұрын
Bright man
@petronyereresaliboko40474 ай бұрын
Big up kaka❤❤❤
@alexmwanioti63905 ай бұрын
Bro k weli wewe ni gn nimekuelewa sana
@eveabasi24695 ай бұрын
Asante sana kaka nimejifunza kitu naanza kukifanyia kazi
@joelnanauka5 ай бұрын
Amen Ameen
@mbokamicrocredit62044 ай бұрын
Be blessed bro
@user-dg7wf6fg2j5 ай бұрын
Hicho kitabu sh ngapi
@jonfredkewe34515 ай бұрын
Joel ni dude lenye akili
@fabriceabedi86064 ай бұрын
I just like your speech bro🎉🎉🥀🥀
@user-ho4lh9yk7h4 ай бұрын
AMEN
@user-mt7qm5lb3m5 ай бұрын
Kaka Naomba vitabu
@joelnanauka5 ай бұрын
Tuwasiliane 0762 31 21 71
@Tobejr17 күн бұрын
Inteperson relationahip,,,,coz watu ndo wenye vitu.
@grace-neemabuninange-bujik91174 ай бұрын
Asanye tunaendelea kujifunza
@SamuelMwambene2 ай бұрын
Asante bro ila naomba ufafanuzi zaidi ninataaluma lakini mpaka sasa sielewi nimewamis wapi.
@uthmanalmafazy10714 ай бұрын
Joel nakukumbusha kuhusu research yangu
@neemaryan99474 ай бұрын
Naomba kufaham bei ya kitabu je kinapatikana kwa soft copy?
@perfectgodifrey38314 ай бұрын
Nahitaji hichokitab cha misingi 10 inay tawala dunia
@tumainselestine33985 ай бұрын
🤝
@user-gg9xo8lf8w5 ай бұрын
Hi br Joel, elimu hii ni adimu, umenisaidia sana, kuna mahali nilifanya kosa la kimahusiano na kiongozi wangu, laiti ningekua nimeipata hii, Mungu akubariki br
@joelnanauka5 ай бұрын
Hongera kwa kujifunza. Uanze kutumia maarifa uliyoyapata kuanzia sasa
@user-gg9xo8lf8w5 ай бұрын
@@joelnanauka asante, nakufuatilia sana, natamani hata kukutana na wewe or even talk directly, thanks, be blessed, C U at the top
@michaelmizambwa12465 ай бұрын
Kaka naamin pasina kufahamu mfumo(biashara,kilimo na maeneo mengine pia ni ngumu kuishi kuendelea kutegemea jambo ambalo mfumo wake huujui.
@user-pv8iu6em6l4 ай бұрын
Swali langu unaweza kujua njia au kanuni zabiashala naukazifuata lakini watokea watu wakakukwamisha zen ukagazabka ikafkia hatua kama umetoka kwenye mfmo wahicho ulikua unafanya je? Ninjia Gani zaidi yakutumia ili usonge mbele mwalimu joeli
@user-pv8iu6em6l4 ай бұрын
Swali langu unaweza kujua njia au kanuni zabiashala naukazifuata lakini watokea watu wakakukwamisha zen ukagazabka ikafkia hatua kama umetoka kwenye mfmo wahicho ulikua unafanya je? Ninjia Gani zaidi yakutumia ili usonge mbele mwalimu joeli